Bwana awabariki Sana Tumaini kwaya mzidi kumtumikia.
@RachelMjema-y7o3 ай бұрын
Mubarikiwe na ujumbe mzuri
@floramwakoba73123 ай бұрын
Mungu Atukuzwe ujumbe mzuri🙏
@JohnsonMbonea3 ай бұрын
Kwa kweli Bwana ainuliwe Sana Kwa ujumbe huu.
@floramtani16463 ай бұрын
Bwana awabariki sana Ujumbe safi,picha safi
@pastorbiheneonline41893 ай бұрын
Barikiweni sana Tumaini kwaya.
@peterkarubi66403 ай бұрын
Maisha yangu yaliyosalia "Bwana" nayakutukuze wewe,,,AMEN.
@alexdonaldmfungo44273 ай бұрын
Mbarikiwe sana Tumaini choir, wimbo umenibariki mnomno,Mungu azidi kuwainua ktk vilele vya juu.
@HappynessHappynessJefta3 ай бұрын
Mbarikiwe sana Tumaini kwaya kwa wimbo mzuri Bwana azidi kuwatumia kwa huduma hii ya uwimbaji❤🎉🎉🎉🎉
@MariamSaidi-z8j20 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@Amina-j7j7pАй бұрын
Mbarikiwe sana watumishi kwa huduma nzuri ya uimbaji mnayoifanya
@alexdonaldmfungo44273 ай бұрын
Baraka za BWANA ziendelee kuwa juu yenu kwa ujumbe huu mzuri unaoandaa mioyo yetu kumpokea Kristo
@IreneSagumo-w8bАй бұрын
Mnanibariki sana kwaya ya Tumaini nyimbo zenu ni nzuri mno na Zina utulivu
@janemtani79413 ай бұрын
MUNGU atukuzwe kwa ajili ya nyimbo zenu ,nabarikiwa sana .
@MariamSaidi-z8jАй бұрын
Nyimbo zenu Zina viwango vyote kuanzia uimbaji Hadi upigaji.
@dasilvajr96473 ай бұрын
Ujumbe mzuri, wimbo mzuri, kazi nzuri, Mungu aendelee kubariki kwaya ya tumaini mambo yazidi kuwa mazuri na injili isonge mbele.
@festosawema53663 ай бұрын
Wimbo mzuri sauti tamu
@Ibrahimmachinda3 ай бұрын
Mungu awabariki sana mzidi kusonga mbele
@leeboy4814Ай бұрын
Nawaombea Muendelee hivyohivyo
@rehemamagesa-ik7vv3 ай бұрын
Mbarikiwe kwanza mmependeza sana na mmeimba kwa utulivu
@alexdonaldmfungo4427Ай бұрын
Tumaini songeni mbele, naamini Mungu amesikia maombi yenu ya kuwafanya wapya na kuondoa utu wa zamani hasa kwa mwaka huu 2025. Baraka za Mungu ziwe pamoja nanyi
@yuniawiga32852 ай бұрын
Wimbo una ujumbe wa uamsho na matengenezo
@MasheneneSherida3 ай бұрын
Utuwangu wa kale amazing songs 🎵 BWANA azidi kuwatumia zaidi kale kazi yake