Пікірлер
@Reyy2406
@Reyy2406 2 сағат бұрын
She's so genuin 🥹May God help her
@Reyy2406
@Reyy2406 3 сағат бұрын
😢😢
@samirhamdan018
@samirhamdan018 3 сағат бұрын
Mtangazaji huyo dada ana laana hakuna muislam wa aina hio bora Ngoma kuliko ndoa na ataenda kujibu akifariki mwambie arudi kwa Allah asiwe na kiburi kwa sababu ya uzima wake na pumzi zinaenda ktk mfumo wake wa kawaida
@Angelsalum-er3lm
@Angelsalum-er3lm 5 сағат бұрын
YESU anakupenda ukimwamini yeye ni mponyaji hajawahi kushidwa na jambo lolote
@hassanmustapher624
@hassanmustapher624 12 сағат бұрын
Allah amfanyie wepes Zuu❤
@MariamMuhammed-fo5gp
@MariamMuhammed-fo5gp 13 сағат бұрын
😂😂😂 manyau naughty bana
@MaulidJuto-o6z
@MaulidJuto-o6z 16 сағат бұрын
Broo kamavipi kuwa kama msumeno kata huku na nahuku namaanixha kulanahuyo
@MaulidJuto-o6z
@MaulidJuto-o6z 16 сағат бұрын
Swaiba hao waxhenzi wote huyo mamamkwe anaweza kumtuma mwanawe akuwekee sumu anweza uyomama hana busala hatakidogo hafai polekaka
@majidabeid3640
@majidabeid3640 22 сағат бұрын
Alowe achike ndio huyo mume wake atowe mahar upy aowe sababu ametowa talaka tatu
@ShakiraMrembo
@ShakiraMrembo Күн бұрын
Daa polen sana selikali ndo sisi wananchi na jeshi la police tufanye maamuzi
@rispernyakundi2274
@rispernyakundi2274 Күн бұрын
We elected a dictator and a killer
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 Күн бұрын
Ukiishi Dar kuna lazi nyingi sana. Unawezs kuuza maandazi, chapati au hata maji ys kunywa. Lakini pia kuna watu wanazunguka mtaani wanafulia watu mguo na kusafisha na wanalipwa. Sasa kujiuza wiki 1 au siku kadhaa kwa ajili ya kutafuta mtaji hapo nakubali. Ila kujiuzs kila siku ni tamaa ya maisha. Mtu amataka aishi nje ya uwezo wake. Hata huko Kigoma alipotoka unawezs kukuta wana shamba kwao lakini hataki kulima.. Hawa mabinti wana tamaa wanataka kuishi kwa starehe sana zilizopitiliza kuliko uwezo wao
@AlhajiDhahabu
@AlhajiDhahabu Күн бұрын
Inna Lilah wainailah rajioun hapa hamna mke hamna mama mkwe
@josephezekielmasolwa8283
@josephezekielmasolwa8283 Күн бұрын
Jamani Tittle haiko vizuri. 15:16 hana Ukimwi bhana
@josephezekielmasolwa8283
@josephezekielmasolwa8283 Күн бұрын
Huyu sister Ana Akili nyingi. Mungu msaidie sana
@Fatma-it2ue
@Fatma-it2ue Күн бұрын
Usikate tamaa na maisha mungu anaweza kukusamehe rudi kwa mungu 😢😢😢+254
@RashidPonda-w4n
@RashidPonda-w4n 2 күн бұрын
Duh nimempenda anafuraia kazi yake
@NorineIbra
@NorineIbra 2 күн бұрын
Kakuroga huyo ndio maana anaongea bila aibu
@ShakiBaby-b5d
@ShakiBaby-b5d 2 күн бұрын
uza ata mbogamboga jaman
@giliadpaul3718
@giliadpaul3718 2 күн бұрын
Daah!! Ningekuwa mimi ndio huyo mwanaume nafikir hapo hapo ningempga makofi uyo mke
@julianamakonda5086
@julianamakonda5086 2 күн бұрын
Huyu binti hana adabu ni mnafiki
@julianamakonda5086
@julianamakonda5086 2 күн бұрын
Mabinti waheshimuni na kuwatii waume zenu.
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 2 күн бұрын
#apo umeyatimba mkuu
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 2 күн бұрын
#mbon wanafanana kama dada na kaka sema dem mweupe to
@MzeeOsama
@MzeeOsama 2 күн бұрын
Halo Dada mungu akutoe huko kwenye hiyo biashara no mbaya
@JumaWanani
@JumaWanani 3 күн бұрын
😢😢 pole xana uyo jamaa kweri nimepata funzo ni meamini bora ukosee kujenga kuliko kukosea kuoa kama mxhikaji wetu
@ZainaJuma-f1v
@ZainaJuma-f1v 3 күн бұрын
Kwanini hapo ulipopewa pesa kwanini hujafuta unatengemea nini bahati unapoteza mwenyewe
@alfalay
@alfalay 3 күн бұрын
Oyaa niunganishe na haka kabinti niangalie nakisaidiaje
@ZainaJuma-f1v
@ZainaJuma-f1v 3 күн бұрын
Mungu amuondoshee na fitina awasmamishie ndowa yao ❤❤❤❤
@ALLAN-bu7hy
@ALLAN-bu7hy 3 күн бұрын
hongera waandish kwa kaz kubwa pia dada aendelee kushawish wengine mungu mkuu awasaidie watoke kwa hiyo haliiiii
@OliverMunishi
@OliverMunishi 3 күн бұрын
Nimempenda jmn ntumie namba yako nkutumie chochote mwaya
@nelsonngemera9832
@nelsonngemera9832 3 күн бұрын
Kuliko aibe bora afanye tu hivyo😢..
@revocatusawadhi6550
@revocatusawadhi6550 3 күн бұрын
Sasa mbn kichw cha habari na maelezo yake n tofaut
@AtilioKigahe
@AtilioKigahe 3 күн бұрын
Mkuu tafuta mwingine huyo mwache aendelee na mambo yake huyo kaona huna pa kwenda broo
@AtilioKigahe
@AtilioKigahe 3 күн бұрын
Hicho kichwa cha mwanamke ni kama nazi maji tupu ndani
@gallousgosbert4993
@gallousgosbert4993 3 күн бұрын
WAZARAMO SIYO KABILA LA KUOA HILO,BORA WAHAYA.
@gallousgosbert4993
@gallousgosbert4993 4 күн бұрын
HUYO MZARAMO KAKA YANGU HUMUWEZI MPATIE TARAKA 3 HAJIELEWI HUYO NJOO MIKOANI UOE MKE MWEMA.
@gallousgosbert4993
@gallousgosbert4993 4 күн бұрын
Huyu mume ni Bush Bushoke haswaaaaaaa
@MajidAbdullah-p9s
@MajidAbdullah-p9s 4 күн бұрын
wanawake mengi Dar wanajiuza kwa ivo serkali uwatafutiye muteja wafanye kazi.
@SarahMhando-ty3ob
@SarahMhando-ty3ob 4 күн бұрын
We kaka acha uboya hakuna mke hapo,mke hajipangii ujinga huo
@SarahMhando-ty3ob
@SarahMhando-ty3ob 4 күн бұрын
We kaka huyo sio mwanamke,jipe moyo
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 4 күн бұрын
Dunia iko mwisho that's why kazi za kishetani ziko wazi, shetani anaanikwa na uovu wake😢
@nassorali1034
@nassorali1034 4 күн бұрын
Yaani nyie wabongo mwisho tena yaani mnamchukua huyu mtu kwamakusudi kutafuta komenti tu
@muhidiniabdul1713
@muhidiniabdul1713 4 күн бұрын
Mtihan
@rosemaryKalega-c5s
@rosemaryKalega-c5s 4 күн бұрын
Weee mama unafer sana mungu anakuona iyo nifamilia mbovu sana kaka apo akuna ndoa wala familia mkeo sil
@rosemaryKalega-c5s
@rosemaryKalega-c5s 4 күн бұрын
Mmmh kweli kaka nakusikitikia sana sasaumeoa ama nini apo jmn sipendi niongee vibaya pole kweli mke huna jiangalie
@BakariMohammed-sr9kd
@BakariMohammed-sr9kd 4 күн бұрын
Naomba namba ya uyo dada
@AminaMacho
@AminaMacho 4 күн бұрын
Zuwena mtoto wa kaka angu huyo
@mwitawerema8006
@mwitawerema8006 5 күн бұрын
🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@JumaJuma-k4i
@JumaJuma-k4i 5 күн бұрын
Usipoteze mdaa wako...like mother like daughter...wakifa marafiki waje wapige ngoma wacheze ndiyo maanake😂😂😂😂