HUYU MDOGO NDIO HATARI CONGO hana hata Huruma Ni Jeshi La mtu Mmoja.
Пікірлер: 186
@rashidkihunga293823 күн бұрын
Congo itakaa sawa hongera
@catherinekirimiti973816 күн бұрын
Youths are in Kenya selling kahawa
@Paulkessy-j8n18 күн бұрын
Askari wa congo wanafanya sana kazi sio hawa wa kwetu bongo,,, kazi kutumika tu na viongozi
@Aziz-p6s16 күн бұрын
Wakwetu watalii tu
@tedepakinabo754713 күн бұрын
Sasa njaa ipo kilasiku yaani kuuwa ni kilasiku😢😢😢😢😢
@abudoeugenio690323 күн бұрын
Iyo sheria ingewekewa pia kwa viongozi wezi, akiiba mali ya uma basi apigwe kitanzi kabisa. Manaake baazi ya viongozi wetu no washenzi pia.
@SalumSaid-w8i23 күн бұрын
Invalid pendeza sana inhaling saidia taifa kusonga mbele
@HalfanmundoMundo22 күн бұрын
Kiongozi anaiba bla kuua wala kujeruh
@Aziz-p6s16 күн бұрын
Watafikia huko tu si muda mrefu watawabamba
@Veronica-y2j8oКүн бұрын
Anaua indirect@@HalfanmundoMundo
@clauschaula205022 күн бұрын
Viongozi wa bara la Afrika mna kazi kubwa ya kufanya kuhusu maisha ya hiki kizazi.Pia tuipitie upya mifumo yetu ya elimu.
@allykagawa20 күн бұрын
100%
@alhadajjmohammedsmith904220 күн бұрын
Tatizo hawaamdalii Vijana/Wananchi Ajira za maana/zenye Tija Kwa Vijana zaidi Mchunga na Bodaboda tu 🙌 Wakti Tz inayo Eneo/Ardhi Kubwa ya Kuweza Kuwekeza Kwa Kilimo na Viwanda na Kutowa Ajira Kwa Vijana/Wanachi. Laakin Ukiona/Ukiona Viwanda vya Wahindi/Wachina wanawanyonya Vijana wa KiTz Kwa Ajira/Vibarua Kandmizi, Wlipwa Mishaara/Posho Kwa Kiwango Cha Unyonyaji/Dhulma tu, wanakatika Viungo vya Mwili (Mikono, Vidole nk) ktk Mitambo/Mashine ya Viwandani laakin hawana Watetezi wa Kupata/Kulipwa Stahiki zao mbalimbali ikiwemo Kuumia Kazini nk. Afisadi wanawkeza ktk Biashara za Sitarehe (Majumba ya Sitarehe, Ulevi/Pombe, Miziki, Uzimnifu, Kamari nk Basi afadhal Mafadhali Mafisadi Wangewekeza ktk Miradi ya Maana ya Kutoa Ajira za maana Kwa Vijana//Wanachi laakin badala yake Mafisadi wamejawa Umimi/Ubinafsi (Pesa ya Dhulma hutumika ktk Mambo ya Dhulma/Uovu) tu ; Kujenga Majumba na Magari ya Kifahri Kwa Maslahi Yao Binafsi tu na Si Kwa Maslahi ya Jamii/Vijana (Wananchi) Sina Maana Ufisadi ni Mzuri/Uhalalishwe la'...🙌
@alexanderkapinga70018 күн бұрын
Mifumo ya Elimu imefanyaje mbona kabla ya hata hizi mufumo huu upambavu haukuwepo
@MwitaSenso23 күн бұрын
Nachoumia mm ni wadogo sana daah lakn hakuna namna uweni tu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@SeverinoLuis-j1h22 күн бұрын
Wadogo mchana usiku wakubwa
@GatekaFatma18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ashurajengela392623 күн бұрын
Afu wadogo maskini mwee roho mbaya zimewajaa kwann wauwe wenzao 😢😢nao wauwawe tu auwaye kwa upanga nae auwawe kwa upanga
@Ann-Strong23 күн бұрын
Bora wangeuza viungo zao kabla ya kuwauwa
@salhaomar538223 күн бұрын
Mungu tulindie watoto wetu wallah
@MariamThomas-bg4rc16 күн бұрын
Amen 🙏
@maimunamohamed981120 күн бұрын
Hiyo hukumu kali sana... ila ni funzo kwa wale wanaotaka uhalifu maishani
@PASHA-r7q14 күн бұрын
Minister amefanya mzuri waca wapunguke ni wengi sana
@ChristandusPonela12 күн бұрын
Daaaa😂😂😂😂😂??
@UpendoWaYESU-l3j19 күн бұрын
Askari wa Congo hawana hata vitambi MUNGU AWABARIKI sana
@GatekaFatma18 күн бұрын
😂😂😂😂Hawali rushwa
@ChristianSiwale-iw7ex17 күн бұрын
😂😂kweli hawana rushwa@@GatekaFatma
@Aziz-p6s16 күн бұрын
Wakwetu vipi😂
@wemakalama645815 күн бұрын
Jamani hizo comment daah🤣🤣🤣
@eunicegacheru117319 күн бұрын
Hongera congo
@marckmasassi746623 күн бұрын
HII OPERATION INATAKIWA KUWA ENDELEVU KWA USALAMA WA CONGO NA EAST AFRICA HAWA WATU HAWAITAJI HURUMA HATA CHEMBE ALUTA CONTINUE COMRADES 🇹🇿🇧🇫🇧🇼🇺🇬🇰🇪
@NassorHassan-o8c21 күн бұрын
Wapeni pesa zao au watafutieni Ajira viongoz wanauza madini tu Nch hiyo😊
@LovenessAlbert20 күн бұрын
Wavivu wa kazi hao
@Aziz-p6s16 күн бұрын
Nimeipenda kongo unaambiea jamaa yako tunae hapa kituoni na unamuona hapa kwetu unafichwa kimiakimia unakutwa umekufa porini
@athumaniamani990522 күн бұрын
Ila congo mamae Wana sura mbaya sana
@SeverinoLuis-j1h22 күн бұрын
Na roho mbaya
@allykagawa20 күн бұрын
😂
@GatekaFatma18 күн бұрын
😂😂😂😂
@JudithKweyu16 күн бұрын
😂😂
@SophiaAlly-ih2ss23 күн бұрын
Watoto wadogo walah aise noma sana
@fredrickmziray488523 күн бұрын
Wanakukaba hadi mchana😢
@anjelinakasembe84523 күн бұрын
Sio kweli Tz wengine ni panya road🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️
@Rehemaally-v4s23 күн бұрын
Ushasikiaa congo
@bonita32923 күн бұрын
😂😂😂ila siku hizi panya road afurukuti? Au bado
@AbdurKiligaliga-h7y17 күн бұрын
Safisha congo
@MauBonde23 күн бұрын
Hao wanataka pesa za haraka wengi wao wanataka maisha ya kuiga na pesa za haraka.
@KhalidAlliy15 күн бұрын
Seem Nyengine unaongopa muandishi
@ReginaldTilia-x9m19 күн бұрын
Wangewapeleka kwenye somo la uzalendo alafu waende East Congo kupigana na kagame anaesumbua goma na Bukavu
@HilderMkamburi18 күн бұрын
Mungu ampe nguvu apambane nao, wooote wanyongwe
@HassanChamlungu15 күн бұрын
Ila inasababishwa na mazingila ya inch
@GatekaFatma18 күн бұрын
Sw na wadogo zangu wallahi ya rabb tulindie vizAzi na ndugu zetu
@HilderMkamburi18 күн бұрын
Vija wa Leo hawataki kazi, Dunia Iko mwisho
@ZiporaObed19 күн бұрын
Ee mungu tulindie watoto wetu
@SaidCannal21 күн бұрын
Haya makundi ya vijana ni hatari sana .ADHABU ya kifo ni sawa kabisa yafaa nchi zote zifuate mfano wa congo
@peterkiburio832314 күн бұрын
Hawakunyongwa
@gidionmassawe852923 күн бұрын
Vijana wapende kulima hata mazao ya muda mfupi, Congo nchi nzuri imejaliwa ardhi yenye rutuba. Vijana wenzetu changamkieni hiyo fursa
Wanapenda maisha raisi awataki kuaso wengine tupo migodini
@DenisMugendiKiura21 күн бұрын
Hongera sana Congo government
@KashindiRamazani-b1h23 күн бұрын
Unafaa sana 🎉 kazi yako hiendelee✊️
@biggievandar25423 күн бұрын
Uwa wote hao jinga sana
@NicoleMakaveli-wr6mm23 күн бұрын
Ata tanzania mko tu ivo si chief godlove ana mapesa bila kazi yeyote
@Jurbeg23 күн бұрын
Mimi nimtz asikukwambie mtu tunaamani kiasi chakumwagika nimekudharau saana 😏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@CopperBelt23 күн бұрын
Huwezi kufananisha Congo na Tanzania kwenye swala la Amani Congo amani ni asilimi 000.3
@rogerabdallah43923 күн бұрын
Nyinyi wa 🇨🇩 wachumba kwanza mnajichubuwa alafu washamba sana mnauwa watoto wadogo na wakati kwenye3selikari ya Congo inanuka damu wezi wakubwa alafu wauwaji Nyinyi fulaini tu inachokifanya selikali yenu
@rosemerymwalongo585822 күн бұрын
Itakuwa unamuwaza sana
@MHDFURNITURE-jn2rx21 күн бұрын
we aliokuwambia chief gd love afanyi kazi nani
@sammyspecialneeds_autism_tz18 күн бұрын
The problem is not those youth, trust me our government systems are not good for decades now, the national cakes belongs to politicians, leaders and big fish. No clear policies in developing our people through employments, distribution of natural resources, education systems are more theoretically than practically. This should be a good lesson for all Africa to reform their programs that will work practically to eliminate poverty and seek and cooperate with stakeholders to empower youth through different economic programs 🇹🇿🇹🇿, God bless Tanzania, bless Congo, God bless Africa.
@HilderMkamburi18 күн бұрын
Aisee sura zao zintisha sana ,
@saidiguliti241422 күн бұрын
Malezi ya wazazi shida inaanzia nyumban
@lilianamimo18820 күн бұрын
kabisa wauwawe
@FintanFelix-z6c17 күн бұрын
Wafe
@Evans-r9l20 күн бұрын
Uwa kabisa wahalifu
@MiriamLoy22 күн бұрын
Ee mungu tulindie watoto wetu 😭😭😭😭
@IddiKhamis-u6c23 күн бұрын
Mtu mpaka anafikia kua biashara yake ni viungo vya binadamu tena kwakuwaua jua huyo tayari hana roho ya binadamu. Akikamatwa apigwe tu risasi sawa na simba aliengia mtaani na kuanza kula watu.
@mtz558223 күн бұрын
Always kuna milio ya bunduki,mabomu ,hali ya huzuni,kupoteza ndugu kwenye vita ...all those factors finally form such a being God has a place for him in the name of Jesus .Amen
@MartineHusein20 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@RevocatusSebastian-c8o19 күн бұрын
Iyo pikipiki mbona namba za usajili kama ya Tanzania
@tatineramazani140123 күн бұрын
Kwani unataka kusema Tanzania watu kama hawa hawapo kweli ? Mbona wapo sana tu mtahani
@abdilahathumani413823 күн бұрын
Jaribu kwenda congo afu uje kuona tofaut ya wahuni wa congo na wahuni wa tz
Uku tunakuuwa kabla ujawa sugu ukiibamara2tatu tunapita naww mawe moto imesha
@saidrakwe872720 күн бұрын
wauweni tu!!
@franckiesebastiano910 күн бұрын
Kwani wazazi wa hao vijana wapo wapi. Najiuliza waliwagimiza watoto wao kusoma shule?
@catherinekirimiti973816 күн бұрын
Hizo pesa watakula tu
@dynachriss512621 күн бұрын
Uckute hawa ndo waliwapora viatu,pesa na simu mashabiki wa utopolo 🐸😂
@allykagawa20 күн бұрын
😂😂
@SwaumuIsmaily2 күн бұрын
Wanasula zakuticha jmn
@dorahbenard183723 күн бұрын
Wizi ni tabia na ujambazi hivo hivo kwanini wasichukuliwe kama wahaga wa madawa na kuwaelekeza na kuwafunza tabia nzuri ...kuwa sio solution Kwa nchi zetu za kiafrica tunamalizana wenyewe Kwa wenyewe tukumbuke wazungu wanafurahi haya matatizo yetu
@StephenBarasa-e5c20 күн бұрын
Haya
@NassorHassan-o8c21 күн бұрын
Kuiba Cm ndo anyongwe Madini Je ?
@geitandelwa29923 күн бұрын
Aaaaa inauma naomba MUNGU ANISAIDIE MM NA WATOTO WANGU NA NA MUNGU ATAXAME WATOTO WETU WOTE AAA HUZI NI KAZI ZA Shetani
@ezekielmwadomba467516 күн бұрын
SI WOTE WAKO KWA BODA,VIPI PANYA RODI KWANI NIWAZEE???
@jonunupanja11221 күн бұрын
askari wa kongo kwel mpo kazin
@Evance-op4jw20 күн бұрын
wanyongwe tu hili wengine washtuke
@maimunamohamed981120 күн бұрын
Sasa pesa wanaiba wapeleke wapi? Na kila wanachotakq wanapora
@micR19822 күн бұрын
Sasa hawo wenye pesa 💰 kunamwengine mtu anaye sema nizake?? Kama haipo wawarudishiye pesa zawo bwana!! Ivi hawo wanajeshi wanataka iba hizo pesa.wana serkali ya DRC niwizi!
@MerryRenatus-ck4lz23 күн бұрын
Hawa hawataki kufanya kazi wanalaana
@Givendivine20 күн бұрын
Vijana wa arusha kabisa
@JumaMaulidi19 күн бұрын
Wengine tupo kwenye bustani
@maryoswad702220 күн бұрын
duuu wameamua kunitoa sadaka mmmmm
@AllySultan-s6s21 күн бұрын
Jamani wapeni kazi Ajira vizazi mmewazaa wenyewe nje ya ndoa kisha munawauwa Mf mbunge analipwa zaidi ya milioni 12 Pesa mnakula wenyewe 😠 na mtawauwa hadi baba zetu nipo hat tamaa
@ClaudeBokasa21 күн бұрын
Pumbavu kbs wewe mwenyew na babaako nimaskin wakutupwa mmeibia wangapi na kuuwa wangapi???
@PeterStephen-on4zz23 күн бұрын
wanapelekwa gereza moja linaitwa dungu. Limezungukwa na maji ya mto kibali. Ni mbali Sana kutoka Kinshasa.. Jilani. na sudani
@aminatanzanya747523 күн бұрын
Wamenyongwa
@AzizaShaik-v8o23 күн бұрын
😢😢😢
@KinyanjuiKiuna21 күн бұрын
Wauliwe
@gesusgegangphray768923 күн бұрын
dollar congo n kawaida
@ClintonMwakilambo22 күн бұрын
Yan congo wakienda iv miaka 5 mfululizo mbona nchi itatulia
@ymohammed96322 күн бұрын
Lubumbashi na kwenyewe msako mkali...na polisi nao wezi pia
@ogdosho9323 күн бұрын
Hao ukiwaona apo unawaonea huruma kama wanaonewa ivii😢 lkn usiombe wakuone wao wewe night 'oya! utalia sio watu hao!😅
@RitbayRitbay23 күн бұрын
Wallah ila ukiiingia mikononi mwao utakoma
@ashurajengela392623 күн бұрын
Kabisa sio watu yani wanakuuwa bila huruma 😢😢😢
@DamarisDuuTausi23 күн бұрын
Kweli kabisa
@AlphonceKomba-go3xu23 күн бұрын
Uyo waziri akiwamaliza waharibifu agombee uraisi make ni shangwe uku Tz walianza panyaroad wamefagiwa wote saizi ni amani
@SabihaibrahimRajabu23 күн бұрын
Ingepita msako kama hivi wakanyongwa wazi kama hivi basi tungepumua Afrika imezidi tunauwana wenyewe
@bongo3923 күн бұрын
Bora waziri arndelee kuwauwa tuu
@SaidiHarubu21 күн бұрын
Waliwapasua yanga uyubaa haohao
@michaelsamson966321 күн бұрын
Sheria iwe kama china watu wawe wananyongwa
@johnrambo964220 күн бұрын
UA WOTE
@bongo24.23 күн бұрын
Hatari tupu kwakweli
@noelaombeni969623 күн бұрын
@adaka africa can you come and see what the kuluna did to the people 😭😭
@SmilingMacawBird-uh9mz23 күн бұрын
Wapelekwe jeshi wapiganie nchi yao
@abdilahathumani413823 күн бұрын
Wamalize kinshasa waje lubumbash aseee watoto wakomeshwe wotee
@BintyMohammedy23 күн бұрын
Izo Dola wanawaibia Maderava
@freakboy180421 күн бұрын
Wangeimba tu kama Christian bella
@fredrickochieng811218 күн бұрын
What bus the cause if sll this!?its corruption and bad governance which has led to bad economy thus crime
@labunaabouna612223 күн бұрын
Tz mnao panda road
@magdalinekenneth723823 күн бұрын
Bac walianza kitambo toka 2006 si wamehangaisha sana jaman