Пікірлер
@user-yz6ds9hn9l
@user-yz6ds9hn9l 3 күн бұрын
Atuache asituzoee aishie hukohuko
@richarddavidmk
@richarddavidmk 6 күн бұрын
Pamoja stopper
@vianeryngonyano143
@vianeryngonyano143 10 күн бұрын
Kocha Simba fanya kweli watu wanakufa na huku 😅😅😅😅😅
@boazmisango9797
@boazmisango9797 12 күн бұрын
Hicho kiwanja n cha wilaya sio cha mama yako bwana
@godfreykarigo6404
@godfreykarigo6404 23 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@raphaelfabian730
@raphaelfabian730 26 күн бұрын
hongera sana mh dc kisarawe unaupiga mwingi
@AMMYDOLLA37
@AMMYDOLLA37 26 күн бұрын
🔥🔥
@AMMYDOLLA37
@AMMYDOLLA37 26 күн бұрын
🔥🔥
@MussabazyHamidu-n9v
@MussabazyHamidu-n9v 28 күн бұрын
Semaji LA cafu
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku 28 күн бұрын
Zomboko wew mtiwa na mtiwanga
@NurosNuros
@NurosNuros 29 күн бұрын
Uko poa mkuu wa wilaya na uko poa
@AbubakarijumaBakari
@AbubakarijumaBakari 29 күн бұрын
Nimmoja tu rais
@BoscorPatrick
@BoscorPatrick 29 күн бұрын
Ukiamua kuingia kwenye ndoa achen umalaya na heshima itawale.50 kwa 50 imepokelewa sivyo na wanawake wengi.mnaigiza mno .mwanaume unapambana kwa ajiri ya mke na watoto mlio nao.unakuja kujua watoto siyo wako.kuna mazingira unavumilia matus,kejeri,hadi kupigwa kazini familia isikose mahitaji ,unakuja kugundua balanz unayo Acha anahonga kwa mwanaume mwenziyo.mwanamke kabla hujaamua kuwa na huyo wa nje mnapo danganyana tugawane vilivyopo hadi watoto wakose kwao.vaa uhusika kama wewe ndiyo mwanaume.ukigundua utafanya nini? Acheni kulaum ya kikuta hutasema hayo.
@sulaimanalhabsi2355
@sulaimanalhabsi2355 Ай бұрын
SANDA😂😂😂😂😂😂😂
@sulaimanalhabsi2355
@sulaimanalhabsi2355 Ай бұрын
Sasa hiyo si vizuri mtu akivaa jezibya yanga asiingie duka.la Simba
@sulaimanalhabsi2355
@sulaimanalhabsi2355 Ай бұрын
Mmemtuma utalia tarehe 8 muwongo wewe Una pesa ya jezi 12
@sulaimanalhabsi2355
@sulaimanalhabsi2355 Ай бұрын
TAREHE 8 TUTAWAZIKA MSHAVAA SANDA
@sulaimanalhabsi2355
@sulaimanalhabsi2355 Ай бұрын
SANDA
@dominickkisulo8017
@dominickkisulo8017 Ай бұрын
Daaah Easter motcooo
@florangido202
@florangido202 Ай бұрын
IOMBEENI ARDHI YA GOBA HIYO NI ROHO YA UMWAGAJI DAMU
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Ай бұрын
Kwakweli jamani
@HerenaBaharia
@HerenaBaharia Ай бұрын
Mungu tembea nasi uctuache
@iddyathman5504
@iddyathman5504 Ай бұрын
Bad 🗞️📰 🆕 s
@lissaMetta
@lissaMetta Ай бұрын
Tunaomba Mungu atuepushie na hayo matukio ya kuuwana ukishaona hamna maelewano ni borea muachane tu,sikuizi Kuna watu wanamatatizo ya akili😂
@HamisiMasanga
@HamisiMasanga Ай бұрын
mungu akusimamie boss
@Emmanuel-cu7yu
@Emmanuel-cu7yu Ай бұрын
Nimeipenda iyo sala iloshushwa na chemalone
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir Ай бұрын
Yaani huyu kaka nampenda buuuurrreee
@ArthurMushumbusho
@ArthurMushumbusho Ай бұрын
There is the one BUGATTI
@amosikatonga-x8i
@amosikatonga-x8i Ай бұрын
manara mwamba
@richardgeorge5377
@richardgeorge5377 Ай бұрын
Huyu mpeni timu kama haishuki daraja tatizo wengine huona timu hiz ni zao
@bruhero2735
@bruhero2735 Ай бұрын
Mwamba katisha
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 Ай бұрын
Naye Kaduguda anatafuta nn??? Acha hayo Mzee.
@rashidihemedi5517
@rashidihemedi5517 Ай бұрын
Duh kazi kweli hiz clubs zetu😂😂😂😂😂
@yasinmoria5346
@yasinmoria5346 Ай бұрын
We ni kiongozi unafaa na utafika mbali sana
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Ай бұрын
Mh. NAKUSHAURI UKAIOMBE SERIKAL IJENGWE SHULE YA BWENO WASICHAMA. PIA KIJENGWE CHUO CHA VETA. PIA OOMBE NHC WAJENGE JAPO NYUMBA 20 HAPO VISEGESE. PATACHANGAMLA WAWEKEZAJI WATAKUJA VIWANJA VYA MAKAZI VITAJENGEKA.NA KUUZIKA. VISEGESE IPO VZR KUTOKEA KILUVYA ITACHANGAMKA HARAKA
@user-fc8we1ic2q
@user-fc8we1ic2q Ай бұрын
Ma Shaa llah.upovizuri mkuu
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm Ай бұрын
Mku nakuerewa Sana mungu atakusaidia
@HussainMaula-tz8dh
@HussainMaula-tz8dh Ай бұрын
Msimu huu hatupoi mpaka kieleweke.
@adammbuba7230
@adammbuba7230 Ай бұрын
Ha haaaaaaaaaa Bonge la dc
@mohammedgulamali8849
@mohammedgulamali8849 Ай бұрын
Wewe Kennedy ulikwa una hujumu Simba.
@alexmasinde2471
@alexmasinde2471 Ай бұрын
😂😂😂😂 unyama ni mwingi sana oyooo 💪💪💪💪💪 nakubari sana simba baba lao
@ChimpayeHussein
@ChimpayeHussein Ай бұрын
Nihatali sn
@hamishalifa454
@hamishalifa454 Ай бұрын
Just imagine hii furaha inapatikana japo tunapoteza ubingwa mfululizo,vip tukirudi kwnye mfumo hali itakuwaje🤔SIMBA nguvu moja✊
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 Ай бұрын
Ila SIMBA tuna semaji jamn lol😂😂😂#SIMBA nguvu moja
@LucyMdoe
@LucyMdoe Ай бұрын
Teleza kama auha
@issashekh4726
@issashekh4726 Ай бұрын
Sawa mkuu, uko vizuri sana
@chescomolla5557
@chescomolla5557 Ай бұрын
Kweli???
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py Ай бұрын
Haya mazee ni majizi, na huyu injinia plizsidet wetu mungu amlinde, plizsidet atoki naakifa gafla tunajuwa ni haya mazeeee majizi matombo mfuko manyonyaji yamemuwa, machawi makubwa haya, ynafikili mpila niule wakizamani au wa mtaani, injinia atoki nyie tokeni mnao jiita mazeee, yasio kuwa na busala, yani kwa kifupi Rais wa yanga atoki, msimvunjie eshima, mazeee yasio itakia kilabu mafanikio, loho mbaya kakaeni mtulie, mmeisha zeeka msali na kutubu kwa mola wenu yonte mliomkesea mkiwa bado vijana mtubu, bado tu mnataka muendelee na kula sio vya halili, mtakuja kufa mtumbo yamevimba na mdomo wazi ulimi ukitoka, acheni mambo ya dunia salini wazee umli umeenda niwakati weni wa kutubu sio wakufikilia mambo mengine
@rasheedseleman9779
@rasheedseleman9779 Ай бұрын
Tereza kama mpanzu Tereza kama mutale Tereza kama Fernandes Tereza kama chasambi Tereza kama balua .......
@rasheedseleman9779
@rasheedseleman9779 Ай бұрын
Hizi ndo song sasa
@DianaLyimo-be7yp
@DianaLyimo-be7yp Ай бұрын
😂😂😂😂😂