Рет қаралды 77
Afisa habari wa kikosi cha Azam Fc Hashim Ibwe ametoa onyo kwa Ally Kamwe asije akajichanganya kumuweka mkewake katika mchezo wa kesho yeye atamchbukua mchana kweupe
huku akitamba kikosi chake keshoi kinaibuka na ushindi mapema kutokana na kikosi chake kuwa imara na kufanya usajili kababmbe @azamfcofficial.@azamfc6868 @YoungAfricansSCTV