HISTORIA YA KUZALIWA CHAMA CHA MAPINDUZI
18:21
MIAKA 48 YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
1:46
4 сағат бұрын
CHWAKA YALILI MAENDELEO HASSAN JANI
1:56
Пікірлер
@omarkb6775
@omarkb6775 14 сағат бұрын
😂😂😂 hapa ndipo tulipofikishwa kila mtu wazimu nchi hii hatar kwel kweli
@omarkb6775
@omarkb6775 14 сағат бұрын
😂😂😂 hapa ndipo tulipofikishwa kila mtu wazimu nchi hii hatar kwel kweli
@NassoroHaji-i8k
@NassoroHaji-i8k 18 сағат бұрын
Njaa zinawasumbua tafuteni kazi mji utawashinda acheni ugombanishi ...njooni uku Nje mtafte maisha kwanza
@Bmsecret
@Bmsecret Күн бұрын
Labda kapanua mvutu wako
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Күн бұрын
Na nyinyi ndio wezi wa kura na Mali
@SulemanAli-s9k
@SulemanAli-s9k Күн бұрын
Hakk zawatu hazitoki haki watu wananyimwa huko kote kuliko na vita kwa wwnzetu ni kukosekqna kwa HAKK SASA AMANI INAKUJA JE BILA YA HAKK
@SulemanAli-s9k
@SulemanAli-s9k Күн бұрын
Kila siku tuna hubiri amani amani amani hakk zawatu haipatikani
@SulemanAli-s9k
@SulemanAli-s9k Күн бұрын
Haya maneno yaendane na vitendo
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk Күн бұрын
Huyu mama kaamka na pombe
@omarkb6775
@omarkb6775 Күн бұрын
Msimlaumu jaman muangalien na umri wake zisharudi utotoni huyu
@AllyHamran
@AllyHamran Күн бұрын
Inawezekana sio mzima vyema
@AllyHamran
@AllyHamran Күн бұрын
Chizi huyu si mzima vyema huyu mtwana .Hana akili yeye nchi inamiaka 60 ya uhuru ngazi ya taifa inajivunia kujenga skuli kwa mkopo.
@AllyHamran
@AllyHamran Күн бұрын
Kwa kuiba na kifisidi rasilimali za nchi.Kuvunja haki za watu kuandikisha wapiga kura waso sifa na kuuwa vijana waso hatia.
@MohdSuleiman-k1o
@MohdSuleiman-k1o Күн бұрын
Kwan hiyo Barbara ndio tunayokula? Mana ata Kaz za kufanya hatuna Kisha unatwambia maendeleo. Maendeleo kwanza mtu awe na Kaz ya kufanya iwe akitokea anajua wap anakwenda na hzo Barbara ni biashara za watu wanazoingizia pesa nyng sana zetu sisi wanyonge wa mungu
@allykhatib660
@allykhatib660 2 күн бұрын
Wazee wetu wngi ccm hawana ubunifu wa kusoma nyakati mm nasema mwinyi hajafanya kitu,,,, Na km kafanya ni kwa wakati gani Na kwa uongozi upi wa muungano Msipangwe na chama mkajifanya mnamsifu mtu Hata amani.sheni.salmini nawengineo pia wangeijenga Zanzibar naikawa nzuri
@RajabQassm
@RajabQassm 2 күн бұрын
Wallahi naona uchafu hata kukusikiliza mama weye
@hajikiame7551
@hajikiame7551 2 күн бұрын
Huyu mama anachokisema ni chakweli Dr hosseini ilitakiwa awe raisi wakudumu zanzibaari Kwa unafiki mlionao nyinyi wazanzibaari mungu amekuleteeni tunu nyinyi mnaikufuru mtakuja kukiona badae Mimi nipo endeleeni kukufuru tu
@SuleimanMtumweniAli
@SuleimanMtumweniAli Күн бұрын
Na njaa mbona husemi
@hamidkasim-gz9sm
@hamidkasim-gz9sm Күн бұрын
Njaa jamaa yangu hata marekani ipo
@hajikiame7551
@hajikiame7551 2 күн бұрын
Sikilizeni nyinyi wazanzibaari nyinyi Amna zanzibaari zanzibaari ni mwingereza hata huyo othimani masudi atoitoa zanzibaari ktk muungano na Tanganyika kwasababu mwingereza anakilinda hicho kisiwa Kwa gharama yoyote Ile othimani masudi ni mroho wamadaraka yeye anachotaka awe raisi mwisho wasiki nae awekwe kwenye daftari la waliongoza zanzibaari
@SuleimanMtumweniAli
@SuleimanMtumweniAli Күн бұрын
Sisi tunamnyenyeke na kuomba msamaha kwa Allah.atuondoshee dhulma na uharibifu wa mila silk zetu tulizozikuta kutoka kwa wazee na mashehe wetu.allah awarehemu
@mussasayid9972
@mussasayid9972 2 күн бұрын
Nyamaza wewe mama hujuwi kitu izo pesa za mikopo mtu hajisifu kwa pesa za kukopa mama
@mussasayid9972
@mussasayid9972 2 күн бұрын
Sikiliza mama sisi hatutaki barabara tunataka inchi yetu mana bado nasifa zote izo mana kuna njaa balaa
@jumamambo7471
@jumamambo7471 Күн бұрын
Chukuwa iyo nchii yako
@hamidkasim-gz9sm
@hamidkasim-gz9sm Күн бұрын
Yan Act mushaharibiwa akili na kwa ivo hamntoweza kuendelea daima mbele
@jumamambo7471
@jumamambo7471 Күн бұрын
@@mussasayid9972 kama njaa unatakiwa kujtuma goverment haitolish watu wote ospokuwa inaweka mazingira rafiki katka kupata kazi moja wapo kuwepo kwa aman na utulivu jitume kaka hakna chama kitakachokuletea chakula kwenu hata iweje na fikra iyo ondosha pambana ukiambiwa njaa hizo ni será za kisiasa kwa wapinzan tu lkn huo ndo ukweli na ukisikia maendeleo ni miundombinu na elimu
@jumamambo7471
@jumamambo7471 Күн бұрын
@@hamidkasim-gz9sm kweli kabisa yaan wnefanywa kama mandandocha
@fahmysaid-zw4np
@fahmysaid-zw4np 2 күн бұрын
bibi tafutaa mswala uswali weee mengine yakupite
@kheirrama4933
@kheirrama4933 2 күн бұрын
Mama yako yameisha wewe. SISI wa zanzibari tunalia na hali ngumu ya maisha na sio mabarabara wala mahorofa . Sio husein hata kidogo hayo maendeleo ya zanzibar ni mama samia na km mangufuli angekuwa hai kusingejengwa zanzibar hata kidogo. Tushazowea zanziba kuzulumiwa tangu 1964
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 2 күн бұрын
Lkn hatumtakii
@SuleimanMtumweniAli
@SuleimanMtumweniAli Күн бұрын
Muengereza nani mbele ya Allah qeen Elizabeth alipanga udhalimu huu na makafiri wa tanganyika sasa.hivi wengi wao wameshafika kwa Allah wanapewa walichokikichuma, hasbiyyallahu waneemalwakiil
@BakariAlihaji
@BakariAlihaji 2 күн бұрын
Wewe kwenu uzini
@BakariAlihaji
@BakariAlihaji 2 күн бұрын
Mhmm sisi mama tunaitaka Zanzibar yetu hatuko.huru
@muhamedandreajonasan9388
@muhamedandreajonasan9388 2 күн бұрын
Safi mwenezi
@YussufAme-k8z
@YussufAme-k8z 2 күн бұрын
Hongera kwa ccm kutekeleza wajibu wenu katika kpnd hchi cha awamu ya 8. Maana miaka imepita zanzbar imeonekana kama kisiwa dhalili sana hata miundo mbinu katka sekta zote ni dhaifu. Huu ndio wajibu wa serekali kuwafanyia wanchi wenu kulko kutia fedha mfukoni mukala na familia zenu. Ahsant ccm.
@nassorseif7907
@nassorseif7907 3 күн бұрын
Pesa nyingi??mbona nchi inanuka njaaa wacha uchawa wewe ujinga tuuu
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l 3 күн бұрын
kama huyu makala sijui dude gn ili twana mamluki wakihafidhina limetoka kwao huko bara limekuja huku zanzibar kuja kuleta chuki na ugomvi ili wapate sabb yakuja kutumaliza laanatullahi ww kafiri mkubwa ww
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l 3 күн бұрын
Wao wanadhani ss wazanzibari ni kama ndugu zao watanganyika washazoea kuadanganya afu waje kutudanganya na sie ss tunajielewa laaanatullahi Allah awaangamize na vizazi vyenu wanakharamu nyie mmetutesa miaka sitini mmekua mkiwaua na kuwatesa wazazi wenu miaka yote kwasababu ya ulwa nyoo mtatuambia nn nyie wajinga tu
@MohdSuleiman-k1o
@MohdSuleiman-k1o 3 күн бұрын
Ccm wamejipanga Kwa mauwaji tu hakuna chengne
@نوفل-س5ر
@نوفل-س5ر 3 күн бұрын
Anaongea Nini huyu ,upuuzi mtupu
@AminAli-o8m
@AminAli-o8m 3 күн бұрын
Daima
@MshamAli-o4e
@MshamAli-o4e 3 күн бұрын
Hawa watwana kwani si wanajinchi lao kubwa pelekeni kwenu maendeleo maana hata maji watanganyika hawana wanakunywa maji ya vidimbi ss znz hemu tuacheni shulikieni kwenu
@MshamAli-o4e
@MshamAli-o4e 3 күн бұрын
Maendeleo peleka kwenu kunakoziki zaidi maji wanakunywa ya tope halafu mnawadanganya maendeo kunywa maji ya tope au ss znz tuacheni jengeni tanganyika yenu msitupe lolote sisi tunataka mtuache na mamlaka yetu tujiendeshe wenyewe msishuhulike na znz
@MshamAli-o4e
@MshamAli-o4e 3 күн бұрын
Huyu mpumbavu sana maendeleo Gani yanayokuja na njaa maendeleo kula na kushiba na makaazi mazur sio nyie mushibe sisi mtuhubirie Barabara na majumba ya biashara inatoka povu Kwa kudanganywa uma mshenzi
@bakarmakame-d5u
@bakarmakame-d5u 3 күн бұрын
Huyu atetea kula tu wala hana habar ya wengine mnafiki mkubwa
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 4 күн бұрын
Mjinga tu ww
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 4 күн бұрын
Uyu mpumbavu sana ,,, limekua kama mwehu mwehu,,, njaa tupu
@binmasoud4150
@binmasoud4150 4 күн бұрын
Unaporoja sana mbaba!😮 kdg dogo bc tukuelewe.
@BimkubwaOthman
@BimkubwaOthman 4 күн бұрын
Ingarishe kwa shobe
@baraghash4964
@baraghash4964 4 күн бұрын
Wee piga keleleee kisha utashuka. We #Stand with OMO 2025.
@KIDAURA-f5
@KIDAURA-f5 4 күн бұрын
Pemba unaijua wew? Umefika mtambwe?
@KIDAURA-f5
@KIDAURA-f5 4 күн бұрын
Mwenye nguvu ndo anaechafua amami' wakatafute wake waoe mmetia watu umaskini miaka 60 mpaka- vijana wanashindwa kuoa njaa mpaka maskioni..MADHALIM WAKUBWA..
@saidyussuf4896
@saidyussuf4896 4 күн бұрын
Sisi hatuangalii chama tunataka nchi yetu
@saidyussuf4896
@saidyussuf4896 4 күн бұрын
Kwan ccm mnagombea nini?
@AliMbao-m2w
@AliMbao-m2w 4 күн бұрын
Jibu hojaa so majungu
@MrKhatibu
@MrKhatibu 4 күн бұрын
Kinacho nikera kuona watu wazima wanasimama kwenye podium na kuwadanganya watu kuwa wakipata madaraka bidhaa za chakula zitakuwa bei ndogo sana ilhali bidhaa za chakula ni bidhaa zinazoingizwa kutoka nje. Sasa sijui wanamiujiza gani kuweza kuifanya Zanzibar kuwa pekee duniani bidhaa ya chakula itakuwa bei ya chini, maana hata wakesema wasilipishqe kodi waingizaji wa chakula basi hata harama za uingwizaji (usafiri wa nje na ndani) chini haito weza kufikia chakula kuwa nafuu. Juzi jana nili sikia yule mzee Duni na utuuzima wake anawadanganya watu mchana kweupe. DUNIANI KOTE BIDHAA ZA CHAKULA ZINAPANDA KILA LEO
@ShauriAli-o5y
@ShauriAli-o5y 4 күн бұрын
Maendeleo gani mulofanya nyie madunduka octobar mutarudi kwenu mumetutia njaa washenzi nyie wezi
@ShauriAli-o5y
@ShauriAli-o5y 4 күн бұрын
Ww kaa kimnya zanzibar tunaijua wa zanzibari sio ww na mwinyi nyote watalii2 na pasport zenu zinaishia octobar