SADIFA ATUMA UJUMBE MZITO KWA OMO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, AMWAMBIA MARA HII ATAKAE JARIBU KUKIONA

  Рет қаралды 4,449

SK Online TV

SK Online TV

Күн бұрын

=SADIFA ATUMA UJUMBE MZITO KWA OMO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, AMWAMBIA MARA HII ATAKAE JARIBU KUKIONA
======================
⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blog...
⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1
⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( +255 715 401610), ( +255 773 401610)
⚫ Email: sknews.info@gmail.com
⚫ OUR PLAYLISTS:
⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ
⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47
⚫ SIMULIZI: shorturl.at/oxMW4

Пікірлер: 60
@Nabiilkhamis
@Nabiilkhamis 6 күн бұрын
Ina wezekana ivo unavo jisifia usifke uchanguz ushakufa
@feyxalbarry4595
@feyxalbarry4595 5 күн бұрын
Kwani uyo sabini ya Omo nae anavohamasisha vurugu hawezi pia asifike uchaguzi
@JumaMohd-w2m
@JumaMohd-w2m 5 күн бұрын
Tunajua kuazia CCM mmesomea kuwapiga Risasi wazanbar. Mmesomea kuuwa
@feyxalbarry4595
@feyxalbarry4595 5 күн бұрын
Sio wazanzibar usijumuishe watu wa unguja mana Huwa hawana vurugu sema huko kwenu mabonde mporomoko na ambao akili zao za kushikiwa
@omarymsusa8903
@omarymsusa8903 4 күн бұрын
Hapa ndio linapokuja tatizo wakuu wetu wa wilaya haswa hapa znz hawajuwi mipaka yao utawala. Na hili litapita bila ya kukemewa na walio muweka hapo
@Mazrui22
@Mazrui22 5 күн бұрын
Ndio tatizo la wazanzibar wakiona ccm wa bara ndio wanakuwa hawana adabu hata hata wakiambiwa wainame ili wapewe pesa wapo tayri hawajali nchi watakuwa watumwa maisha
@khalidalmazruy4118
@khalidalmazruy4118 6 күн бұрын
Kila Nafsi Itaonja Umauti 😭😭😭
@AbduzzmussaAlly
@AbduzzmussaAlly 6 күн бұрын
Unasema mbele ya hazara kuwa umesaini kifo in shaa Allah.endelea kujinadi walipita wenye mali ambayo ata ili robot yamali we Huna Leo chef chako waona sifaa we pray on you bro
@Nabiilkhamis
@Nabiilkhamis 6 күн бұрын
Uyo ana roho ya salimin amur ila iko siku mungu ata mjibu maneno yake machafu ana sisa za chuki
@OmanIbri-hj8ss
@OmanIbri-hj8ss 5 күн бұрын
Sadifa mbwa km mbwa wengine t
@MasnamussaPp
@MasnamussaPp 6 күн бұрын
Eti nimezoeya vurugu haaaa😂msenge tangu lini na vurugu 😂we jesh au shoga😂😂😂
@komboali3719
@komboali3719 5 күн бұрын
Sadifa wewe hujielewi usionyeshe makucha mbele za watu hujui kama wapo wanaweza kunyanyuka mikono tu Allah akakuadhibu wewe utubie tena huo no ushauri wangu.
@AbdulhaamisSoud
@AbdulhaamisSoud 6 күн бұрын
Ktk vijana wa CCM waliokosa utu huyu ni mmoja wao sio mtu huyo ni chatu
@Masruur-tk8io
@Masruur-tk8io 6 күн бұрын
walikuwepo wengi walio tamba sasaiv لا يحاس ولا يُرى
@RashidSultan-o3m
@RashidSultan-o3m 6 күн бұрын
Allah kashakusikia na utakufa kifo cha laana hata watoto wako watazalilika inshaallah.laana za Allah zikushukie popote ulipo
@feyxalbarry4595
@feyxalbarry4595 5 күн бұрын
Wapemba hua mnajiona mungu ni wenu tu eee
@AbdullahKhamis-q8k
@AbdullahKhamis-q8k 5 күн бұрын
Njoo ufanyefujoo tunakusubr
@kassimbakar6514
@kassimbakar6514 6 күн бұрын
Walikuepo weng kama ww Allah ndio mjuz ni suala la muda tu
@shabaninassoro339
@shabaninassoro339 6 күн бұрын
Ina maana Makamu wa Rais aheshimiwi na Mkuu wa Wilaya
@mwanangusana
@mwanangusana 6 күн бұрын
Ukiona hivyo ujue kaanza yeye kuvunja heshima
@ShauriAli-o5y
@ShauriAli-o5y 6 күн бұрын
Ww msenge unasemaje
@Mohd-wl1tc
@Mohd-wl1tc 6 күн бұрын
Mazombi
@NASMEDIATV
@NASMEDIATV 6 күн бұрын
Sk news
@IflahIssa
@IflahIssa 6 күн бұрын
Hizi rikodi sipo na zinabaki bahati nzuri
@amamossi4203
@amamossi4203 6 күн бұрын
Heshima siku zote ianze kwa mkubwa. Yy ameona anavyofanya mkubwa nae anamheshimisha mkubwa anaedharauliwa
@omarymsusa8903
@omarymsusa8903 4 күн бұрын
Kazi ya mkuu wa wilaya ni admistration and development to communities lactation areas na sio ku-promote the political propaganda
@AhmeidYussuf
@AhmeidYussuf 4 күн бұрын
Tatizo kubw tumeathiriwa san n Tanganyika yan nchi yetu sasa hujui hawa viongozi wa CCM n waislamu au sio waislam
@DadialiDadi
@DadialiDadi 6 күн бұрын
Elf 3 tatu apoooo watu wa chaan dongee ukoo ndijan na Shamba nyengne vijana wa mjin humvalish Flanagan akapotezaa mdaa wakeeeee😅😅😅😅😅
@Nabiilkhamis
@Nabiilkhamis 6 күн бұрын
Ww huwez kuwa kiongoz
@mwanangusana
@mwanangusana 6 күн бұрын
@@Nabiilkhamis hawez vip , wakati ni kiongoz??
@PajeZanzibar89
@PajeZanzibar89 6 күн бұрын
Kama umesaini kufa 2002 ulipoingi jeshini sisi tumesaini kufa Toka tulipo zaliwa ilaa mwaka huu inshallah haki ya dhaty itapatokana km mmnaona watu wajinga sawa ilaakila kitu kinameisho
@GharibSuleiman-do7rb
@GharibSuleiman-do7rb 6 күн бұрын
Taifa haliongozwi na watu wajinga kama Hawa wasiojielewa walipo tokea na wapo wap na wanaenda wap
@mwanangusana
@mwanangusana 6 күн бұрын
Wee unapajua unapoelekea ???
@GharibSuleiman-do7rb
@GharibSuleiman-do7rb 6 күн бұрын
@mwanangusana tuonane kwenye uchaguz na sio maneno
@mwanangusana
@mwanangusana 6 күн бұрын
@@GharibSuleiman-do7rb utapiga kura au ndo wapiga kelele wa mitandaoni tu ??
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 6 күн бұрын
Hakuna hata anayewafuatilia mnajichosha tu CCM imeshakufa hatuitaki sisis Wazanzibari tulio wengi tunataka nchi yetu
@mwanangusana
@mwanangusana 6 күн бұрын
😂😂😂😂 we upo kufatilia ndo unafiki huo sasa
@R10_Rajab
@R10_Rajab 5 күн бұрын
Kiukweli Wazanzibari walio wengi wanampenda Mwinyi kinyama na huna vya kuwambia
@mwanangusana
@mwanangusana 5 күн бұрын
@@R10_Rajab Very true
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 5 күн бұрын
@@R10_Rajab Mzanzibari halisi hasa hawezi kumpenda Hussein Mwinyi na ndio maana Wazanzibari tulio wengi hatuipendi CCM sisi tuna hisia za taifa la Zanzibar na sio mkoa wa Zanzibar Labda uwe Mzanzibari wa kufoji ndio utaipenda CCM na Mwinyi La mwisho kama Mwinyi anapendwa na wengi mbona anaogopa kuingia kwenye uchaguzi huru na wa haki? Mpaka kufikia sasa ni Watanganyika wapya elfu 68+ washapewa vitambulisho vya Wazanzibari kuja kumpigia kura Mwinyi wakati kikatiba Mtanganyika hana haki ya kupiga kura Zanzibar Wazanzibari zaidi ya elfu 60 wamekoseshwa haki yao ya kupiga kura kwa kuwanyima vitambulisho Hata wewe nna mashaka na Uzanzibari wako huenda ni wa kufoji
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 5 күн бұрын
@@mwanangusana Wewe Mtanganyika nimeshakuambia sana siasa za Zanzibar hazikuhusu tuachie wenyewe
@KhalfanAbdalla-x7u
@KhalfanAbdalla-x7u 6 күн бұрын
Mh. Hawa ndio CCM yenyewe au macho yangu
@AlawyAlawi
@AlawyAlawi 6 күн бұрын
Umesomea vurug vurug unazijuw au unazisikua 2 ww angalia Kong Leo ucwe mjing 2na amin Kila m2 atakufa kwa cku yake iloandikwa na kifo kitatokea vile vile ilivo andikwa yuko wp magu, mkap, mwiny baba wooooote walijidai na kutamb salmin awadh, yule alosema mung akitak actak, uzima unadanganya, mwenzio jecha mwish Wake ulikuwaj
@KIDAURA-f5
@KIDAURA-f5 6 күн бұрын
KISONGE MASKAN CHANEL (SK ONLINE)
@SuffyKhany
@SuffyKhany 6 күн бұрын
Inakuaje mkuu wa wiliya au mfanya kazi wa Serikali anapiga campeni wakati yeye sio mgombea anatakiwa atende haki kwa raia wake sio ccm, Act wala chadema hatakiwi kua hivi huyuu sema hii nchi haina sheria
@mwanangusana
@mwanangusana 6 күн бұрын
Kwani Akina Mazroui wao vip sio viongoz wa serikali ??
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 6 күн бұрын
Mazrui ni kiongozi wa kisiasa,watu wakisema tuna viongozi wajina usikatae kwa sababu katika uchaguzi ukifuata taratibu hakuna atakayetilia mashaka yanayofanyika katika uchaguzi kila kitu kitawekwa wazi hakuna hadaa.na wala hamutasema atakaye leta fujo tutamfanya hivi .unajua kuwa fujo lazima ziwepo kwa kutokuwa wakweli na kushindwa kusimamia haki kila siku mutauana kwa ujinga wenu kwa sababu ya udiwani na uwakilishi utoe roho ya mtu.
@mwanangusana
@mwanangusana 6 күн бұрын
@@jumamohamed3168 we kiazi kweli kweli kwaiyo unataka kusema sio kiongoz wa serikali ??? Mbona akili yako ina ujinga mwingi 🤣🤣🤣......
@mwanangusana
@mwanangusana 6 күн бұрын
@@jumamohamed3168 hata unachokizungumza hukijuii ....
Magnificent Three: Cities that Shaped History
3:29:21
Best Documentary
Рет қаралды 6 МЛН
TULIKUA PAMOJA MPAKA SAA 4 USIKU NI MZIMA ALLAH ANATISHA
5:05
arkas online tv
Рет қаралды 72 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
KWEREKANIA BIACARA YA MÎRAA
12:46
WERU TV & FM
Рет қаралды 497
DR.MWINYI AING'ARISHA MICHEWENI
8:32
OFISI YA RAIS IKULU PEMBA
Рет қаралды 5 М.
ZEC WAJIBU MAPIGO YA ACT MADAI YA KUTOKUBALI KUKUTANA
7:40
Marhaba TV
Рет қаралды 1,9 М.
SADIFA: OMO HAWEZI KUPATA KURA 30000, SISI HATUNA WASI WASI NA HILO
3:40
Mjadala kuelekea Uchaguzi wa Oktoba 2025 | Ep. 2 | GUMZO LA UCHAGUZI
1:03:53
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 2,8 М.
Tuliingia serikalini kwa imani, lakini wenzetu wametusaliti - OMO
36:48
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 5 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН