HAO MASHABIKI WALIOVUNJA VITI ITAKUWA NI MAMRUKI WA YANGA WALIVAA MAVAZI YA SIMBA,,ANGALIEN IZO CRIPS VZULI ,,KWANZA WALIVAA SEHEMU MOJA KWENYE KUNDI DOGO PAMOJA NA SFAXIEN,,,,,JIULIZEN NYINYI KWAMBA SIMBA TUMESHINDA TENA GILI LA FULAHAA,,IWEJE FULAA IYO IBOMOE VITI? JE INAMANA WALIOVUNJA VIT HAWAKUPENDA MATOKEO AYO? TUNAJUA YANGA MNATAFUTA KUIZOOFISHA SIMBA KWA KUPANDIKIZA MASHABIKI FEK,, ILA UBAYA UBWELA HATUTAKUBALI MIPANGO YENU,,,,
@GodfreyJames-zt6ig7 сағат бұрын
Usiwe unahojiwa na wAndish wasenge kama hao
@mabagamendez11568 сағат бұрын
Wewe mo unaongea ushamba tyuu simba mashabiki niwashamba munavunjaa viti uwanja wakwenyu video vinaonekana mashabiki wasimba munavunja viti
@GodfreyJames-zt6ig8 сағат бұрын
Umeongea vizr sana docta wabuluza mkundu kwenye kundi lao ndio wanao sumbuka kupambiza maneno na wanatafuta fulahaaa lakn awaipati mwaka wa ubaya ubwela mpka mkome kengee nyie
@OnesmoChua8 сағат бұрын
Et broo st fushen ndo walikodi uwanjaa? Au simba
@OnesmoChua8 сағат бұрын
Kaka simba ndo wamekodi uwanja
@BobNasa8 сағат бұрын
Huyu jamaa alizaliwa njiti Sababu hajitanbui anachokiongea, anatafuta umaarufu wa kijinga Ili aonekane anajua kuongea, Viti vimerushwa na mashabiki wa Simba, Waziri ni mtu mkubwa sana yeye kapewa ripoti na ameshuhudia Simba wakirusha viti
@saidingumbo-is2oe8 сағат бұрын
Daktari bandia ndo maana akatumbuliwa
@suleymandachi7829 сағат бұрын
Mchome ni mashabiki wa Simba mbona anavaa nyekundu
@MhabeshiMaluja9 сағат бұрын
Shida sio kuanzisha vurugu waliong'oa vitu ni wote simba na waarabu hilo lipo wazi kabisa na ni kawaida yenu
@MhabeshiMaluja9 сағат бұрын
Mm nilikuwa uwanjani ni kweli walianzisha vurugu ni waarabu lakini baada ya kuanzisha mashabiki wa simba walianza kung'oa viti na kuwarushia waarabu hilo lipo wazi hata kamera zinaonyesha baadhi ya mashabiki wa simba wameshika viti juu juu usitumie nguvu sanaa vitu vipo wazi..
@JustinTheodory9 сағат бұрын
Kwenye kujaza uwanja ni Simba, ila ikitokea Kuna uvunjifu wa amani na kung'oa viti mnasema ni Yanga, kumbe Yanga ndio huwa inawajazia uwanja? Huyu mwehu kabisa
@mkwenyaliganga9 сағат бұрын
Ndugu yaonesha kichwani upon uchi
@AllyAbdallah-tn5xb9 сағат бұрын
Hawawezi kuvunja viti wakat wameshinda
@musamshema783810 сағат бұрын
Kwani kuna mwarabu na mwanayanga anaweza kukubali kuvaa sanda kabla hajafa ? Zinazo onekana kuvunjaviti nisanda nahizosand wamevaa kinanani ?
@Esterkomba-ef7eb10 сағат бұрын
Viongozi kuweni makini mnahararisha kuwa timu pizani hakufanya fujo
@antonykpatricj286410 сағат бұрын
Huyu.ni msemaji.au
@Esterkomba-ef7eb10 сағат бұрын
Sasa Simba ikifungiwa ww utakuwa waziri
@IddyyFumbwe6 сағат бұрын
Mkacheze SHAMBANI KWENU BUNJU HATA mking'oa MAGOLI SAWA TU! LKN pale KWA mkapa KUNA Kodi zetu, NYIE KA NGEDERE TU niwaharibifu.
@antonykpatricj286410 сағат бұрын
Jaman huyu ni kigoma ni buzeba zeba
@Esterkomba-ef7eb10 сағат бұрын
Sijawai kuona nchi ya kipumbavu kama Tanzania inatetea watu ambao miaka yote Simba imefanyiwa fujo arabuni hatujawai kuona nchi zao zikisaidia timu zao lakini viongozi wetu ndiyo hivyo
@mgeningogomeloathuman72307 сағат бұрын
Huyo kiongozi anatafuta kiki
@Esterkomba-ef7eb10 сағат бұрын
Waziri amekurupuka
@Esterkomba-ef7eb10 сағат бұрын
Huyu waziri amebugi
@henelckneatunga272010 сағат бұрын
FUJO NI NDANI YA UWANJA SI JUKWAANI VITI NA KHS KUANZA WEWE NDIO ULIPE BILA KUTUMIA AKILI YA KUJUA HASARA NI YA TAIFA NA YENU.HACHA HIZO HABARI WAAMBIE WASIO NA AKILI PIA HAYO MAMBO YA UCHUNGUZI NA BANGI UNAYO MKONONI?KWA HIYO WEWE ULIENDA KUOMBA VIDEO KWA WASIMAMIZI?ALAFU WEWE NI NANI HADI UONGEE?
@Ramadhanmtandi10 сағат бұрын
wewe msenge sana kwani yanga ndo walikuwa wanachezaa ni kawaida yenu simba kuvunja viti toka uwanja umejengwa hii mara ya tatu mnavunja viti ni aibu sana kwenu
@sijaonamjungufinias48111 сағат бұрын
Waliofanya fujo ni waarabu wa jangwani na wale wa tunisia
@selemanisabihi599411 сағат бұрын
Wandishi wana kuchuza wazili alilala kwake sindio?
@selemanisabihi599411 сағат бұрын
Jifanye unajua kuongea
@errydeo886511 сағат бұрын
Huyu ni mpubavu tu!
@AllenNgusa11 сағат бұрын
Waandishi muwe mnatafta mtu wa kumhoji.. Vichaa kma huyu akitoka kungoa viti atawangoa na nyie meno
@SimonPeter-l7y12 сағат бұрын
Mjinga mkubwa wewe kweni video hazionyeahi Mashabiki wa Simba wanang'oa viti? Yanga imeingiaje hapo, nyie wajibikeni kivyenu
@PierreBukasa-fu3yx12 сағат бұрын
Yani wewe docta moo, unifundisha serikali kazi, inaana wewe unaleta zarau na ujinga wenu wakuharibu viti, harafu muheshimiwa waziri akitaka kuchukua hatua wewe unaleta utani wakishabiki, acha ,
@PaulMgana-oy3tz12 сағат бұрын
Huyu bwana anajiongoza kishabiki, haendi na ushahidi, akili za kichwani na fact. Pale palikuwa na matukio mawili: moja katikati ya uwanja wachezaji wa CS Sfaxien kumshambulia refa kwa hasira ya kufungwa ktk muda wa nyongeza. Pili, mashabiki jukwaani kufanya fujo ya kung'oa viti katika kujibu shambulio la CS Sfaxien kwa refa. Kumlaumu Waziri kwa kudai hakuwepo kwenye tukio, inaonesha huyu bwana hajui Serikali inafanyanje kazi. Na kuitaja Yanga sambamba na CS Sfaxien, huo ni ushabiki bila akili. Simba ndiye alikuwa mwenyeji, na CS Sfaxien walikuwa wachache tu huku viti vilivyovunjwa ni zaidi ya 200. Hapo haoni ni nani wa kubebeshwa mzigo wa kufidia uharibifu!? Hakika ana ugonjwa wa ushabiki wa kijinga.
@Nahodhajuma-p9g12 сағат бұрын
Huyu jamaa akamatwe awekwendani
@OscarMhagama12 сағат бұрын
Dkt ahu faratu
@rashidmaulid731212 сағат бұрын
Simba hawawezi kungoa viti kwa furaha.Yanga ya utopolo walikula tano bin sufri wala hakukuwa na kiti kilichochomolewa
@AdamsonNicolas12 сағат бұрын
Nenda kanye wewe
@mirajiali392612 сағат бұрын
Dr wa mihogo wewe ni kichaa
@syliviamurondoro469012 сағат бұрын
Inakuingia akilini kweli Yani mtu aliyepata matokea havunje viti ,kweli,? Asishangilie ushindi,ang'oe viti. Waziri afikirie hilo siyo kukurupuka.
@mgeningogomeloathuman72307 сағат бұрын
Yaani viongozi wanatokwa na mapovu kwa SIMBA kutesa kimataifa. Muda wote inafanya vizuri wako kimya sasa wameona kaupenyo ka kuwapaka matope wanapayuka.
@ernestkamata255512 сағат бұрын
Ni kweli Simba atafanyaje vurugu wakati ameshinda mechi?
@errydeo886511 сағат бұрын
Are U stupid?
@ismailngulingar213312 сағат бұрын
Hivi viti zaidi ya 276 vimeng'olewa hao washabiki wa Ac walikuwa wangapi ? Sehemu ya mashabiki wa simba walikaa viti vya blue na hivyo viti ndio vingi vimevunjwa wao walikaa viti vya orange 🍊 acha ujinga pia camera zipo zimeonyesha mashabiki wa simba wakirusha viti acha ujinga wako
@nashirkamugisha942512 сағат бұрын
Yanga kwa hiyo hasira mmeamishia kwenye simba ilipe viti😂 Simba ina pointi 6