Wao waliweka bango 5 na nembo ya simba na wao tutawapeleka na wao
@HassanKhamis-x3oАй бұрын
Upo sahihi kaka
@PauloMartini-d7gАй бұрын
Tatizo yanga wanajisahau hawana mwanasheria mwenye akili za kutoka tunaweza pale simba tusimamishe jiwe washindane na mwanaaheria wa yanga jiwe letu nikaroka kimasomaso sikumbuki yanga hata kesi2 za uizi wa mbuzi walishawahi kushinda lini mtoto kautaka xx
@EmanuelMwambuАй бұрын
Utoto nauona ni mwingi Sana,yanga waliwahi kuhitumu Simba kuwa wanapulizia dawa kwenye vyumba vya timu pinzani tulikaa kimya tutawadai b 20.tuendeleze utoto wenu.
@davidwatson6821Ай бұрын
Sawa sawa
@anthonymwandetele897Ай бұрын
M,bwa aliye kuzaa mshamba tuuuu wew
@Shemahonge-ku7xxАй бұрын
😅😅yanga wehu sana yaremadeni wanataka tuwaripie
@NasmaKhatibu-s4nАй бұрын
kisugu kisugu kisugu nmekuita mara3 usifanye ahmed ally cku ya kutoka jela akute mke wake ameolewa ooh
@hassanabdala7383Ай бұрын
Utopolo walishinda kesi lini na kesi za team za mpira hazipekwi mahakamani Sundarland ni mtu binafsi ana haki ya kumshtaki Ally kamwe
@MazoeaAlfadhilMohamedАй бұрын
Yanga vichwa vibovu
@essaumapunda5766Ай бұрын
Kisugu safi sana utopolo hamna kitu
@lukumbitu_micronutrients1769Ай бұрын
Uto fc wanapaswa wabadilike wasiwe na mambo ya hovyo😅😅😅
@mandelamakombe3393Ай бұрын
Hahahaaaa 😂😂 nimecheka et waandishi walipokea release letter 😂😂
@Farida-vg5ryАй бұрын
Ahmedy Ally hana kosa Simba na yanga ni watani
@Esterkomba-ef7ebАй бұрын
Waandishi mnapenda kukuza vituo.
@MADINAKITEMOАй бұрын
Utopolo ni mataahira
@juliusmsangi6849Ай бұрын
Yanga kama wanajua kulinda na kutetea hadhi ya klabu walitakiwa wamshitaki Haji Manara aliyesema klabu ya Yanga ina watu wawili tu wenye akili! Rais Mstaafu na baba yake Haji!😂😂😂
@DullyTz-z4wАй бұрын
Oya kudadadeki tutalipana sana tukianza kutafta crip za kashfa zipo nyingi sana. Ubaya ubwela alipwi mtu apa
@SaumuSaidi-z2vАй бұрын
Utopolo ni hovyio sn
@JumaNihuka-k3hАй бұрын
Uto ilohoooooo😅😅😅😅😅😅
@Msumi74Ай бұрын
Uyo kisugu ni mtambo Maisha yake yanamshinda ajitambui
@mayalabora9867Ай бұрын
Ahmed akilipa hiyo faini niite mbwa
@Esterkomba-ef7ebАй бұрын
Alikamwe amesha sema Simba my wake.
@WilliamCharles-iq8ymАй бұрын
Wewe Ni Mbuzi sana
@HamzaMkumbangeАй бұрын
Kumbukumbu zangu hawajawah kuwa na kesi wanashinda
@FarajiAbdulaАй бұрын
Simba na yanga so ajabu kuchafuana ajabu mtu kuchafuna brand ya mtu s
@MzeeBabu-s6yАй бұрын
kaka kisugu mndenge wa lkwilili apa pamoja kaka paka kiele weke
@FestoAbduel-lk8soАй бұрын
utopolo hawana helayausajoli wanaanzasababu haooo
@ramadhaniiddi9930Ай бұрын
Munahoji wtu hata hawafai
@bone102Ай бұрын
Wewe unafaa sasa 😂😂
@Esterkomba-ef7ebАй бұрын
Bodi ndiyo hamnakitu
@damianichayo895Ай бұрын
Mwandishi usitupotoshe. Kwanini yanga waliposikia Aly kamwe ameshtakiwa ndo na wao wakatafuta crip? Huko ni kuferi
@davisbwatwa115Ай бұрын
ile kagoma waliorukaruka nayo ni kesi hiyo utopolo kuiga mpo juu
@bone102Ай бұрын
Bado walitumia Logo ya Simba kuiweka kwenye mabango ya Barabarani waache waendelee kuchokoza moto
@LucasJackson-mc7wvАй бұрын
ww kisugu huwa huna akili sisi tuna hela sana ndio maana tumemshitaki mjinga mwenzako
@johnlufuta6689Ай бұрын
Kama mna hela mbona mmepigwa stop kusajili kwa kutolipa wachezaji. We boga jinga
@ZenampandeАй бұрын
Ww na ahamed nani mjinga
@johnlufuta6689Ай бұрын
Kisugu wewe ni jembe
@rahmaSimon-o7zАй бұрын
Achen Ujinga nyie Ahmed inatakiwa Alipe Anapenda Sana Sifa mbwa huyo
@bone102Ай бұрын
Na nyny mnatakiwa mlipe billion 3 ya All kamwe na bado mlitumia logo ya Simba kuiweka kwenye mabango barabaran bado mlimuharibu kisaikolojia Kagoma kuita waandish na kutoa mikataba ya uongo tuendelee tu mtaelewa vizur nan ataumia
@MohamedMohamediselemaniАй бұрын
Nyie yanga ndiyo mambwa tena mbwa koko vichwa kama mbuzi