Tunasoma ila maelekezo ya maombi hamyafuati, sambazeni vitabu Kwa Kila mkoa hasa dar tutanunua miharo inatuchanganya Kwa kuku tuaandika lakini hamtuelewi hata sijui hamsomi comment zetu
@KingoFarm121 сағат бұрын
Ndugu watu wote wanatumia softcopy na wanafikiwa kwa kiwango kikubwa ni wewe tu ndio huwa unahitaji hardcopy
@HenryGatimu-kp1siКүн бұрын
Nice education
@KingoFarm121 сағат бұрын
Thanks
@InnocentNdungoКүн бұрын
Elf3 in dollar , niko kongo /Drc
@KingoFarm121 сағат бұрын
Tutafute WhatsApp 0712188239
@InnocentNdungoКүн бұрын
Mimi niko kongo, na penda sana hizi somo,
@KingoFarm121 сағат бұрын
Tutafute WhatsApp 0712188239
@claudjohn2 күн бұрын
Asante kwa elim, Mungu akubaliki
@KingoFarm121 сағат бұрын
Amina
@AnnaKiwia2 күн бұрын
Yaani me nawakubali sana mungu awabariki kwa kutupa elimu nzuri,vp kuhusu kuku wa kienyeji,
@KingoFarm12 күн бұрын
Unatumia tuu
@florahkamwela41982 күн бұрын
Asantr
@TumainiKipesile3 күн бұрын
Mimi kuku wangu wanamiezi 6 hawatagi na chakula nilicho wazoesha ni pumba na mshudu tu
@KingoFarm12 күн бұрын
Unawezapata KANUNI Bora kwajili ya kuwachanganyia Kwenye Kitabu Cha safari ya ufugaji, tutafute 0712188239
@claudjohn3 күн бұрын
Asante kwa elim, Mungu akubaliki
@m.l.hassanmatafari39983 күн бұрын
tunashukura kwa elimu mnao tupatia sasa mtu akiwa inje ya inchi atapataje hicho kitabu na atalipa aje?
@KingoFarm13 күн бұрын
Tutafute WhatsApp+255712188239
@ErnestMagesa-g4s3 күн бұрын
6:11
@claudjohn4 күн бұрын
Asante kwa elim, Mungu akubaliki
@WycliffeAshihunduAshihundu4 күн бұрын
Mayengo
@claudjohn5 күн бұрын
Asante kwa elim, Mungu akubaliki
@LwayikonderaKavugho5 күн бұрын
Shilingi kwa dollars njo ngapi?
@KingoFarm15 күн бұрын
Tutafute WhatsApp +255712188239
@AGALUSTV5 күн бұрын
Asante sana
@KingoFarm15 күн бұрын
Shukrani
@MamaAzeki5 күн бұрын
Asanteni sana mbarikiwe
@KingoFarm15 күн бұрын
Amen
@claudjohn6 күн бұрын
Sasa hizo tiba zilizopo kwenye kitabu unaweza ukaanza kuwalisha kuku wakiwa na umli gani
@KingoFarm15 күн бұрын
Inategemea na aina ya kuku
@el-kingmahiro75753 күн бұрын
Asante mwalimu nimekuelewa vizuri sana
@claudjohn6 күн бұрын
Asante kwa elim, Mungu akubaliki
@KingoFarm15 күн бұрын
Amina
@eliatirishannko17646 күн бұрын
Asante kwa somo zuri je unaweza kuwapa vifaranga na wa umri gani
@KingoFarm16 күн бұрын
Kuanzia wiki moja
@AshaHamisi-ov8hu6 күн бұрын
Ahsante dada
@KingoFarm16 күн бұрын
Shukrani sana
@VeronicaAmasi7 күн бұрын
❤ thanks for your help
@KingoFarm16 күн бұрын
Thanks for watching
@DonatusBernard7 күн бұрын
Practical ni tofauti na theory
@claudjohn7 күн бұрын
Asante kwa elim, Mungu akubaliki
@DestinKyalemaninwawema7 күн бұрын
Niko kongo nifanye nini kwa kuwaita
@KingoFarm17 күн бұрын
Tutafute WhatsApp+255712188239
@AGALUSTV7 күн бұрын
Asante sana
@songeza7 күн бұрын
Ni nyie wenyewe tumewambia hivyo vitabu sambazeni Kila mkoa muwe na mawakala nanyi wabahili maana tunawaelezea hamtusikilizi ona Sasa unaongea mengi kuliko habari
@KingoFarm17 күн бұрын
Vitabu tunakutumia softcopy kwa njia ya WhatsApp tu
@songeza7 күн бұрын
Tatzo king farm hamuendi kwenye kichwa Cha habari eleweni tunapenda sana maelekezo Yenu tatzo ni bundle
@KingoFarm17 күн бұрын
Asante kwa kutufuatilia
@AidaKimbale7 күн бұрын
Ukiweka hamira kwenye maji wanywe kwa muda siku ngapi? Bila kubadirisha?
@KingoFarm17 күн бұрын
Masaa nane tu
@claudjohn8 күн бұрын
Asante kwa elim, Mungu akubaliki
@claudjohn8 күн бұрын
Asante kwa elim, Mungu akubaliki
@annethowden18888 күн бұрын
Nenda kwenye point..maelezo mengiiiii matangazo mengiii