Asante kwa somo naona utajiri umekaribia kupitia masomo yenu mungu awabarikiii
@KingoFarm1Ай бұрын
Mungu akuzidishie,🙏
@felistamollel989926 күн бұрын
Ahsante sana kwa somo je hiyo utamenya
@KingoFarm125 күн бұрын
Ndio
@SalomeBujimu3 күн бұрын
Kama umetumia juisi ya miwa ambayo haijachanganywa na maji ni lazima uchemshe hadi iwe nzito pia?
@KingoFarm12 күн бұрын
Ndio ni lazima ichemshwe
@claudjohnАй бұрын
Asante kwa elim, Mungu akubaliki mwalim wangu
@filipinadaud885Ай бұрын
Asante sans mwl
@alishehehamad8129Ай бұрын
Kazi nzur safi sana, je unapotumia molasis hakuna dawa wala vitamin vyengine zinazotumika, pia kuna molasses za madukani je zinafaa
@KingoFarm1Ай бұрын
Za Dukani zinafaa, unaweza unachanganyia
@mechtildabyambwenu8548Ай бұрын
Ahsante sana Kwa somo la matumizi y molasis kwa kuku. Je Kwa kuku wa kienyeji nao nawapa kama ulivyoelekeza? Na wanaotaga hao hao wa kienyeji hawatadhurika?
@KingoFarm1Ай бұрын
@@mechtildabyambwenu8548 unawapa hivyo hivyo
@eleriandeurassa793718 күн бұрын
Je unachanganya maji Lita ngapi
@DavidJima-h5wАй бұрын
Tunashukulu kwa erim, kwani ni wakisasa tu?
@KingoFarm1Ай бұрын
Hata wa kienyeji unawapa
@HabibaHamed-mv7zd29 күн бұрын
Nahijia iyo formula
@KingoFarm129 күн бұрын
Tutafute WhatsApp 0712188239
@songezaАй бұрын
Hapo chini ya Banda umeweka majani ya miwa??? Yaliyokauka
@KingoFarm1Ай бұрын
Hapana hayo ni Matandazo ya mbao, ( maganda)
@HabibaHamed-mv7zd29 күн бұрын
Mwalimu hujambo naomba kujua iy molasis unatumia kila SKU haina shid au unawapa kwa muda fulani yani inafaa kuwapa kila SKU au ni sku ngapi rabd unaweka kwa wiki au mwezi
@KingoFarm129 күн бұрын
Usitumie Kila siku
@JICHOLA3MADHABAHUNIАй бұрын
Vipi kuhusu vifaranga wa kienyeji unaweza kuwapatia
@KingoFarm1Ай бұрын
Unawapatia pia
@ChinaKassim-o6tАй бұрын
Je kuku wa kienyeji
@KingoFarm1Ай бұрын
Unawapa
@mulhatramadhan1147Ай бұрын
Ahsante mtaalamu, naomba kujua hayo maji wanayokunywa umetumia mboga gani naona yapo kijani
@KingoFarm1Ай бұрын
Huo ni mchanganyo wa mpapai, kitunguu saumu, pili pili. Ni booster pia
@alishehehamad8129Ай бұрын
Mls10 kwa Lita 10 je ikiongezeka dozi Kuna athari au faida Zaid ya ukuaji kwa haraka