Пікірлер
@damianmakala2913
@damianmakala2913 23 күн бұрын
Alikuwa na Iman ya mungu Sana ! Alimtanguliza mungu kwenye Kila jambo
@amanmaleko3085
@amanmaleko3085 24 күн бұрын
🙏
@FortiMtolela-xl2nb
@FortiMtolela-xl2nb 24 күн бұрын
MAGUFULI
@simonkitaly9767
@simonkitaly9767 25 күн бұрын
Hakuacha kuomba kuombewa
@joelandekile3933
@joelandekile3933 25 күн бұрын
Dah Mungu
@ShabaniMbwana-fz3rm
@ShabaniMbwana-fz3rm 25 күн бұрын
Pumzika kwa amani jembe kipenzi cha watanzania
@lusupi
@lusupi 28 күн бұрын
Huyu aliemsainisha fomu alikua mnyenyekevu kwa wachukua fomu wote kwasababu alijua lazima mmoja atakua raisi
@ChrissSheria
@ChrissSheria 29 күн бұрын
MHE. alikuwa humble sana b4 everything else.
@salehekacheche5747
@salehekacheche5747 Ай бұрын
dah always remember jpm
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 2 ай бұрын
Duh leo wote hampo khaa mzee wetu magufuli na mzee wetu khatibu
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 6 ай бұрын
Mzee tutakukumbuka milele
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke 6 ай бұрын
Akasema: Je, sikukwambia kuwa hutaweza kunivumilia? ” Basi wakaondoka mpaka walipofika kwa watu wa mji fulani wakatafuta chakula kwa watu wake, lakini wakakataa kuwakaribisha, na wakakuta humo ukuta unaotaka kubomolewa, basi akausimamisha. Akasema: “Kama hukuchukua ujira kwa ajili yake (77) Ni wapi wanafanya kazi baharini, na nikataka kuipoteza, na kufaulu kwao ni mfalme anayechukua kila merikebu inayovurugwa (79). na aliye mwema wamezidiwa na dhulma na upatanisho (80), basi tukataka kuwaweka badala yao Mola wao Mlezi, kheri kuliko hiyo ni zaka na mkuruhu wa rehema. baba yao alikuwa mwadilifu, kwa hivyo Mola wako Mlezi alitaka kuifikia Yel kali zaidi isipokuwa mvumilivu kwake (82) Na wanakuuliza kuhusu Dhul-Qarnayn - Sema: “Nitakusomeeni ukumbusho wake” (83) Kwa nini ewe bwana wangu mtukufu je unakimbilia kunihukumu, basi subiri Mwenyezi Mungu humpa hekima amtakaye, basi nivumilie, kama alivyosema Mola wangu Mlezi katika wahyi madhubuti wa Qur'ani Tukufu, Mwenyezi Mungu Mtukufu. Anasema: Na wabashirie wenye subira ambao ukiwasibu msiba husema: “Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye tutarejea baraka zitokazo kwa Mola wao Mlezi na rehema hao ndio walioongoka [Surat Al-Baqarah: 155-157] Basi nivumilieni wala msikimbilie kuhukumu hili, na rehema za Mwenyezi Mungu na amani zimshukie Bwana wetu Muhammad na aali zake na maswahaba zake. juu yao wote, Ee Mungu, Amina, Mola Mlezi wa walimwengu wote☝🏻☝🏻🤲🤲☝🏻☝🏻.
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 6 ай бұрын
Mungu wangu hatujui mbele kuna nn tusaidie
@NdilanhaBoniphace
@NdilanhaBoniphace 8 ай бұрын
2024 who still watching
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 9 ай бұрын
Mwenye kuitazama tena 2024😢
@dynamicplatform2102
@dynamicplatform2102 10 ай бұрын
Kuna wasenge mwisho walimcheka sanaaa
@mukamambeba7966
@mukamambeba7966 Жыл бұрын
Yani nikiangalia hii crip imani yangu kwa Mungu inaongezeka 😢
@mukamambeba7966
@mukamambeba7966 Жыл бұрын
Jamani Mungu huyu ..
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 Жыл бұрын
Ni mara chache sana kumpata Rais mwadilifu,mcha Mungu,mtetezi wa wanyonge na mchapa kazi kama JPM.Katuachia kitu cha kujifunza watanzania,kuwa urais siyo fimbo ya kuumizia wananchi.Tutake tusitake wengi tutamkumbuka daima,ila wezi na wafujaji wa mali za uma watamchukia daima.
@boniphacelusato
@boniphacelusato Жыл бұрын
Kifo cha Magufuli kiliacha kovu kwenye moyo wangu. Nilimpenda kupitiliza.
@theophilojohn7331
@theophilojohn7331 2 жыл бұрын
Kilakitu kinamwanzo wa safariyake na mwishowake jaman
@allyshafi4391
@allyshafi4391 2 жыл бұрын
Dah kwakweli Dunia kweli haimtaki mtu ila sie ndo tunaitaka Dunia, wote wawli now ni marehemu mh Moh'd Seifu khatibu pamoja na Dr John Magufuli Mungu awasamehe makosa yao wapumzike kwa Amani waliko
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 жыл бұрын
Lalala Magu umelala Tanzania tuna kuliliyaaaaa Ebu funguwa machoooooooo Utuone babaaaaaa Song by Peter Msechu
@malubegaikuzi688
@malubegaikuzi688 2 жыл бұрын
Kuma
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 2 жыл бұрын
Huyu jamaa alikuwa muoga sana maana hata kiti alikuwa anakikataa ah aha pia pen nayo alikataa khatari
@teulechristopher1845
@teulechristopher1845 2 жыл бұрын
Huyu jamaaa aliweka kitu hawez kasaulika
@luchanoarkanjelo4115
@luchanoarkanjelo4115 2 жыл бұрын
Baba John maguful rest in peace
@faustinekulwa2596
@faustinekulwa2596 2 жыл бұрын
Jamani baba yetu rudi basi tumekumisss
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
Dah! Dunia tunapita,,,,wote ni marehemu
@husseinntarugera3930
@husseinntarugera3930 3 жыл бұрын
Kwel rais magufuri aliamumin sana muumba
@husseinntarugera3930
@husseinntarugera3930 3 жыл бұрын
Dah Leo hatupo nae tena
@alfredjustinian9753
@alfredjustinian9753 3 жыл бұрын
Daah nmekumbuka mbali saana
@ommimg2467
@ommimg2467 3 жыл бұрын
Miongoni mwa watu nimeshindwa kabisa kuwasahu huyu nae yupo😭. watz ni waoga kuhoji juu ya kifo cha huyu mkuu ila Mungu hana mipaka atafanya na Kuna kizaz kipo kitakachosimama kufichua Siri zote✊
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 жыл бұрын
Kwakweli
@wilkistajacob9516
@wilkistajacob9516 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba ❤️
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
@smolletmwakamele4275
@smolletmwakamele4275 3 жыл бұрын
Inaonekana walimchekaa kwaa zarauuuu sanàaa
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 жыл бұрын
Hakika inauma hakika hakuna mfano. Eh moyo wangu tulia usilie kwani ndivyo dunia ilivyo
@danielmathias160
@danielmathias160 3 жыл бұрын
RIP MR Magufuli
@felicianmabepe3958
@felicianmabepe3958 3 жыл бұрын
kama nasikia vicheko vya kejeli hapo mwishoni,, kweli usilolijua ni kama usiku wa giza
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 жыл бұрын
umeonaee yaani jmni watu mmmh kweli Mungu tuu Ajuae kesho ya mtu..Mungu Alitulia na Akamuinua mtumishi wake..sasa sijui hao waliochecka kwa kejeli walisemaje baada ya huyu mtu kuwa President..au?
@mussaulaya3926
@mussaulaya3926 3 жыл бұрын
Hakuna anaeijua kesho yake
@rutebukaanthony6299
@rutebukaanthony6299 3 жыл бұрын
Dr. Magufuli was a faithful, strong and most confidential leader early. Rest in peace our Tz's Dad...!!!
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 3 жыл бұрын
Daah udongo unameza sana. Leo hii hawa wawili wote hatunao. Mpumzike kwa amani wazee wetu
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 3 жыл бұрын
Huyo mwingine anaitwa nani
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 3 жыл бұрын
Daah udongo unameza sana. Leo hii hawa wawili wote hatunao. Mpumzike kwa amani wazee wetu
@cheptoekbenniah4750
@cheptoekbenniah4750 3 жыл бұрын
This day was a blessing to Tanzania
@brightluvanda2795
@brightluvanda2795 3 жыл бұрын
Wote marehemu jamani,!,,ni khatibu na magufuli,,,MUNGU awarehemu!"amen.
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 2 жыл бұрын
Khatibu nae amefariki,mungu awarehemu
@khadijanasibu7273
@khadijanasibu7273 3 жыл бұрын
Ddffdguuyt
@lucasmogoile7097
@lucasmogoile7097 3 жыл бұрын
Ulale salama shujaa wetu ndoto umeitimiza alama umeacha
@yussuphmartini1796
@yussuphmartini1796 3 жыл бұрын
RIP MY HERO💥😭
@dorcasrenatus9960
@dorcasrenatus9960 3 жыл бұрын
😭😭😭😭
@delaidelove8756
@delaidelove8756 3 жыл бұрын
R I P magufuli wangu nimelia nimelia San nilikupenda mno baba umeumaliza mwendo😪😭😭😭