KUELEKEA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2025
45:27
15 сағат бұрын
ASUBUHI NJEMA KITAIFA NA MICHEZO 09.01.2025
22:31
UWEZESHAJI WA WANANCHI WA ZANZIBAR KIUCHUMI
44:56
ASUBUHI NJEMA KITAIFA NA MICHEZO 08.01.2025
25:43
HABARI ZA UN 07.01.2025
11:43
2 сағат бұрын
KIPINDI MAALUUM - HALMASHAURI YA KIGAMBONI
30:32
NURU YA MASHARIKI 03.01.2025
30:35
14 сағат бұрын
TABIA ZA KWENDA NAZO 2025
34:50
16 сағат бұрын
NURU YA MASHARIKI  01.01.2025
20:13
19 сағат бұрын
HABARI ZA UN 31.12.2024
14:14
19 сағат бұрын
MATUKIO YALIYO TIKISA MWAKA 2024
1:01:57
21 сағат бұрын
Пікірлер
@KamgishaIsaya
@KamgishaIsaya 4 сағат бұрын
Wako sawa maana wana fuga kwa faida si mbwa wa kuzurura maanitu. Malizana nao vizuri na si kwa kuaribu uo mradi
@ManaseBuhanza-cl1lc
@ManaseBuhanza-cl1lc 3 күн бұрын
Taharuki wananchi mkoani kigoma walio kalibisha kwa jina makamuchape musako kira kona kigoma kwa wilaya zote
@ManaseBuhanza-cl1lc
@ManaseBuhanza-cl1lc 3 күн бұрын
Serkali ya Tanzania yahimiza mukazo wa chanjo ya COViD(19) baada ya walio chanja wamepunguza magochwa mbalimbali sana inatakiwa viongozi wa idara & kira idara kuwa kipaumbele kwa mwaka 2025
@MasaweMasawe-r5b
@MasaweMasawe-r5b 4 күн бұрын
Yani nchi yetu bwana mtu anabiashara yake mnaleta maneno duu je angekuwa mwixi
@tumainirwela6488
@tumainirwela6488 4 күн бұрын
Hongera sana.
@marymanoni5536
@marymanoni5536 5 күн бұрын
Mbona uyo ni wamda mrefu
@victorfrank2629
@victorfrank2629 5 күн бұрын
Hongera Rais Samia, Hongera Tanzania
@MerymaimboMery
@MerymaimboMery 7 күн бұрын
Polen sana
@dorcasdavid2247
@dorcasdavid2247 7 күн бұрын
Poleni sn Familia,Mungu Awe Faraja kubwa kwenu
@fredjoel2466
@fredjoel2466 7 күн бұрын
Pole sana 😢
@rehemasanga_
@rehemasanga_ 7 күн бұрын
Asanteh Sana dada Nasra na team nzima ya Chanel 10. Wakina mama tukachukie mikopo hii
@hellenmosha8194
@hellenmosha8194 7 күн бұрын
Poleni sana wafiwa endelea kupumzika kwa Amani Sunday 😢
@christinechokunegella5023
@christinechokunegella5023 7 күн бұрын
Wimbo mzuri sana wa majonzi😢
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 7 күн бұрын
RIP Poleni wafiwa
@rehemamahendeka-rm2ek
@rehemamahendeka-rm2ek 7 күн бұрын
Hakika M'Mungu ni MKALI,huamua atakalo,umauti ni kwa kila kiumbe,nimeguswa mno poleni sana mno wafiwa,daah kjn wng ulietunga hii nyimbo ya mayonzi kwa mirindimo ya fally ipupa UMEONGEZA SIMANZI,ww sanaa unayo vzr.Poleni wana channel ten
@deohaule98
@deohaule98 7 күн бұрын
Vyombo vya dola vinateka raia ila serikali mnakanusha. Kuhusu utalii, TZ imeshindwa kujitangaza inavyo paswa kuvutia watalii. Nchi Kama Rwanda, South Africa au Kenya zinajitangaza vizuri kwenye nchi za ulaya kuliko tanzania. Si zani Royal tour imefanya matokeo chanya ya utalii. Ninacho jua baada ya janga la covid 19 kupita. Watu wengi duniani wana tamani sana kwenda kutalii kutokana na effect ya covid 19. Ushauri wangu, serikali au agent wa serikali watangaze utalii wa Tanzania kupitia nchi kama America (USA, Latin America), Asia, na Europe. Mfano matangazo yanaweza kufanywa kwenye michezo kama ya European Football leagues, NFL, NBA, Rugby, Running sports kama Marathon, Olympic Games, World Cup, Horse race, Car race, Copa America league, Cricket etc. Pia wajitangaze kupitia search engines optimisations kwa kutumia key search words kwenye google, microsoft etc. Pia waweke juhudi kufanya matangazo ya internet kwakutumia Artificial Intelligence (AI) kwenye social media kama Facebook, KZbin, Twitter (X), Instagram n.k. Utalii unatakiwa ufanyike ki mkakati na matangazo ni muhimu sana. Vinginevyo endapo serikali ikashindwa kuji tangaza kama inavyo takiwa basi tutaendelea kudunduliza na kujisifia sifa zisizo na maana. Tanzania inauwezo wa kupata nusu ya bajeti ya taifa kwenye utalii kama matangazo yakifanywa inavyo takiwa kuwavutia watalii duniani kote.
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 7 күн бұрын
Daaahhh Dunia tunapita, lala salama kaka Sunday. Nitamiss tabasa mu lako ulivyokuwa unanisalimia "Hujambo mdogo wangu??"
@MohdJumaa-q3l
@MohdJumaa-q3l 8 күн бұрын
Nataka maguniaa ya mihogo bei gani
@HidayaAbdully
@HidayaAbdully 8 күн бұрын
Katoto mungu apiganie kipaji chako
@monalisaivan4580
@monalisaivan4580 9 күн бұрын
Rest in peace my friend
@deohaule98
@deohaule98 9 күн бұрын
Hapa kuna porojo zinapigwa kuwa pumbaza wananchi. Serikali inatakiwa iwaeleze wananch, bandari yetu ili hitaji kiasi gani kwenye uwezekaji. DP world wameekeza kiasi gani na kwanini serikali imeshindwa kuwekeza hicho kiasi. Nini DP world wamefanya kusababisha ongezeko la mapato kutoka billion mia nane mpaka tilioni moja. Kwanini serikali yetu walishindwa kufikia hicho kiasi DP world walichofikisha, n.k. It is imperative government to provide critical analysis.
@jumashedafa
@jumashedafa 7 күн бұрын
Rafik yang kazi kubwa ya serikal ni kuandaa mazingira ila si uendeshaji serikal huwa inaamua kufanya pale inapoona mambo hayako saw
@deohaule98
@deohaule98 7 күн бұрын
@ si kweli, hicho kisingizio kina semwa na viongozi kuhalalisha ubinafsishaji kwa masilahi ya wachache. na kama serikali ime amua kufanya hivyo basi kuwe na uwazi wa kutosha kwa faida ya jamii nzima endapo serkali ina binafsisha kwa faida ya nchi.
@jumashedafa
@jumashedafa 7 күн бұрын
@@deohaule98 ww hilo jambo lilisemwa mara ngapi acha kuwa msomi elimika...Elewa kazi kubwa hasa ya serikali ni kutengeneza miundombinu mizuri na kuhakikisha amani inatawala na kuweka mazingira mazuri ya kuvutia wawekezaji...Ni hivyo na ndio ipo hivy..Hapo serikal ingeend nunua hay mavifaa ni pesa ngapi? Ila wamezisave wanaenda kuwekeza ktk miradi mingin na serikali ndio imenufaika zaid kuliko ilivyokuw ipo mikonon mwake cz wapigaj wengi ila kule ni kampuni lazima ahakikishe mhusik anapata faida
@deohaule98
@deohaule98 7 күн бұрын
@@jumashedafa kila kitu kina fanywa kwa mahesabu? Kuna uwezekezaji wa kununua au kukodisha, Buy or Lease investment options. Je unaweza kunielezea jinsi serikali ilivyo fanya mchakato wa kununua (buy) au/or Kukodisha (Lease) hiyo huduma ya DP World? Mpaka waka gundua lease (kukodisha) huduma kwa DP world ni njia nafuu kuliko serikali kuendesha hiyo huduma wenyewe? Je wame save kiaisi gani baada ya kuamua kwenda kwenye msimamo wa ku kodi huduma (Lease option) kwa DP World? Kwani DP world wanavyo nunua hiyo mitambo hawata chaji hizo gharama zao kama matumizi kwenye vitabu vyao vya expenses? Je gharama wanazotumia kununua hiyo mitambo serikali Ina uhakika ghani ni gharama sahihi pale book value yao iki onyesha hizi expenses au depreciation cost.
@Rty12Hiy
@Rty12Hiy 9 күн бұрын
Amne
@theresiatemba3706
@theresiatemba3706 10 күн бұрын
R.l.p😢
@IPDA_Speculator
@IPDA_Speculator 10 күн бұрын
10\10
@Dsea-u7r
@Dsea-u7r 12 күн бұрын
Mashaallah mtoto mzur
@suzanne558
@suzanne558 13 күн бұрын
Great
@Asanjaonlinetv
@Asanjaonlinetv 13 күн бұрын
Dkt Shika R.I.P
@EvansLihanda-n8g
@EvansLihanda-n8g 13 күн бұрын
God bless you servant of God.
@SamwelKitesho-jt9bz
@SamwelKitesho-jt9bz 15 күн бұрын
Baba mungu akulinde popote pale ulipo baba wetu
@irenealma6523
@irenealma6523 16 күн бұрын
You deserve it 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤ it's your passion 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 go viral dear margreth itala
@irenealma6523
@irenealma6523 16 күн бұрын
❤❤❤
@NassoroJuma-z8y
@NassoroJuma-z8y 20 күн бұрын
inna lillah wa inna lillah raghuun
@MasomeAbell-cr1um
@MasomeAbell-cr1um 22 күн бұрын
Akumbukwe JPM
@thegoldenbrain-q2p
@thegoldenbrain-q2p 22 күн бұрын
heshima anazo stahili nitele ,shaaban Robert kongole
@MusicTalentFN
@MusicTalentFN 22 күн бұрын
❤❤
@simonmanyama8670
@simonmanyama8670 24 күн бұрын
Kadogosa vp ujenzi wa SGR Mwanza Isaka. umesimama shida nini??
@dickchambilo9138
@dickchambilo9138 25 күн бұрын
Tone of the Top, 😅😅😂 wakati mnafikiria kurudi kwenye disease? Bila msimamo wa mh rais tren za umeme zitakufa anytime. Watendaji ni wajanja wajanja na wizi mwingi, mfano kuna kipindi mlitaka msilete tren ya mchongoko , lkn rais samia ndio akapiga kelele. KADOGOSA UNAFATILIWA KWA KARIBU SANA NA WATANZANIA NA DUNIA JUU YA HUU MRADI, EBU WEKENI TAMAA PEMBENI FANYENI KAZ JMN ACHEN . TANESCO PIA WAACHE UZEMBE WANAOHUJUMU UMEME TREN IKASUMBUA, TUSIKIE ADHABU KALI ZA WAZI WATU WAOGOPE KUIBIA SHIRIKA INAKELA SANA😢
@LinusRaymond8
@LinusRaymond8 26 күн бұрын
Hongera Zenu Sana Sasa Lini itajengwa SGR kwenda Tanga Arusha Hadi Musoma???
@dickchambilo9138
@dickchambilo9138 25 күн бұрын
Hao unaowauliza hawana uwezo wa kuanzisha jambo jipya likaisha salama, labda subiri Magufuli afufuke. Wanapepelushwa na wafanya biashara wa mabasi
@ruhindacostantine2092
@ruhindacostantine2092 26 күн бұрын
Ushauri wangu tuomgeze hamasa ya uzalendo.tumchukue mtu anayeheshimika kwenye taifa hili mfano Jakaya Kikwete na wengine wawe mabarozi wa kuhamasisha utaifa.Pia tuwatumie wasanii kama diamond ,harmonize wenye makundi mengi ya wafuasi vijana wahamasishe uzalendo
@simonmanyama8670
@simonmanyama8670 26 күн бұрын
Kadogosa SGR MWANZA ISAKA UJENZI UMESIMAMA NA HAMSEMI CHOCHOTE SHIDA NINI
@jituakilimali15
@jituakilimali15 27 күн бұрын
Wasiwasi wetu ni sisi watu wa mikoa ya kilimanjaro na arusha hatujasikia hata kututaja kama mnatufikiria kwenye SGR wakati uhitaji wa mikoa hii ni mkubwa kwa biashara
@bakermusa9033
@bakermusa9033 27 күн бұрын
We dada wewe sauti yako inaclick 10 yrs ago nilikuwa sikosi kipindi chako cha magazeti. Yaani ulishakaa kwenye memory card
@dickchambilo9138
@dickchambilo9138 25 күн бұрын
Achana na dada, ulizia mradi😅
@mosseskivuyo5638
@mosseskivuyo5638 27 күн бұрын
Habari leo.
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 27 күн бұрын
Nyinyi wandishi wa habari mbona hamuoji Vichwa na mabehewa yetu ya nchi Germany yamekuja mabehewa ya Khorofa 4tu kutoka Germany miaka mingi hatusiki tena huwa wanazungumzia nchi South Corea tu
@egdldm4981
@egdldm4981 27 күн бұрын
Yale mabehewa ya double decker yaliyonunuliwa yana vipimo sahihi vinavyoweza kuruhusu kupita upande wa pili wa mahandaki ya Kilosa?... Kadogosa tupe majibu ya uhakika tena ya kisayansi.😮
@donking-d4t
@donking-d4t 14 күн бұрын
Maswali mengine hayana mbele wala nyuma 🤣🤣
@egdldm4981
@egdldm4981 14 күн бұрын
@donking-d4t Jibu swali kama unahusika, kama huhusiki waache wajibu wenyewe. Unachagua maswali ya kuulizwa?
@estherdanieldaniel8927
@estherdanieldaniel8927 27 күн бұрын
Muheshimiwa, pambana na Kasi ya ujenzi ili mwakani tufike mwanza na Kigoma.
@BrianKeya-j1w
@BrianKeya-j1w 27 күн бұрын
Daniel mgogo mtumishi wa mungu ninayempenda sana kwa maisha yangu ya kiroho, umenijenga sana ki Imani... #kenyakakamega
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 27 күн бұрын
Yeah!🇹🇿 Kadogosa mtumishi bora kabisa katika taifa la Mwl.Nyerere,Tanzania .
@pancrasmasesa4248
@pancrasmasesa4248 27 күн бұрын
Kwenye mabehewa ya mizigo leteni mabehewa ya kubeba maiti itapunguza gharama za kukodi vicoaster
@DenisFelician
@DenisFelician 27 күн бұрын
Kadogosa nakukubali upo makini sana, kila kitu unaongea ni point tu but ombi langu fanyeni kubolesha mazingira ya stations za mijin na majiji
@silasdiru7088
@silasdiru7088 27 күн бұрын
Mwala is the original sayer of the saying 'Wacha kiumane'