BARAGUMU: FUNGA MWAKA NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI (1)

  Рет қаралды 675

Channel ten

Channel ten

Күн бұрын

Пікірлер: 5
@deohaule98
@deohaule98 19 күн бұрын
Hapa kuna porojo zinapigwa kuwa pumbaza wananchi. Serikali inatakiwa iwaeleze wananch, bandari yetu ili hitaji kiasi gani kwenye uwezekaji. DP world wameekeza kiasi gani na kwanini serikali imeshindwa kuwekeza hicho kiasi. Nini DP world wamefanya kusababisha ongezeko la mapato kutoka billion mia nane mpaka tilioni moja. Kwanini serikali yetu walishindwa kufikia hicho kiasi DP world walichofikisha, n.k. It is imperative government to provide critical analysis.
@jumashedafa
@jumashedafa 17 күн бұрын
Rafik yang kazi kubwa ya serikal ni kuandaa mazingira ila si uendeshaji serikal huwa inaamua kufanya pale inapoona mambo hayako saw
@deohaule98
@deohaule98 17 күн бұрын
@ si kweli, hicho kisingizio kina semwa na viongozi kuhalalisha ubinafsishaji kwa masilahi ya wachache. na kama serikali ime amua kufanya hivyo basi kuwe na uwazi wa kutosha kwa faida ya jamii nzima endapo serkali ina binafsisha kwa faida ya nchi.
@jumashedafa
@jumashedafa 17 күн бұрын
@@deohaule98 ww hilo jambo lilisemwa mara ngapi acha kuwa msomi elimika...Elewa kazi kubwa hasa ya serikali ni kutengeneza miundombinu mizuri na kuhakikisha amani inatawala na kuweka mazingira mazuri ya kuvutia wawekezaji...Ni hivyo na ndio ipo hivy..Hapo serikal ingeend nunua hay mavifaa ni pesa ngapi? Ila wamezisave wanaenda kuwekeza ktk miradi mingin na serikali ndio imenufaika zaid kuliko ilivyokuw ipo mikonon mwake cz wapigaj wengi ila kule ni kampuni lazima ahakikishe mhusik anapata faida
@deohaule98
@deohaule98 17 күн бұрын
@@jumashedafa kila kitu kina fanywa kwa mahesabu? Kuna uwezekezaji wa kununua au kukodisha, Buy or Lease investment options. Je unaweza kunielezea jinsi serikali ilivyo fanya mchakato wa kununua (buy) au/or Kukodisha (Lease) hiyo huduma ya DP World? Mpaka waka gundua lease (kukodisha) huduma kwa DP world ni njia nafuu kuliko serikali kuendesha hiyo huduma wenyewe? Je wame save kiaisi gani baada ya kuamua kwenda kwenye msimamo wa ku kodi huduma (Lease option) kwa DP World? Kwani DP world wanavyo nunua hiyo mitambo hawata chaji hizo gharama zao kama matumizi kwenye vitabu vyao vya expenses? Je gharama wanazotumia kununua hiyo mitambo serikali Ina uhakika ghani ni gharama sahihi pale book value yao iki onyesha hizi expenses au depreciation cost.
🎈🎈🎈😲 #tiktok #shorts
0:28
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 4,5 МЛН
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54
BARAGUMU: FUNGA MWAKA NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI (2)
31:52
Channel ten
Рет қаралды 354
#LIVE : CHACHANDU YA LEO
Channel ten
Рет қаралды
Lissu azungumzia uongozi ndani ya CHADEMA
11:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 78 М.
🎈🎈🎈😲 #tiktok #shorts
0:28
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 4,5 МЛН