Asemahle welem mabondia wakumpiga ni pius mpenda na abdully ubaya na hassan mwakinyo tu kwahao atoboi
@marcokomanya98102 күн бұрын
Sure, msukuma hatomaliza round
@wazirisaid832611 күн бұрын
Frank ni bondia chipukizi mzuri lkn kumpa fight na Asemahle ni kumuobgezea Msouth huyo ufalme hapa bongo!! Mabondia wa humpiga huyo Asemahle kwa hapa bongo ni Selemani Kidundana Hassa Mwakinyo tu, hao wengine ni kuendelea kuichafua nchi tu.
@eddykatamba100817 күн бұрын
Huyu ndio acheze na asemale mbna kama anakosa pumzi
@o-m600418 күн бұрын
Toi t'a plus de mérite que moi et beaucoup de personnes force à toi champion
@AbdallahMchaga-e5q26 күн бұрын
Mafia mnafosi kumualibia mwakinyo ila kwa tanzania atakama siku atapigwa uingeleza hawatomsaau mwamba 😅😅
@AlmasiShabani28 күн бұрын
Unaeandika ufala ukome uyo ndo magambo
@HemedSerious28 күн бұрын
Hamna kitu
@kapipoprimo809329 күн бұрын
alafu mbona watangazaj wanaongeaga kitu ambacho hakipo....... Sasa kama apo naambiwa mtangi anafanya misteki sijui misteki gani😂😂😂😂😂😂😂
@Twahamwela-ch5lzАй бұрын
Hilo jamaa lenye sigda na uchebe linaonekana mtu mbad sana mtizi
@MymunaUlaya29 күн бұрын
Hyo uchebe anamlindaga shekhe wa mkoa wa dar shekhe walid
@Twahamwela-ch5lz29 күн бұрын
@MymunaUlaya 😂😂😂😂😂 lkn sheikh ktk clip yke moja alilisema swala la sheikh kuwa na mabodigadi ni la nin kumbe na yeye ana bodgad
@MymunaUlaya28 күн бұрын
@@Twahamwela-ch5lz fuatilia shughuli za maulid za kiislam ukimuona walid huyo jamaa hayupo mbali wana jiita matembo magomeni moja hyo
@Twahamwela-ch5lz28 күн бұрын
@MymunaUlaya duh hatarii matembo 😂😂😂
@MymunaUlaya28 күн бұрын
@@Twahamwela-ch5lz sio wakorofi Ila wakiamrishwa kutatua ukorofi basi utawaelewa hao jamaa wapo kama watatu muda wote wanatabasam lkn balaa lao sio mchezo usalama polisi wanafahamika ni watu wa amani kabsa wapo kwa ajili ya watu wanaoleta vurugu ndio utawaelewa
@onesmomnyeke3477Ай бұрын
Aje kwaajili ya mwakinyo
@MichaelGogadiАй бұрын
Kazi nzuri sana Adam
@SalmaLundaАй бұрын
God bless U more than fighter l see U any step
@AllyMwazoaАй бұрын
Bondia Anatazamwa katika Boxrec hivyo kama Anazo mechi kibao basi champion kalolo kacheza na Bondia na kampiga KO ya mapema
@MwazoaMwazoaАй бұрын
Dogo hua hapati kazi nyepesi.Ameiheshimisha sana Mafya Boxing Promotion na Tanzania kwa ujumla kama nchi.Alipomlaza huyu Mwamba Alie mpiga champion Zugo.Lkn kama utani Akaja kuchapwa vizuri na champion Salmin. Game iliyofuata Salmin Akamlaza Raundi ya kwanza Bondia wa nyota Nne tena kutoka Philiphins nchi wenye ngumi zao
@AllyMwazoaАй бұрын
Mwana wa Simba nae ni Simba.Magoma JR nae Anakuja moto mno.Mungu Amsimamie inshallah
@SaidAkida92Ай бұрын
Mafia kubalini. Mwakinyo kawaacha mbali sana kubalini tu
@AllyMwazoaАй бұрын
Kondo ya kare ikauya
@AllyMwazoaАй бұрын
Ile KO imetafutwa kiufundi na uwezo.katika watu Ambao wanastahiki mkono wa mama huyu mchanja Atafutwe Apewe mzigo.Hili ni moja ya mapambano yake mazuri niliyopata kushuhudia.Huyu bondia ni mpole sana mtulivu mwenye heshima na nidhamu sana.Kwa hakika hana vishindo na ndie katika boxers wa Tanga mwenye juhudi na Aliefanikiwa.
@moizjohnston3841Ай бұрын
Haters wa Mwakinyo kunyweni sumu tu mufe maana kila mnapoomba apigwe anapiga watu Tena kwa TKO,Mwakinyo kashinda game ulaya mara 2,huyu Kiduku wenu mpaka piko anachapika ndani na nje,Mwakinyo anajua professional boxer,na ana msimamo......!!
@ismailsoud3634Ай бұрын
Hamna kitu. Anapigana na bondia wa nusu nyota,!! Na apigane na Kiduku mwenye nyota 2 tuone kama atachomoka.
@AthanasiMichaelАй бұрын
Nice jaguar
@1978O3Ай бұрын
dogo mkali sana
@VenanceMahenge-r1kАй бұрын
Hamna bondia umo kiaz
@ismailsoud3634Ай бұрын
Huyu ni boxer, Ana kila kitu Mwakinyo hawezi kukubari kucheza na huyu, kisingizio atataka pesa nyigi ili kukwepa kama alivyo kwepa kwa Twaha kiduku. Mabondia anao kutana nao Mwakinyo hawana ubora . angalau huyu wa majuzi naye hakuwa na stamina. Lakini hayo ni maoni yangu Mimi tu.
@directorsongАй бұрын
Wewe ni shoga kapigane nae wewe mwenye stamina
@ismailsoud3634Ай бұрын
Matusi na sports ni vitu viwili tofauti , Mohammed Ali alikuwa bingwa wa Dunia, lakini hakusuka nywele. Mwakinyo ni kijana ambaye anainukia kwenye ngumi lakini bado hajajuwa ngumi. Lakini ameanza hata kumuhasi Mola wake kwa kujinasbisha na Shoga kusuka nywele.
@munuoisaack418Ай бұрын
Matusi ya nini mtandaoni huyo ni mshabiki ametoa maoni yake kuwa mtu mzima@@directorsong
@felixngaiza3078Ай бұрын
Mwakinyo maneno mengi vitendo vichache, apigane tutaongea washabiki/watazamaji
@AbdallahMchaga-e5qАй бұрын
Ila awe makini bongo watu hawapendani wasije kumuaribia malengo yake
@SaidiIduriАй бұрын
Sasa hapo mwambieni mwakinyo acheze na huyo jamaa muone atakavokimbia mbio
@pettymsungu6420Ай бұрын
Brother Mwakinyo anaonekana Bora kwa mabondia wa Level yake, lkn kwa ngumi ya mafunzo yenye nidham kama ya Walem sio ya Mwakinyo jamaa, anauwezo mkubwa kuliko mwakinyo. Kama utakuwa na kumbukumbu, kati ya mechi ambazo mwakinyo amekutananazo ndandi ya nchi na bondia bora, utagundua kuwa TINNAMPAY nibondia ambae alimchachafya sana mwakinyo, ingawa kwakinyo alipewa ushindi, lkn ushindi ulikuwa wa mtoto wa nyumbani, kwaiyo champez huwa anaonekana bora kwa nafasi yake kutokana na mabondia anao share nao ulingo,