Ile KO imetafutwa kiufundi na uwezo.katika watu Ambao wanastahiki mkono wa mama huyu mchanja Atafutwe Apewe mzigo.Hili ni moja ya mapambano yake mazuri niliyopata kushuhudia.Huyu bondia ni mpole sana mtulivu mwenye heshima na nidhamu sana.Kwa hakika hana vishindo na ndie katika boxers wa Tanga mwenye juhudi na Aliefanikiwa.