Пікірлер
@coolruler6820
@coolruler6820 4 сағат бұрын
Ni vigumu sana kumuelewa huyu jamaa kama huna fikra binafsi
@SilasNdaisabha-gx8jo
@SilasNdaisabha-gx8jo 9 сағат бұрын
Nmeelewa sana big up
@issackmbembati6066
@issackmbembati6066 11 сағат бұрын
Selassie i
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 16 сағат бұрын
imani ya rasta ni imani gani hiyo?
@GaradiGaradi-zq1wf
@GaradiGaradi-zq1wf 17 сағат бұрын
Kachanganikiwa huyo ni kama mbwa aanayebweka kwa kukosa chakula povu jingiiii hoja hana
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 Күн бұрын
Mm ningekuwepo ningetoka anaongea kufru tupu
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 Күн бұрын
Ayo mambo ya kiafrica na rasta havikuletwa saaa vimejileta wenyewe vitu vyote vimeletwa ata iyo maic unayozungumzia imeletwa au umeona dini tu,?
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Күн бұрын
Mkushi upo sawa tumejikolonisha hasa viongozi wetu wa kisissa na wasomi ni shida
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 Күн бұрын
mbona amsemi askari wangapi waliifariki pamoja na raia mnasema upande mmoja tu
@hilarylaurian7896
@hilarylaurian7896 Күн бұрын
Ila Ukristo ulianza Ethiopia. Miaka mingi baada ya Yesu na ukaenea hadi huko Ulaya. Kwa hiyo wakoloni walivyokuja kutawala maeneo mengine ya Africa walisaidia kusambaza Ukristo na siyo kuwa walileta dini Africa. Africa walikuwa wanamjua Mungu kabla ya wazungu kuja. Wazungu wamekuja tu kubadili tu utaratibu wa dini.
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 20 сағат бұрын
Sasa kama ukristo ulianza Ethiopia swali nije huyu mungu yesu ametokea wapi ikiwa mungu alikuepo au huyu mungu roho alitokea wapi kama hidini ya ukristo siyakuungaunga ???
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Күн бұрын
Safi sana kaka
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Күн бұрын
Ni kweri kabisa Yani wazungu wajanja sana kama taifa teure lijipiganie renyewe na ndio wauaji ndio wafiraji wao
@Mohamed-sc6bk
@Mohamed-sc6bk 2 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@MussaKitaluta
@MussaKitaluta 2 күн бұрын
Bangi zinamzumbua
@0diraWilson
@0diraWilson 2 күн бұрын
Umesema KWELI. Amani Kwako
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 2 күн бұрын
Acha ujinga
@athumanikajembe4585
@athumanikajembe4585 2 күн бұрын
Wewe ndio bangi zinakusumbua rasta anaongeaukweli wewe dhambi inakutafuna
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Күн бұрын
Huelewi anaongea nini?
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 2 күн бұрын
Acha ujinga rasta kasome usipotoshe watu. Halaf kuna mijitu imekaa inamsikiliza huyu mpungufu wa akili
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 2 күн бұрын
Ujinga ni kutokujua vitu flan,,hajui Nini unachokijua zaidi!!
@0diraWilson
@0diraWilson 2 күн бұрын
Hivi kweli Mtanzania aliye mpanda na AKILI anaweza kukaa na kusikiliza MJINGA kama huyu mbweha?
@user-gp1hi7sw5k
@user-gp1hi7sw5k Күн бұрын
Usikosowe ukweli
@ndizindeleti761
@ndizindeleti761 Күн бұрын
Rast anasema ukweli
@saiddgsmg
@saiddgsmg 2 күн бұрын
pumba tupu.
@sama-_8368
@sama-_8368 2 күн бұрын
Pumba zilizochanganywa na chenga kidogo na vumbi vumbi la kusababisha mafua kwa anaye jitambua
@user-se7oh4xu5r
@user-se7oh4xu5r 3 күн бұрын
Puwa 😂😂😂😂😂
@Adonkamotci
@Adonkamotci 3 күн бұрын
Rasta wewe Nimtu mwenye lmani ya mungu nme kuEelewa sana👏👏
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 күн бұрын
Halafu msenme mwarabu kafanya mungu kwa kweli 😢😢😢😢
@shamzone388
@shamzone388 3 күн бұрын
Jaman mbona mutatushitua Maana daima wanasema wakija gulf wanateswa je huyo mbina ni kwetu tz❓❓❓
@user-ft2vq5on6l
@user-ft2vq5on6l 2 күн бұрын
Tabia ngumu na roho ngumu ni tabia ya wanadamu yoyote na si kabila maana tunawaona watu mitaani
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 4 күн бұрын
Ukweli mtupu
@HappyAlbatross-us3bg
@HappyAlbatross-us3bg 4 күн бұрын
Hakika imani ya rastafarian ni ukweli mtupu anaongea facts and logic
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 4 күн бұрын
Binadamu ni wa ajabu sana hata ukimwambia mavi ni chakula soft kwakuwa kimesagwa mara mbili ukapangilia vizuri hoja yako kwa kuitengeneza wako watakao kula mavi huwezi kuwakosa wote.
@user-pj3eb2bo4o
@user-pj3eb2bo4o 6 күн бұрын
Wamama wa majumbani zambi jamani huyu mama anyongwe
@chikujuma18
@chikujuma18 6 күн бұрын
Masikin pole mdogo wangu mola yupo nawe utapona inshallah
@ChristinaLyimo-ni5cd
@ChristinaLyimo-ni5cd 7 күн бұрын
Mungu amponye Binti huyu jamn ...kwani binadamu wengine kwan tumebeba mioyo gana jamn ....mungu atusameh
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg 7 күн бұрын
Rasta never day
@agapenanyaro2832
@agapenanyaro2832 7 күн бұрын
❤🎉🎉
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 7 күн бұрын
Hapa ndiyo unaweza kujua kua Rasta far wanatoa elimu ya kweli juu ya wa africa
@UniqueFurnitures33
@UniqueFurnitures33 7 күн бұрын
One love
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d 9 күн бұрын
Et na pua yako unasema niiombe israeli wakristo mnafeli kweli munatakiwa muangaliwe akili
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 9 күн бұрын
israel huwa wana jifanya waungu watu sana hii kwasababu roho zao mbaya sana ni ma Gaidi waku tisha
@franciskilasa4104
@franciskilasa4104 9 күн бұрын
Utaletee pia maandeleo ya mwanza airport jengo jipya
@HusenNdwata-yb6nw
@HusenNdwata-yb6nw 11 күн бұрын
Meli ya maonyesho
@salumkarim69
@salumkarim69 12 күн бұрын
mbona hamleti muendelezo halafu haijajitosheleza vdeo
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 12 күн бұрын
ina beba watu wangapi magari mangapi itakuwa ikiwnda wapi yote hayo hamjatueleza sawa sawa
@EmmanuliM.lugembe
@EmmanuliM.lugembe 12 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉safi sana
@Godfreyolekidongo
@Godfreyolekidongo 13 күн бұрын
Kichwa cha habari na video tofauti😂
@ShehenaMedia-cn2hp
@ShehenaMedia-cn2hp 13 күн бұрын
Keep moving
@KijanaDigital965
@KijanaDigital965 13 күн бұрын
APPRECIATE MWANANGU
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 16 күн бұрын
Uliacha hela zote zimelipwa Magufuli oyee
@josephsweetbert5532
@josephsweetbert5532 17 күн бұрын
Material.yalicholewa kutoka.china ni yapi hayo maana vitu.vyote vinatoka.tanzania
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 18 күн бұрын
Hakuna hata aliye comment duuu
@rashidmalekela
@rashidmalekela 23 күн бұрын
👏👏
@ShehenaMedia-cn2hp
@ShehenaMedia-cn2hp 23 күн бұрын
Keep moving
@pyuga_simulizi
@pyuga_simulizi 24 күн бұрын
🎉
@KijanaDigital965
@KijanaDigital965 24 күн бұрын
Pamoja Sana mr Director
@drixnews8613
@drixnews8613 25 күн бұрын
💥💥💥
@EmmanuelYuda-rn6hi
@EmmanuelYuda-rn6hi Ай бұрын
🎉🎉
@KijanaDigital965
@KijanaDigital965 Ай бұрын
Karibu Yuda! Utazame Kazi Zetu Zaidi
@user-kw6zq3wp2w
@user-kw6zq3wp2w Ай бұрын
Ndiyo shida ya interview za karatasi
@ShehenaMedia-cn2hp
@ShehenaMedia-cn2hp Ай бұрын
Keep. Moving 🔥🎉
@ShoppingSmart-lf5vt
@ShoppingSmart-lf5vt Ай бұрын
So sad😢