Rasta wewe Nimtu mwenye lmani ya mungu nme kuEelewa sana👏👏
@EzekiaMyila5 күн бұрын
Hapa ndiyo unaweza kujua kua Rasta far wanatoa elimu ya kweli juu ya wa africa
@UniqueFurnitures335 күн бұрын
One love
@sama-_836814 сағат бұрын
Pumba zilizochanganywa na chenga kidogo na vumbi vumbi la kusababisha mafua kwa anaye jitambua
@Mohamed-sc6bk7 минут бұрын
Ni kweli kabisa
@nakalikyumile3234Күн бұрын
Ukweli mtupu
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg5 күн бұрын
Rasta never day
@saiddgsmg9 сағат бұрын
pumba tupu.
@HappyAlbatross-us3bg2 күн бұрын
Hakika imani ya rastafarian ni ukweli mtupu anaongea facts and logic
@pastorzakariatv17862 күн бұрын
Binadamu ni wa ajabu sana hata ukimwambia mavi ni chakula soft kwakuwa kimesagwa mara mbili ukapangilia vizuri hoja yako kwa kuitengeneza wako watakao kula mavi huwezi kuwakosa wote.
@MussaKitaluta5 сағат бұрын
Bangi zinamzumbua
@0diraWilson3 сағат бұрын
Umesema KWELI. Amani Kwako
@simonlukiko2850Сағат бұрын
Acha ujinga
@salehkhamis-ob8ln8 сағат бұрын
Acha ujinga rasta kasome usipotoshe watu. Halaf kuna mijitu imekaa inamsikiliza huyu mpungufu wa akili
@BONGOINMOTION6 сағат бұрын
Ujinga ni kutokujua vitu flan,,hajui Nini unachokijua zaidi!!
@0diraWilson3 сағат бұрын
Hivi kweli Mtanzania aliye mpanda na AKILI anaweza kukaa na kusikiliza MJINGA kama huyu mbweha?