Wahubiri wote ni mbwa kweli?
24:50
4 сағат бұрын
Пікірлер
@monicandengo4680
@monicandengo4680 35 минут бұрын
Huyu mama afai kabiaa
@monicandengo4680
@monicandengo4680 51 минут бұрын
Leo kimeeleweka
@JosephAkida
@JosephAkida Сағат бұрын
Ameeen sana
@JudithMbugi
@JudithMbugi Сағат бұрын
Ameeeeen baba mlingoti chuma kamba chuma bendera chuma
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Сағат бұрын
Huna lolote una wivu ndiyo we umefanya nini we unaheshimiwa na nani na kanisa lako liko wapi huna lolote we ndo mpinga kiristo
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Сағат бұрын
Menemene tekeli na pelasi yeti mach
@chrithicksambo2287
@chrithicksambo2287 2 сағат бұрын
Kamanda langu likihubili Kwa sauti ya Mamlaka dadeki 💪💪
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 2 сағат бұрын
Mchungaji Mm ni mtumishi wa Mungu kweli kweli . Acha Mungu aendelee kumuinuwa zaidi na zaidi
@musajulias3392
@musajulias3392 2 сағат бұрын
Pamewaka sana sana❤❤❤
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 2 сағат бұрын
Halleluyahhh...💃💃💃💃
@SelakaNgao-fg1ei
@SelakaNgao-fg1ei 2 сағат бұрын
Mimi ninamkataa Mbarikiwa kwa sababu haeleweki hata anachokizungumzia zaidi ya kunivuruga tu ufahamu..ila nikimsikia KAKOBE Akiongea ...namuelewa vizuri kabisa uku nikipata Rahaaa nafsini mwangu..BABA KAKOBE OYEEEE EEE BW. YESU MLINDE KAKOBE WETU KTK JINA LA YESU .
@AskofuAmosi
@AskofuAmosi 2 сағат бұрын
Ameni Baba
@musajulias3392
@musajulias3392 3 сағат бұрын
Ameni baba
@PASTOR_SHITINDI
@PASTOR_SHITINDI 3 сағат бұрын
Aaaaaaa!! Hili jamaa ni mbengu ya mbinguni haswaaa
@MarySteven-y5g
@MarySteven-y5g 3 сағат бұрын
Watu wng wanaangamia kwa kukosa maarifa.
@EsterSwilah-jv6ns
@EsterSwilah-jv6ns 3 сағат бұрын
Hii ni chuma mlingoti kamba bendera🔥🔥🙏
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 3 сағат бұрын
Neno ni Moja tu, Upendo na Haki na vyote vinaangukia kwenye kutenda Wema tu basi.
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 3 сағат бұрын
hii nimeipenda sana, kuna neno kwenye Biblia linasema ukitunzwa madhabahuni na wewe iache hapohapo madhabahuni.
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd 3 сағат бұрын
N kweli kabisa mchungaji waambie ukweli waache kuchafua jina la yesu
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 3 сағат бұрын
Amen baba ninakupata kutoka Green city
@YORAMYETERO
@YORAMYETERO 3 сағат бұрын
Mpina kaza buti wamezalilika mungo yu pamoja nawe
@DalariWambao
@DalariWambao 3 сағат бұрын
Mungu nakushukulu
@BartolomeuHenrique-mx1fn
@BartolomeuHenrique-mx1fn 4 сағат бұрын
❤ ubarikiwe sana Niko Mozambique Pemba nakufuatilia
@sandejacob623
@sandejacob623 4 сағат бұрын
Chuma chuma
@JuliusMakwengwe-x3e
@JuliusMakwengwe-x3e 4 сағат бұрын
Unaeleweka sana sana baba
@user-sp2pp7ih5y
@user-sp2pp7ih5y 4 сағат бұрын
Ujazwe roho mtakatifu
@user-sp2pp7ih5y
@user-sp2pp7ih5y 4 сағат бұрын
Huja wahikuhubili injili hata siku moja kuonya na kuhubili vitu viwili tofauti huna roho mtakatifu ndiyo mama unajiongoza pekeyako
@AskofuAmosi
@AskofuAmosi 4 сағат бұрын
Ameni
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 4 сағат бұрын
Tanzania kama Tanzania wahubiri halisi tumebaki nao wapambania kweli na haki ni hawa wawili tu: Pasta MBARIKIWA na Pasta MWANAMAPINDUZI MAXIMILIAN MACHUM.
@LameckLameckmjwanga-yc6yv
@LameckLameckmjwanga-yc6yv 4 сағат бұрын
❤❤ameni baba
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 4 сағат бұрын
Siri ya kuwarudisha Tena machifu katika Nchi hii Ni kuendesha Nchi kishirikina maana inajulikana Sana kuwa machifu wengi walifanya kazi zao chini ya mazindiko ya ulinzi wa ufakme wake;
@atugonzalugemalila5142
@atugonzalugemalila5142 4 сағат бұрын
Hasiyekuwa na ufahamu a naweza kuona utani lkn Kuna funzo kubwa sana
@Pendopasilika
@Pendopasilika 4 сағат бұрын
Hee!!! barikiwa mtumishi ni kweli kabisa
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 4 сағат бұрын
Hahaha hao ndo watamtengua sa
@alunekyusa4905
@alunekyusa4905 4 сағат бұрын
Hilo andiko linaumizaga sana ila sijui namna ya kujua nitatenda kwa nani?
@alunekyusa4905
@alunekyusa4905 4 сағат бұрын
Hilo andiko linaumizaga sana ila sijui namna ya kujua nitatenda kwa nani?
@kikosikaziupdate
@kikosikaziupdate 4 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 moto moto
@eliudimsyani127
@eliudimsyani127 4 сағат бұрын
A! MZEE TUNAKUELEWA SANA
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd 4 сағат бұрын
Amen 🙏🙏
@re.emmanuelmdoe3345
@re.emmanuelmdoe3345 4 сағат бұрын
Sura zimezizimaa😂😂😂 Kura chuma hiyo katika Imani Ya Kristo Yesu wa Nazareth.
@SAUTIYAHAKI
@SAUTIYAHAKI 4 сағат бұрын
Kweli
@user-cz9ft8ru7s
@user-cz9ft8ru7s 5 сағат бұрын
Hiyo kama nyota kwenye bendera ya Israel hiyo nembo ni nani wanaoimiliki hiyo nembo?
@yuzzob
@yuzzob 4 сағат бұрын
Israel 🇮🇱 mwenyewe
@user-mm6nx4jp2m
@user-mm6nx4jp2m 5 сағат бұрын
Safi bint.wape dozi washenzi hao
@asteriashios1852
@asteriashios1852 5 сағат бұрын
Mpina ndo msema kweli wengine wote ni feki hasa msukuma naona arudi shule
@user-te1vg6dc2h
@user-te1vg6dc2h 5 сағат бұрын
Uduma yako apa dar salam iko wapi
@levissanga8867
@levissanga8867 5 сағат бұрын
Hivi machifu walitokea kila kona ya jamhuri?
@bazilmateru915
@bazilmateru915 5 сағат бұрын
Hao mapasta washenzi ukianzia na mwamposa yan hadi home ukiwa jambo lako unaamza kulazimishwa na ndugu kujipaka mafuta ya mwamposa yani usenge .hawa jamaa ninmatapeli wana take advantage ya shida za watu . Wanasaikolojia watakuwa wamenielewa
@KenedyMwakyimo-lf6jg
@KenedyMwakyimo-lf6jg 5 сағат бұрын
😂😂kweli kabsa hizi message😂😂 ubarikiwe mchungaji mbarikiwa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 6 сағат бұрын
Manabii Wanamiliki Utajiri Kwa sababu ya Nguvu za Giza
@elishaobadia7212
@elishaobadia7212 6 сағат бұрын
Uko sahihi ila kumbuka kuondoka na vyote iwe sabato,mpinga kristo,haki,torati na vyote usiegemee seem 1 shughulika na biblia yote Mpk siku usiache na ikiwa hutoenenda Kwa shuhuda na sheria basi kwako Hpna asubuhi mtumishi
@mvunge7108
@mvunge7108 6 сағат бұрын
kunyanganya maskini pesa tu...wezi hawa hapo anaomna pesa
@Philipoupdates
@Philipoupdates 6 сағат бұрын
Acha makasiriko amenyanganya za nani sasa sikiliza injili iliyonyooka
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 5 сағат бұрын
Hujui unacho ongea wewe
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 5 сағат бұрын
wamekunyang'anya hela wewe au babayako?
@mkdg.4skolo891
@mkdg.4skolo891 5 сағат бұрын
Kwnza mtumishi kama huyu hakuna na hata utfyte kwa tochi wew sdka zko peleka kwa mwmposa wko hkoo hpo hta hana tyme na sdaka zako anasstiza vjana wakapge kazi jioni warudi hemani mwa Bwana Wakamtukuze alivyowabariki wew hbri za kuwnyang'anya sadaka maskinj unazitoa wapi nyang'au weww mwnyewe nenda katubu hyo dhambi zako
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 3 сағат бұрын
Jiongeze uelewe, na acha uelewa wa kinafiki nafiki.