Mbarikiwa atoa taarifa ya dharura kwa mch Magembe na wafuasi wake. CHONDE CHONDE.....

  Рет қаралды 12,947

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 142
@florianmakero9877
@florianmakero9877 11 күн бұрын
Mungu akubariki kwa kumshauri mchungaji magembe nikwe akienda katika hayo atakuwa mchungaji wa kweli by Florian makero amina
@richeljamesmosses9685
@richeljamesmosses9685 13 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu wanao ipenda dunia kawaida yao kukuponga lakini sisi wana wa maangano tunasema neno labwana ndio taa yetu mungu na akulipe kwa kazi alio kupa
@joelking3692
@joelking3692 13 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, unajua mara ya kwanza ulivosema ahame TAG sikuelewa ila sasa nimekuelewa vizuri
@nkanabodastan7887
@nkanabodastan7887 13 күн бұрын
Nawapenda sana Mbarikiwa, Magembe pamoja ipindueni Tanzania. Najua ipo neema kubwa ya kuwawezesha, NIPO UPANDE WENU.
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 10 күн бұрын
Mimi nakukubali sana, nakusihi sana baba mchungaji mbarikiw a ungana na baba mchungaji Magembe msaidiane kumpinga shetani pls
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 10 күн бұрын
Mimi nakataa kuwa hautakufa bali utaishi, nafuta kauli yako uliyosema muda wa kuishi umefika napinga roho ya mauti, wako nafuta kwa damu ya Yesu, wewe utaishi milele 🙏
@milkajm4762
@milkajm4762 13 күн бұрын
Ushauri mzuri sana Mchungaji. Umegusa maeneo muhimu sana
@ZABRONRUVUGO
@ZABRONRUVUGO 12 күн бұрын
Baba mbarikiwa mungu akubariki sana lakini ombi langu naomba na sisi vijana uwe unatushauli nini tufanye kwenye hii safari ya wokovu ameeeeeeeen
@adventinandyanabo1615
@adventinandyanabo1615 13 күн бұрын
Mungu akubariki mbariwa, nimekusikia kwa makini mpaka nimelengwa na machozi
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 12 күн бұрын
Mimi naomba ushauri huu usikilizwe na mzee Magembe kama kuna mtu atamfikishia. Amen
@isaacjosephjoseph2733
@isaacjosephjoseph2733 11 күн бұрын
Yaani mchungaji nakupenda sana aisee kaka
@jeremiakalekezi2301
@jeremiakalekezi2301 12 күн бұрын
Mtumishi Naheshimu Maoni Yako Lakini Ungekuwa Karibu Ningekupa Maini Yangu Juu Ya Hili Najuwa Ungenielewa Ila Kwa Kifupi Mzee Kashauriwa Vibaya
@elishadodi8787
@elishadodi8787 12 күн бұрын
Mch Mbarikiwa wewe ni genius. Una uwezo kumuona mtu kutokea ndani ya moyo wake.
@RonaldOkulo-g6m
@RonaldOkulo-g6m 12 күн бұрын
Yap, also i perceived that
@yohanaminga5638
@yohanaminga5638 12 күн бұрын
Kwa kweli Magembe nakupa BIG UP SANA. Mimi napenda sana msimamo wako. Watu wamegeuza kanisa la TAG kuwa la KIPROTESTANT. Asili ya kanisa imepotea kabisa fasheni za kidunia zimelivamia kanisa la TAG
@B-S-S-P
@B-S-S-P 13 күн бұрын
Mahubiri na Nyaraka na Mafundisho ya Mbarikiwa ni mafumbo kama ya Paulo,Mtu wa mwilini ni vigumu kutambua badala yake utapotoka na kupotosha na kupotea(1Wakorintho 2:6-15).Muombe Mungu kwanza ,Akufungue masikio na macho ya rohoni kwa unyenyekevu ktk kujifunza utamwelewa sanaa
@michaelkibiki3309
@michaelkibiki3309 12 күн бұрын
Mungu huwezi kumpambania Mungu atajipambania Mwenyewe.Tujifunze kuheshimu maongozi kama tutajenga tabia ya kudharau maongozi ipo siku tutavuna tunayopanda na watakuja wenye mitazamo tofauti na wewe watakuasi mwisho minyukano.Dhambi ya uasi haitamweka mtumishi yoyote salama.Tukubali kuongozwa
@barakangogo31
@barakangogo31 12 күн бұрын
Kwahiyo hata Kama Ni uongozi mbovu uloharibika, unafaa uendelee kutii uongozi?? Fikiri Tena ndugu
@EricTrillz
@EricTrillz 12 күн бұрын
Kwani ni sisa au serikali mpaka kuchaguana.Mambo ya dini ni ya kiroho.
@StellaLwesya
@StellaLwesya 11 күн бұрын
Pole kuheshim kwako ndo maana unalishwa matango pol ipo siku utaambiwa ukazin utaenda sikiongoz kasema
@michaelkibiki3309
@michaelkibiki3309 11 күн бұрын
@@EricTrillz kura hukomesha mashindano
@PaulSanga-m3p
@PaulSanga-m3p 12 күн бұрын
Tumuangalie Roho Mtakatifu anao wa akinaMagembe wengine hapa Tanzania ni maswala ya wakati .mpaka hapo mch Magembe ameisha ifanya kazi ya Mungu .kungara kuzuri ni mbele za Mungu na siyo mbele za wanadamu
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 12 күн бұрын
Ni ushauri kwa mzee Magembe na wafuasi wake lakini na mimi nimejifunza sanaaaaaaaa!!!!!
@EnockNgunwa-hc6is
@EnockNgunwa-hc6is 12 күн бұрын
Mungu wambinguni Atamng'risha magembe kwanihuunawakati sahii wakufanya kaziyamungu
@twendetuishi2316
@twendetuishi2316 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂 eti mibundi iliyokaaa mbelee Nakupenda bure mbarikiwa jamani.shida yangu na wewe hapo kumuabudu magufuli ambaye amelifikisha taifa letu mahali pa baya sana utekaji mauaji and so
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 13 күн бұрын
Ushauri mzuri sana sana.
@AtuganileGodson
@AtuganileGodson 13 күн бұрын
Huu ushauri ni mzuri sana Kwa matengenezo ya kanisa ila vinginevyo?Ila Mungu anasababu na Maghembe
@krispinmalekela7848
@krispinmalekela7848 12 күн бұрын
Mungu hasta Muacha ndugu yetu. Tutachangia huduma yake kadri Mungu atakavyo tujalia
@obadiambilinyi27
@obadiambilinyi27 13 күн бұрын
Ushauri mzuri sana, lakini pia asisahau kuweka vazi la stara kwa mwanamke na mwanaume. Kwa kuwa wewe tayari umelifanya nashauri achukue tu kutoka kwako. Asipozingatia suala la mavazi itakuwa rahisi sana kanisa kuharibiwa. Binafsi namtakia kila la kheri katika kazi ya Mungu .
@MosesMwakalibule
@MosesMwakalibule 9 күн бұрын
Chuma 😂 hunoa chuma.....
@Magufuli.
@Magufuli. 12 күн бұрын
Mi naamini makulola watarudi tena💪💪
@TukaeSanga-z8q
@TukaeSanga-z8q 13 күн бұрын
Ushauri mzuri
@hurumajosephat6333
@hurumajosephat6333 13 күн бұрын
Uko sahihi Baba
@ABELSIMON-z7w
@ABELSIMON-z7w 13 күн бұрын
UMEUPIGA MWINGI MTUMISHI ushauri mzuri sana NAMI NAKUSHAURI IKIKUPENDEZA TAFUTA MUDA UONANE NAE KWA SASA WEWE NI MSAADA MKUBWA KWAKE KIHUDUMA
@eliudmwakaghali
@eliudmwakaghali 13 күн бұрын
Mch . Naomba kama itampendeza Mungu naomba utuandalie fundisho la kuhusu krismass je kimaandiko ikoje?
@PeterSogoseye
@PeterSogoseye 13 күн бұрын
Kunyamanza nako nihekima mtumishi wa Mungu ushauri wako ungekuwa namaana sana kama ungeonana nae baba yako huwezi kumshauri kwenye mtandao
@JuliethMshiu
@JuliethMshiu 13 күн бұрын
Exactly
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 13 күн бұрын
Hekima ya mashetani wote ni kunyamaza ili ushetani uendelee. Wewe hapa unamshauri kunyamaza Mch. Mbarikiwa mtandaoni kwanini hukwenda kuonana naye?
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 13 күн бұрын
Zaidi ya hayo Tambua kuwa tunashauri hadharani ili wote wenye moyo kama wa mtajwa wafikie. Zaidi sana hii ni kwa vizazi vyote. Walioonya na kushauri ndani ya Biblia tungeyapata wapi yasingekuwa hadharani?
@njiailiyonjema
@njiailiyonjema 12 күн бұрын
Ushauri huu ni ukweli mchungu. Kuna baadhi ya mambo unayaongea humu ni vigumu kuyatimiza, ila nimejifunza mengi.
@JanuaryTewu
@JanuaryTewu 12 күн бұрын
Amen
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 13 күн бұрын
Sahihi baba
@EricTrillz
@EricTrillz 12 күн бұрын
INJILI YA MZEE MAGEMBE NDIO NILIYOKUWA NAISIKIA MIAKA YA 80 KTK KANISA LA MWANZO KABISA LA PENTEKOSTI BUGANDO LA MOSES KULOLA.
@cyruskulusi
@cyruskulusi 5 күн бұрын
Ukweli mtupu umehuongelelea kuhusu hao wanaoketi viti vya mbele, niwatu wasiojali madhebau ya Bwana, nakuomba uwaondoe mala Moja hapo madhabauni. Utarativu mpya panya, na usikize mubarikiwe anacho sema,
@gpupinternational
@gpupinternational 5 күн бұрын
Amina
@danielshimora5315
@danielshimora5315 13 күн бұрын
Mpaka hapo amesha ng'aaaa, amefuata nyayo za Yesu amekua na hasila kama za Yesu alipo kuta wamegeuza nyumba ya Baba yake kuwa pango la walanguzi..
@filyakusimsigwa5006
@filyakusimsigwa5006 10 күн бұрын
Magembe hatafuti kung'aa magembe anatafuta kukemea dhambi bila kuwekewa vikwazo muda wote watu wayatende yanayompendeza bwana
@PatrickKigava-lr4el
@PatrickKigava-lr4el 12 күн бұрын
Ameng'aa sana, na atang'aaa sana
@markob.kitosi8349
@markob.kitosi8349 12 күн бұрын
Inaonakana mbarikiwa anashida na kanisa la TAG
@ThomasIkerrs
@ThomasIkerrs 10 күн бұрын
Sioni.TAG ina shida sana,sasa ni dhehebu.
@johnmndeme1050
@johnmndeme1050 10 күн бұрын
Atang'aaa sana
@sefaniambugi7742
@sefaniambugi7742 9 күн бұрын
Nabii branham alisemaje kuhusu madhehebu alisema yamekufa yameoza
@JuliasKaristo
@JuliasKaristo 13 күн бұрын
Ukosasahh mtumishi lakn Mungu hapendi mtengano bila sababu kama magembe angejitenga kwasababu ya mafundisho ingekuwa ni sawa lakn yeye anasema kanisa limepoa hiyo siyo sababu yamuhimu kwa babu yeye amuhubili ilitakiwa awashe moto ili kanisa ililud kwenye haliake
@PGM20179
@PGM20179 13 күн бұрын
point
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 13 күн бұрын
Anapouwasha huo moto mnasema kuwa anawachafua au amewageuka, au anawatukana. Ikifika hatua hiyo Mungu hupenda matengano soma Ezekieli 12:1-4
@vincentmaya9962
@vincentmaya9962 11 күн бұрын
Ningetamani uwe Baba wa kiroho wa Martha Mwaipaja umlee kiroho.
@vincentmaya9962
@vincentmaya9962 11 күн бұрын
Najua bado ana nyota ya utumishi ndani yake.
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 12 күн бұрын
Chenga tupu kumbe kuna vitimbwi kama vile vilivyomo cdm
@ANDREA-k9p8u
@ANDREA-k9p8u 13 күн бұрын
Wanaoichukia TAG sasa wamepata mlango wa kuonesha yaliyokuwepo mioyoni mwao. Sasa mnachofanya ni kuipaisha zaidi!
@tutengenezemuziki
@tutengenezemuziki 12 күн бұрын
Mungu hulitizama Neno Lake alitimize,Sio kundi la Watu au Mtu Mungu anapoliangalia Kanisa Tanzania haangalii Dhehebu_
@musajulias3392
@musajulias3392 12 күн бұрын
😂😂😂😂 Eti kuipaisha mweeeeee
@samweli7985
@samweli7985 12 күн бұрын
​@@musajulias3392kwahiyo wewe unaona t, a,g. Iko salama? Kwatarifa Yako, huku arusha imepowa kabisa
@samweli7985
@samweli7985 12 күн бұрын
​@@musajulias3392kwahiyo wewe unaona t, a,g. Iko salama? Kwatarifa Yako, huku arusha imepowa kabisa
@FellaMbogela
@FellaMbogela 13 күн бұрын
KILICHO MTOA PALE NI MUNGU MWENYEWE NA NDIYE ATAKAYE SIMAMA NAYE KTK KAZI YAKE NA KWA UIMARA ZAIDI
@BraviusBenedicto-l7o
@BraviusBenedicto-l7o 13 күн бұрын
Keeling kabisa
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 13 күн бұрын
Kwa kweli umewatengeneza kweli kweli 🎉🎉
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 13 күн бұрын
unashauri vizuri.ila unaposema wazee inabidi wawe wanaenda na tune yake pa kucheka wacheke pa kulia walie.hapo. unakuwa kama unatengeneza marobot.hiyo sio nzuri sio lazima mtu akuoneshe ishara uson kuwa tuko pamoja
@EricTrillz
@EricTrillz 12 күн бұрын
HUYU NI MTUMISHI WA KWELI,YESU ATASIMAMA MWENYEWE JUU YAKE.KAMA KWELI WOOOTE WANAMTUMIKIA MUNGU MMOJA MASHINDANO NA KUBEZANA KUNATOKA WAPI???WENGI WAKO MWILINI WANAWAZA SADAKA TU.
@gidionileonardi4959
@gidionileonardi4959 13 күн бұрын
Mch Magembe aling'aa tangu akiwa TAG na ndiyo maana TAG wameshiindwa kustahimili mnga'o wake maana Magembe alitaka kurudisha nuru TAG lakini wamekataa hivyo alivyotoka atazidi kung'aa kwa habari kutengeneza watu wakufanana nae hata wewe Mbarikiwa ukiwa tayari roho iliyo ndani ya Magembe iinakuja juu yako ukitamani na ukiwa tayari kulipa garama nk
@meshackzegezege9893
@meshackzegezege9893 13 күн бұрын
Hilo tatizo la elimu,na fedha ni ugonjonjwa kbs upo sahih mchungaj, yaan mtu akiwa na pesa anapewa uzee wa kanisa au kitengo Cha maombi Kisa pesa ndipo tunapotea hpo upo sahih mchungaj hpo
@LabanSimwinga-o7p
@LabanSimwinga-o7p 13 күн бұрын
Wako wapi akina eliya,danieli,yohana,Paulo, wako wapi waioogopa mapanga kwasababu ya kweli
@VictorIshengoma-v4y
@VictorIshengoma-v4y 11 күн бұрын
Uongo hawezi kuleta uamsho na kiburi hicho
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 11 күн бұрын
Kwa hiyo uamsho utaleta wewe ndiye huna kiburi?
@jacksonmkuye7739
@jacksonmkuye7739 13 күн бұрын
icon wa AKILI ya mbinguni Duniani
@simonjnrmabula3785
@simonjnrmabula3785 13 күн бұрын
🎉
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 12 күн бұрын
Nenda ukawe katibu
@salomemgaya1244
@salomemgaya1244 13 күн бұрын
Wataka kutuambia Mzee Magembe kwa wakati wote amefanya kazi ya Mungu bila kuwa na watu wenye harakati kama zake ? Bila shaka anao wa kutosha . Kingine ni kwamba wewe ndo ulitakiwa kushauriwa na Mzee Magembe , Magembe injili yake inaeleweka ana busara sana .
@enocklugwe513
@enocklugwe513 13 күн бұрын
Hata Mimi nampenda Magembe. Lakini wewe unashida. Jitahidi sana kuongozwa na Mungu kwa Kila unachotaka kuongea. Maana wenye akili nzuri hawakuelewi, maana si kwakujipendekeza huko. Kwani amekuomba umsemee?
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 13 күн бұрын
Wenye akili nzuri ndio wewe? Mko wangapi mpaka sasa? Kwani wewe unapendwa na kueleweka na watu wote? Yesu, Mungu, shetani hapendwi na kueleweka na watu wote nani wewe unapendwa na kueleweka na watu wote? Hatusemi kwa aliyetuomba tuseme bali tunasema tupotakiwa kusema.
@mikbete
@mikbete 13 күн бұрын
Kwani amekwambia anaongea ili aelewwke? Yesu mwenyewe hakueleweka sembuse mtu wa Mungu Mbarikiwa. Kaeni kimya aongee, Mtu wa ZAMU katika zamu yake.
@endrewmwasomola6506
@endrewmwasomola6506 13 күн бұрын
Huna akili wewe,
@elishadodi8787
@elishadodi8787 12 күн бұрын
Wewe ulichoandika Hapa umeongozwa na Mungu?Huyo mwenye akili kama haya hayaelewi jua ana akili za dhambi tu. Kwani wewe umeombwa kuandika comment yako kama wewe ndiyo huna akili ni nini? Kama walio na akili hawamuelewi wanamfuatilia Mbarikiwa ili iwe nini kwani amewaomba? Kama siyo kujipendekeza ni nini?
@FellaMbogela
@FellaMbogela 13 күн бұрын
NA HASA HICHO UNACHO SEMA NDICHO AMBACHO AMEKUWA AKILIA NA VIJANA WARITHI WA KAZI YA MUNGU
@EmmanuelMbunda-m2e
@EmmanuelMbunda-m2e 13 күн бұрын
Magembe hilokanisa amesajili yeye?
@michaelkibiki3309
@michaelkibiki3309 12 күн бұрын
Baba mchungaji Mwakipesile hubiri injili achana na Siasa mtandaoni naomba utufundishe njia Mungu tusaidie tufanyeje ili tufike mbinguni.Pia kwa maoni yangu kama unaona mtu anakosea mwonye hata kwa kumtaja na utaje kosa lake ambalo amekosea kulingana na neno la Mungu na umsaidie namna ya kurekebisha ili amwone Mungu sio kumchamba au mambo ya mitazamo hapo hapana sio lazima mitazamo yangu ifanane na mitizamo yako.Muhimu tufanane kwenye mitizamo ya Kibiblia vinginevyo tutakuwa tunafundishana kuwa uasi ni kitu sahihi
@paschalvenance1833
@paschalvenance1833 13 күн бұрын
Heri tumbo lililokuzaa wewe mtu wa haki.
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 12 күн бұрын
Hakuna jipya na wewe walewale tulishawasoma wote
@PGM20179
@PGM20179 13 күн бұрын
Ni waambie kitu Yeyote analisema vibaya kanisa la TAG, na huku mnafahamu fika kuwa ni kanisa ninalopinga na kukemea dhambi kwa washirika na watumishi jueni mnafanya kazi ya SHETANI. Shetani anawatumia bila kujua
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 13 күн бұрын
Linapinga dhambi kwa maneno au kwa matendo? Kwa hiyo ni takatifu?
@danielshimora5315
@danielshimora5315 13 күн бұрын
Wanapinga kwa maneno ​@@Mbarikiwa_Mwakipesile
@michaelkibiki3309
@michaelkibiki3309 13 күн бұрын
Tatizo kubwa ni mitizamo tu wala sijaona kama Kanisa la TAG limeruhusu dhambi kanisani watenda dhambi kanisani wamekuwa wakishughulikiwa ila madhehebu mengi yamedhalishwa kwaajili ya mitazamo tu.Wewe aendelea kuwafundisha watu njia ya kweli ya Mungu.Achana na kujikita mtandaoni kuwasema vibaya watumish Wa Mungu kwaajili ya mitazamo yako sio Mungu mara utaje huyu na wakati ungeulizwa sema TAG wapi wamemkosea Mungu ili warekebishe utatuleletea mitazamo yako na wala siyo bibliai​@@Mbarikiwa_Mwakipesile
@elishadodi8787
@elishadodi8787 12 күн бұрын
Kwani hayo mabaya ya TAG yasemwayo hayapo au yapo?
@michaelkibiki3309
@michaelkibiki3309 12 күн бұрын
@elishadodi8787 yapi taja na andiko wanalokosea kulitii
@MathiasKunnanga
@MathiasKunnanga 13 күн бұрын
Samahani mchungaji hili andiko maana yake nn kama uchaguzi haufai Mithali 18:18 [18]Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 13 күн бұрын
Ni waovu. Yaani waovu ndio hukomesha mashindano kwa njia ya kura. Ila kwa Mungu ni uteuzi
@VincentyohanaYohana
@VincentyohanaYohana 13 күн бұрын
Mch. Mbarikiwa. Wewe Ni mtoa Ushauri kwa wengine hila wewe sijajua Ni kwanini ahutaki Ushauri najiuliza hilo Sana Sana
@modestapeter2997
@modestapeter2997 13 күн бұрын
@Vincentyohanayohana LINI ULIMSHAULI AKAKATAA USHAULI WAKO? MLIKUTANA NAE WAPI? na ukikuta ushauri wako haujasikilizwa ujue umeongea Pumba
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 13 күн бұрын
Kunyea mdomo sio ushauri. Hakuna mwanadamu mwenye kujimudu ambaye SI ZAO LA KUSHAULIWA. Kujua tu kusoma na kuandika ni zao la kukubali KUSHAULIWA.
@shillahmbogo5556
@shillahmbogo5556 13 күн бұрын
Mzee huyu Hana Dharau hata kidogo@Mbarikiwa
@Officialjoel85
@Officialjoel85 13 күн бұрын
Huyu jamaa nampenda but the problem is : kwa nn amebezi sana kuongelea stories na maisha ya wengine … ivi ana mda wa kujenga kanisa lake au kulisha kundi lake ? There must be something wrong with him… kwa nn haonekani sana kuimarisha kituo chake … he’s a talkative person na angetakiwa kuwekeza sana kujenga kwake ili hao anaowakosoa wajifunze kwake but it looks like he’s busy with politics and gossiping
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 13 күн бұрын
Sema wewe ndio unapenda Akiongelea wengine ila ukiingia kwenye live ya chanel hii utaona kuwa kila siku anahubiria waumini wake kwa masaa mengi. Zaidi sana hizo picha ndogo unazoziona juu kulia kwako ndio hatua na mfano wa kanisa lake lilivyo.
@PGM20179
@PGM20179 13 күн бұрын
Sidhani kama ana kanisa ni wakala wa shetani anamsaidia shetani kuua watumishi, kupandisha viburi vya watumishi ili wainue mabega kisha wafe
@mikbete
@mikbete 13 күн бұрын
You don' know him, you 're a mere person who know nothing about the man, you have no findings at all. Let him continue preaching the gospel of the kingdom.
@patrickmathiasnsalanga3401
@patrickmathiasnsalanga3401 13 күн бұрын
You complain on this man of God but you know nothing about him, he is a good person Yes, Mr mbarikiwa has full information of the kingdom of God. I have been following this man for five years now and dont regret. I want to advice you to continue following him to learn more about God. I have categorically changed since i knew him trust me.
@elibarikinzoggi5274
@elibarikinzoggi5274 13 күн бұрын
Ndugu hongera kwa kukoment, lakini nataka ujue jambo moja kwamba, kuna watu wana muda mfupi sana wa kupumzika, mufa mwingi wapo kushauri na kugundisha wengine!! Ni pamoja na huyu jamaa. So dont be quick kuongelea negativities with no clue.
@Fessie28
@Fessie28 13 күн бұрын
Mimi kama mwana TAG nina mengi ya kusema ila nashukuru Mungu amenisaidia kunyamaza 🙏🙏🙏 😁😁😁😁 sawa bwana mbarikiwa, kheri wewe uliyebarikiwa kuliko wengine😅
@beatricepaul1442
@beatricepaul1442 13 күн бұрын
Mtumishi wa MUNGU Mbarikiwa MUNGU Kama amekutuma kuonya kusema Sema kwa sauti kuu bila Hofu . Atakayesikia asikie. KRISTO ANARUDI. na tutashuhudia zaidi ya haya.
@Fessie28
@Fessie28 13 күн бұрын
@beatricepaul1442 😂😂😂😂😂😂
@isayakiyeyeu6295
@isayakiyeyeu6295 13 күн бұрын
Ushauri wa mitandaoni si uende mkae uongee hayo?
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 13 күн бұрын
Wewe mbona umeandika mtandaoni? Kwa nini haujaja kushauri kwa siri. Zaidi ya hayo Tambua kuwa tunashauri hadharani ili wote wenye moyo kama wa mtajwa wafikiwe. Zaidi sana huwekwa hadharani kwa ajili ya vizazi vyote. Walioonya na kushauri ndani ya Biblia tungeyapata wapi yasingekuwa hadharani?
@elishadodi8787
@elishadodi8787 12 күн бұрын
Kwani wewe hapa hii komenti imeandika wapi, mbona hujaenda kumuona live?
@isayakiyeyeu6295
@isayakiyeyeu6295 13 күн бұрын
Umeombwa kumshauri?
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 13 күн бұрын
Wewe umeombwa ku comment?
@brianshomi722
@brianshomi722 12 күн бұрын
Wewe umeombwa kumsikiliza?
@happydaud3639
@happydaud3639 12 күн бұрын
Jibu safii sana​@@Mbarikiwa_Mwakipesile
@NABSONLAMECK
@NABSONLAMECK 13 күн бұрын
Mjinga wewe acha kufuatiliaa ya wenzio Fanya yako pia neno la mungu unasomea saaa ngapi muda wote kuongelea wenzako
@eliudmwakaghali
@eliudmwakaghali 13 күн бұрын
Mpendwa vp mbona unakuwa hivyo? Mbona katoa ushauri mzuri tu.
@gotafostv7305
@gotafostv7305 13 күн бұрын
Sasa wewe mwerevu unamsikilizaje mjinga ,block channel yake pita hivi ,na umejuaje na umemuonaje akiwafuatilia wengine kama siyo wewe pia kutumia muda wako kumfuatilia?? Nani aliyekuleta hapa?
@ABELSIMON-z7w
@ABELSIMON-z7w 13 күн бұрын
Nahisi WEWE ni TAG PIGA MOYO KONDE HUO NDIO UHALISIA
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 13 күн бұрын
Sasa amekosea wapi!? Mbona una chuki isiyo na 7bu?
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 13 күн бұрын
@NABSONLAMECK,naona kama una vinasaba na Beatrice Mwaipaja coz roho uliyenaye ni wa-kishetani kupitia coment yako.
@simonjnrmabula3785
@simonjnrmabula3785 13 күн бұрын
🎉
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
GAMBO amjibu MAKONDA bila uoga adai hana ELIMU anatakiwa kuelimishwa
9:18
Mbarikiwa "awalipua" Wachokozi na Mwandambo. Tuwe "wasela" kama nyie?
26:29
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 1,9 М.
Magembe amjibu Mbarikiwa kwa kutoa tamko kali la utakavyokuwa utaratibu wa kanisa lake
40:50