Пікірлер
@wilsonluhaga1860
@wilsonluhaga1860 4 күн бұрын
Msukuma nomaa
@MhangwaNguno
@MhangwaNguno 5 ай бұрын
Azam v/s simba sc
@yasinjumahamis6267
@yasinjumahamis6267 Жыл бұрын
Nakubar sana msukuma
@neltone
@neltone Жыл бұрын
Ana miak 64,hazeeki
@shijamadede4394
@shijamadede4394 2 жыл бұрын
Musukuma chapa kaz
@yahayamussa3788
@yahayamussa3788 2 жыл бұрын
Big up musukuma
@flolaluambano3215
@flolaluambano3215 3 жыл бұрын
Hb wangu huyo
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 3 жыл бұрын
Kwa kweli huyu Mzee ni muhimu sana ktk suala la kujifunza kingereza
@derickdmaliganya4441
@derickdmaliganya4441 3 жыл бұрын
Huyu ni magufuli wa pili
@derickdmaliganya4441
@derickdmaliganya4441 3 жыл бұрын
Ww nakubali saana
@vicentchilangwa3697
@vicentchilangwa3697 3 жыл бұрын
Nakuelewa xn
@aludomakori4230
@aludomakori4230 3 жыл бұрын
Ama kweli ulijuaje!
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 4 жыл бұрын
King msukuma,wewe ni zaidi ya wanaojiita ni wasomi na wataalamu. Umewazidi wenye kujisifia wasomi kumbe vilaza. Hongera sana msukuma
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 жыл бұрын
MSUKUMA SAFARI HII KWENYE JIMBO LAKO LABDA UIBE KURA. HAWAKUTAKI MAANA UMESHAKUWA TAJIRI. WANAMTAKA KIJANA WA CHADEMA NAE AKATAJIRIKE.
@ahmedadan1915
@ahmedadan1915 4 жыл бұрын
huyo hana faida mpaka leo twamdai kodi yetu huyo alipanga duka kwetu alitoroka na kodi yetu
@ellymwitakichonge8416
@ellymwitakichonge8416 4 жыл бұрын
Tulio Soma Hawa the bus driver tujuaneee hapa!!!
@ajuayedenis2125
@ajuayedenis2125 4 жыл бұрын
Yaan uyu binadamu ata ulais anastaili
@jameswillson8685
@jameswillson8685 4 жыл бұрын
KG msukuma uko sawa mbunge wetu wa ibisa bageni geita
@barakamunisi3562
@barakamunisi3562 4 жыл бұрын
Mh. Msukuma unajitambua sana
@chapangainspirationaltalk3585
@chapangainspirationaltalk3585 4 жыл бұрын
Great brother
@rafiahamadi9787
@rafiahamadi9787 4 жыл бұрын
Msukuma oyeeeeee na kukubali sana
@gracemima5234
@gracemima5234 4 жыл бұрын
Nampenda sana Msukima. Ni kijana amewazidi wenye madigrii. Ana Akiri hata ya kuongoza nchi Kusoma pekee haitoshi mpaka uwe na common sense. Akiri za kuzaliwa.?
@chapchaptv3730
@chapchaptv3730 5 жыл бұрын
Mtu makini sanaa
@masanjaemanuel6314
@masanjaemanuel6314 5 жыл бұрын
Big up 2 u brother msukuma,,,nagotogwa sana imiza bhabha.....
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 жыл бұрын
msukuma ni mkundu tu
@mecksonjoseph7892
@mecksonjoseph7892 4 жыл бұрын
We ndo mavi unae pandwa asubuhi na jioni ...mpaka uwelewa wako ume ishia matakoni
@mandegoro9322
@mandegoro9322 5 жыл бұрын
Waandishi mpo vizuri sana. Chapeni kazi wadogo zangy.
@msichokemchafu7370
@msichokemchafu7370 5 жыл бұрын
msukuma upo vizuri
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 5 жыл бұрын
Published 31 july!!!!!
@reachthegoal7624
@reachthegoal7624 5 жыл бұрын
Msukuma ni mzalendo, mkweli, muwazi ana hekima na Maarifa. Hapendi kufunika uchafu hata km uko kwa chama chake. Anapenda maendeleo ya kweli ya wananchi. Ana uwezo pande zote kwani ukija na jeuri atakuonyesha jeuri zaidi. Ukija sawasawa unakwenda nae sawasawa. Anafaa kutetea wananchi akipewa uwaziri atafungika kwa namna moja au nyingine. Ila kwenye chama tunaweza kumpa UENEZI.
@burudanitv874
@burudanitv874 5 жыл бұрын
big brain
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 5 жыл бұрын
Kasura kadogo i'la kaumri kameenda, Darasa la 7:miaka ya 70😀😀😀😀Safi Saana KAKA
@Evo_Tv1
@Evo_Tv1 5 жыл бұрын
Nice
@lexisavage1770
@lexisavage1770 5 жыл бұрын
rais wetu mpendwa Magufuli hoyeeeeeee Msukuma hoyeeeeee
@lexisavage1770
@lexisavage1770 5 жыл бұрын
mheshimiwa Joseph Msukuma tunakupenda sana kwa kuongea wazi mambo yalivyo na hekima na akili ulizonazo na tunakuamgalia unapoongea vitu muhimu na vya busara mbele ya rais , bungeni etc unamsaidia rais wetu mpendwa Magufuli tunakupenda sana na wewe pia tunakupenda msaidie rais wetu asanteni sana
@jacobmwalituke8981
@jacobmwalituke8981 5 жыл бұрын
Huyu jamaa std 7 ila anajibu maswali kama PhD holder
@zephaniahkinuno7473
@zephaniahkinuno7473 5 жыл бұрын
Mh, msukuma ni mzee sana kumbe!!!,,
@omarimsangi5820
@omarimsangi5820 5 жыл бұрын
Glorifying idiots will take this country no where!!!! Mnataka vijana wetu wadogo waone kwamba upumbavu ni dili waache shule ili wakauze miwa ili wawe matajiri ?
@wasafiplustv724
@wasafiplustv724 3 жыл бұрын
Usichanganye mafaili, alichomaanisha Ni kuwa wasomi lazima watu wenye uwezo mkubwa wa kimawazo na kuchambua mambo
@barakandola3066
@barakandola3066 5 жыл бұрын
Mh,wewe unajielewa sana mm naamini hata hao wanaojiita wasomi hawana uelewa km we,Mungu akubariki
@kiatu
@kiatu 5 жыл бұрын
...ni kweli mfumo umechangia sana watu wengi kuishia la saba, kuishia kitado cha nne hata kutopata nafasi ya kuingia chuo kikuu. Ni mlolongo wa vikwazo.
@immamwandolela6851
@immamwandolela6851 5 жыл бұрын
Nakukubali mchimbaji mwenzangu madini tupewe kipaumbele wazawa tunaofaham maeneo
@andrewmwita119
@andrewmwita119 5 жыл бұрын
Duh msukuma nakuunga mkono kabisa hata Mimi watu weupe siwapendi hata kidogo kabisa
@serianjamal8254
@serianjamal8254 5 жыл бұрын
Yaani jinsi huku uingereza unanunua pete tu moja yenye madini ya tanzanite tunanunua £ 2200 angalia jinsi tunavyoibiwa wakati muheshimiwa Msukuma anasema tunalipwa dollars laki mbili kwa uchimbaji jamani. Tunaibiwa 😂
@jamesjacob7548
@jamesjacob7548 5 жыл бұрын
Man we kichwa waelimishe man bigup
@josephnchunga6554
@josephnchunga6554 5 жыл бұрын
uko sawa musukuma wenye akili wanakuelewa
@salmadalaquimane5303
@salmadalaquimane5303 5 жыл бұрын
Una ongeaga point sana kka
@fraviusgozbert6445
@fraviusgozbert6445 5 жыл бұрын
msukuma niatali sana
@yusuphaman3449
@yusuphaman3449 6 жыл бұрын
Ivi kwa nini Raisi asikupe uwaziri
@nyandahilali5713
@nyandahilali5713 6 жыл бұрын
Mh naomba tuwasiliane kwa 0766596120 nipate elim ya ujasilia mali
@josephmarosha3002
@josephmarosha3002 6 жыл бұрын
King msukuma oyeeeeeeee
@danielhumble4292
@danielhumble4292 6 жыл бұрын
Uyu jamaa ni mshirikina.....