JEUNESSE EMO KIN 2-2 EMO MATADI
4:18
Пікірлер
@FloridaLouisemakitalo
@FloridaLouisemakitalo Күн бұрын
🎉🎉🎉
@louismakindu
@louismakindu 10 күн бұрын
EMO TV, une conférence de 3h vous nous produiser une vidéo de 4min 34 secondes ? Je suis vraiment déçu
@balimsoshi1495
@balimsoshi1495 10 күн бұрын
Huuuum. Kiekiekie
@floridalouise
@floridalouise 11 күн бұрын
👏👏 bravo
@kwabaezronifahizi5927
@kwabaezronifahizi5927 12 күн бұрын
Nous félicitons le comité EMO-UPN pour pouvoir organiser cette activité.
@kwabaezronifahizi5927
@kwabaezronifahizi5927 12 күн бұрын
Nos sincères remerciements au Directeur Patrick Kasongo M'simbwa qui a disponibilisé son précieux temps, énergies et moyens pour la réussite de cette conférence. Que le Seigneur soit avec lui.
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu 23 күн бұрын
Polesana kakayangu kwa ulichopitia ila mungu atatendatu.
@bakariFeza
@bakariFeza Ай бұрын
Good Idea
@agenceunionpourlareussite6050
@agenceunionpourlareussite6050 2 ай бұрын
Vraiment au problème de Fuliru et ba babembe il a bien répondu voilà voyant un vrai patriote soldat bien formé, il est de CNPCC pole kutoka kwa pasteur Francis from canada Mungu akulinde Dragila atutakuachilia na Mimi Francis natoa pole kwa Dragila Epembwe y’a Babembe.
@NduwimanaDejire
@NduwimanaDejire 2 ай бұрын
Wakongo shikane mukapinganie oci yeno musivamiwe damu yawakongo imewagika imeumiza waafrica
@justinwalubingo286
@justinwalubingo286 2 ай бұрын
Umojaninguvu courage
@wetu61
@wetu61 2 ай бұрын
Msamaani na nina swali kwako kuhusu wazimba ni mtoto wa nani?
@al-bleproshooteur1922
@al-bleproshooteur1922 2 ай бұрын
😢
@byoseasolokoci7257
@byoseasolokoci7257 2 ай бұрын
Babondo
@kizamlm1961
@kizamlm1961 2 ай бұрын
Sema tusikiye baba na pole namatatizo
@kwabaezronifahizi5927
@kwabaezronifahizi5927 2 ай бұрын
Courage sana la jeunesse EMO-KIN.
@johnnymihembe6192
@johnnymihembe6192 2 ай бұрын
Emo 'ya M'mbondo Kinshasa Munapata bahati sana sikukuja mungefungwa goli nyingi sana.
@samsonkwaba4550
@samsonkwaba4550 2 ай бұрын
Nice
@MnyakaFelixesloni
@MnyakaFelixesloni 2 ай бұрын
Courage emo kin et emo matadi
@kalengaalinotisungura1801
@kalengaalinotisungura1801 2 ай бұрын
Mwakole manga coach tosambela ilya ichichi itoshi pate
@AkidaModeste
@AkidaModeste 2 ай бұрын
Mweshimiwa Dragila uko na Mungu na uko Mwanaume, Na tunakuomba sisi wa Bèmbe wenye tuko Inchi ya Inchi tunakuomba uwahurumie kabisa Ndugu yetu na Pole saana Wetu M'mulu Dragila Epembwe 'ya Babembe !!
@AsukuluNyassa
@AsukuluNyassa 2 ай бұрын
Aibu sana siku izi sauti kutoka ivyo Kila vikao vyenu hadi vingine avisikiki. Tujiangalie
@mpajikalenga2519
@mpajikalenga2519 2 ай бұрын
Congrats emo tv ila Jitaidini sana ku tafuta images za kitu munacho ongelea, muna tupatiya hata ka videos ka 30 secondes ka match ya fizi stars
@mathiaboeddy
@mathiaboeddy 2 ай бұрын
Pole sana mzee, ingekua vizuri ndugu mtangazaji umuulize namba ambazo za simu anapatikana
@CONGOINTHEPICTURE
@CONGOINTHEPICTURE 2 ай бұрын
Pole sana kwa yote yamekupitiya
@CONGOINTHEPICTURE
@CONGOINTHEPICTURE 2 ай бұрын
Nimoshima nimonane na Dragula. Lusuku 'ùuma Bala'a nataka nimone ewe
@issakashindi7768
@issakashindi7768 2 ай бұрын
Tuna wa Fata vizuri sana.
@issakashindi7768
@issakashindi7768 2 ай бұрын
Tumeshukurusana kwa tarifa zaco.
@OmarRwamakuba
@OmarRwamakuba 2 ай бұрын
Mze pole sana. M23. Itakuonesha
@RizikiVincent
@RizikiVincent 2 ай бұрын
Baba kifungo kikufunguwe akili kama aukufunguka kifungoni kuja na elimu yakujuwa kujenga inchi yenu hivo amutakuja kuweza kitu na sio kwamba useme ujumbe kuwa umewaletea wabembe hapana sema kuwa taarifa hiyo munajiamasisha kuwa muinuke kuitetea inchi au kongo
@albertmkangya8195
@albertmkangya8195 2 ай бұрын
Nahunga mkono mawazo ya kuhimarisha vipaji vya wachezaji wa Fizi. Lakini wazo la kusaidia kila mchezaji wazamani ni wazo la kujikokotea mambo ambayo hayataendelea pia kusababisha lawama na manunguniko Kati yetu.
@DavidDavid-i4j
@DavidDavid-i4j 2 ай бұрын
Courange sana coach
@DavidDavid-i4j
@DavidDavid-i4j 2 ай бұрын
U are the best coacher
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 2 ай бұрын
Mwakole manga mzee wetú
@luc66lumona93
@luc66lumona93 2 ай бұрын
Journaliste jitahidi kuuliza maswali muhimu. Ulipaswa kuuliza zaidi kuhusu namna alivyotoka , kwa nini alifungwa miaka sita? Ni kosa gani katika hizo kosa zilionekana ni kweli na zipi zilifutwa na kwanini?na wale wajeshi wengine wako wapi? Wanafanya nini?Pia yeye dragira Ana mpango gani wa baadae? Ataenda tena porini. Hayo maswali ya bwami ni muhimu Ila sio lazima sana. Mawasiliano Yake na Yakutumba yakoje? Unaacha bya muhimu unauliza bya bwami na maswali legelege
@byoseasolokoci7257
@byoseasolokoci7257 2 ай бұрын
Sawa mzee wetu.
@MnyakaFelixesloni
@MnyakaFelixesloni 2 ай бұрын
Saidi Ekanda
@Emo_Television
@Emo_Television 2 ай бұрын
Epembwe 'y babondo
@sadikiMauzosimbi
@sadikiMauzosimbi 2 ай бұрын
Pole sana mazee wetu tena shujaa wetu Mungu ahendeleye kukutia nguvu shujaa wetu.
@AlembeModeste
@AlembeModeste 2 ай бұрын
Pole saana mdogo wangu ekanda jaribu papania Inchi yetu.
@pastaapalale
@pastaapalale 2 ай бұрын
Pole Sana ndugu bragira , naomba namba zako zasimu
@AbigailGlory-p4k
@AbigailGlory-p4k 2 ай бұрын
Pole sana mzee wetu shujaa mungu akulinde pia akutie nguvu
@MauridiJosephMasumbuko
@MauridiJosephMasumbuko 2 ай бұрын
Pole sana pp
@elp8933
@elp8933 2 ай бұрын
Pôle Sana. «MWAMI TAKYO O'LYA NYAMA YA HITO LEMO». Wakati drago alikuwa nasema pâle uvira, Ku ETAT MAJOR, nilikuwaka pâle yver Philémon (général)aliheza munyanganya micro. Babembe tukuwe pamoja. Elongo i'bita!!!n'a kama mkumbwa dragon anaheza juwa kwenye zikingine butungi ziko azitowe kwa watoto wanao fanya kazi nyumbani Fizi kama yéyé anahona hâta fanya hiyo kazi tena!!! asante sana.
@AmisiKaluta
@AmisiKaluta 2 ай бұрын
Héro wetu
@babubinbabu3836
@babubinbabu3836 2 ай бұрын
Kweli kabisa naiyo coach siyo faida yako lakini unatafuta maendeleo ya FIZI ❤❤❤❤❤courage coach courage ❤❤❤
@babubinbabu3836
@babubinbabu3836 2 ай бұрын
Coach nakuamini Sana wakuunge mukono tu
@babubinbabu3836
@babubinbabu3836 2 ай бұрын
Coach wangu mchumbe nakuamini Sana ulinifunza Sana kabumbu LUGUFU mu RED CROSS nilikua nimero 9 wake vraiment najua mukimuunga mukono atafanyikisha ❤
@kisubikilali1303
@kisubikilali1303 2 ай бұрын
Kutoka kwako ,tumeshukuru , na ikiwa kama hahukusaliti nini kilichokusukuma kwenda kujisalimisha pale Burundi. Ningukuomba ao kukushahuri uhombe wenzako msamaha. Ulishahuriwa usitoke ,ulikataa . Mungu Akubariki ili ukanyage tena udongo wenu kwa amani. Wafuliro hawatatumika sambamba na wabemba ,juu mradi wa wafuliro ni kupata udongo wa watoto wa Fizi. Mtu asikudanganye eti watakuwa pamoja na Yakutumba kwa ukombozi wa Congo. Nashukuru ndugu Ekanda kusikiya sauti yako , tulikutegemeya na tutazidi kukujali.
@Masengo-su3mf
@Masengo-su3mf 2 ай бұрын
Misofi hona
@Masengo-su3mf
@Masengo-su3mf 2 ай бұрын
Mwayenga kalila kihimiino misofi hona boma