DRAGILA : AMETOWA SIRI KUBWA YA KUFUNGWA KWAKE NA CHAURI KWA WABEMBE EmoTv

  Рет қаралды 18,851

Emo Tv

Emo Tv

Күн бұрын

Emo télévision

Пікірлер: 100
@egliseprotestanteparoleeta5153
@egliseprotestanteparoleeta5153 3 ай бұрын
Pole sana kwa shujaa Dragila na Mungu asifiwe kwa kufunguiliwa kwake. Tunamtakia amani na maisha marefu katika kazi na mipango yake. Asante sana kwa kutetea udongo wetu na nchi yetu ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC - DRC). Pasteur Pierre Mas1
@markoesombo8440
@markoesombo8440 3 ай бұрын
Pole sana kk yangu Dragila Ekanda. Najuwa kwamba utakapoingia tena mukazi wewe ndo utafanya kazi zuri
@mwajumasakina9599
@mwajumasakina9599 3 ай бұрын
Pole sana kwa hayo yote yaliyokupata mzalendo wa kweli Diragila, Mwenyezi Mungu akuponye na akutie nguvu zaidi
@MauridiJosephMasumbuko
@MauridiJosephMasumbuko 2 ай бұрын
Pole sana pp
@nendeamisi2184
@nendeamisi2184 3 ай бұрын
Pole saana ndunguyangu drangira. Mungu Akubariki.❤
@KABWEM
@KABWEM 2 ай бұрын
Pole sana mzee na karibu tena
@sadikijambari6736
@sadikijambari6736 3 ай бұрын
Pole sana mzee wetu gragila kwa kazi ulio ifanya
@mathiaboeddy
@mathiaboeddy 2 ай бұрын
Pole sana mzee, ingekua vizuri ndugu mtangazaji umuulize namba ambazo za simu anapatikana
@AbigailGlory-p4k
@AbigailGlory-p4k 2 ай бұрын
Pole sana mzee wetu shujaa mungu akulinde pia akutie nguvu
@byoseasolokoci7257
@byoseasolokoci7257 3 ай бұрын
Pole sana mzee wetu. Tunakutegemea nakukuhitaji pia. FIZI POWER.
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 3 ай бұрын
Hongera sana na pole mzee wetu maisha ni shule
@KashindiMauridi
@KashindiMauridi 3 ай бұрын
Pole sana shujaa wetu! Kweli nimeamini kauli ya wabembe isemayo" MSOSHI TALEKYAKA NYAMA YA HITO LEMO" ! Naomba uwaurumie maana walikusema tofauti na ulivyo! Mungu na mababu wetu watuhumiwa!
@pastaapalale
@pastaapalale 2 ай бұрын
Pole Sana ndugu bragira , naomba namba zako zasimu
@AlembeModeste
@AlembeModeste 2 ай бұрын
Pole saana mdogo wangu ekanda jaribu papania Inchi yetu.
@AmisseMwenetombwe
@AmisseMwenetombwe 3 ай бұрын
Hongera saana ndugu mtangazaji. Kipindi kizuri saana!!!!
@sadikiMauzosimbi
@sadikiMauzosimbi 2 ай бұрын
Pole sana mazee wetu tena shujaa wetu Mungu ahendeleye kukutia nguvu shujaa wetu.
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu 22 күн бұрын
Polesana kakayangu kwa ulichopitia ila mungu atatendatu.
@BikeyMtunga
@BikeyMtunga 3 ай бұрын
ishi sana shujaa wetu mimi niko usa ila iyo moja imenigusa sana akika mungu wa baba zetu akulinde na akupe nguvu ya kushimama katika kweli juu ya inchi yetu na pia uwasamehe wabembe wote walio kukejeli na kukuongelea vibaya.
@agenceunionpourlareussite6050
@agenceunionpourlareussite6050 2 ай бұрын
Vraiment au problème de Fuliru et ba babembe il a bien répondu voilà voyant un vrai patriote soldat bien formé, il est de CNPCC pole kutoka kwa pasteur Francis from canada Mungu akulinde Dragila atutakuachilia na Mimi Francis natoa pole kwa Dragila Epembwe y’a Babembe.
@SamuelAmitié
@SamuelAmitié 3 ай бұрын
Pole sana mzee wetu kwa maguu yote ulio pata, mimi napenda kujuwa esk mzee wetu Grago kwa leo eko wapi?
@mg-lion.2782
@mg-lion.2782 3 ай бұрын
Mungu akulinde DRAGON.
@innocentbishinaba4067
@innocentbishinaba4067 2 ай бұрын
Pole sana mzee wetu kwayote uliyo pitiya
@OmariAmissi-ik8pp
@OmariAmissi-ik8pp 2 ай бұрын
Pole sana mzee wetu ni Omari kutoka Moçambique wede nyumbani .
@FrdyAembetchalumba
@FrdyAembetchalumba 3 ай бұрын
Pole sana Mzee dragira kwa magumu yote ulikabili,haki unabakia kuwa haki.
@GervéNgongo
@GervéNgongo 3 ай бұрын
Pole saaana
@babadiego5978
@babadiego5978 2 ай бұрын
Mungu aku bariki pia na pole sn mjomba wng Ninayo furaha kuku ona balala lux
@Martin-jy6dw
@Martin-jy6dw 3 ай бұрын
Pole sana ndugu yangu
@EzekielIongwa
@EzekielIongwa 3 ай бұрын
Pole sana
@PondoLulinda
@PondoLulinda 3 ай бұрын
Pole sana dragira
@CONGOINTHEPICTURE
@CONGOINTHEPICTURE 2 ай бұрын
Pole sana kwa yote yamekupitiya
@AbandelwaMkelelwa
@AbandelwaMkelelwa 3 ай бұрын
Asante kwa kutoa ushuuda huo na pole sana mzalendo sifa pia kwa collegue Eciba Isanganino Joram kukuifadhi.
@AmisseMwenetombwe
@AmisseMwenetombwe 3 ай бұрын
Pole kabisa!!!!
@justinwalubingo286
@justinwalubingo286 2 ай бұрын
Umojaninguvu courage
@FundiImidi
@FundiImidi 3 ай бұрын
pole sana
@AkidaModeste
@AkidaModeste 2 ай бұрын
Mweshimiwa Dragila uko na Mungu na uko Mwanaume, Na tunakuomba sisi wa Bèmbe wenye tuko Inchi ya Inchi tunakuomba uwahurumie kabisa Ndugu yetu na Pole saana Wetu M'mulu Dragila Epembwe 'ya Babembe !!
@AlphonseSelemani
@AlphonseSelemani 3 ай бұрын
Vraiment tume furah sana kwaku muhona mzee wetu na pia tuna ku tegemea sana mzee wetu fanya mema nenda zako mzee wetu
@samsonkwaba4550
@samsonkwaba4550 3 ай бұрын
Bravo.
@MoreOmari-sk9mc
@MoreOmari-sk9mc 3 ай бұрын
Ok ❤❤❤
@al-bleproshooteur1922
@al-bleproshooteur1922 2 ай бұрын
😢
@AnasaWashikala
@AnasaWashikala 2 ай бұрын
Kaka Dragila, sisi wabembe twakupa pole sana nashida uliopata. sasa ww fika kwanza uku mengine yatafwata.
@kimbiasani6464
@kimbiasani6464 3 ай бұрын
pole sana kwakweli lomba uonane na rahici utu tumikie kama zamana bitakwira apate haya. Umutafutekwanza
@sadikijambari6736
@sadikijambari6736 3 ай бұрын
Vizuri sana
@nyotaramadhani66
@nyotaramadhani66 3 ай бұрын
Tusamee mzee wetu epembwe y'etú mahana tulishuhudia kyenye atukujua.
@amanimtungwa437
@amanimtungwa437 3 ай бұрын
Pole sana tunaomba namba yake dragila.
@Emo_Television
@Emo_Television 3 ай бұрын
Tu cheki whatsapp kwenye namba +243 981 071 068
@JkPanama-u5p
@JkPanama-u5p 3 ай бұрын
Bonsoir sasa mweye babembe muko ba bumbafu aye? Weye uko pa plateau njo ulisha uzisha babembe n'a utoke pale monsieur
@jacquesjorance7326
@jacquesjorance7326 2 ай бұрын
Jambo babucwa tuwe ebalelo ‘ya Drughila Ekanda ùtukabele yake numéro tafadhali
@Emo_Television
@Emo_Television 2 ай бұрын
@@jacquesjorance7326 tutafute whatsapp +243 824488093
@j...876
@j...876 3 ай бұрын
Naweza Ku mpata haje mzee wetu
@Emo_Television
@Emo_Television 3 ай бұрын
Tu cheki whatsapp kwenye namba +243 981 071 068
@jamesamuri8883
@jamesamuri8883 3 ай бұрын
Asnte sana mwogozi ​@@Emo_Television
@kizamlm1961
@kizamlm1961 2 ай бұрын
Sema tusikiye baba na pole namatatizo
@AbdalahMoses
@AbdalahMoses 3 ай бұрын
ASANTEKUONASHUJAAWETU.DRAGON ANAPEWAUHURU,NAKUSEMAMUFULIRUNAMUBEMBEWALETE MTU MOJA.
@markoesombo8440
@markoesombo8440 3 ай бұрын
Pole tena
@NzaleSango
@NzaleSango 3 ай бұрын
Bitakwira anakuaga msazi sana, muda mwegine anakuaga chameleon.
@wilondjacare
@wilondjacare 3 ай бұрын
Munisaidie namba ya dragila
@markoesombo8440
@markoesombo8440 3 ай бұрын
Angalisho na wanyarwanda
@sendeesupriydewoochiagaliy7474
@sendeesupriydewoochiagaliy7474 3 ай бұрын
Wa Bembe wa Babondo Je mujuwa Mwami Lukoko Wa SUNGURA!!
@SangoEbuela
@SangoEbuela 3 ай бұрын
Hipo siku Mungu hata tulipa hayo yote
@MnyakaFelixesloni
@MnyakaFelixesloni 3 ай бұрын
I'ombwe
@AmisiKaluta
@AmisiKaluta 2 ай бұрын
Héro wetu
@FaustinaëmbeMwessa
@FaustinaëmbeMwessa 3 ай бұрын
Tuwe pamoja tupigame
@amisiamani7814
@amisiamani7814 3 ай бұрын
Tutumiye namba zake jamani.
@Emo_Television
@Emo_Television 3 ай бұрын
Tu cheki whatsapp kwenye namba +242 981 071 068
@PeterBaininwa
@PeterBaininwa 3 ай бұрын
Maisha marefu tunakuombea
@bitangacabosoka180
@bitangacabosoka180 3 ай бұрын
Sisi wabembe hatukosi Mwami na Mwami hakuwaki anafaniwa uchaguzi. Tatizo kubwa kwetu ni Akakya. Mkusanye Wami WOTE na muwauliziye Mwami wenu anakuaka Nani. Wasipo mjua WOTE hawafai na si Wami ni makapita. Tatizo lenu hamujuwi Historia. Tuko taifa kubwa Sana tena Sana. Taifa Pekee ambalo linaahadi na Mungu.
@j...876
@j...876 3 ай бұрын
Apama mweshimiwa tuna kuhitaji mimi na kujuwa kama shujaaa!!
@Emo_Television
@Emo_Television 3 ай бұрын
💥💥💥💥
@NduwimanaDejire
@NduwimanaDejire 2 ай бұрын
Wakongo shikane mukapinganie oci yeno musivamiwe damu yawakongo imewagika imeumiza waafrica
@BienfaitTchala
@BienfaitTchala 2 ай бұрын
Aliye umba Dunia asifiwe, kwa Sababu ukweli una Julikana sasa tuwe pamoja wa bembe.
@EzekielIongwa
@EzekielIongwa 3 ай бұрын
Sasa ukimupata Bitakwira je hunaweza kumuacha hivi hivi
@Choraleneema34emecadafsympo
@Choraleneema34emecadafsympo 3 ай бұрын
Pôle baba kwa matatizo iliyo kupitiya tunafurahi gisi uko hai
@amisiwapole3144
@amisiwapole3144 3 ай бұрын
Kuhusu swala la WABONDO kuwa na MWAMI 1, hapo ume Sema kweli kabisaaa. Hata mimi huwaga nawazia Hilo swala. Je, tutafika hapo siku moja?
@Emo_Television
@Emo_Television 3 ай бұрын
Inawezekana
@luc66lumona93
@luc66lumona93 2 ай бұрын
Journaliste jitahidi kuuliza maswali muhimu. Ulipaswa kuuliza zaidi kuhusu namna alivyotoka , kwa nini alifungwa miaka sita? Ni kosa gani katika hizo kosa zilionekana ni kweli na zipi zilifutwa na kwanini?na wale wajeshi wengine wako wapi? Wanafanya nini?Pia yeye dragira Ana mpango gani wa baadae? Ataenda tena porini. Hayo maswali ya bwami ni muhimu Ila sio lazima sana. Mawasiliano Yake na Yakutumba yakoje? Unaacha bya muhimu unauliza bya bwami na maswali legelege
@EilaAssa
@EilaAssa 3 ай бұрын
Tusamee papa tumesema mengi
@byoseasolokoci7257
@byoseasolokoci7257 3 ай бұрын
Bitakwira sasa hivi anasikia ahibu, pia anatumikia wanyarwanda. Karibu FIZI.
@rexricardo573
@rexricardo573 3 ай бұрын
Hachana na huyo mpumbavu
@rashidikindu5434
@rashidikindu5434 3 ай бұрын
Mjomba Ekanga pole kwamatatizo hayo.Wabembe kamanda wangu anasema yote wazi.m’mbondo fungueni macho Bitakwira nimtu ambaye apengagi wabembe.mwepeke mulijisikilia
@AnasaWashikala
@AnasaWashikala 2 ай бұрын
Fika uku kk, apa fizi sisi ni vita tuu tutapigania Fizi na rdc en général mupaka kufa. Fizi=Zone Rouge. Nous avons la guerre dans le sang.
@EzekieliAbwelikolo
@EzekieliAbwelikolo 2 ай бұрын
mimi nasema mzee anasema kweli nanikwelimzee anastahili pole yanguvu, nina mawazo tungeomba mzee atupenambazake ilituwe tunatuma pesayapole awe ananunua hatasabuni ilakama nimesemavibaya mtanisamee
@bitangaabwe3441
@bitangaabwe3441 3 ай бұрын
Kwa sasa Bitakwira yeye ndo anaonekana ndo hana akili,hana uwezo waku tukana mbembe hana akini,kwasasa anatembelea ndjia ya watoto wa kibembe,ana jiita mzalendo hivi yeye Bitakwira
@Masengo-su3mf
@Masengo-su3mf 2 ай бұрын
Misofi hona
@Masengo-su3mf
@Masengo-su3mf 2 ай бұрын
Mwayenga kalila kihimiino misofi hona boma
@RamazaniAmisi-ns5mf
@RamazaniAmisi-ns5mf 3 ай бұрын
Wabembe muwe muna ongeya luga yenye tutakuwa tuna fatana sisi wote tuta acha kufatilia Chanel yako
@Emo_Television
@Emo_Television 3 ай бұрын
Tuta jaribu kubadili LUGHA
@nendeamisi2184
@nendeamisi2184 3 ай бұрын
Kibembe nilunga ya wabembe, Husihongope nduguyangu mtangazaji. Fanyakazi tukopamoja.
@Fadhili-mk
@Fadhili-mk 3 ай бұрын
Unasema kweli ila ubadili tabia 😛😛
@mg-lion.2782
@mg-lion.2782 3 ай бұрын
Tabia gani .
@KolamuWabene
@KolamuWabene 3 ай бұрын
Tuhambie tabiya yake tujuwe
@babadiego5978
@babadiego5978 2 ай бұрын
Weye imbwa abadilishe ta biya gani mjinga Kuma ya mama yako
@sadikijambari6736
@sadikijambari6736 3 ай бұрын
Watafute kwenye Facebook ya kawaida
@IsmailiIsmaili-ec7pt
@IsmailiIsmaili-ec7pt 3 ай бұрын
Pole Sana
@SangoEbuela
@SangoEbuela 3 ай бұрын
Hipo siku Mungu hata tulipa hayo yote
Kakara kukuru mambo yapata moto swali la letwa kama mvua kumepambazuka
59:38
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 4,8 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 115 МЛН
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 12 М.
PARCOURS FISTON MAFINGA SAI SAI
2:15:00
TOP CONGO FM
Рет қаралды 42 М.
Ni nde ushobora kuzatsinda intambara ya Israel na Iran?
14:13
TV1 Rwanda
Рет қаралды 25 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39