0:11 Mimi nayapenda Sanaa nyumbani mama si sana kuyapika nikitamani nakwenda kwa mama ntilie ya kwao si mazito sana kama hivi nadhani kwa ajili ya biashara wanatia maji kidogo zaidi. Lkn kwangu ndiyo navyopenda isiwe nzito sana. Nanunua na maandazi nakatiatia naweka ktk maharage ohhh nakuwa ktk Dunia nyingine kabisa. Ya kwako pia Yana mvuto mzuri. Ma Sha Allah Ahsante.
@hafidhukilindo23065 күн бұрын
❤❤Masha,llah
@ZuwenaFaraji-p4f6 күн бұрын
Je karanga ziwe mbichi au zilizokaaangwa?????
@AllyJuma-p9g9 күн бұрын
Mmh
@NadhiraAbrahman10 күн бұрын
Kama unamtindi
@joslinchuwa129813 күн бұрын
Nimependa sana nitapika kesho
@AdejaAhmad-uq4wj13 күн бұрын
Masha allah
@jabrial529514 күн бұрын
Mashaalah umetumia sufuria ya inch ngapi?
@BADRIYAOMAR-e8c15 күн бұрын
Mashallah 😍😍
@AshuraSaid-od7hl16 күн бұрын
Umepika kiusafi sana
@SaumuHamad-l6g20 күн бұрын
Mahalla nimzuri
@Agathamboya22 күн бұрын
Nikipika kitumbua changu hakichambuki shida nini
@anastaziaemmanuel948623 күн бұрын
Shukrani kwa elimu nzuri Lakin naomba unisaidie katika vipimo Kilo moja nitumie sukari kias gan?
@MboniMbwana24 күн бұрын
Naomba kuuliza huwa sukari wanaweka kwenye mchuzi wa biriani?