Рет қаралды 6,648
nimetumia vikopo 2 vya samak
karot 1
pilipili mbichi 2
pilipili ya unga nusu kijiko
pilipili manga nusu kijiko
spice ya samaki nusu kijiko
chumvi kidogo
kipande cha limao
kitunguu maji 1
Mayai 2
Ingredients in English
2 cans of tuna
1 carrot
green chili 2 pieces
chili powder half spoon
spicy fish powder half spoon
A pinch of salt
lemon half (squeeze)
1 onion
2 eggs