Tahadhari na kwenda na kwenda kwa waganga
0:49
umbea ni Aina  ya uchawi
2:01
14 күн бұрын
maulidi nnabi
1:31
Ай бұрын
Пікірлер
@Muislamu
@Muislamu 7 күн бұрын
Ww muhamad mafuta ulichokusudia ni ukabila na kukejeli kabila la wabajuni...na hii ndio kasumba yenu hapa mombasa mwawachukia sana wabajuni ..mkitaka msitake wabajuni ndio waliowasomesha ..acheni uvundo...
@Mustapha2024Kawanda
@Mustapha2024Kawanda 21 күн бұрын
Harudii tena huyo tunamjua naakirudia hatataka kurekodiwa naakirudi atafanya wanafunzi waondoke chuoni kwake yani Kama mudiru nimtupu hivyo jaman!?
@ShinaidaChimombo
@ShinaidaChimombo 22 күн бұрын
Alla akufadhi sheikh kassmu mafuta
@zanlec7357
@zanlec7357 25 күн бұрын
Amani ni Bora kuliko utajiri Allah atulindie Amani ya nchi yetu. Aaamin
@zanlec7357
@zanlec7357 25 күн бұрын
Allah akulipe khery Sheikh Kassim Mafuta
@saidmakame8867
@saidmakame8867 Ай бұрын
Hilo swali lake la pili anaonekana anataka SULUHU baada ya mambo kumshinda.
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Ай бұрын
Fadhili abdi unamajivuno sana pubguza hayo majivuno
@mussasalafiy
@mussasalafiy Ай бұрын
Sikiliza hojja ringanisha na aliyozungumza bachu ili utafute haki iko wapi achana na habar za majivuno
@salafnungwi5723
@salafnungwi5723 Ай бұрын
@@babatidaawa6550 Kisu kimegonga mfupa ss! Majivuno yapo wap kaka? Hiv humuon Bachu anavyoturembushia na kuramba midomo na kutikisha mabega? Au ndio matango pori yamekuathiri
@salafnungwi5723
@salafnungwi5723 Ай бұрын
Muhammad Bachu kuna mtu huwa anakaririsha. Na alivyokuwa mjanja atakuja kukuambia walimu / wazee wamemkataz aachane na mamb haya. Ila ghafla atakuja kuibuka na jengine jipya, au amkamate mwengineeee akuache ww!
@ibnayub2374
@ibnayub2374 Ай бұрын
Allah akufanyie wepesi sheikh Abu Ruduud hakika huyu KASUKU Muhammad bachu haelew hata.
@mussasalafiy
@mussasalafiy Ай бұрын
Aamyn
@Musahamisi-oj5lj
@Musahamisi-oj5lj 22 күн бұрын
​@@mussasalafiyTaliq ya kumi Lin
@repentingservant4384
@repentingservant4384 Ай бұрын
Na yy alitaka ww mafuta umjibu kiarabu!!!!
@saidmakame8867
@saidmakame8867 Ай бұрын
Naombeni link ya nambari 7 tafadhali.... kabla cjasikiliza hii namba 8
@AbubakarMuqaddam-f2r
@AbubakarMuqaddam-f2r Ай бұрын
بارك الله شيخنا ابا الفضل وحفظك الله
@baryus7
@baryus7 Ай бұрын
Huyu abuu fauzaan kapewa mtihani mkubwa Allah amuongoze
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 Ай бұрын
Twamshukuru Allah kutufanyia bachu kama ubao
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ай бұрын
YANI MIMI NAMSHANGAA SANA BACHU NA VIRANGA VYAKE (FOLLOWERS)..!!! SIJAJUA AKILI YAO INAWAFELISHA WAPI... YANI WAMEPEWA USHAHIDI HADI KWENYE QURAN ALLAH AKITUMIA MASWDAR KWA MAANA YA ISMUL FAA'IL LAKIN BADO WANALETA TALBIS..!!! KWANINI ALLAH ALITUMIA MASWDAR KWA MAANA YA ISMUL FAA'IL WAKATI ISMUL FAA'IL YENYEW IPO???!!! ALISHINDWA NINI KUITUMIA ISMUL FAA'IL YENYEW KAMA YENYEW AKAJA AKATUMIA MASWDAR KUWAKILISHA ISMUL FAA'IL??? HII YOTE INAONESHA HILO NI JAMBO LENYE KUKUBALIKA KATIKA LUGHA...!!!.... HAYO MASHARTI ALIYOYATOA BASI AJE AYAPELEKE HATA KWENYE QURAN AMBAPO MASWDAR IMETUMIKA KAMA ISMUL FAA'IL TUONE ITAKUAJE...!!! BACHU BANA, SJUI KWANN ANAROPOKWA SANA... HAKIKA BABA YAKE HAKUWA HVO NA NDO MANA AKAWAPOKEA MASALAFY NA KUIKUBALI MANHAJ SALAFY KAMA ANAVYOSIMULIAGA PIA MZEE WETU SHEIKH CHICHI MWANAFUNZI WA NASSOR BACHU (ALLAH AMREHEMU)__BABA SAFI, MTOTO JIPUUU😢😢😢
@Ismailfawzan
@Ismailfawzan Ай бұрын
TĀ LIYQ NO:08 IS DONE ✅ BACHU KULA MADINI HAYO,,, ACHA KUTULETEA CHIPSI CHIPSI,, WALA HAINA HAJA YA KWENDA KUSOMA MBALI ABUU ALLAH AMUHIFADHI NI MWALIMU ANAKUFUNDISHA NASHUKURU ALLAH UMEPATA MWALIMU. TĀLIYQ NO:09 IS LOADING...........
@zanlec7357
@zanlec7357 Ай бұрын
Alhamdulillah. Abuu Fauzaan Allah akuhifadhi wallahi unatunyooshea huyu kijana wetu wa Zanzibar. Mana amekalia kiti cha Ushekh wa Baba yake. Yeye kiti amekiona ni kizito sas Amejitwika kichwan. Pole yake. Muhammad Bachu 😂😂
@hemedhamdan
@hemedhamdan Ай бұрын
Ama kweli Sheikh Muhammad Bachu ni mwamba. Ameweza kukuadabisha, hadi leo umeweza kuraddi kwa upole bila matusi wala kejeli k.m "Malaya akisikia mlunzi... mjinga kati ya wajinga... mropokaji..." n.k Alhamdulillah nondo yake imekunyoosga sawa sawa. Sasa hivi ulivyo raddi leo, ndio uslubu sahihi. Allah atusamehe sote, Aamiin
@AhmednurHussein-m2s
@AhmednurHussein-m2s Ай бұрын
Usirudie kusema eti Sheikh Muhamad Bachu yani uko ni kutukana jina hili na wanaostahiki jina hili umeskia kijana usirudie tena kusema eti ni SHEIKH umefahamu
@hemedhamdan
@hemedhamdan Ай бұрын
​@@AhmednurHussein-m2sumetumia vigezo gani vya kielimu?
@aswabikimaro3033
@aswabikimaro3033 Ай бұрын
Hizi nondo unazomshushia ndo zinampa hasiraa...yaan yule dogo ana kiburi san Wallah...sema unamchapa shekhe hauachi point hata moja....konga had ashike adabu maan amejizolea umaarufu wa baatwil...na ana mashabiki zake weng san humu hawasikilizi hoja wao wanachotwa tuu...Allah akuhifadh abuu ruddud...ww ndo unamuweza huyu kijana lazma akomee tuu
@abuuhanifah.1646
@abuuhanifah.1646 Ай бұрын
Mm si shangai hawa majadida kujiona hawajamtukana Bachu kumwita mjinga...maana waswahili walisema " Nyani haoni mk...nd..wake"", Hivi kuitwa mshamba nalo tusi? Mjinga kwa sisi waswahili ni tusi kubwa kuliko mshamba. Ukija na tafsir ya mjinga ni mtu asiejuwa kitu fulani, nasi tutakupa tafsiri ya mshamba, waarabu wanamwita العراب...yaani mabedui, ni watu wenye tabia za vijini, hawana ustaarabu wa watu wa mjini....na ndivyo kaitwa abuurudud jina la mshamba , yaani ni mshamba wa lugha ya kiarabu mbele ya wasomi na wanavyuoni
@AbuuJuleybeeb-kp9to
@AbuuJuleybeeb-kp9to Ай бұрын
saw,mjinga mwenzi bachuuuuuh😂😂😂😂😂
@abuuhanifah.1646
@abuuhanifah.1646 Ай бұрын
😂😂 Ama waswahili walipatia waliposema Mkuki kwa nguruwe.... Huyu abuurudud alikuja kwa vicheko vya kejeli kumuita sheikh Bachu mjinga, leo yeye kuitwa mshamba amechanganyikiwa?? Mm nageuza ule msemo wa kiswahili, nauweka hivi "" mkuki kwa hizbi, kwa jadida unauma""
@khamisali5942
@khamisali5942 Ай бұрын
Bachu endelea kuchinja tayar kashalaza kichwa uyo
@khamisali5942
@khamisali5942 Ай бұрын
Kushaishiwa tayar saiv unatafuta huruma kwa watu si we ulisema kua malaya akiskia uluzi anaona anaitwa yy kwaiy hili sio tusi kumfananisha na malaya? Ilikuana we haina haja ya kutumiamfano huu kwan hskuna mifano mengne ispokua huu sipe di kukoment lkn kwahili limenigusa we umemtajia mpka baba yake ilikua inahaja gani ya kumtaja babake katika mzozo wenu.
@AbuuJuleybeeb-kp9to
@AbuuJuleybeeb-kp9to Ай бұрын
kasome baba acha kutetea ujahli
@saadallah6287
@saadallah6287 Ай бұрын
Ujinga si tusi ujinga ni kutokujuwa jambo ni kweli Bachu mjinga
@abuuhanifah.1646
@abuuhanifah.1646 Ай бұрын
Hebu wewe mjinga niambie, neno mshamba na mjinga lipi linaonekana kuwa ni tusi? (Wala usikasirike kukwita mjinga, maana kwa tafsiri nyepesi uliyotoa, ninahakika hujui kila kitu, kuna mengine hujui, kwa hio ni haki yako kukwita mjinga wala sikutukani)
@AbuuJuleybeeb-kp9to
@AbuuJuleybeeb-kp9to Ай бұрын
​@@abuuhanifah.1646 Yan ww mjinga yakusimama mishipa kumteteamjinga mwenzio dasaaaaaah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉
@mirajramadhan3845
@mirajramadhan3845 Ай бұрын
Hayo sio matusi mjibu shekh Muhammed bachu
@mussasalafiy
@mussasalafiy Ай бұрын
Kua na amani atajibiwa tu kuanzia leo uck Alikua anatengenezwa ili sindano zikianza kuingia asijikute anatumia lugha chafu Sasa leo zitaanza taalyq paka 8 ziishe ndi ruduud rasmi zianze kwake
@user-yassir695
@user-yassir695 Ай бұрын
Ulitumia mpaka neno malaya ww au sio ww
@mussasalafiy
@mussasalafiy Ай бұрын
Kaisikilize audio vzur ndio uzungumze
@user-yassir695
@user-yassir695 Ай бұрын
@@mussasalafiy akhy nimeskiliza vzur mimi ndman nkakoment na ukiachan na ilo neno malaya kuna maneno meng t sio mazur kayasema
@AbubakarMuqaddam-f2r
@AbubakarMuqaddam-f2r Ай бұрын
Muombe mungu akupe ufamu wa kuelewa ndugingu sasa neno malaya aliitwa mohmd bachu
@user-yassir695
@user-yassir695 Ай бұрын
Aamin
@user-yassir695
@user-yassir695 Ай бұрын
@@AbubakarMuqaddam-f2r Na ww pia Allah akujaalie ufaham zaid
@user-yassir695
@user-yassir695 Ай бұрын
17:30 shekh abuu fawzan ila ww si nd ulianz kumtukana shekh mohammad bachu au umesahau
@hadjihadji197
@hadjihadji197 Ай бұрын
Wewe Abuu Rudud ndio ulie anza matusi, jibu hoja za kielimu alizokubainishia Muhammed Bachu.
@hadjihadji197
@hadjihadji197 Ай бұрын
Sasa Abuu Rudud kumuita mtu Mjinga hadharani watu wote wanasikia si Matusi?
@dickmagige9315
@dickmagige9315 Ай бұрын
Kuitwa mjinga co tusi
@AbuuJuleybeeb-kp9to
@AbuuJuleybeeb-kp9to Ай бұрын
nikweili mjinga sifa yake hajadhulumiwa
@mussasalafiy
@mussasalafiy Ай бұрын
Waalaykum ssalam warahmatullah wabarakatuh
@Ridhiwani-uy5ey
@Ridhiwani-uy5ey Ай бұрын
Asalamualaykum warahmatullah...
@mussasalafiy
@mussasalafiy Ай бұрын
Waalaykum ssalam warahmatullah wabarakatuh Allaah amuongoze
@zanlec7357
@zanlec7357 Ай бұрын
@@mussasalafiy aaamin insha'Allah. Allah amuongoz yeye pmoj n cc. Aamin
@zanlec7357
@zanlec7357 Ай бұрын
Assalamu alaykum. Alhamdulillah. 🎉Abuu Fauzan endelea kumnyoosha huyu Kijana wetu Zanzibar tumemchok huku, alifika kusema kwa mdomo wake kua Zanzibar hapan wasomi pana watu. Yan jeuri mno hana Adabu kabisaaa anawasema vibaya san Masheikh WA Kisalafy. Mnyooshe
@seniornyungu9718
@seniornyungu9718 Ай бұрын
UMEJIBU KWA UADILIFU KUWA ULIKOSEA WAKATI ULE NA UMEREKEBISHA,HATA SASA ABUU FAUZAN NA MWINGINE YEYOTE ANAWEZA KUKOSEA MUHIMU HAPA UBAYA WA JAMBO ALIYANZA BACHO KWA KUJISHUKU KUWA MROPOKAJI NA KUTISHA WATU NA KUWAKOSOA KILUGHA NA BAADAE KUJIHAMI MAKOSA YAKE KUWA YUKO SAWA NA KUKEJELI NA KUTOA MIAKA KIBAO KUONESHA KIBRI,SASA AMESHAKIRI MAKOSA ANATIA HURUMA ATI KATUKANWA AMESAHAU YEYE NDIE MWANZILISHI. MIMI NAONA MADA IMEFIKA MWISHO
@seniornyungu9718
@seniornyungu9718 Ай бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana katika audio hii,huwa baada ya khutuba zangu najisikiliza nagundua makosa yangu roho inanimate sana mpaka nahisi kuacha kuhutubu niendelee kusoma tu kwanza,kumbe kukosea ni kawaida.
@ibnayub2374
@ibnayub2374 Ай бұрын
@@seniornyungu9718 makosa yapo tu huwez acha, cha kufanya n kujitahidi kusoma na kufuatilia mambo unayo kusudia kuyafikisha kwa watu.
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Ай бұрын
Jibu kama umekosea umetamka matamshi ya Allah kwa makosa
@ibnayub2374
@ibnayub2374 Ай бұрын
Uwe unasikiliza kwa makini kaka wacha ushabiki Abu Fauzan hajalalamika na hapa amesha Sema kuwa huko n Zaman na ndio maana akajitahidi kusoma mpaka sasa NA ameuliza Je barahiyan mpaka leo hajui kusoma Qur'an kutokana na makosa yake ya zaman?
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Ай бұрын
Mbona unalalamika sasa jamaa jibu hoja makosa ya matamshi ya Quraan
@ibnayub2374
@ibnayub2374 Ай бұрын
Hahahaha hiv wew una akili kweli? Au ndio ushabiki umekuzidi akili
@mussasalafiy
@mussasalafiy Ай бұрын
Anaonekana kadakia katikati hajui chanzo Ila akifatilia ataelewa tu
@ibnayub2374
@ibnayub2374 Ай бұрын
@@mussasalafiy hakika itakua kadakia
@hassanhamid4359
@hassanhamid4359 Ай бұрын
Baraka llah fikum shekh wetu mbora
@ibnayub2374
@ibnayub2374 Ай бұрын
Maa shaa Allah, Allah amuhifadh Ustadh wetu Abu ruduud hakika elimu ya dini n kioo.
@zanlec7357
@zanlec7357 Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/anupaKKshZZse8ksi=rRJrrtDYtkH00cr0 Akhy rudi tena ktk hii video. Huyu Muhammad Bachu alijigmba mno. Wala Abuu Fauzan hkusem kua mtu hkosei. Sasa kilimfny Bachu akosoe tangazo ten ktik lugha ili sawa n huku anajua wanadamu wankosea? Ten alifik kibri ch kusem anatoa miaka 15. Mtoto MJINGA san yule Bachu hna Elimu acha anyooshwe.
@maulidimuhani
@maulidimuhani Ай бұрын
NASHAURI TU Achaneni na ayo mambo ya kutafutiana makosa ya kimatamshi, na kiusomaji, Rudini ktk Mambo MUHIMU ya Uhizbi na UJADIDA tulikuwa tunapata faida za kutosha, tulikuwa tunafunguka kiufahamu ipi haqqi na ipi Baatwil (Kwa wale wenye kutaka haqqi)