Wimbo wa baraka sana asante kwa mt cesilia asante kwa mr Ayubu muyenjwa hakina kinanda amekichalaza vilivyo na niliskia pia ndio mtunzi wa wimbo huu hakika ni baraka sana
@JustinaPius-b7z12 сағат бұрын
Vzr
@PhionaOntita-n3e21 сағат бұрын
Fantastic song I am proud to be a Catholic
@SesiliaSigifridiКүн бұрын
Jaman wanakwaya hongereni sanaaa mmeimba vizuri nami najivunia na Imani yangu kuwa mkatoliki
@SesiliaSigifridiКүн бұрын
Jaman wanakwaya hongereni sanaaa mmeimba vizuri nami najivunia na Imani yangu kuwa mkatoliki
@AriellaRukundorwimanaКүн бұрын
Munapendeza moyo wangu ❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@EliviraBoniphaceКүн бұрын
Waooh naipenda Sana hii kwaya aisee
@oscaramani5021Күн бұрын
Asanteni sana Choir ya Mt Secilia- Makuburi, asante Emil shayo, Asante GLS Pro,Mdete TM na Myonga kwa kazi hii nzuri sana... Huu wimbo kwa kifupi sana na kwa ubora mkubwa wa utunzi achilia mbali mpangilio wa sauti umeelezea TUNU za kanisa Katoliki, Misingi na Imani yetu wakatoliki Mungu mkuu akubarikini sana katika hii kazi yenu ya kuinjilisha kwa nyimbo
Kiukweli wiki iliyo pita nilikua kwetu Parokia ya Wino, mahala ambapo ukatoliki wangu ulianzia . Na Kamwe sitojutia kuwa mkalotiki. Najisikia fahari kua mkatoliki!
@LeewinzyNaj4 күн бұрын
Blessed song
@ChrisoconisKupalo4 күн бұрын
Nice song indeed I love everything done by the makuburi choirs,,,Am a Kenyan .
@HelenaMukhwana4 күн бұрын
Nimerudia huu wimbo mpaka nikaona itapata skrach
@oswinoswin-r8g5 күн бұрын
Hakika wakatoliki tujivunie sana
@TinaSaulo5 күн бұрын
Waooo❤
@credokomba3355 күн бұрын
Amina❤
@agneskameo87536 күн бұрын
Huu wimbo unatakiwa kusikilizwa kwenye sub wofer kila kionjo kisikike kwa ufasaha❤❤
@FelstarMoshi7 күн бұрын
Mimi mkatolik najivunia imani ya katolik
@SamuelMatiku-h1y7 күн бұрын
🎉🎉
@sistercathe17089 күн бұрын
Hongereni sana sana mbarikiwe
@Merry-l2s9 күн бұрын
Ahahh jamani huu wimbo ni mzuri sana hongeren wana kwaya wa mt secilia wa makuburi yeee nawashangiliaa sana hakika mm ni mkatoliki damdam yeeeeeeh😊😊😊😊😊🎉🎉
@AisharashidiMamayou9 күн бұрын
mungu ambariki huyu kaka
@mcindaibrahim6139 күн бұрын
Nyimbo nzuri ya Noeli. Hongera Ibrahim tokeya DR Congo (Bukavu)
@EDWARDBENJAMIN-ng4hg9 күн бұрын
❤❤❤❤
@MariselaHoma-pn4kd9 күн бұрын
Kuwa mkatoliki Raha sana❤
@SimonKinono-g5d9 күн бұрын
Amina. Katoliki mwisho
@elizerbethmichael24359 күн бұрын
Wimbo Bora wa mwaka huu mbarikiwe sana 🙏🙏🙏
@olivaminja601810 күн бұрын
I love it
@lukasmgaya706610 күн бұрын
Wow, hongera sana, karibu nyumbani kwa Baba mna makao mengi