Mimi nilikuwa nasali AICT nikiwa binti mdogo, nilipofika kidato cha tatu nilianza kujifunza biblia na katekesimu ya kanisa Katoliki baadae nilihama AICT , nikaanza kujifunza sala mbalimbali,nilikariri Rosary ya huruma ya Mungu na baadae sala mbalimbali, mwaka jana nimebatizwa,Komuniyo na kipaimara,kwa sasa ni Mkatoliki ,nina furaha na ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunirudisha nyumbani,imani ya Kikristo,tena imani imara isiyoweza kulinganishwa na imani yoyote ile duniani 🙏🙏🙏
@aminamiraji90322 ай бұрын
🎉🎉🎉
@SettePro-b7y2 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki sana
@vassy19762 ай бұрын
Ubarikiwe sana na Bwana❤
@gloriasakwari98152 ай бұрын
❤❤🎉🎉 Mungu aendelee kukuimarisha🙏🏽
@christianjohn7402 ай бұрын
Aisikilizae sauti ya Roho mtakatifu kamwe hapotei...keep it up🎉🎉
@NoelaStanslausiАй бұрын
Kama ww mkatoliki weka kopa hapa❤
@dativaswai6874Ай бұрын
Najivunia sana
@SaumuSaidi-z2vАй бұрын
Najivunia kuwa na Iman ya rohoni ya yesu ht km ni mwislamu
@ChicsSalimuАй бұрын
❤❤❤❤❤❤😂❤❤😂
@frankiemissingo192529 күн бұрын
Ni kweli tujivunie imani Katoliki,lakini angalizo Huyo Yesu aliye asili yetu kama tunavyokiri na maandiko yanatushuhudia je ttunamuishi,?Sheria za Kanisa sawa,lakini ule upendo kwa Mungu kuliko vitu vyote na kwa moyo wetu wote na kumpenda jirani kama nafsi yetu tupo?Maana Yesu asili yetu yeye aliyemwona Mungu,yeye ni Mungu na amesema hatutamwona Bbaba ila kwa njia yake,mnaijua njia hiyo (TUUISHI UKRISTTO TU-YAAN-=GAL5:13(Maana ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali tumikianeni kwa upendo.14 Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako.15 Lakini mkiumana na kulana, angalieni msije mkaangamizana.16 Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.17 Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho, na Roho kushindana na mwili; kwa maana hizi zimepingana, hata hamwezi kufanya mnayotaka.18 Lakini mkiongozwa na Roho, hampo chini ya sheria. 19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,21 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu,23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria. 24 Na hao walio wa Kristo Yesu wameusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake.25 Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.26 Tusijisifu bure, tukichokozana na kuhusudiana.
@AishaHussein-q3m28 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@KandidaMassaweАй бұрын
wakatolik ,,,,gonga like hapo chini
@silvesterkalima921315 күн бұрын
Makuburi, nyinyi hamuimbi tu, bali mnatufundisha na kukuza imani yetu kupitia nyimbo zenu nzuri. ASANTENI SANA #MkatolikiDaima
@AnnaKyalo-hu1xv7 ай бұрын
Wale wamefika huku kutoka TikTok gather here😂😂😂Amazing Work Makuburi God bless
@evalynenjeri47437 ай бұрын
✋
@rosenyaboke40545 ай бұрын
Lovely song my favorite choir
@dan51565 ай бұрын
Present...from tik tok KZbin direct
@glorymushi28222 ай бұрын
😂😂
@hamisabaruani93802 күн бұрын
Mimi hapa
@denismaunda31028 ай бұрын
Sina shaka nitathibutu kusema huu utakuwa wimbo bora wa Kwaya Mwaka 2024 ukanda wa Afrika mashariki na Kati
@mariangaida65848 ай бұрын
Kabisaaaa
@adalbertnyika28588 ай бұрын
Kaka hili goma ni balaaa na nusu ....au basi Wacha nikapige kayamba
@fortunatusnuvye76128 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri vionjo tofauti ujumbe wa kijasiri. Mama anaeonekana kuanzia dak 1 sek 7 kaupiga mwingi hapo. MUNGU ATUTIE NGUVU WANAUKWAKATA WOTE NA WOTE DUNIANI
@mtumishisimba8 ай бұрын
Tayari majirani wanajifunza jinsi ya kuleta shindano 😂
@raphaelbarasa17897 ай бұрын
Tafadhali nota yake itapatikana vipi
@marysrevocatus14138 ай бұрын
Naomba huu wimbo uwe wimbo wa Taifa la Katoliki ❤❤❤najisikia raha kusikiliza
Ulihamia wapi ndg maana kua mkatoliki jamani najivunia sana
@anesiusnamara20542 ай бұрын
Kumb hata wew unaipend rc kam me
@eliseindakidemi82692 ай бұрын
Ukiimba kwaya unahisi kama unapaa yaani ni rahaaa
@calsonjr-307jouner46 ай бұрын
Hii Chorus nahamia Catholic leo leo 😊😊😊❤❤
@magdalenebundi25812 ай бұрын
welcome
@walterpeter79572 ай бұрын
Karibu sana
@ChristinaNzigiye-r5o2 ай бұрын
do it today ❤❤
@victezkolma45882 ай бұрын
Welcome
@davey8544Ай бұрын
Welcome and may God bless you.
@phibianchepmngetich61408 ай бұрын
Tulinde Imani yetu, Mimi Mkatoliki Damu kutoka Mombasa kongowea 🇰🇪🇰🇪
@loraxmwamba76627 ай бұрын
Ni kati ya Dini ambayo wanajiamini sanah... Kwasababu wanajua wapo kwenye mchongo wa uhakika wa kwenda mbinguni.... Wakatoliki safiiiii ..... Wimbo ni mzuri ... Najivunia kuwa Mkatoliki....
@GloryMrema-v7v7 ай бұрын
Tunajivunia sotee
@nancykaona20543 ай бұрын
Sio shida zetu aki. Utajili wa sala zote tunazo, baba wa makanisa yote ni katoliki.. huning’oi katoliki aiseee 🤗🤗🤗🤗♥️♥️♥️
@verokomba14833 ай бұрын
Safi sana ❤
@happiness-g1f2 ай бұрын
Wanajiamini ndiyo mbingu haionekani Kwa kupambania dini. Huo ni upofu. Mjue Mungu uwe na amani. Siyo Ijue Katoliki uwe na amani. Ninyi nyote mnasifia vidini vyenu hata mvipake mafuta Mungu anasubiri utakatifu wa mtu mmoja mmoja.
@glorylema56522 ай бұрын
Kkkt tuje tuwape maua yao wakatolik Melody🔥🔥
@marthambega87076 ай бұрын
Hadi nimetoa machozi jamani wimbo wangu bora kwa mwaka huu najivunia sana kuwa mkatoliki
Sijawahi fikiria!! Ila Nina bro wangu kaanza kunishawishi toka2015 mpk Leo sijawahi kubali
@JoyceLugolaКүн бұрын
Wimbo unanibariki san ❤❤
@DaliaDominickАй бұрын
Wimbo pendwa sana ,,,najivunia kuwa mkatoliki ❤
@Fabius_SeptimoАй бұрын
Kila mkatoliki mahali pote alipo ajivunie imani yake na kumshukuru Mungu kwa hii bahati nzuri ya kuwa mkatoliki . Mkatoliki jana,leo ,kesho na milele 🙏🙏🙏. C'est Fabius Septimo qui vous salue depuis la République du Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@jerrykivinge16778 ай бұрын
Nimependa wazo la kurekodi eneo ambalo wamisionari wa kwanza walileta kanisa kama ujumbe wa wimbo unavyosema... Hongereni
@beatricesato1518 ай бұрын
TikTok imenileta huku.. Najivunia kuwa Mkatoliki❤
@judithnzisa-ii7kg8 ай бұрын
Am proudly catholic from Mombasa Kenya, wimbo mtamu wa kulienzi kanisa.. Mbarikiwe wanakwaya na mtunzi wa Wimbo Kwa jumla
@rozkiwale9127 ай бұрын
Mungu naomba unisaidie niilinde Imani yangu kuwa mkatoliki ninajivunia sana hasa pale ninapompokea Yesu wa Ekaristi . Mungu naomba uwarudishe wale wote wanaokimbiakimbia hawajui zawadi iliyoko katika kanisa katoliki. Hongereni sana wana kwaya Mungu awabariki sanaaaaa 🎉
@DorotheaUlomy5 ай бұрын
Catholic daima ndani ya Damu♥♥♥
@GrinT.912 ай бұрын
@@DorotheaUlomyNakuunga mkono kwa kweli Mugu aitunze imani yetu
@marcosidon2578 ай бұрын
Aliyetunga huu wimbo 🙌🙌🌹🌹
@IrrenNganjuАй бұрын
Hakika anastahili mauwa
@brianmmboyi2548 ай бұрын
Deserves to be a Catholic anthem...a song for diminishing faithfuls to listen. I can't just stop listening to it since the first day it was out. God bless you all for this angelic song❤❤❤❤
@AdventinaRichard-op9eu5 ай бұрын
Naomba nikiwekwa jubilee yangu miaka ishilini na tano yautawa nje miimbie jamani hapo nipo tanga vijijini ninmwaka 2027 karibu I makuburi Nawapenda❤
@sistyandrea19313 ай бұрын
Hakuna shida ni mawasiliano tu
@AdventinaRichard-op9eu3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@Gloria-t5x9oАй бұрын
Niko hapa baada ya sikukuu ya vijana wote ulimwenguni kristu mfalme 2024
@WaswaMaurine5 ай бұрын
Hi wimbo si ige kua national anthem 😊😊😊😊❤❤❤❤😂😂😂
@SolinaEduard12 күн бұрын
😂😂😂😂
@josephinekahemela31768 ай бұрын
Aseeeeeee huu Wimbo ni bonge la wimbo yaani sichoki kuusikiliza aseeeeee mimi MKATOLIKI huu ni wimbo bora 2024
@josephinaraymond4535 ай бұрын
Amina wajina ukatoliki ni raha tupuuuu
@innocentbagoka7776Күн бұрын
Wimbo wangu bora 2024
@edgamboko11742 ай бұрын
Safi sanaaaa,upo sehemu sahihi sanaaa,simama hapo hapol usiondoe mguu wako kurudi nyuma hatua moja wala kwenda kwingine kokote enjoy kuwa mkatoliki raha sanaaa.
@gracekimani6277 ай бұрын
It is one, Holy, Catholic and Apostolic. And we are Universal. #DaimaMkatoliki Nice song...... watching 🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@elizabethkatikiro10558 ай бұрын
Hongera sana Shayo kwa utunzi mxuri wa wimbo huu mtamu
@josephkasanyu6458 ай бұрын
Kanisa ni Moja Na Takatifu,,,, acha nijivunie kuwa Mkatoliki
@DM.22008 ай бұрын
Proud to be catholic Wimbo mzuri adi nasisimka 🎉🎉🫡🫡
@despinae.mdende8 ай бұрын
Nimebatizwa kwenye kanisa Moja. Najivunia kuwa Mkristo Mkatoliki.
@SabinaCleophace8 ай бұрын
❤❤❤❤
@theresiajoseph19438 ай бұрын
🔥🔥
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi8 ай бұрын
hakika
@jemamponzi71428 ай бұрын
❤❤
@lucymahamba7 ай бұрын
Hongereni sana Mt. Secilia Makuburi, kwa kweli mmenikosha sana.
@stevenmwacha76178 ай бұрын
Wowow ni nzuri mnoooo Aloyce sio kwa tabasam hilo’ hakika najivunia kuwa mkatoliki
@NiccaSaua7 ай бұрын
Najivunia ukatoliki wangu mpka kufa kwangu ❤❤
@JosephKimodoi8 ай бұрын
NINAWEZA NIKAWA MTU NILIEUSIKILIZA MARA NYINGI ZAIDI MPAKA SASA
@lopuyopaulolokwawi7 ай бұрын
Uongo, Mimi ndio nimesikiliza sana mpaka Leo na narudi jioni na kesho na milele. Najivunia kuwa mkatoliki ❤
@gerkombo65123 ай бұрын
Upo kama mimi
@SilviaBayyo-f6u2 ай бұрын
MIMI MKATOLIKI❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
@judymuseo17487 ай бұрын
Wimbo mtamu saana. Najivunia kuwa mkatoliki.
@BenithojosephmhemaJosephАй бұрын
❤❤❤ huuu wimbo unatambulisha kuwa hamna imani iliyo juu ya mkatoliki ni kanisa katoliki lenye msimamo achana na eagt
@andrewkamande83516 ай бұрын
Hiyo chorus ikishaanza kucheza kwa akili haitoki.. hiyo soprano inanipea goosebumps
@dorinekubai4 ай бұрын
I know right
@emilshayo44038 ай бұрын
Nawashukuru sana nyote Kwa matashi mema....tumuombe Mungu atujaalie afya na uhai....tuipende Imani yetu, tujivunie Imani yetu
@marymwihava754214 күн бұрын
Safi sana wimbo huyu jamani Na Mungu amebariki
@remmymuema88717 ай бұрын
A nice worship song. Indeed daima najivunia kuwa mkatoliki.
@rachellehonomou26057 ай бұрын
Merci Seigneur Dieu pour ces moments forts de chants de louanges. Quelle magnifique choristes Amen
@LucyKiseo5 ай бұрын
Am proudy catholic......,barikiwa mtunzi,... walimu na waimbaji kazi nzurii Mungu tusaidie tulinde imani yetu ❤❤
@aghatusbiro672213 күн бұрын
Wimbo umehubiri tunu za Kanisa Katoliki na umuhimu wa Mkatoliki kuzishika na kuziishi, zaidi ya yote Mkatoliki asimame imara asiyumbishwe. Hongera sana Mtunzi na Kwaya kwa utume mzuri sana, Wimbo huu utapendwa sana na kuvuma kuliko mlivotegemea wakati wa kuuandaa. Kristo.....
@ApolnaryMassawe-y9q2 ай бұрын
Hakika,uimbaji ni karama.Melodia ya wimbo huu imekaa vizuri
@EmmanuelKenedyАй бұрын
Proud to be catholic🎉
@HAPPYThomas-v6zАй бұрын
Jaman wanakwaya mmetishasana sijuinisemej ila hamna dininzr apaduniani Kama rc❤️❤️
@maureenagesa9993Ай бұрын
Yaani chorus..... eeeh napaa I'm on cloud 9
@JoakimJosephy2 ай бұрын
Nakuona Livinus tulisoma wote advance Morogoro, hongera sana na wanakwaya wenzako
@godlivermasawe42946 ай бұрын
Sichoki kuusikiliza. Nataka hata nilie. You did it good people. Haki unafaa kuwa wimbo wa Taifa la wakatoliki
@YulithaYoram8 ай бұрын
Najivunia kuwa mkatoriki❤️❤️❤️
@justinmbai14146 ай бұрын
Yaani wimbo mtamu sana
@scholasticakalimba28288 ай бұрын
Wakatoliki oyee ❤❤❤ Mungu alilinde kanisa katoliki ulimwenguni mwote
@anthoniampemba44342 ай бұрын
Kanisa lisilokuwa na mbwembwe wala kuyumbishwa na mtu au kikundi cha watu fulani....pale unapoona ngumu kufuata kanuni unajiengua mwenyewe hakuna kubembelezwa😊😊
@zxcvbnmmkh20 күн бұрын
😂😂 Ukitaka kuleta za kuleta unasimamishwa wewe kama wewe na kufungiwa huduma zake kadri ya taratibu. Na kwa unyenyekevu wanakueleza huruhusiwi kuendelea kushiriki katika ibada labda ujirudi na kufanya toba.
@christinalwila73520 күн бұрын
Afu hata ukikaa miaka 20 ukirudi hamna anayekuuliza misa inaendelea 😂kristu Leo……..
@Misol0038 ай бұрын
Jaman sijawahi juta kuwa mkatolik yaaan Nina Raha Kila cku ❤❤❤❤😊😊😊😊😊
@MuseNyakonga7 ай бұрын
Cette grande joie, me pousse à pleurer, très fière de ma foi, très fière d'être catholique
@MagrethMallya-we8ui5 ай бұрын
Mmeupiga mwingi africa yote, hongereni sana. Mungu awabariki tena.
@theresiarenatus79468 ай бұрын
This song Awwww🥰💥💥💥 hongereni sana
@laurynotieno520Ай бұрын
Ain't a Catholic but I studied in a Catholic school ST.joseph mukasa's Mirogi girls high school the stay there was nice and spiritual since then I enjoy all catholic songs this one being my favourite
@salomekamendi2458Ай бұрын
Kweli kabiza najifunia Kuna mkatoliki😊
@EvansKibetMusic8 ай бұрын
Kazi safi sana wangwana ❤
@faustinegeay36868 ай бұрын
Hongera sana kwa wimbo mzuri sana
@salomembambwe46825 ай бұрын
Wimbo Wa Ukweli Kanisa Moja Tu Katoliki Amizing
@leahkavugho34017 ай бұрын
Nimesikiliza wimbo huu tena na tena. HONGERENI SAANA NDUGU ZANGU.
@DjTijay2548 ай бұрын
mkatoliki daima...
@credokomba33523 күн бұрын
Amina❤
@patriciaburure28518 ай бұрын
Asanteni sana Mt. Secilia Makuburi, mmeliheshimisha kanisa kwa huu utunzi. Mmeanzisha mwendo na kuonesha njia. Big up sana
@IsackMerick2 ай бұрын
MUNGU ni mwemaaaaa najivunia kuwa mkatoliki
@JULIANASEGEDU7 ай бұрын
Najivunia kiukweli nyimbo nzur sana
@thomaskapalata70712 ай бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki 😊
@YasintaMrosso7 ай бұрын
Pongezi nyingi kwenu👏👏🎉
@SabinaLukonge2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana. Hakika najivunia kuwa Mkatoliki.
@ireneireri46977 ай бұрын
An amazing song. Proud to be a Catholic
@FridaGeorge-x1dАй бұрын
Big up kakaaaa Emily "katekista"kijana
@francismatsiri34377 ай бұрын
mimi mkatholiki kweli najivunia sana sana utunzi mzuri sana hongereni wana cecilia
@DearMkapesaАй бұрын
Kweli kabisa proud of catholic🙏🙏
@teachergodfreypeter90524 ай бұрын
Kwaya zote za parokia ya Makuburi zipo moto.
@MerryMrema-s6g2 ай бұрын
Umechagua fungu jema ubarikiwe sana
@businessngoni53342 ай бұрын
Hapa ndipo ukatoliki unaponipa raha sasa ❤🤗
@MasanjaJames-l7b8 күн бұрын
Saaaaaaaana ❤❤❤
@urbanusnzioka10878 ай бұрын
Najivua ukatoliki ❤mimi ni mkatoliki na nitaishi ukatokeki maishani wangu ,,,,ukatoleki ndio msingi wa imani
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi8 ай бұрын
hakika
@yusterngoye32825 ай бұрын
Asante Mungu kwa kuzaliwa mkatoliki
@getrudejeptoo2534Ай бұрын
Nice song 🎊 proud Catholic faithful
@immaculataroeser90942 ай бұрын
Viva mkatoliki!!!!😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉!!!❤❤😂😂😂
@AdrianAmos-s7e2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@edwardmasembe50618 ай бұрын
HELLO MEMBERS OF ST SECILIA CHOIR , thank you , thank you very much for giving us this song . To many of us OUR CATHOLIC FAITH , is OUR FIRST IDENTITY . We feel BLESSED to so and are very proud of it . May OUR LORD bless you always .
@waise3864Күн бұрын
🙏🙏..what a blessing song ....tutubu yesu yu akaribia kurudi
@florianmagogo33177 ай бұрын
Hongereni wimbo mzuri sana🎉🎉
@GabrielZahoro3 ай бұрын
Kiukweli huu wimbo mtunzi alishukiwa na roho Mtakatifu,
@EmiliaLaban7 ай бұрын
Hakika napaswa kujivunia ka Iman yangu na kusimama imara kuitetea mbarikiwe Mt sesilia🙏🙏🙏
@WinniAdriano2 күн бұрын
Nawapenda sana jamn mimi pia nilizaliwa mkatoliki na ninajivunia dini yangu❤❤❤❤❤
@JustinaBatromeo2 ай бұрын
Halooooo hakika mimi huwa nabarikiwa sana na najivunia sana kuwa mkatoriki🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ napenda sana dini yangu
@HelgaGeraldАй бұрын
Catholics,we are proud of uuu. God bless you ❤❤❤
@NuruZakayo-nj9jl2 ай бұрын
Nimekuona lugome
@MercyJohn-g7f21 күн бұрын
NAUPENDA SAAANA HUU WIMBO
@stelasadoti84586 ай бұрын
Kutoka parokia ya maria konsolata morogoro wimbo huu unanibariki sana na vijana wetu wakiuimba Kwenye misa ni shangwe sana
@WinifridaMwangu2 ай бұрын
Nashukur snqa kuzaliwa na kujivunia mkatoliki ❤🙏
@josephkiviu9477 ай бұрын
Kazi safii 🎉 can't have enough of the replays. Kanisa ni moja.