MAELFU WAMSWALIA SHEIKH ADAM AHMAD
7:31
19 сағат бұрын
"MATUNDA ZONE" BOLISA 13.7.2024
12:41
14 күн бұрын
MUFTI ALIPOZURU KIBAIGWA
27:06
Ай бұрын
Dunia inaongozwa na Kampuni hii
25:36
MUFTI AISHUKURU TAASISI YA TAAWANU
14:01
MUFTI APELEKA 41 KUSOMA MOROCCO
22:41
BAKWATA Online imeleta Faida hizi
16:00
NASAHA ZA MUFTI DR. ZUBEIR
23:38
3 ай бұрын
Пікірлер
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 9 күн бұрын
MUZIKI UKO JUU SANA LKN NIMEPENDA
@allyrashidi9875
@allyrashidi9875 11 күн бұрын
Assalam aalaikum,Sheikh Nkusa naomba namba yako ya Simu,ni Mimi ndugu yako ALLY
@user-wf5fw2po9b
@user-wf5fw2po9b 21 күн бұрын
Shule nzur
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 25 күн бұрын
Mmekosa wakuomba ? Dua munampa huyo mtu wa maulidi?
@user-fc8we1ic2q
@user-fc8we1ic2q Ай бұрын
Ma Shaa llah.allah amuhifadhi mufti wetu
@Martin-hi7wx
@Martin-hi7wx Ай бұрын
Kuna matooke uko kama Masaka Uganda?
@gunbizzo1970
@gunbizzo1970 Ай бұрын
Nae ameumiza sana watu kupitia ujambazi wake na uporaji aliofanya
@TABARAKARAHMAAN
@TABARAKARAHMAAN Ай бұрын
Asalaam Aleykum' Asante sana ❤
@quranvideoclips.kswahilii1332
@quranvideoclips.kswahilii1332 Ай бұрын
Asalaam Aleykum' Asante sana. ❤
@MohamedSalah-on5zp
@MohamedSalah-on5zp Ай бұрын
ما شاء الله
@faridubakana6733
@faridubakana6733 2 ай бұрын
Allah amlipe Jannatalfirdaus marhuum Shaikh Mustwafa...na Allah atujalie istiqama na himma katika kuifanya kazi ya Allah
@faridubakana6733
@faridubakana6733 2 ай бұрын
Allah ampe Jannatalfirdaus na atujalie sie mashekh vijana istiqama na himma ya kufanya kazi za Allah
@mohamedmasanga9134
@mohamedmasanga9134 2 ай бұрын
Sheikh ondoa hiyo kelele ya kinanda
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 ай бұрын
😂😂😂😂makadhi?
@mohamedmsama4833
@mohamedmsama4833 2 ай бұрын
Bakwata kazi yao luandika barua za ndoa za waisram wapeleke mambo yao mahakama za za mwazo kwa wasokua waislam wachochezi mumosababisha waislam weengi wako magerezani Xhizenga mganga kn hand
@mohamedmsama4833
@mohamedmsama4833 2 ай бұрын
Mna muona anae waunga mkono bakwata ama mwaga au? Mchawi
@mohamedmsama4833
@mohamedmsama4833 2 ай бұрын
Anae iunga mkono bakwata ni wale ma mbumbumbu au' ndugu zao au? Watoto wao au? Wake zao,
@mohamedmsama4833
@mohamedmsama4833 2 ай бұрын
Bakwata tafutini wanasheria awasomeeni katba ya nchi inasemaje? Kuhusu uhuru wa kuabudu inabara ya 19 wengi viongozi wa bakwara darasa 3 katiba yachi? Au? Ya balwata? Kama ya bakwata hiyo ni tasisi kama zingine
@mwanakitimbaraka2574
@mwanakitimbaraka2574 2 ай бұрын
Mashaallah mufti ALLAH akuongoze uzidi kututetea
@shahidukaelelezi
@shahidukaelelezi 2 ай бұрын
Mashaallah tunamshukuru kwa hii histria ni muhimu kujua tulipo toka ❤
@AffectionateFood-rz5sv
@AffectionateFood-rz5sv 2 ай бұрын
Mashaallah kazi iendelee inshaallah
@Hussenhamza-fq9hh
@Hussenhamza-fq9hh 2 ай бұрын
Mashaallah nimefurahi sana allah azidi kukuweka mlezi wetu
@AishaMkwata
@AishaMkwata 2 ай бұрын
mashaallah
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 2 ай бұрын
Ni dhahir kabisa wazee wetu huko nyuma wameipambania mno dini hii kwa shida nyingi sana,tuna mambo muhimu kujifunza kwa hawa Mashekh wakubwa waliojitoa kwa hali na mali. 1.hawa waislamu inaonekana walikuwa na mshikamano mkubwa kati yao na wa nchi jirani na bila kubaguana. 2.waliheshimu mno viongozi wao. 3.uhusiano wa mashekh kati yao ulikuwa ni mzuri sana hadi walipokuja Mawahabi kutuharibia kila kitu
@ZawadFadhir
@ZawadFadhir 2 ай бұрын
Bora naiweivo manake wamekuwa wakituvuruga2 hawo mawahabi wakijifanya vichwangumu wapigwe2 mbwa koko
@abuunaraimansalumal-shaib9260
@abuunaraimansalumal-shaib9260 2 ай бұрын
Wewe inaonekano ufuatiliaji wako ni mdogo au hufuatilii kabisa
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 2 ай бұрын
Hatuwezi kuifuta taasisi iliyoanzishws Naswara, pia ni taasisi ya kidunia iliyojificha katika dini
@fatmamsindi4612
@fatmamsindi4612 2 ай бұрын
Maashallah, umeongea vizuri sana. Hongera katibu wetu.
@ngalamenoherbal6955
@ngalamenoherbal6955 2 ай бұрын
Mnatafuta kuleta fujo ninyi Bakwata nchi ilitulia hii, si kila mtu anaongozwa na Bakwata fanyeni mambo ya msingi acheni kutafuta migogoro huyo ni Mufti wa bakwata sio wa waislam wengine hawamfuati msilazimishe mambo ninyi ndo mnauchu wa madaraka mmeona mnapata aibu ktk mambo ya muandamo
@DaudiSaid
@DaudiSaid 2 ай бұрын
Mafuta na maji hayakai pamoja la mhimu watu wajitafakari ni wapi wanakwama hata hivi vikao ni kuonesha kuna mapungufu ni kuonesha umma umekuwa na uelewa zaid wa dini yao
@ngalamenoherbal6955
@ngalamenoherbal6955 2 ай бұрын
Mnatafuta kuleta fujo ninyi Bakwata nchi ilitulia hii, si kila mtu anaongozwa na Bakwata fanyeni mambo ya msingi acheni kutafuta migogoro huyo ni Mufti wa bakwata sio wa waislam wengine hawamfuati msilazimishe mambo
@SaidKatuga-qx1xr
@SaidKatuga-qx1xr 2 ай бұрын
Unayozungumza mzee ni usanii mtupu bakwata hamtusaidii chochote yaani Kila Jambo lenye kheri kwa waislamu nyie bakwata huwa nikupinga tu Mimi Kwanza nawaulizeni mtume s.a.w alijsomea wapi maulidi? Lakini pia makhalifa wote wanne waliyafanya wapi hayo? Alafu mnasema mko kisuna wakati mnazua ya kwenu alafu mnamsingizia mtume,alafu Mimi nashangaa Sana waislamu wanamatatizo lukuki lakini nyie kazi yenu eti ktungaza mwezi na sikukuu kweli jamani hamuoni aibu kabisa?alafu hakuna uvunjifu wa amani mnatisha watu ili kutaka wenzenu waangamizwe Allah atawalinda na shali zenu Msipotafakari mnayo yafanya nyie bakwata Kila siku mnapenda wenzenu wafe wafungwe , mtaona Allaah atakavyo waadhibu inshaa Allaah.nyie kaeni na bakwata yenu sisi wananchi wadogowadogo hatuwataki jamani msitulazimishe .Ami nashauri jitengenezeeni mwezi wenu ndio muumiliki naso mwezi wa Allaah kwa kuwa mmetangaza waislamu wakamatwe sisi tunanamwashitaki kwa muumba wa vyote .tufikirie na yaliyomo kaburini siku tukifa patakuwaje humo hapa tunapita tu nyie wazee wangu.!
@hassanpashua
@hassanpashua 2 ай бұрын
Dunia Allah ndio anaiyongoza sio watu
@ramygichero1016
@ramygichero1016 2 ай бұрын
Nenda kanye utoe hayo mavi tumbo lipungue wezi wakubwa nyie
@ramygichero1016
@ramygichero1016 2 ай бұрын
Peleka tumbo limejaa mavi huko mmeuza mali zetu waislamu tumekuwa maskini kwaajili maubwa nyinyi
@user-ky3hc1jn3e
@user-ky3hc1jn3e 2 ай бұрын
Mambo ya uchaguzi yanahusikaje hapo,wanafiki wakubwa nyunyi
@AbuuMuhsin
@AbuuMuhsin 2 ай бұрын
Mnapambania dunia wala sio aakhera,, kazi mnayo😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@KibwanaOmar-dh2sh
@KibwanaOmar-dh2sh 2 ай бұрын
Na nyinyi kuweni wakweli msiwafungize watu kwa amri za viongpzi wa sirikali Kama alivyothibitisha muft kwa muft hemed Bin jumaa
@zaydamos874
@zaydamos874 2 ай бұрын
Soma comment ndio utajua hamkubakik kwa waisilam ila mnatumia mgongo wa serikal
@user-gt9eu2hg8f
@user-gt9eu2hg8f 2 ай бұрын
Hawakubaliki na wanaoandika Comments na wanaotoa comments si Waislam au sio Wawakilishi wa Waislam Kama ambavyo Wewe unavyowapinga hivyo kazi ya dini iachwe katika waliopewa dhima ya kusimamia dini na si Kila Mtu atakuwa msemaji Katika hayo tumuombeni Allah Subra na si jazba katika chuki zetu za kitaasisi Dinni Ina Kanuni na si siasa tuchungeni Mipaka yetu kuwatukana viongozi hata kama Wewe humkubali ila lugha za Matusi na kebehi hatutabaki salama
@zaydamos874
@zaydamos874 2 ай бұрын
Nikwel hana vigezo vya umufut hata aya za mwenyezmungu hawez kuzisoma hata ana nuru ya uisilamu na hatua mtachukuliwa nyie sio huyo sheikh baraiyan Allah atamlinda mbaka atakapo taka nyenye Allah yampate hayo mnayo yaomba
@zaydamos874
@zaydamos874 2 ай бұрын
Huyo n mufut wa bakwata sio mufut wa waisilam badir kauli yako we mzee njoo darasan
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 2 ай бұрын
Hayo ni mawazo yako na hisia zako tu. Kama wewe sio Mufti wako sie ni wetu. Acheni umadhehebu na itikadi za kijinga ninyi mnafikili kuna taasisi ya kiislam yenye nguvu na mamlaka kuzidi Bakwata, Kusajiliwa kwa taasisi sio kuwa na mamlaka sawa na hadhi sawa, Hakuna kiongozi wa dini wawili nchi moja. Acheni uhuni kwenye dini yetu ya kiislam.
@zaydamos874
@zaydamos874 2 ай бұрын
Nyie wazee hamna elimu achen kujipendekeza serikalin serikal imeikuta din na mtakufa mtaiacha din hivyo jiangalien na mjitathimin nyinyi hamna utofaut na makafir
@hajirashid-em5vj
@hajirashid-em5vj 2 ай бұрын
Tasisi zote zipo sawa Bakwata mkubali uislaamu ni jambo la dunia nzima mtume hajawapeni haki hii mnayo itaka jifunzeni qurani na suna za mtume uissilaamu hauiihitaji bakwata bali bakwata in wahitaji waislaamu waendeeni kwa upole sio kuwatisha muungu hata waacha salaama shukrani
@abdallaabdalla4416
@abdallaabdalla4416 2 ай бұрын
Nashukuru sheikh kutaja maulidi kuwa ni sherehe tabaan ni furaha si ktk ibada ya kumuomba Mtume uokovu na kumpa sifa za. Mungu ingawa sio mada Yote ni sababu hatuna umoja hatukubali kukosolewa MOLA analeta mitihani
@abdallaabdalla4416
@abdallaabdalla4416 2 ай бұрын
Ewe she he unatuchanganya mara serikali haihusiki lakini hapohapo unataka iingilie na ifanye maamuzi halafu unataja uvunjifu wa amani nani athubutue umetaja habari ya mwezi unapotosha ukisema wa kimataifa maanae UKO mwengine mwezi ni mmoja dunia hii na athari yake ni mmoja popote utapoindama Sk nakuuliza na nyote waislam ambao munakubali elimu yake nijibuni suali la kwanza Bila ya ushabiki KWA NINI MWEZI UNAPOZALIWA TUNAUTAJA KWA SAA KIDUNIA HICHO MNACHOITA KIMATAFA NA KISAYANSI HUWA ROBO TATU UPO SASA INAKUWAJE UNAPOANDAMA TUSITUMIE SAA YA DUNIA MUITAYO KIMATAIFA YAANI KUZALIWA MUNAKUBALI MWEZI MMOJA SAA MOJA DUNIA NZIMA HAMUONI KUWA MUNAKOSEA NA KILOJIKI AKILI HAIKUBALI MWENYA AKILI YA HILI ANIELIMISHE TAFADHALI USINITUKANE tumia akaunt ya Utube au am 0773206828 au whatsapp
@RajabShedangio
@RajabShedangio 2 ай бұрын
Allah azid kuwatia nguvu viongozi wetu wa sunna na da'awa ya ahlusunna ndo sahihi tunaoikubali na ni yenye kufuta utaratibu alioacha mtume s .a.w hizo nyingine uzushi ty Allah atuongoze katika njia ya haq
@user-wv8ec6ls2e
@user-wv8ec6ls2e 2 ай бұрын
Wanasiasa tumeinasa hiyo tutaifanyia kazi kwenye majukwaa,Kama serikali yetu INA Dini!,Ituambie,Kama kila tasisi itaitumia serikali yetu kwaajiri ya maslahi ya watu binafsi Basi Wanyonge wataiona Dunia kama jehanamu,2025 Hiyooooooo!Karibuni Act wazalendo Tuijenge Tanzania yetu upya,Chama chenye kujari utu,Uzalendo,Mshikamano,Amani,Na Utulivu,Kuheshimu Ibada ya MTU,kuheshimu mawazo ya MTU,Chama chenye Demicrasia Nk.
@salumsalum9842
@salumsalum9842 2 ай бұрын
Mbna ktk ule mkataba muft alipewa nafas za w'ke na w'me, ila walooenda na w'me. Je w'ke hawana hak ya kusoma dn yao?
@salumsalum9842
@salumsalum9842 2 ай бұрын
Napenda kujua utaratb wa kuchukua 4m kwa wakaazi wa Z'bar
@salumsalum9842
@salumsalum9842 2 ай бұрын
Assalaam alaikm warahamatullah. Mm napenda uzo fursa zigaiwe kwa haki baina ya Tz Bara na Z'bar
@sembulimchawala307
@sembulimchawala307 2 ай бұрын
Hawa ni wanaFiiki kupitiliza yaaani ndio wamejipachika cheo cha baraza la Ulama
@RashidMpembe
@RashidMpembe 2 ай бұрын
Unapo ongea hayo ufikilie na kesho kwa mungu utajibu nini kwa kupotosha waislam, na uangalie upande wa pili mbona wao hawagombani kuhusu mitume wanaojitokeza hivi sasa Acha unafki