TAMKO ZITO LA BARAZA LA ULAMAA BAKWATA.

  Рет қаралды 8,295

Nkussa International

Nkussa International

2 ай бұрын

Пікірлер: 164
@fatmamsindi4612
@fatmamsindi4612 2 ай бұрын
Maashallah, umeongea vizuri sana. Hongera katibu wetu.
@AishaMkwata
@AishaMkwata 2 ай бұрын
mashaallah
@aminaabdallah8728
@aminaabdallah8728 2 ай бұрын
Subhannallah !!! Allah tuongoze njia iliyonyooka njia ya wale iliyowaneemesha sio ya wale iliyowakasirikia 🤲
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 2 ай бұрын
Watawala eleweni kua viongozi wa bakwata hawana busara hata kidogo, na niwafinyu wa khibra kwenye mambo mengi sana, na niwatu wanao tanguliza matashi yao, na kutengeneza mslahi ya matumbo yao tu, hatakama kuyapata haya kutagharimu amani ya nchi nzima, wao hawajali hilo!!! Kwaio kuweni makini na chokochoko zao na fitna zao, na ulafi wao wa.........
@Mauya23
@Mauya23 2 ай бұрын
Duh...!
@AbuubilalyHizzah.
@AbuubilalyHizzah. 2 ай бұрын
Edd haipangwi na taasisi bali eddi inakuja kwa mpango alioupanga allah kwa miezi na siku malum mpango huo wakupanga sikukuu ndio unao sababisha vurugu kwakua nikupora mamlaka ya allah ktk kuwapangia waumini ibada
@user-lm7uh8uc8y
@user-lm7uh8uc8y 2 ай бұрын
Tatizo sijui sisi watanzania walio wengi hawana akili ? Au akili ziko kama mav hadi inakera aisee akili ziko kama taka taka . Huyu mzee kasoma vifungu vya katiba ya bakwata katiba hiyo maana yake iliundwa na taasisi zote za kiislam wakati wa kuanzishwa kwake maana yake taasisi zote ziliridhia ndio maana ya katiba na wakaisajiri serikalini wewe taka taka ya maneno yako unaotoa wapi mi mkristo lakini kuna baadhi ya coment zinawadhaulisha waislam ni kama hamuelewi mambo yanavyoenda
@abdulkareemchacha2625
@abdulkareemchacha2625 2 ай бұрын
Sikukuu ya Eid inatangazwa kwa Mujibu wa sheria na siyo kupangwa
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 2 ай бұрын
Mwezi mwandamo unajitangaza wenyewe automatically, lakini Bakwata mnatakiwa kujuwa NYINYI ni taasisi man katiba YENU. Na zipo pia taasisi za kiisilam ambazo Zina katiba zao. Hawalazimishwi kufuata katiba YENU Wala hamlazimishwi kufuata katiba zao. Na kubwa zaidi ni kwamba sio waislaam wote wanaikubali Bakwata, na sio waislaam wote wanaikubali taasisi zingine za kiisilam. NYINYI Bakwata mnaungwa mkono na waislaam wanaikubali Bakwata, na waislaam wengine wanaziunga mkono taasisi nyingine. WAISLAAM HAWALAZIMISHWI KUFUATA TARATIBU ZA BAKWATA. La ikraha fiyd diyn. Hapo tamko lenu halina mashiko mnajiumbua tu
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 2 ай бұрын
WAZEE MSIIFUNDISHE SERIKALI. NYINYI MTATANGAZA KWA WAUMINI WENU NA TAASISI ZINGINE ZITAWATANGAZIA WAKE. NA KILA TAASISI INA KIONGOZI WAKE. ACHENI KUTUPOTEZA WAISLAAM
@saidsaid-oj6qx
@saidsaid-oj6qx 2 ай бұрын
Mnako elekea mtakuja kujuta maana itakuja ifutwe hiyo bakwata labda muombe hiyo ccm ishike madaktari mpaka kiama lilivyo itakuja kuondoshwa kwani hapa zamani kulikuwa na jumuiya ya Waislamu alipo akaiondosha Nyerere ndipo akaweka bakwata kwa fikra zake kuwa Waislamu watashika nchi
@mohamedmsama4833
@mohamedmsama4833 2 ай бұрын
Anae iunga mkono bakwata ni wale ma mbumbumbu au' ndugu zao au? Watoto wao au? Wake zao,
@mrafm7285
@mrafm7285 2 ай бұрын
Kwani kila taasisi SI Iko kisheria na Ina katiba yake mbona bakwata mna force waislam woote wawe wafuasi wa bakwata wakati katiba ya nchi imetoa uhuru wa kuabudi
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 2 ай бұрын
Nashangaa
@DaudiSaid
@DaudiSaid 2 ай бұрын
Mafuta na maji hayakai pamoja la mhimu watu wajitafakari ni wapi wanakwama hata hivi vikao ni kuonesha kuna mapungufu ni kuonesha umma umekuwa na uelewa zaid wa dini yao
@user-ky3hc1jn3e
@user-ky3hc1jn3e 2 ай бұрын
Mambo ya uchaguzi yanahusikaje hapo,wanafiki wakubwa nyunyi
@KibwanaOmar-dh2sh
@KibwanaOmar-dh2sh 2 ай бұрын
Na nyinyi kuweni wakweli msiwafungize watu kwa amri za viongpzi wa sirikali Kama alivyothibitisha muft kwa muft hemed Bin jumaa
@abdallaabdalla4416
@abdallaabdalla4416 2 ай бұрын
Nashukuru sheikh kutaja maulidi kuwa ni sherehe tabaan ni furaha si ktk ibada ya kumuomba Mtume uokovu na kumpa sifa za. Mungu ingawa sio mada Yote ni sababu hatuna umoja hatukubali kukosolewa MOLA analeta mitihani
@abdallaabdalla4416
@abdallaabdalla4416 2 ай бұрын
Ewe she he unatuchanganya mara serikali haihusiki lakini hapohapo unataka iingilie na ifanye maamuzi halafu unataja uvunjifu wa amani nani athubutue umetaja habari ya mwezi unapotosha ukisema wa kimataifa maanae UKO mwengine mwezi ni mmoja dunia hii na athari yake ni mmoja popote utapoindama Sk nakuuliza na nyote waislam ambao munakubali elimu yake nijibuni suali la kwanza Bila ya ushabiki KWA NINI MWEZI UNAPOZALIWA TUNAUTAJA KWA SAA KIDUNIA HICHO MNACHOITA KIMATAFA NA KISAYANSI HUWA ROBO TATU UPO SASA INAKUWAJE UNAPOANDAMA TUSITUMIE SAA YA DUNIA MUITAYO KIMATAIFA YAANI KUZALIWA MUNAKUBALI MWEZI MMOJA SAA MOJA DUNIA NZIMA HAMUONI KUWA MUNAKOSEA NA KILOJIKI AKILI HAIKUBALI MWENYA AKILI YA HILI ANIELIMISHE TAFADHALI USINITUKANE tumia akaunt ya Utube au am 0773206828 au whatsapp
@ngalamenoherbal6955
@ngalamenoherbal6955 2 ай бұрын
Mnatafuta kuleta fujo ninyi Bakwata nchi ilitulia hii, si kila mtu anaongozwa na Bakwata fanyeni mambo ya msingi acheni kutafuta migogoro huyo ni Mufti wa bakwata sio wa waislam wengine hawamfuati msilazimishe mambo
@hamoudyahya7635
@hamoudyahya7635 2 ай бұрын
Sheikh mmeanza vizuri na mwisho mnawachongea wenzenu kua wana itikadi za kigaidi wakati hoja zinazoipa nguvu bakwata ushazitaja na zina nguvu. Muogopeni Allah
@RajabShedangio
@RajabShedangio 2 ай бұрын
Allah azid kuwatia nguvu viongozi wetu wa sunna na da'awa ya ahlusunna ndo sahihi tunaoikubali na ni yenye kufuta utaratibu alioacha mtume s .a.w hizo nyingine uzushi ty Allah atuongoze katika njia ya haq
@jabiromary3276
@jabiromary3276 2 ай бұрын
Yaani hayo ni kwa mujibu wa katiba ya bakwata halazimiki mtu au taasisi yeyote aliye mje ya bakwata halazimiki kufuata hiyo katiba ya bakwata mbona mambo mepesi tu jamani. Hakuna sheria yeyote au kwa mujibu wakatiba ya nchi hii inayotambuliwa katiba ya bakwata kuwa ni aheria za nchi au katiba ya nchi hii. Dini ni masuala ya mtu binafsi kuamua kuwa katika division yeyote kama ilivyo kwa wakristo. Na hapo unaonaje shekh na wengine nao wakaja na tamko la kutaka bakwata ndio ifutwe na taaasisi nyingine ndio ibaki na hadhi hiyo unayosema.
@RashidMpembe
@RashidMpembe 2 ай бұрын
Unaona mbali Sana nilichokuwa nafikilia ndicho ulichoandika ahsante kwa kuwafahamisha hili
@ramygichero1016
@ramygichero1016 2 ай бұрын
Nenda kanye utoe hayo mavi tumbo lipungue wezi wakubwa nyie
@zaydamos874
@zaydamos874 2 ай бұрын
Huyo n mufut wa bakwata sio mufut wa waisilam badir kauli yako we mzee njoo darasan
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 2 ай бұрын
Hayo ni mawazo yako na hisia zako tu. Kama wewe sio Mufti wako sie ni wetu. Acheni umadhehebu na itikadi za kijinga ninyi mnafikili kuna taasisi ya kiislam yenye nguvu na mamlaka kuzidi Bakwata, Kusajiliwa kwa taasisi sio kuwa na mamlaka sawa na hadhi sawa, Hakuna kiongozi wa dini wawili nchi moja. Acheni uhuni kwenye dini yetu ya kiislam.
@ZawadFadhir
@ZawadFadhir 2 ай бұрын
Bora naiweivo manake wamekuwa wakituvuruga2 hawo mawahabi wakijifanya vichwangumu wapigwe2 mbwa koko
@abuunaraimansalumal-shaib9260
@abuunaraimansalumal-shaib9260 2 ай бұрын
Wewe inaonekano ufuatiliaji wako ni mdogo au hufuatilii kabisa
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 2 ай бұрын
Na anaetaka kulithibitisha hili, amuangalie mufti, mwanzo alikuwaje na kwasasa yukoje? Atabaini kua mufti hivisasa amekua mtu wa ovyo sana, yote hio ni kwa kushika na kufwata fikra na uchochezi wa bakwata...................
@hakambashe8421
@hakambashe8421 2 ай бұрын
Kwanini Bakwata wanganganie utangazaji wa mwezi?! Kuna waislamu wengi hatutaki kuwasikilza inchi ya Democrasia bana hii, wasitumie ukarbu wao na serikali kutaka monopoly ya mambo ya Uislam
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 2 ай бұрын
Hatuwezi kuifuta taasisi iliyoanzishws Naswara, pia ni taasisi ya kidunia iliyojificha katika dini
@saidsaid-oj6qx
@saidsaid-oj6qx 2 ай бұрын
Watu wanafahamu mufti si wanaisimu watanzania bali niwa bakwata hilo mbona liko wazi bakwata nitasisi kama zinginezo
@ngalamenoherbal6955
@ngalamenoherbal6955 2 ай бұрын
Mnatafuta kuleta fujo ninyi Bakwata nchi ilitulia hii, si kila mtu anaongozwa na Bakwata fanyeni mambo ya msingi acheni kutafuta migogoro huyo ni Mufti wa bakwata sio wa waislam wengine hawamfuati msilazimishe mambo ninyi ndo mnauchu wa madaraka mmeona mnapata aibu ktk mambo ya muandamo
@ramygichero1016
@ramygichero1016 2 ай бұрын
Peleka tumbo limejaa mavi huko mmeuza mali zetu waislamu tumekuwa maskini kwaajili maubwa nyinyi
@zaydamos874
@zaydamos874 2 ай бұрын
Nikwel hana vigezo vya umufut hata aya za mwenyezmungu hawez kuzisoma hata ana nuru ya uisilamu na hatua mtachukuliwa nyie sio huyo sheikh baraiyan Allah atamlinda mbaka atakapo taka nyenye Allah yampate hayo mnayo yaomba
@zaydamos874
@zaydamos874 2 ай бұрын
Soma comment ndio utajua hamkubakik kwa waisilam ila mnatumia mgongo wa serikal
@user-gt9eu2hg8f
@user-gt9eu2hg8f 2 ай бұрын
Hawakubaliki na wanaoandika Comments na wanaotoa comments si Waislam au sio Wawakilishi wa Waislam Kama ambavyo Wewe unavyowapinga hivyo kazi ya dini iachwe katika waliopewa dhima ya kusimamia dini na si Kila Mtu atakuwa msemaji Katika hayo tumuombeni Allah Subra na si jazba katika chuki zetu za kitaasisi Dinni Ina Kanuni na si siasa tuchungeni Mipaka yetu kuwatukana viongozi hata kama Wewe humkubali ila lugha za Matusi na kebehi hatutabaki salama
@mohamedmsama4833
@mohamedmsama4833 2 ай бұрын
Bakwata tafutini wanasheria awasomeeni katba ya nchi inasemaje? Kuhusu uhuru wa kuabudu inabara ya 19 wengi viongozi wa bakwara darasa 3 katiba yachi? Au? Ya balwata? Kama ya bakwata hiyo ni tasisi kama zingine
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 2 ай бұрын
Kama upo ALLAH A'ZZA WAJALLA Akunyanyue daraja lakini vinginevyo ALLAH A'ZZA WAJALLA Akulipe na kukupa Anachoona Yeye kinakustahiki INSHAALLAH..
@SwalafyAct-ks5gz
@SwalafyAct-ks5gz 2 ай бұрын
Sjawahi waelewa hawa msilazimishe watu kukufuateni nyenye kila mtu atafuata shekhe anaemtaka
@BradothAdm
@BradothAdm 2 ай бұрын
Mna chekesha sana kwa nini msimuite huyo shekhe mkaongea nae mnataka achukuliwe hatua na serikali ili iweje mufti kama muft kwa nafasi yake alitakiwa amuite
@karimdaud3993
@karimdaud3993 2 ай бұрын
Pole sana Alla akuongoze uwe muislam wa kweli na sie atupe rehema zake kwa kujenga umoja wetu
@halimahussein6792
@halimahussein6792 2 ай бұрын
Hawamuwezi kwa hoja za msingi Na za kisomi, Hawa viongozi wetu hata elimu ya mazingira hawana
@jumaa052
@jumaa052 2 ай бұрын
Samahan habibu mufti amuite kama Kaka yake au Nani na akati mufti hatambuliw kama ni mufti na huyo atakae muita je ? afanye vip nana nae huyo ana katiba yake
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
@@halimahussein6792 Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu Tunaomba utupe ushahidi wa aya uloyaongea Na kama ulesema kwa mhemko nakukumbusha ALLAH سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى ametuambia ‎ إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha. KILA KITU SHEIKH HADI COMMENT (comment nayo ni kitu) QURAAN YA MWISHO NAKUACHIA ‎قُلْ هَاتُوا بُرْهَانَكُمْ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ Sema: Leteni ushahidi wenu kama nyinyi ni wasema kweli
@mohamedmsama4833
@mohamedmsama4833 2 ай бұрын
Mna muona anae waunga mkono bakwata ama mwaga au? Mchawi
@user-tw4nf6bv8b
@user-tw4nf6bv8b 2 ай бұрын
Aiseeeee yaani haelewi hiyo ni katiba yenu bakwata kuna utitiri wa taasisi za kiislam zina katiba zao tafsiri hiyo haipo
@saidsaid-oj6qx
@saidsaid-oj6qx 2 ай бұрын
Nyie bana matumbo yenu yamejaa mapilau ya baulidini ya ushushi hapo huyo mzee hapo pembeni anautaka umft usiku namchana nawewe jizenga ni jisufi lisilo jitambua chuki zimewajaa hatutaki kuendeshwa na watu wabida kama nyie
@masudbasra566
@masudbasra566 2 ай бұрын
Acheni siasa kwenye dini
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu Tunaomba utupe ushahidi wa aya uloyaongea Na kama ulesema kwa mhemko nakukumbusha ALLAH سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى ametuambia ‎ إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha. KILA KITU SHEIKH HADI COMMENT (comment nayo ni kitu) QURAAN YA MWISHO NAKUACHIA ‎قُلْ هَاتُوا بُرْهَانَكُمْ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ Sema: Leteni ushahidi wenu kama nyinyi ni wasema kweli
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 2 ай бұрын
Hujui maana ya siasa? Siasa kwenye dini haikwepeki ndugu acha kukariri mambo.
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 2 ай бұрын
Hata kama mtatuburuza tukae kimya?
@AbuuMuhsin
@AbuuMuhsin 2 ай бұрын
Mnapambania dunia wala sio aakhera,, kazi mnayo😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 ай бұрын
Waislamu Tz hawajamchagua Mufti, bali taasisi ya Bakwata ndiyo iliyomchagua Mufti kama vile ambavyo taasisi zote hujichagulia viongozi wao. Hiyo katiba ni ya Bakwata, sio ya Waisilamu wote Tz. Hapana aliekuporeni madaraka mumejipa nyie wenyewe kama ambavyo taasisi nyengine wamejipa.
@jumaa052
@jumaa052 2 ай бұрын
Kwaiyo unataka wapite mitani kuomba kura sheikh wangu
@MwantumNdauga-ip3de
@MwantumNdauga-ip3de 2 ай бұрын
Mcheni Allah .Iombeni serikali kuheshimu siku ya ijumaa bado kuna vikao vingi vinafanyika siku ya ijumaa. Idd zote mbili ziwekee mapumziko siku mbilli.
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 2 ай бұрын
Hapo umenena na hayo ndo yakuongerea
@mohamedmsama4833
@mohamedmsama4833 2 ай бұрын
Bakwata kazi yao luandika barua za ndoa za waisram wapeleke mambo yao mahakama za za mwazo kwa wasokua waislam wachochezi mumosababisha waislam weengi wako magerezani Xhizenga mganga kn hand
@zaydamos874
@zaydamos874 2 ай бұрын
Nyie wazee hamna elimu achen kujipendekeza serikalin serikal imeikuta din na mtakufa mtaiacha din hivyo jiangalien na mjitathimin nyinyi hamna utofaut na makafir
@uledihassan6065
@uledihassan6065 2 ай бұрын
Allah ampe afya na umri mrefu sheikh Barahiyyani
@user-zw4tf5os8b
@user-zw4tf5os8b 2 ай бұрын
Bakwata ni taasisi kama taasisi zingine
@halimahussein6792
@halimahussein6792 2 ай бұрын
Haya Mambo yaliongelewa miaka ya 80, kwa dalili za vitanu, Na hii Yote kufanya viongozi wa bakwata warned Sawa Na maandiko yaliosahihi katika swala muandamo wa mwezi, lakini hawakuwa na hoja Ila waliyakuta hivyo hawezi kubadilika. Sasa waislam alhamndullilah tumeelimika, hivyo kuburuzwa NO, Kwanza ss ndiyo waislam tunapaswa kuchagua viongozi wetu. Hawa viongozi wanajichagua wenyewe.
@AhmedAlharithiy-sg5cq
@AhmedAlharithiy-sg5cq 2 ай бұрын
Assalaam alaykum Nawashauri viongozi wa bakwatwa wakaongee na raisi wasiongee hadharani hivi sh.salim pia kwamujibu wa madahii ya leo anahaki kuwatangazia dhehebu lake na wala Tanganyika Bado hajachaguliwa mufti wa tanzania mzima labda waombe mufti apitishwe bungeni ndio mufti atapata nguvu bila ya hivyo tanzania kila mmoja na dhehebu lake
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
Allah Walipe kwa ka,i nzito mnayo ifanya
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 2 ай бұрын
Katika nchi mifti ninsvyojua ni mmoja sasa huyo wapongwe kaizinishwa na nani wacheni kuleta mtafaruki nyinyi mna abudia saudia
@omarkapula588
@omarkapula588 2 ай бұрын
Na kwa ALLAH pia tutaenda kutetewa na BAKWATA
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 2 ай бұрын
Tupe aya na hadithi iliokuruhusuni na kukuelezeni muwatengenezee waislamu BAKWATA Porojo zako zote hazina aya wala hadithi
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
Nakusikitikia sheikh Nipe aya au hadith ilokuhusu kutumia pesa za Tanzania 😂😂 Embu nenda kasome bhana kuna maswali ukiuliza unaweza ukawa una elimu ila unaonekana mbumbavu kutokana na kuuliza maswali ya kijinga
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 2 ай бұрын
@@IbraFareed we sumun bukmun umyun fahum la yaaqiluu ndio unahitajika kusoma kwa kua hujui masala ya dini weka akilini mwako katika UISLAAM hakuna UTAIFA
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 ай бұрын
Bakwata mpo sawa ispokua kiwanja mlichouza changombe kwanini muuze mali za waislamu
@AbuubilalyHizzah.
@AbuubilalyHizzah. 2 ай бұрын
Mcheni allah kueni wakweli ukweli kwa mujibu wanayo yataka allah
@SalimuAbdala-sg9cw
@SalimuAbdala-sg9cw 2 ай бұрын
Barua mbovu hiyo haifai inamakosa. Aliyeanzisha bakwata ni nani.
@user-tw4nf6bv8b
@user-tw4nf6bv8b 2 ай бұрын
Nendeni mahakamani ili jambo lieleweke
@khamisshauri4028
@khamisshauri4028 2 ай бұрын
Allah amuhifadhi mufti wetu wa tz, Allah awahifadhi viongozi wa baraza la maulamaa Na Allah awahifadhi viongozi wote wa BAKWATA,
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
Amin
@sembulimchawala307
@sembulimchawala307 2 ай бұрын
Hawa ni wanaFiiki kupitiliza yaaani ndio wamejipachika cheo cha baraza la Ulama
@RashidMpembe
@RashidMpembe 2 ай бұрын
Unapo ongea hayo ufikilie na kesho kwa mungu utajibu nini kwa kupotosha waislam, na uangalie upande wa pili mbona wao hawagombani kuhusu mitume wanaojitokeza hivi sasa Acha unafki
@user-qq3yo2ms2k
@user-qq3yo2ms2k 2 ай бұрын
Hahaha saiv kuna masalaf nao ni watiifu kwa viongozi kuliko nyinyi vip wapewe wao uongozi wa bakwata au tunasikia durus zao na tunaona walivyo ila nyinyi hatuoni mkifundish watu kuwa warudi katika asili ya dini yao alioiwacha mtume صلى الله عليه وسلم wetu na maswahaba wake
@Mbarak1
@Mbarak1 2 ай бұрын
Wamsamehe tu barahiyaan kibri sio kitu kizuri
@YaziduIddy
@YaziduIddy 2 ай бұрын
Achani fitna mtakuja ulizwa kwafitna zenu
@HassanSalim-hl8qs
@HassanSalim-hl8qs 2 ай бұрын
Nyiyi ni Masufi mwataka kila mtu awe sufi acha unafiki mzee
@aminarashid654
@aminarashid654 2 ай бұрын
Kama mnshisi mmepokonywa haki yenu nendeni mahakamani afu tuone atakayeshinda
@mwechengo6156
@mwechengo6156 2 ай бұрын
N sisi hatuta mchagua huyo raisi wenu kama tu atawapendelea nyinyi matakwa yenu
@aishathabit3732
@aishathabit3732 2 ай бұрын
Vipi serikali isiyo na dini muiombe kudhibiti taasisi za kiislam?
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 2 ай бұрын
Serikali haina Dini
@user-tw4nf6bv8b
@user-tw4nf6bv8b 2 ай бұрын
Sasa ngoja tafsiri itolewe na Mahakama ndo mtaelewa
@mrishomohamed5497
@mrishomohamed5497 2 ай бұрын
Bakwata wamekaa kutapelitapeli sana
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu Tunaomba utupe ushahidi wa aya uloyaongea Na kama ulesema kwa mhemko nakukumbusha ALLAH سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى ametuambia ‎ إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha. KILA KITU SHEIKH HADI COMMENT (comment nayo ni kitu) QURAAN YA MWISHO NAKUACHIA ‎قُلْ هَاتُوا بُرْهَانَكُمْ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ Sema: Leteni ushahidi wenu kama nyinyi ni wasema kweli
@user-qq3yo2ms2k
@user-qq3yo2ms2k 2 ай бұрын
Ikiwa huyu sheikh anatak aliemsema sheikh zuberi kachaguliw na serikali akamatwe je hamonaiz aliemwita Allah kuw ni mwanamke afanywe nini na serikali au hamuwezi kuiomba serikali kwa mtu6huyu ashughulikiwe
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
Kasome sheria kuhusu defamation UKIWA HUNA ELIMU YA JAMBO USIONGEE BHANA unatuaibisha waislam tunaonekana hatuna ELIMU au UELEWA WETU MDOGO kumbe huelewi kinachoongelewa NYAMAZA IKIWA JAMBO HUJUI
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 2 ай бұрын
Vipi inswii kusikiliza mawaidha ya watu wa bidaa
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 2 ай бұрын
Mbona hamjiamini kama vile munaogopa kivuli chenu mana hayo yote sababu nyinyibwenywe ndo mmetufikisha hapa usanii mtupu
@amritwaha-kp3hu
@amritwaha-kp3hu 2 ай бұрын
Tuacheni ushabiki hatuwezi kuongozwa na kila mtu lazima kiongozi awe mmoja tu lazima tukumbuke kuwa mufti ni mwanawazuoni tena msomi mzuri tu tuwe na adabu kwa kiongozi wetu
@jabiromary3276
@jabiromary3276 2 ай бұрын
hiyo ni hiari ya mtu tu kwa kuwa bakwata ni taasisi iliyosajiliwa sawa na sheria ile ile iliyoisajiri bakwata
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 2 ай бұрын
Laiti kama mufti ni mwanachuoni kweli nae akawa anatambua nafasi yake, basi bakwata ingependwa na kuridhiwa na Waislamu wote au weeengi wa Tanzania, na zisinge tokea fitna na mambo ya kuwachongea wengine kama haya.........
@jumaa052
@jumaa052 2 ай бұрын
@@OmarAlly-iz8ot habibu kuna salaf,sufi na Shia je ? Ww kiongozi ulitaka atokee upande upi?
@user-zr2pn5uv8b
@user-zr2pn5uv8b 2 ай бұрын
Eti kibiti nyie babu zangu mmevurugwa na chuki mpaka hamuoni
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 2 ай бұрын
Huwezi kunipangia niwafuate bakwata CCM NO.2 wewe mzee
@Mauya23
@Mauya23 2 ай бұрын
Naombeni elimu wenye elimu yenu, hivi mtume au maswahaba wake waliacha kufanya kazi (kupumzika) siku ya mwaka mpya wa kiislam? Nisaidieni tafadhali mimi kilaza kwenye hilo!
@user-zr2pn5uv8b
@user-zr2pn5uv8b 2 ай бұрын
Hilo utalikuta bakwata tu
@jumaa052
@jumaa052 2 ай бұрын
IJumaa ni kama idi je nayo watu hupumzika hayo ni matakwa yako habibu
@Mauya23
@Mauya23 2 ай бұрын
@@jumaa052 Sikiza vema clip hii ndio utajua mantiki ya swali langu
@AtwiyyaBaba
@AtwiyyaBaba 2 ай бұрын
Eti kichwa Ndondi😂😂
@aishathabit3732
@aishathabit3732 2 ай бұрын
Kwahiyo katiba yenu hata kafiri anagombea uongozi Bakwata?
@jumaa052
@jumaa052 2 ай бұрын
Mche Allah dada taasisi ni ya kiislam haitaj mtu mwengine uelewa na ni ridhk
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
Ndo mana dada angu aisha nilikuuliza una elimu gani? Sio kwa dharau Embu kasome katiba ya BAKWATA usiongee vitu ukiwa huvielew au huvijui Unakua kama una dandia dandia maelezo kwa uelewa finyu Katiba iko mtandao itafte isome Anae faa kugombea Utaona Qualified candidate for mufti in TANZANIA
@SheikhYussuf-iv6lo
@SheikhYussuf-iv6lo 2 ай бұрын
Nchi hii ipo huru kuabudu iweje muishirikishe serekali kwenye uhuru wa kuabudu nchi hii ina madheheb nyingi na za din musitake mufatwe nyie t
@FasihiRaisi
@FasihiRaisi 2 ай бұрын
Zanzibar hakuna mtu yoyote anaweza kutangaza mwezi mbele ya vyombo vya habar,mwenye mamlaka hayo nimuft tu wanzanzibar,mtu hazuliwi kufunga popote anapotaka duniani,lakini mtu hasubutu kuita wandishi habar kutangaza mwezi,tatizo huko bara hao wanaotaka mwezi mmewalea ndomaana sasa hivi wanakupeni shida,hem wambieni waje zanzibar watangaze mwezi waone chamzee makungu,hao hawana nizam
@khalidalsinany893
@khalidalsinany893 2 ай бұрын
Zanzibar ni serikali, ofisi ya mufti Iko chini ya serikali, ofisi ya Qadhi Iko chini ya serikali hivyo haitotokea mwanachuoni yoyote anaejielewa akatangaza mwezi Zanzibar kinyume na serikali, ila huku bara Bakwara si chombo Cha serikali hivyo hakina meno.
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
@@khalidalsinany893do you listen to yourself?
@khalidalsinany893
@khalidalsinany893 2 ай бұрын
@@IbraFareed what do you mean?
@aishathabit3732
@aishathabit3732 2 ай бұрын
Bila aibu leo ndio mwaitaja Palastina?.tena kwa ufahamu wa kimagharib
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
Ukhty kwani una elimu gani?
@user-tw4nf6bv8b
@user-tw4nf6bv8b 2 ай бұрын
Ama kweli
@SuleimanKahangwa-oj9eh
@SuleimanKahangwa-oj9eh 2 ай бұрын
Pelekeni ujinga
@is-haqmuharram7369
@is-haqmuharram7369 2 ай бұрын
Pale walipoanza kumwita mufti wa Tanzania ndio shida ilipoanza, huyo ni mufti wa bakwata, Sheikh na mufti mkuu wa Tanzania au sahihi zaidi wa Tanganyika anatakiwa atoke kwenye mwamvuli wa umoja wa jumuia za kiislam...
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
Kasome katiba Acha blah blah
@is-haqmuharram7369
@is-haqmuharram7369 2 ай бұрын
@@IbraFareed unakusudia katiba ya BAKWATA? Itasaidia nini kwenye issue za ki-inchi? Kwani si kila jumuia ina katiba yake? ...
@hajirashid-em5vj
@hajirashid-em5vj 2 ай бұрын
Tasisi zote zipo sawa Bakwata mkubali uislaamu ni jambo la dunia nzima mtume hajawapeni haki hii mnayo itaka jifunzeni qurani na suna za mtume uissilaamu hauiihitaji bakwata bali bakwata in wahitaji waislaamu waendeeni kwa upole sio kuwatisha muungu hata waacha salaama shukrani
@KiangiShimbo
@KiangiShimbo 2 ай бұрын
mh
@salumahmadasalum1556
@salumahmadasalum1556 2 ай бұрын
MSSSSSSSSIIIIIIIBBBBBBBAAAAAAA MMMMKKKKKUUUUUBBBBBWWWWWWAAAAAAA
@aishathabit3732
@aishathabit3732 2 ай бұрын
#Bwakata watoto wa kiislam wana nyanyaswa kuswali mashuleni nyie mna hangaika na kumtakasa mufty? Kweli nyie mna shida ya dini?
@HassanMfaume-oh2zf
@HassanMfaume-oh2zf 2 ай бұрын
Mtoto gan kanyanyaswa Nyie mmezoea vurugu Ili kusiwe n aman
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 ай бұрын
​@@HassanMfaume-oh2zf Kwani amani inaletwa na bakwata!?
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
WEWE AISHA KASOME Nachokaga kujibu comment zako
@twahamkasi-gn1lo
@twahamkasi-gn1lo 2 ай бұрын
njaa tu inawasumbua
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu Tunaomba utupe ushahidi wa aya uloyaongea Na kama ulesema kwa mhemko nakukumbusha ALLAH سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى ametuambia ‎ إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha. KILA KITU SHEIKH HADI COMMENT (comment nayo ni kitu) QURAAN YA MWISHO NAKUACHIA ‎قُلْ هَاتُوا بُرْهَانَكُمْ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ Sema: Leteni ushahidi wenu kama nyinyi ni wasema kweli
@aishathabit3732
@aishathabit3732 2 ай бұрын
Kumbe katiba yenu tu? Sio kitabu wala suna Bali hata sio katiba ya kitwaghuut
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
Uko sawa kiakili lakin ukhty wangu? Sasa UNAJUA IYO KATIBA ILIVYOTENGENEZWA Na ntakuuliza mimi NCHI YA TANZANIA KATIBA YAKE inasema MTU YOYOTE AABURU CHOCOCHOTE ANACHOSTAHIRI je wewe unaishi kwenye nchi ya namna hiyo na unaongozwa na katiba hiyo mbona huendi kuishi kwenye nchi ya TAWHID KWAHIYO HUFUAT KITABU AU SUNNA
@aishathabit3732
@aishathabit3732 2 ай бұрын
Mpo wapi na tauhiid? Mnachochea waislamu wapotezwe? Kweli nyie ni waislamu? Mnalazimisha kulinda sheria za nchi 1 sheria zenyewe ni za kikafiri 2 sheria zinatoa uhuru wa kuabudu je mnapingana nazo? أين أنتم والإسلام؟
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
Kasome
@AbuubilalyHizzah.
@AbuubilalyHizzah. 2 ай бұрын
Edd haipangwi na taasisi bali eddi inakuja kwa mpango alioupanga allah kwa miezi na siku malum mpango huo wakupanga sikukuu ndio unao sababisha vurugu kwakua nikupora mamlaka ya allah ktk kuwapangia waumini ibada
@HassanMfaume-oh2zf
@HassanMfaume-oh2zf 2 ай бұрын
Sasa wale wanaojiita Basuta wanaotangaz mwezi w kimataifa Nao n Mungu au
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 ай бұрын
​@@HassanMfaume-oh2zf Kila Muislamu anayo haki ya kufuata taasisi aitakayo, musilazimishe ifuatwe bakwata ua mufti wa bakwata.
@AbuubilalyHizzah.
@AbuubilalyHizzah. 2 ай бұрын
Kiongozi mwenye haki ya kutwiiwa na ukiondosha twaa kwake ni haramu na utaadhibiwa ni khalifatu hatakama awe muovu madam bado ana mamlaka lazima umtwii sasa viongozi wataasisi zinazo mpinga allah ila kwavipande vipande ndio humtambua uwepo wake nao wapewe twaa kweli!!!!? Tumcheni Allah kuna hisabu natuseme maneno ya saya na yenye uwadilifu
@mfaumekawaye2018
@mfaumekawaye2018 2 ай бұрын
Jamani sasahivi watu wameamka haiwezekani kubebwabebwa tu ukweli tumeujuwa nawala hakuna miezi miwili dunian sisi tutafuuta mwezi wa Allah nawala siwabakwata nawala atuvuji aman yanchi
@saidsaid-oj6qx
@saidsaid-oj6qx 2 ай бұрын
Mzee kuwa mkweli unasema kibiti kulikuwa na mauaji walukuwa wanauwa watu kule walikuwa answari sunna hebu acha kucochea sema ukweli ipo siku utakuatana na Mola wako serikali ilidhibitisha mauaji nani alikuwa anauwa watu iweje uje wewe na ujinga wako hao nakulopokwa na ndo maana unashindwa kuongea hapo unaji ngongagonga tu hapo
@user-zr2pn5uv8b
@user-zr2pn5uv8b 2 ай бұрын
Nadhani hizi ni chuki zake tu na hilo Baraza lao la ulamaa mambo ya kibiti yamehusikaje hapa tamko la hovyo sana hili
@YaziduIddy
@YaziduIddy 2 ай бұрын
Ndo mjue mawahabi mnafitna na ushabiki bado tu mnajitakasa kwani saudia ina taasisi mmoja mbona kuna taasisi nyingi sana lakini kwenye suala la waislam taasisi mmoja ndo inatangaza mambo yanayohusiana na uisilam kama vile mwezi hajji taasisi mmoja ndo inatangaza
@karimdaud3993
@karimdaud3993 2 ай бұрын
Hakuna haja ya kua na iddi mbili nchi yoyote ispokua hapa
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 ай бұрын
Sifa za Masufi Ahlul-Bidaa wal-hawaa ni uzushi na uongo tu
@user-zr2pn5uv8b
@user-zr2pn5uv8b 2 ай бұрын
unajua Muft wa saudia anavyochaguliwa!? Halafu ndio ufananishe na huyu wa kwenu
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 ай бұрын
@@user-zr2pn5uv8b Huyu wa kwetu amechaguliwa na Taasisi yake, na taasisi nyengine pia huchagua kiongozi wao mkuu.
@YaziduIddy
@YaziduIddy 2 ай бұрын
@@user-zr2pn5uv8b tuambie wew tujue anavyochaguliwa ala mungu kashasema jiepusheni na dhana hakika baadhi ya dhana nimadhambi
@AbuubilalyHizzah.
@AbuubilalyHizzah. 2 ай бұрын
Kiongozi mwenye haki ya kutwiiwa na ukiondosha twaa kwake ni haramu na utaadhibiwa ni khalifatu hatakama awe muovu madam bado ana mamlaka lazima umtwii sasa viongozi wataasisi zinazo mpinga allah ila kwavipande vipande ndio humtambua uwepo wake nao wapewe twaa kweli!!!!? Tumcheni Allah kuna hisabu natuseme maneno ya sawa na yenye uwadilifu huku tukijua allah anatusikia na kutuona
@HassanMfaume-oh2zf
@HassanMfaume-oh2zf 2 ай бұрын
Kwan Saudia Kun taasisi Moja?Mbon mamlak y mwezi inatangaza Taasisi moja
@mohammedgumbo4633
@mohammedgumbo4633 2 ай бұрын
kwakweli waislam tunatia aibu yani hapo watu wanachumia tumbo2
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 ай бұрын
​​@@HassanMfaume-oh2zf Nitajie taasisi moja tu ya kusimamisha uislamu Saudia ambayo siyo ya Mufti! Haipo.
@IbraFareed
@IbraFareed 2 ай бұрын
@@mohammedgumbo4633 Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu Tunaomba utupe ushahidi wa haya uloyaongea Na kama ulesema kwa mhemko nakukumbusha ALLAH سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى ametuambia ‎ إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha. KILA KITU SHEIKH HADI COMMENT (comment nayo ni kitu) QURAAN YA MWISHO NAKUACHIA ‎قُلْ هَاتُوا بُرْهَانَكُمْ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ Sema: Leteni ushahidi wenu kama nyinyi ni wasema kweli
ROBOTI KUBWA LILIVYOMPELEKEA RAIS SAMIA KIFURUSHI CHA 5G
9:54
Wasafi Media
Рет қаралды 390 М.
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 16 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 84 МЛН
HISTORIA FUPI YA KHALIFA MUSSA YA ELIMU YAKE
28:29
KHALIFA MPYA TV
Рет қаралды 2,1 М.
ASKOF HAMZA SASA AOMBA MSAADA KWA SHEKH DIWANI ..
41:11
Saimu gwao Online tv
Рет қаралды 522 М.
Acheni malalamiko leteni ushauri
9:33
Nkussa International
Рет қаралды 190
And who would you choose?👇
0:20
Kitty Power
Рет қаралды 13 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
0:40
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН
Choices for your loved ones❤️
0:15
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 4,7 МЛН
МЫ ПОХОДУ ЧТО-ТО НАПУТАЛИ
0:20
МАКАРОН
Рет қаралды 8 МЛН
GiGaMoN! 5 🗿 #gigachad #sigma
0:53
The Logan Chitwood
Рет қаралды 4,3 МЛН