Пікірлер
@tayt4086
@tayt4086 6 минут бұрын
Uzeni jengo mgawane helaa matatzo km haya yataishaa
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 14 минут бұрын
Masikini DC wali mshutumu bure eti kala rushwa 😢 nivizuri tuwe tuna sikiliza bande zote
@asha-v1e
@asha-v1e 15 минут бұрын
Kila kitu kina mwanzo na mwisho
@KhamisKibwengo
@KhamisKibwengo 38 минут бұрын
Saw nimekuerew kaa pemben
@gilbertburasixbert2569
@gilbertburasixbert2569 40 минут бұрын
Safi sana kijana
@allymohamed2724
@allymohamed2724 52 минут бұрын
HAPO KWANI NI ENEO LA MSIKITI. SIYO ENEO LA MSIKITI. MZEE SALUM SIYO ENEO LAKE. MZEE SALUM ANAUWEZO KUUJENGA GHOROFA ZA YA ILIYOPO HAPO.
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo Сағат бұрын
Anang'ang'ania kitianakuta rushwa atakula wapi?
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo Сағат бұрын
Safi sana wajumbe kueleza wazi
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo Сағат бұрын
Hakika kawapanga,inatosha. MBOWE 20yrs sasa najiuliza uenyekiti unanini unachoking'ang'ania??
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 Сағат бұрын
Hawa wana mpiga bao mwenzao kisheria anawezaje kua harisi wakati yee no babaake huo mchongo tu
@AlexMkwama
@AlexMkwama Сағат бұрын
Vita vilipigwa kipindi Cha Musa wewe mdude kutoka 17. Pia kuhusu Musa hakupumzishwa na MUNGU, Bali yeye mwenyewe aliomba kuiacha hiyo kazi. Hesabu 11: 1.... Pia uelewe kuwa yoshua hakuwa kiongozi Bali shujaa wa vita na ndio maana alipokufa Israel hawakuwa na kiongozi maana yoshua hakuandaa wa kuwaongoza ila Musa alikuwa kiongozi na ndio maana aliandaa kiongozi wa kuwaongoza Israel ambaye ni Joshua. Why am I saying this, because kuongoza watu kunahitaji mtu kiongozi na sio shujaa wa vita tu Mbowe ni kiongozi anayeweza kuandaa viongozi,ila lissu ni kiongozi wa vita asiyeweza kuandaa viongozi kama yeye. Think about this
@KuruthumBilali
@KuruthumBilali Сағат бұрын
Innalillah wainna ilàih rajiuna
@AbdulMsafiri-s6c
@AbdulMsafiri-s6c Сағат бұрын
Arafath mbooo za nyuma zilisha mchanganya
@victormalelemba4324
@victormalelemba4324 Сағат бұрын
Duuh haya mambo ni noma
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 2 сағат бұрын
Me naona huyu jamaa ndo anafaa kuwa mwenyekit, anti pasi nae asyelepo panandi
@ayubunato-lg7yy
@ayubunato-lg7yy 2 сағат бұрын
Mdude kuanzia leo umekuwa rafiki yangu safi sana home boy.
@ayubunato-lg7yy
@ayubunato-lg7yy 2 сағат бұрын
Sawa kabisa lisuu anatufaa
@kisinza6077
@kisinza6077 2 сағат бұрын
Unatakiwa kudanya uchaguzi na siyo kulalamika kisa mwenzio kagombea! Gombea na ushinde ndiyo maana ya democrasia.
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 сағат бұрын
Lissu anafaa Sana kwa saiv.Mbowe apumzike la sivyo utaachiwa lichama lako
@IddiKijamba
@IddiKijamba 4 сағат бұрын
Wangekuuwa tu broo maana wewe ni fala kweli unatetea haki Gani unatafuta sifa tuu ,tumesha wachoka washenzi nyie ,askari ivi kwanini msipige ata bomu moj atuu nyoko hawa
@EsterKalinga-c3y
@EsterKalinga-c3y 4 сағат бұрын
nyagali mdude mtu ya Mbozi ww ni kifaa ya Mbozi
@EsterKalinga-c3y
@EsterKalinga-c3y 4 сағат бұрын
kumbe lisu yuko vizuri kujibu maswali kuliko mbowe lissu mali mpya
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 4 сағат бұрын
Huyu dada anahofu ya MUNGU
@SalambaPeter
@SalambaPeter 5 сағат бұрын
Nime el ewa kumbe ccm wanamtaka mbowe na hawamtaki lisu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 7 сағат бұрын
Kaeni kimya hii ni demokrasia.Acheni tupige kura kwanza .Lissu siyo malaika😢😢
@alexjovin2981
@alexjovin2981 8 сағат бұрын
Mfugwa baada ya tamko Lakota jipime jiangalie ambavyo utashuka ki siasa. Msigwa anatafuata nafasi nyie vifula mbute.
@saidmtetwa4363
@saidmtetwa4363 9 сағат бұрын
Kibaraka wa CCM wewe ushalamba asali ya Abdul na mama yake huna lolote,smh
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 9 сағат бұрын
Silaa, na Lisu hakuna kiongozi hapo
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 9 сағат бұрын
Lisu kichaa
@NicholasMtoro
@NicholasMtoro 10 сағат бұрын
Lisu hatosh lisu haaminiki
@NicholasMtoro
@NicholasMtoro 10 сағат бұрын
Huna hoja za msing
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 2 сағат бұрын
Chadema ni chama cha watu wote sio cha wachaga peke yao
@PaschalBoi-z8h
@PaschalBoi-z8h 10 сағат бұрын
Lema namlilia na namhitaji
@ErickJohn-k5v
@ErickJohn-k5v 10 сағат бұрын
Huna llote
@Peterchipemba
@Peterchipemba 11 сағат бұрын
Mweeee!! Lissu kumbe mbowe amekuwekea Wenje ili wakuondoe kabisaa eti hata uraisi usigombee,, mbowe na wenje washindwe .
@godfreymjuni3420
@godfreymjuni3420 11 сағат бұрын
Watajua hawajui
@FortiMtolela-xl2nb
@FortiMtolela-xl2nb 11 сағат бұрын
UCHAGUZI lini
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 11 сағат бұрын
Nilijua tu Mdude uko upande wa Lissu kwakuwa unajulkana siku zote hutakagi siasa nyepesi za matumaini hewa.
@israelmpiluka-gu6vh
@israelmpiluka-gu6vh 12 сағат бұрын
Kongole kwenu makamanda tuko pamoja sana tunataka democrasia itamalaki ndani ya chama atakae shindwa akubali kushindwa, arudi kugombea Tena baada ya myaka mitano kama tramp wa marekani.
@LukasChusi-w1z
@LukasChusi-w1z 12 сағат бұрын
Jina langu la selikal Luka c changa mwanachama wa chadema toka mwaka 1999 mbowe amefanya Mambo mengi Sana Ila sahivi apumzike twende Tena na lissu
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 12 сағат бұрын
Safi sana shinyanga
@marysichinsambwe7708
@marysichinsambwe7708 12 сағат бұрын
Mbowe muwaji
@OSWARDKONANGA-ev2se
@OSWARDKONANGA-ev2se 12 сағат бұрын
Mm nipo ila card yangu nitamupa Silinde huku Tdm
@ce-08
@ce-08 12 сағат бұрын
Lissu ndyo muarubain wa ccm
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 12 сағат бұрын
Kwani kuchagua mwenyekiti ni hakina nani wanaopiga Kura?ni wenye sifa zipi?
@AzizMasenga
@AzizMasenga 12 сағат бұрын
Kigaila anafindimila sleep utafikiri hajuwi kinachoendelea😂
@marysichinsambwe7708
@marysichinsambwe7708 12 сағат бұрын
Mbowe muwaji
@LukasChusi-w1z
@LukasChusi-w1z 12 сағат бұрын
Nataka ukweli lisu awe mwenye kiti mzee apumzikr Kama mzee mmshaul
@DeligoMbisa-s1o
@DeligoMbisa-s1o 12 сағат бұрын
Twende na lisu sasa makamanda
@JesuinaBabili
@JesuinaBabili 12 сағат бұрын
Naiona namna hii…. So far Mwamba Mbowe anaenda Kushinda kiti hiki cha Uenyekiti Taifa tena✌️
@CalvineAllydotto
@CalvineAllydotto 12 сағат бұрын
Kwelo