MBOWE ABANWA KUHUSU FEDHA ZA ABDUL & KULA HELA ZA KAMPENI YA LISSU

  Рет қаралды 11,779

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Сағат бұрын
tbc leo wapo kweli asali ililabwa jamani wajumbe chonde chonde lisu pekee ndo anatosha uyu mwengine apana
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 11 сағат бұрын
Jibu vizuri acha kejeli.
@moseshaji1177
@moseshaji1177 10 сағат бұрын
Huyu muandishi yupo smart sana
@Afsa-z2v
@Afsa-z2v 6 сағат бұрын
Safi sana mbowe majibu muruaaaaa
@daudimchileg307
@daudimchileg307 9 сағат бұрын
Mzee tuachie chama, asante ulipo tufikisha
@DaudSuday-v5c
@DaudSuday-v5c 11 сағат бұрын
Mchaga kwenyepesa sio mchezo
@Afsa-z2v
@Afsa-z2v 6 сағат бұрын
Ww mbona U, itumia hizo pesa wekA mawe kwenye pochi za ukatumie tuache wachaga tunajua kuzitafuta
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 6 сағат бұрын
Kwanza wachaga ndio wanafaa wapewe nchi watuongoze maana wakipewa nchi,nchi itakuwa na uchumi mkubwa kwa sababu wao ni watu wabunifu na kibiashara wako vizuri.
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 5 сағат бұрын
Leo tbc wapo live mkutano wa mbowe leo nimeamini mbowe ni sehemu ya ccm
@BossiLaizer
@BossiLaizer 7 сағат бұрын
Safi , atakuwa Boss wako
@RwechungulaBegumisa
@RwechungulaBegumisa 4 минут бұрын
Hili jamaa ni noma kwa kujenga hoja maswali mazuri sana,
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Сағат бұрын
Mwenyekiti wa maisha
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 6 сағат бұрын
Mbowe hongera sana ,uko vizuri na umejibu vizuri sana.Mungu azidi kukubariki, kukulinda na kukuongoza.
@nditiPeter
@nditiPeter 6 сағат бұрын
Achakudanganya watu miaka 21 inatosha pumzika kama hutaki kwa hiyari Yako uta pumzishwa na mungu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 6 сағат бұрын
Hawa waandishi wa habari kwenye kuwahoji wapinzani wako vizuri sana ila kwenye kuwahoji kule upande wa pili kwenye chama tawala wana mbwela mbwela na kufyata mkia kama mbwa koko.
@NellyDibaling
@NellyDibaling 9 сағат бұрын
Mbowe ni zaid ya kiongoz nakupenda mzee
@abeidkilamlya
@abeidkilamlya 11 сағат бұрын
Safi sana mhandishi😅
@hamadsaid2232
@hamadsaid2232 6 сағат бұрын
Mbowe na Lissu wote ni wanasiasa mahiri ajabu. Nashangaa kuona kunasiku wanatupiana vijinga vya moto. Ama kweli siada mchezo mchafu, nimeamini. Shetani amepiga kambi Chadema, kipindi hiki muwe makini. Mbowe na Lissu mtihani mnao. Mmezikaanga mbuyu Sasa wenyewe mzitafune. Poleni wanasiasa, People ....
@Thevineyard9889
@Thevineyard9889 9 сағат бұрын
Swali kuhusu tuhuma za kupiga pesa hajajibu, amepiga blahblah tu. Na kwa taarifa yake tu Bw Freeman Mbowe ni kuwa, hakuna mfanyabiashara ambaye amewahi kutosheka na pesa. Wanazitafuta zaidi na zaidi iwe kwa mbinu halali au kwa mbinu chafu. Kwa hiyo hebu arudie kujibu swali vizuri aache blahblah
@SirajiAbdalah
@SirajiAbdalah 6 сағат бұрын
Mtoto haramu,mamake alikuwa muuza k,
@SirajiAbdalah
@SirajiAbdalah 6 сағат бұрын
Mbona unaenda Ikulu bila LIssu,SUgu,mnyika na wenzako
@bashayabenjamin-ot7xi
@bashayabenjamin-ot7xi 11 сағат бұрын
Hachana na Mzee Magu, na haushindi.
@abubakarimussa1955
@abubakarimussa1955 10 сағат бұрын
Humu ccm muliyopo munakomenti ujinga Ili kuisambaratisha chadema hamutaweza na hili chama litavuka na litaendelea kuigaragaza ccm mukae Kwa uturivu
@HappinessJohn-vn8vh
@HappinessJohn-vn8vh 10 сағат бұрын
Katengeneze fedha nje ya chama
@abeidkilamlya
@abeidkilamlya 11 сағат бұрын
Mbowe must go
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 10 сағат бұрын
Kwa kauli yako hiyoooo😂
@abubakarimussa1955
@abubakarimussa1955 10 сағат бұрын
Mbowe haujawai Kuwa na njaa nchi hii kwani hizo pesa anazotumia ni za Babayake Mzee Aikaery zakwake Bado na hakuna wa kumuweza isipokuwa Mungu pekee
@mahyorokalokola4012
@mahyorokalokola4012 10 сағат бұрын
Sasa hata kama Musk tajiri mkubwa duniani anamkumbatia Trump ili aendelee kutajirika itakuwa Mbowe. Huyo anatafuna tu!
@SuolFat
@SuolFat 8 сағат бұрын
Viva mbowe
@joseph-fc6ry
@joseph-fc6ry 4 сағат бұрын
lisu apo kateleza sana
@ZakayoNyagone-sd3rm
@ZakayoNyagone-sd3rm 9 сағат бұрын
Weee usitumie kigezo cha rais wetu hayat magu kwakuwa unajuwa hatunae ujisfie jibu maswali yko kila mmoja anatengeneza ela kwa njia wanazojua wao
@MICHAELWILLIAM-p7h
@MICHAELWILLIAM-p7h 10 сағат бұрын
Iv ikiwa tu uenyekiti wa chama inakua changamoto kuachia vp ukipata urais,Mh mbowe tuonyeshe democracy kwanza ndani ya chama chako then ndo upiganie ya kitaifa,kujenga chama jenga hata ukiwa nje,Iga mfano kutoka CCM.For real you must go.
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 6 сағат бұрын
Hajakataa amesema kura za watazania ndio wataamua elewa wewe mchangiaji.
@violetmmasi58
@violetmmasi58 2 сағат бұрын
Mbowe ana haki ya kugombea kama ilivyo kwa Lissu, hajawahi kuwa mwenyekiti bila kupigiwa kura kwenye uchaguzi. Sasa hio kung'ang'ania madaraka inatokea wapi?
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 11 сағат бұрын
Mbowe hawezi kujibu maswali🤣🤣
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 10 сағат бұрын
Hapo amejibu nini?ulitaka ajibuje sasa?
@HappinessJohn-vn8vh
@HappinessJohn-vn8vh 10 сағат бұрын
Achia madaraka tujaribu na Lisu
@abubakarimussa1955
@abubakarimussa1955 10 сағат бұрын
Vyama vyote vya Mamluki vipo Chali tayari ccm wameviua kupitia kuwanunua watu mfano Lipumba,Cheyo,Mrema na wengine wengi ambao wameviuwa vyama pinzani Kwa njaazao
@evodiusantony2115
@evodiusantony2115 2 сағат бұрын
We mbowe muuni tu
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 11 сағат бұрын
Hizo biashara ndizo zinakufanya uwe Mungu wa Chadema. Kumtegemea mtu mmoja tu ndo anakuwa na umiliki wa kila kitu na hii inafanya akione Chadema ni mali yake. Huu ni udhaifu mkubwa unajipa ubabe kupitia pesa. Si rahisi kuleta vithibitishi kwa rushwa.Uongozi wako unamfanya makamı wako ashindwe kufanya kazi zake kwa uhuru. Ki kama ulipokubali marifhiano naye alikukatalia. Umekaa miaka mingi kwenye hiki kiti. Acha hasira kwenye maswali unapoulizwa. Wanatumiza kazi zao.
@asajileraphael1951
@asajileraphael1951 7 сағат бұрын
Kitendo Cha kila mt kuchangisha fedha hovyo hovyo ndio wizi wenyewe maana hakuna mpangilio Wa upatikanaji Wa fedha
@ibrahimuakwilombe
@ibrahimuakwilombe 5 сағат бұрын
Linda mali mzee;watu wanajizima data wanajifanya hawamjui mwenye mali😮😅
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 5 сағат бұрын
Siku moja naomba maswali kama hayo siku moja mje muwaulize wagombea wa CCM
@PriscusSalehe
@PriscusSalehe 6 сағат бұрын
Ondoka ajichianjia
@mahyorokalokola4012
@mahyorokalokola4012 10 сағат бұрын
Binafsi sikuona swali gumu lililoulizwa. Kwa sababu karibu yote yaliyotokana na uvumi wa mitandaoni ambao bila shaka alishautengenezea majibu yawe ya kweli yawe ya uwongo. Ila kuna swali moja lililomshinda kujibu na ambalo ni muhimu kuliko yote. Kwamba kwa nini anagombea. Kaambiwa Lissu alieleza ni nini anataka kufanya lakini Mbowe hakusema. Yeye akajigonga kwamba vikao ndiyo vitaamua. Sasa wewe ni kiongozi gani. Maana kiongozi huja na maono na mambo anayotarajia kuyafanya na kuwashawishi wajumbe husika kukubaliana na mawazo yake. Sasa hapo atakuwa anaongoza nini. Ningekuwa mjumbe wa vikao ningemnyima kura kwa sababu hiyo! Maana hajui ni kwa nini anagombea!
@nditiPeter
@nditiPeter 6 сағат бұрын
Huja jibu swali unajitetea majibu ya hovyo
@Josephllkmy
@Josephllkmy 11 сағат бұрын
😮😮😮huyu bwana ni mpigaji wa pesa je vipi ile kesi yake na mcgwa
@EngelbertMakoye
@EngelbertMakoye 8 сағат бұрын
Nini anataka kufanya atazungumza kwenye kambeni wakati akiomba kura . Tulia muda utafija
@MmohamediSaidi
@MmohamediSaidi 11 сағат бұрын
Hajui kujibu maswali huyu mboe hawezi kuleta mabadiliko huyu
@PeterJonathan-c8k
@PeterJonathan-c8k 8 сағат бұрын
Nimeshangaa hadi tbc leo walikuwepo kweli mbowe anapendwa na ccm!
@StoneLiyanga
@StoneLiyanga 10 сағат бұрын
Kwahiyo mbowe una nga' nga' nia kwa sababu wewe ni mfanya biashara mkubwa nje na ndani sasa tuna jua kmbe una faidika na faida xa chama haupo kwenye kutetea wanyonge mshamba wa machame una geuza mtaji chama
@MusyangiMatoti
@MusyangiMatoti 9 сағат бұрын
Bado tu hamjagundua kuwa msipokuwa makini mtatekwa?
@amirjuma9395
@amirjuma9395 7 сағат бұрын
Naiyona chadema ikiingia kaburini yenyewe mnavyovuana nguo hadharani Kesho hamtakaa pamoja kujenga chama pia kunausalit hukujibu kwamba unaandaliwa hutuba na ccm hapo hukujibu
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 6 сағат бұрын
Wewe huo ndio ubinadam wewe.
@HenryCastuli-jz3cx
@HenryCastuli-jz3cx 8 сағат бұрын
Kwanini ana ingamgania uongozi?
@malackedson7706
@malackedson7706 8 сағат бұрын
Hamna ktu
@Mdee-Tv
@Mdee-Tv 11 сағат бұрын
Bado swali halijajibiwa
@bminawandu
@bminawandu Сағат бұрын
Wezi kuongoza wwe miaka yote wacha aongoze mwingine chama kiende mbele kina dum hiki kama cuf
@lucianakweyunga8187
@lucianakweyunga8187 10 сағат бұрын
Huyu jamaa hajajibu swali, anajikanyagatu
@philipongenzatv
@philipongenzatv 10 сағат бұрын
Mbona hujibu maswali
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Huyu mchaga akipewa nchi atabadilisha Katina awe rais wa maisha.mchaga. Wana
@MikereMio
@MikereMio 8 сағат бұрын
Dictator Mbowe
@EngelbertMakoye
@EngelbertMakoye 8 сағат бұрын
Mbona maswali haya ya unganganiaji wa madaraka hayaulizwi kwa ccm ambao wamengangania kwa zaidi ya miak a 60 na bado wanataka tena !? Lakini mmengangania Mbowe tu . Hivi Lipumba vipi, Bwana Mapesa vipi, Mzee wa wali na kuku vipi na wengine wengi hao hamuwaono !? Mnajua kabisa Mbowe ni kiboko wa wote na vita hii ni kutaka chadema ife !?
@MmohamediSaidi
@MmohamediSaidi 11 сағат бұрын
Kiukweli ccm wanatamani mbowe aongoze muda wote kwakuwa ni rahisi kuongeka na sio mwamba lisu utachomuambia gizani atasema hazarani kwaiyo huyu yupo kimasilahi zaidi mimi ni chadema ila apa mbowe pa kung.ang.ania madaraka ndipo anapofeli
@bahatielias6443
@bahatielias6443 6 сағат бұрын
Amekatisha tamaa sana huyu jamaaa,
@saidmtetwa4363
@saidmtetwa4363 2 сағат бұрын
Mbona viongozi wa CCM wanataka wewe ushinde hiki kiti kwann?
@MasaweMasawe-r5b
@MasaweMasawe-r5b 9 сағат бұрын
Kajibu wewe sasa
@ahmadifataha6677
@ahmadifataha6677 8 сағат бұрын
Ww mzee achia wengine utakuwa vipi miaka yote wewe
@s2ek634
@s2ek634 7 сағат бұрын
Kabisa kwakweli khaaaa
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 11 сағат бұрын
Hujaulizwa kama una mali ndani na nje. Majibu yanaonyesha unapiga hela.
@MoshiKhamis-h8y
@MoshiKhamis-h8y 9 сағат бұрын
Ukimsikiliza jamaa kwa lengo la kumuelewa aiseeee huyu ana busara sana na anavision sana ,mtu mke wake yuko nje halafu anataka vurugi
@bahatielias6443
@bahatielias6443 6 сағат бұрын
Sasa mke nae anhusikaje kwenye chama
@MoshiKhamis-h8y
@MoshiKhamis-h8y 3 сағат бұрын
@bahatielias6443 Mzee unataka harakat halafu mke wako na watoto hawapo nchini ww
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc 9 сағат бұрын
Huyu alikula pesa ya lowasa nyingi sana sema kwakuwa lowasa naye alizipiga mahali bc sio mbaya
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 6 сағат бұрын
Kwanza wachaga kama kina Mbowe ndio wanaotakiwa wapewe nchi watuongoze kwa sababu wao kiuchumi ni wabunifu sana na nchi wakipewa wao nchi itakuwa na uchumi imara sana.kwanza ni matajiri na njia za kujenga uchumi wanazifahamu.
@joseph-fc6ry
@joseph-fc6ry 4 сағат бұрын
lisu anatoa siri ya vikao ni utoto sana
@abubakarimussa1955
@abubakarimussa1955 10 сағат бұрын
Chadema Ina viongozi imara na wenye weredi na Hilo jambo limepelekea kuwa imara Hadi Sasa
@marysichinsambwe7708
@marysichinsambwe7708 10 сағат бұрын
Mbowe must go
@HappinessJohn-vn8vh
@HappinessJohn-vn8vh 10 сағат бұрын
Mbowe must go
@WilliamMchele-kg7yo
@WilliamMchele-kg7yo 8 сағат бұрын
mbowe Lisu amekuharibia chama ulikuwa unaenda vixri sana ila ulipompatia nafasi lisu amekurudisha nyuma san
@simonmagembe7416
@simonmagembe7416 6 сағат бұрын
Mbowe must go
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
A-Z WENJE AFUNGUKA  ABDUL KWENDA NYUMBANI KWA LISSU SEHEMU YA PILI
7:41
WHY RUTO PICKED UHURU'S ALLIES TO CABINET
16:22
Iko Nini
Рет қаралды 19 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН