Issa Mollel vs Ally Dongo k.o
5:07
Stretching the body
0:27
11 ай бұрын
Power training Ibrahim class
0:53
11 ай бұрын
Пікірлер
@SomoeHamisi-s3z
@SomoeHamisi-s3z 14 күн бұрын
Nimeaza mda sana kufatilia kazi zako uko vzr nakuombea sana mungu ndo anajua
@SomoeHamisi-s3z
@SomoeHamisi-s3z 14 күн бұрын
Mwenyenzi mungu azidi kukufungulia nakubali kazi zako zidisha usikubali kukatisha malengo yako nakuelewa sana🙏🙏🙏🙏
@eladichristian7603
@eladichristian7603 21 күн бұрын
Good
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 24 күн бұрын
Inna lilah waina ilaihi rajiun Poleni sana ndugu....
@mawazochanya2081
@mawazochanya2081 26 күн бұрын
Ibrah anavutia sana uchezaji wake.Defence minded boy, swimming in the basic principle of "PROTECT YOURSELF AT ALL TIMES" while making swift movements to the sides, throwing jabs and shorts bursts of attacks.
@mohamedomari6129
@mohamedomari6129 26 күн бұрын
Mtihani sana.
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 26 күн бұрын
Ujinga mtupu
@mohamedomari6129
@mohamedomari6129 27 күн бұрын
Spidi ya kuongea ni ngumu lakini jitahidi ipungue
@user-fq6xx4ww4c
@user-fq6xx4ww4c 29 күн бұрын
Ingkuwa mechi ushind ningmpa chino
@bujikukomanya6633
@bujikukomanya6633 Ай бұрын
Boxing to the next level keep pushing guys
@khalfanisaidi8745
@khalfanisaidi8745 Ай бұрын
😂😂
@Benilogatz
@Benilogatz Ай бұрын
Kaka saidi utamuuwa uyo
@PatrickVenance-kj2wj
@PatrickVenance-kj2wj Ай бұрын
Good sparing for all two champions Good movement,fast punches,relax, speed and confidence. Salute sana machampion📌📌📌🚀
@amitinmbamba4358
@amitinmbamba4358 Ай бұрын
its the dimples for me ....King Class...Kwenye kuchepuka hapo vipi? Tukujengee sanamu lako TABATA haahaha
@ZuhuraWaminani-m2l
@ZuhuraWaminani-m2l Ай бұрын
Pole maisha ndio yalivyo
@Bakaribaruti
@Bakaribaruti Ай бұрын
Nina mashtaka na mpigaji hii kazi angepewa kiduku
@SalehManyanya
@SalehManyanya Ай бұрын
Chino Ana speed nzuri sana Yan Ringball
@YusuphLussewa
@YusuphLussewa Ай бұрын
Nan kafarik
@Tzn255
@Tzn255 Ай бұрын
Chino … power + speed ✅✅✅. Hata usimamaji tu unaona kabisa mtu wa kazi
@fabianferick2259
@fabianferick2259 Ай бұрын
Angekuwa Hana hiyo element sura ilikuwa imeshaharibika kabisa tatizo anapenda kujisifia sana kuliko kufanya kazi
@MengiMeng-fd7sq
@MengiMeng-fd7sq Ай бұрын
Safi sana mdogo wangu ndio maana ulingoni wanakaha madondia vilaza
@landmadvdmbeyacity9561
@landmadvdmbeyacity9561 28 күн бұрын
Wekilaza nn
@landmadvdmbeyacity9561
@landmadvdmbeyacity9561 28 күн бұрын
Acha dhobi ww
@OmasitaMangi
@OmasitaMangi Ай бұрын
kama jiwe
@Basagamp4
@Basagamp4 Ай бұрын
Duuuuh
@muddyzanga7476
@muddyzanga7476 Ай бұрын
Ibra ana skills sana i like that napiga target safi sana
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v Ай бұрын
Kazi zengine mtihani.ndio maana warembo wanaishia kwa wasanii wa miziki.Maana hela ya Bondia hailiki inapatikana kwa mtiti mkubwa.
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 25 күн бұрын
😂😂
@FrankBororo-dk1fv
@FrankBororo-dk1fv Ай бұрын
Pole sana,Ibra. Pamoja na hayo yote,huyo anabaki kua mzazi wako tu mpaka kesho kwa Mungu. Heshima baba na mama yako upate baraka tena na siku nyingi za kuishi duniani. Neno la Mungu linasema hivyo. Mungu hajasema akiwa mlevi,jambazi,muhuni,mwenye roho mbaya au aliefanya kama hayo,basi usimheshimu. Kinyume na baraka ni LAANA,Ibra. Tafuta baraka zake utafika mbali zaidi ya hapo. Hayo alioyafanya muachie yeye na Mungu wake.
@luqumanayubu5773
@luqumanayubu5773 Ай бұрын
Wapi hapa
@MohamedAbdiyer-yh6be
@MohamedAbdiyer-yh6be Ай бұрын
Hakuna champion mwenye akili nyingi ulingoni kumshinda ibrahim classic...
@kibwanambelwa8352
@kibwanambelwa8352 Ай бұрын
Safi sana chinno anachakujifunza kutoka kwa Ibra class hasa matumizi ya akili na relaxation techniques and targets....best sparring for all
@SeifHassan-y5y
@SeifHassan-y5y Ай бұрын
Nakubal champion
@hamisikirimbaki1195
@hamisikirimbaki1195 Ай бұрын
Kazi kazi
@AishaMtangi
@AishaMtangi Ай бұрын
Duu inaumiza sana😢
@PaulCharles-ox9pg
@PaulCharles-ox9pg Ай бұрын
Noma sana champion wote ndo hvyo maisha yetu
@Betty-x9z
@Betty-x9z Ай бұрын
Lakini hata yeye zilikua ni akili za kitoto coz alikua mdg Sana kipindi hicho
@ibrahimuclass_
@ibrahimuclass_ Ай бұрын
Ni kweli😅
@Betty-x9z
@Betty-x9z Ай бұрын
Nakumbuka alikupaga suruali yake Uvae ili uje Dar😂😂😂
@CynthiaWillium-cy5eh
@CynthiaWillium-cy5eh Ай бұрын
Pole champion
@Bondia_mrembo
@Bondia_mrembo Ай бұрын
😂😂😂 pole ila hao dada zako sio poa
@user-eb3hf1lm9e
@user-eb3hf1lm9e Ай бұрын
Mungu akulinde kaka
@AyubuMuhanga
@AyubuMuhanga Ай бұрын
Daaah kweli,, asa kwani wew msoja au,, mbona ukomandoo tupu nauona hapo 😂😂😂
@JosephSwaswa-iy8wt
@JosephSwaswa-iy8wt Ай бұрын
Awa ndio boxer tunao wahitaji ibra ni next level atafutiwe mapambano ya nje challenge mpya mpya
@manpluscompany8922
@manpluscompany8922 Ай бұрын
NIMEKUELEWA MDOGO WANGU HATARI
@LuseAnderson
@LuseAnderson Ай бұрын
Nakubali jeb inaongea classsss mawe
@warrapgtimamuskillz6872
@warrapgtimamuskillz6872 Ай бұрын
Haipingwi kama ShoSho
@shahashaban3196
@shahashaban3196 2 ай бұрын
Kiukweli Mabondia wengi wa bongo hawajui ngumi kama hawa mmmmmhh bado sana
@barakajpilly6900
@barakajpilly6900 2 ай бұрын
sparing tamu, huwa nazipata kwa ibra classic akiwa na ramadhan migwede,saidi chino,apa huwa napata radha ya boxing
@alimasoudali9860
@alimasoudali9860 2 ай бұрын
Pole sana mwamba ndio Dunia ila ni bora kusameh mm ni shabiki Yako ni Pemba nakufatilia kinyama ndugu
@user-ew3eo7tk3l
@user-ew3eo7tk3l 2 ай бұрын
ibrah love
@josephgatunzi1670
@josephgatunzi1670 2 ай бұрын
Good job brother
@ibrahimuclass_
@ibrahimuclass_ 2 ай бұрын
Shukran Bro!
@AzizalucasMbiduka
@AzizalucasMbiduka 2 ай бұрын
Pole Ila samehe
@ibrahimuclass_
@ibrahimuclass_ 2 ай бұрын
Shukran kaka!
@Benilogatz
@Benilogatz 2 ай бұрын
Kiwasilia ibra umwezi chino ila media zinakupepa sana ww bondia wa moo
@azizayub4444
@azizayub4444 Ай бұрын
Aliyevaa head gear anajua kwanini alivaa
@azizayub4444
@azizayub4444 Ай бұрын
Media hazipigani ulingoni
@pettymsungu6420
@pettymsungu6420 Ай бұрын
Nimegundua hakuna unacho kijua kuhusu ngumi