Ngumi sio uadui, moja kati ya Sparring zangu bora ni hii hapa na Ndugu yangu Said Chino💥👊 Nimejifunza vingi naamini na yeye pia hajatoka patupu, Boxing Life🥊 #2024Tumejipanga
Пікірлер: 53
@kibwanambelwa83523 күн бұрын
Safi sana chinno anachakujifunza kutoka kwa Ibra class hasa matumizi ya akili na relaxation techniques and targets....best sparring for all
@MohamedAbdiyer-yh6be3 күн бұрын
Hakuna champion mwenye akili nyingi ulingoni kumshinda ibrahim classic...
IBRA mm nakukubali saana. Ila chino Toka ulivyopigananae nae nilimkubali had asaiv namkubali saaana. Nae anajua kupigana vizur2 japo kuwa hapigani mara kwamara. Class hujawai niangusha ila ninasikunyingi sijakuona ulingon. Ebu tafuta pambano jaman. Na kama upo ulingon na lazma Nije kukushangilia. Pamojasaaana class
@HappyHourTunesАй бұрын
Asante bro siku sinyingi bro nacheza
@allymwachipanga2486Ай бұрын
Safi Sana
@khamisomary7428Ай бұрын
Chino yuko vizuri ibra maneno yako tu
@SeifHassan-y5y4 күн бұрын
Nakubal champion
@HappyHourTunesАй бұрын
Pamoja sana
@user-ro8rm4kd8c22 күн бұрын
Mmmhh hv haya ni macho yangu au 😅😅😅hebu ngoja nisubscribe kwanza🎉🎉
@LuseAnderson14 күн бұрын
Nakubali jeb inaongea classsss mawe
@liboriusbabile1197Ай бұрын
Both are good boxers however Ibrah is next level.
@HappyHourTunesАй бұрын
Thank you brother
@JosephSwaswa-iy8wt11 күн бұрын
Awa ndio boxer tunao wahitaji ibra ni next level atafutiwe mapambano ya nje challenge mpya mpya
@YasreArafat-kk9enАй бұрын
Nitakubali kuwa Bwanga bado anaweza kucheza Na wewe vizuri Sana Bro huna skills kabisa miguu yako inaonyesha huna foot work nzuri Punch landing lako ni very lite bro unayo makosa yote Yaani hats mm najiuliza huwa unashindaje bro Ila Kweli Imani Za kishirikina sio poa Ila sijamaanisha kuwa ni wewe Ila swali huwa unashindaje Kwa upiganaji Huo Ila tutakuja Bongo ili tukuonyeshe makosa yako Muulize master kinyogoli Anamjua mganda marehemu Ila nipo mdogo wake atakwambia nakuja kwako class
@HappyHourTunesАй бұрын
Sawa maono yako
@omarikatemi3657Ай бұрын
amka wew unajikojolea
@kervinijosephu316428 күн бұрын
Sioni ulichoandika , unasema anapiga makofi asee we jamaa ni nyumbu kweli .
@icclcharters3389Ай бұрын
Now this is real boxing,Very professional(Classic)Kwa maoni yangu chino is good but ibra is way better maana kapiga combinations za hatari and he has quick recovery reflexes,Chino kachezea lakini wakipanga pambano ibra akikosea kidogo tu anakalishwa...Good show for all and keep training hard guys👊🏿BTW,IBRA learn southpaw as well you will untouchable
@dullahtechtz3422Ай бұрын
Chino hatari mlirudiana Ibrahim utachezea
@khamisomary7428Ай бұрын
Kuna pachi class umekul left hio usinge kaza ungeenda chini😂😂😂
@mofoGang24Ай бұрын
Nakubal champez Yan dogo at ukiamshwa usingizin unamchapa
@HappyHourTunesАй бұрын
Pamoja sana
@mgambo100Ай бұрын
4:33 Ibra alipepesuka
@IbrahimMgorah-ef1mzАй бұрын
King class
@kachoramustadh212523 күн бұрын
Ibra nakubali sana gem zako
@Obertan_coolkid-04_Ай бұрын
Ibra. Anakimbia 😂😂 hatareeee
@mudhihirIbrahim-hb7ryАй бұрын
Huyo mwengine yuko vizuri ila hatumii akili anatumia paniki
@Obertan_coolkid-04_Ай бұрын
Sijaona ubado sana jamaa kakusumbua
@khamisomary7428Ай бұрын
Class unanifurahisha kwa unavyo ji brand kama hiv una account you kitu ambacho wengine hawan wamekalia maneno
@barakajpilly690015 күн бұрын
sparing tamu, huwa nazipata kwa ibra classic akiwa na ramadhan migwede,saidi chino,apa huwa napata radha ya boxing
@dogopctz274928 күн бұрын
Tz ukimtoa mwakinyo anafata ibra wanatumia akili nguvu pia chino jitahidi kutuliza akili ila nguvu unazo nakujua kitambo chino
@mudhihirIbrahim-hb7ryАй бұрын
Class kinachomsaidia akili naujanja mwingi
@user-ew3eo7tk3l17 күн бұрын
ibrah love
@shahashaban319615 күн бұрын
Kiukweli Mabondia wengi wa bongo hawajui ngumi kama hawa mmmmmhh bado sana
@user-qd5yk8ro4uАй бұрын
Mbona chini anaevaa element we uvai
@hermankihwili10955 күн бұрын
Ana ogopa ata pasuliwa
@deniskaaya111720 күн бұрын
Chino speed🙌
@AbdallahMwangaАй бұрын
kwann chino kavaa gard element afu ibra hajavaa
@manpluscompany892212 күн бұрын
NIMEKUELEWA MDOGO WANGU HATARI
@YasreArafat-kk9enАй бұрын
Skiliza class unapigana Ila form ya ngumi huyo Dogo Yuko vizuri Au labda ni uzee au ujaribu kubaduli mwalimu Mara nyingi utashinda Kwa point Tu ngumi zako ni makofi Ila kuukweli Dogo Yuko vizuri kuliko wewe
@AbuuMwande-nr4meАй бұрын
kama yupo vizuri kuliko ibra mbona kavaa gad kichwan?
@HappyHourTunesАй бұрын
Sawa
@kervinijosephu316428 күн бұрын
Aisee amka mbona Kama umelala kumekucha acha ufala yani ibra anapiga makofi kweli wewe ni utopolo.
@YasreArafat-kk9en28 күн бұрын
@@kervinijosephu3164 Sasa wewe unaemtetea huyo class ndo walewale wajinga hawafundishiki kabisa Na kama ndo hizo ngumi class haendi kokote Ila kibongo jumlisha uchawi ataendelea kungara Ila Hana uwezo kabisa We Fara hujui naongea Nini tuliza mshono
@Benilogatz19 күн бұрын
Kiwasilia ibra umwezi chino ila media zinakupepa sana ww bondia wa moo