Yani ingekuwa mimi …. Ningepata kwa kuweka mapati ya msauzi yanye rangi kijani sehem yake na mekundu sehemu yake ….. Pia mahoteli ningeweka sehem ya baharini kwa mapumziko ya wageni na kuboresha ufukwe zake
@Babylon_Must_Fall2 ай бұрын
Mitaa Mizuri sana na ni rahis kuiendeleza! Sio km dsm lol!
@hajrahmomac3 ай бұрын
Yaaah welcome lindi
@shabanimataka84183 ай бұрын
Ipo siku
@jeremiaaugustino71874 ай бұрын
hivi nchi imekosa maelekezo ya kitu cha kuezekea...zaidi ya bati zinazopata kutu?
@minikittylilyroblox-t5s4 ай бұрын
mashaalla
@KelvinWalioba4 ай бұрын
Aah hizo gorofa 😄😄kuna mikoa haina kabsa
@KelvinWalioba4 ай бұрын
Mwaka 2025 ina hadhi ya kuitwa jiji kabsa
@shedracklusasi72964 ай бұрын
Very good Geographic location
@innocentkaduma58215 ай бұрын
Beautiful 🎉
@Steve-z6b1q6 ай бұрын
Eti mbeya city wakati wanaizidi kwa iringa mjini iringa wanaizidi kwa morogoro town
@Steve-z6b1q6 ай бұрын
Eti mbeya city wakati wanaizidi kwa iringa mjini iringa wanaizidi kwa morogoro town
@Steve-z6b1q6 ай бұрын
Iringa ni ni kuliko mbeya city
@HarounKajuni8 ай бұрын
Uko vizuli sana hongera kwa kazi zuri
@jimmymakwega38728 ай бұрын
hii keep left ni ya wapi?
@jimmymakwega38728 ай бұрын
i mean niya morogoro maeneo gani?
@filamupictures93495 ай бұрын
inaitwa roundabout ya kuelekea SUA@@jimmymakwega3872
@jumamukhaimar730721 күн бұрын
@@jimmymakwega3872 round abaout ya SUA. inaitwa hivyo kwakuwa kuna barabara inaenda SUA
@salimh33018 ай бұрын
My home town, was born there. Never to be forgotten. I m 70 now but have recently visited lindi
@agnesskasansa995910 ай бұрын
Mercy wangu
@debbeymajatta234210 ай бұрын
Jamani inategemeana na tukiyo kama nitamasha kwanini watu wasijichukulie pichatu😅😅😅
@pamelamolapisi650910 ай бұрын
🇿🇦🇿🇦❤️
@stellaoseni345410 ай бұрын
They are too much with there phones, so sad
@commscompany150210 ай бұрын
Gosh ! Mercy is gifted
@shaddybmc834210 ай бұрын
Sasa siku akija BENJAMIN DUBE , ndo Tanzania itahamia uwanjani
@bathshebanjingo493210 ай бұрын
Aisee? Hivi hatujifunzi kabisa kwemye videos za wenzetu kunapokuwa na kitu kama hiki? Utaona wanabubujika, wanaabudu kweli, wanaomba hadi wananena. Hatujafanya sawa ndugu zangu, kha?
@Andykeem10 ай бұрын
Ministers of God should be giving warning to people not to be snapping them while worship is going on. Mercy chinwo should have used the opportunity to convey the message to the people so they could concentrate
@favourSanangura10 ай бұрын
Powerful singing please come to South Africa in Durban
@Excellence4life10 ай бұрын
🔥🔥
@morethanconqueror270810 ай бұрын
God bless you precious beautiful minister God
@VictoryEkor10 ай бұрын
I tap form your grace mama❤❤❤
@dennisamisi569710 ай бұрын
Instead of lifting hands to the Lord you lifting phones 😢😢😢
@SalomeNwachukwu-ol8bx10 ай бұрын
Exactly what I noticed. More interest on pictures and videos the essence of the worship
@dennisamisi569710 ай бұрын
Jamani watanzania mmetuangusha😢simu 😢😢
@ElimwemaSarwat-nb2fg10 ай бұрын
Sasa watanzania mnaabudu au mmekuwa wanahabar stupid
@giftudo527310 ай бұрын
It will be so much privileged to meet you one and One,you are God chosen to world 💕💕💕
@maryaika964510 ай бұрын
Mbona Israel Mbonyi hamja mwalika
@gracenbarnes525410 ай бұрын
Akipata kibali kwa waalikaji atakuja tu
@mtilimsita667510 ай бұрын
Wanachekesha
@wycliffejuma89410 ай бұрын
Tunajua mko na simu,mziweke kando wakati mungu anhudumia mioyo ya wenye njaa na kiu ya mungu Tania mbaya Sana.
@catherinemakule196510 ай бұрын
Nashindwa ata kucconect in spirit. Ata simalizii hii video, not with those phones.
@catherinemakule196510 ай бұрын
Kwakwel naona adi aibu.😅😅😅😅 Jamani hizo simu
@catherinemakule196510 ай бұрын
Ivi mlikuwa anaabudu au mnamchukua mercy 😅😅😅
@UpendoJoseph-b3z10 ай бұрын
Watanzania tumemuangusha Mungu busy na simu kuliko kuabudu
@sibitasoinda790810 ай бұрын
Icheki Hadi mwisho utaona 😊 hapo ni mwanzon TU walikuwa wanachukua kumbukumbu then after walikuwa busy na kuabudu Tusiwe wepes wakuona mabaya kuliko mema Mungu awabariki kutoa muda wao na fedha zao kwenda kumwabudu Mungu Imagine asingeenda hata mmoja😊
@UpendoJoseph-b3z10 ай бұрын
Jamani Mungu aturehemu ,
@sarahprotus681710 ай бұрын
So people can not be serious in the presence of God because of their phone.. God have mercy 😭
@MercyKapihya-qf1lu10 ай бұрын
It's my prayer that I meet you in personal and talk. I love you so much mom mercy my name sake and inspiration
@compteelohimmulti-services542910 ай бұрын
mama Charis of the Most Hight GOD
@ferrymalikioli985710 ай бұрын
Hizi simu zianze kukatazwa sasa, zina distract watu. Mimi siwezi kumleta mgeni a minister of the gospel kutoka mbali ili ahudumu kiroho na watu hawaingii rohoni kwa sababu ya simu. Hii si sawa kabisa, nashauri kwaanzia sasa hizi simu sisiruhusiwe wakati wa ibada ili watu wafanye kile kimewaleta kumwabudu Mungu.
@falijiubamba415510 ай бұрын
Hadi hasira yaan 😭 Mungu aturehemu
@stellawanjiru427810 ай бұрын
They are just taking memorable photos
@sibitasoinda790810 ай бұрын
Uko sahihi kwa nafasi Yako ila kumbuka Hii video umeweza kuiona kwa sababu Kuna watu walikuwa busy na 📷 kuhakikisha inarecordiwa mwanzo mwisho Wanachukua TU ukumbusho na kama umeangalia Hadi mwisho Kuna mahali simu hazionekani na simu wako busy kusifu na kuabudu
@upendogreutert19910 ай бұрын
Nope wanaoruhusiwa Wangetakiwa ni watu wa Media na camera 🎥 tuuu hao wa simu too much
@silviasanchez295710 ай бұрын
Kweli kabisa!
@ElizabethJonathan-d2e10 ай бұрын
🔥🔥🔥🇹🇿
@janetdundul385810 ай бұрын
Yani wabongo kwa simu apana jamani 🙌🙌🙌🙌🙌🙌😔😔unatakiwa huwe ndani ya roho sio uwe ndani ya simu 😢😢😢😢
@enjoymovies864610 ай бұрын
Imefika mahali sasa simu ndio ingoi na kufurahi kuliko sisi wenyewe... Yaaani ni kila mtu yuko na simu juu badala ya kuenjoy the nice music 😢😢😢 daaah okay
@janetdundul385810 ай бұрын
😅😅😅😅wewe ujui bongo matatizo
@BUSHUTV110 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/qKKcY6hnmcpkfKMfeature=shared Lazima ucheke tu hapa😂😂😂😂 Ukishare nkunisapot kazi yangu
@IbrahimMohamed-c3c Жыл бұрын
Incredible very amazing 😍 video 🎥
@IbrahimMohamed-c3c Жыл бұрын
Kilichonivutia ni kwa naamna ambavyo umepangwa vzr😊