Mitaa Mizuri sana na ni rahis kuiendeleza! Sio km dsm lol!
@shanisshow186416 сағат бұрын
Yani ingekuwa mimi …. Ningepata kwa kuweka mapati ya msauzi yanye rangi kijani sehem yake na mekundu sehemu yake ….. Pia mahoteli ningeweka sehem ya baharini kwa mapumziko ya wageni na kuboresha ufukwe zake
@jiweg-unit54082 жыл бұрын
Dahh Tanzania Yetu nzuri
@boazmasiko8665 Жыл бұрын
Nice shots much love from Uganda
@hajrahmomac3 ай бұрын
Yaaah welcome lindi
@shirishkanitkar357 Жыл бұрын
आम्ही चौघे = आई + वडील + मी + लहान भाऊ , १९६० साली lindi ला रहात होतो . माझे वडील जहाज कस्टम मध्ये क्लार्क होते . त्यावेळी मी स्वतः ०६ वर्षांचा आणि लहान भाऊ ०४ वर्षांचा होता . आई आणि वडील आता हयात नाहीत पण आम्ही दोघे अजून जिवंत आहोत . मला रोज , लिंडीची खूप खूप आठवण येते . ( we four = mother + father + i & my little brother , were living in 1960 at LiNDi . My father was ship coustom clerk . That time - i was 06 years old & brother was 04 years old . Now dad & mom is no more . Still we both are alive . I miss LiNDi Very Very much !! )
@SilaMinanda11 ай бұрын
Karibu tena mkoa tulivu wenye amani kuliko mikoa yote Tanzania
@jiweg-unit5408 Жыл бұрын
Mitaaa ni mizuri
@bashir12ful2 жыл бұрын
Thank you so much for uploading this beautiful video of Lindi "paradise on earth" . I was born in Lindi. Left in 1970. Have visited couple of times and also went to Mingoyo. Thank you again for your efforts.
@salimh33018 ай бұрын
My home town, was born there. Never to be forgotten. I m 70 now but have recently visited lindi
@habibumohamed1543 Жыл бұрын
Ni mji mzuri Sana na WA kimkakati wa kiuchumi Sana Kama utapewa kipaumbele Cha kiuwekezaji na kibiashara Umekaa vizuri Sana mpaka bandari yenyewe Serikali YETU ipanue mikakati ya kiuchumi katika miji Kama hii ya bandari itakuwani fursa kubwa Kwa NCHI kuwa na vitega uchumi Kwa mikoa ya kimkakati kukuza pato la TAIFA
@shabanimataka84183 ай бұрын
Ipo siku
@eprohoda2 жыл бұрын
Director!you uploaded awesome recording.:))
@mpesmail18342 жыл бұрын
I was born in Lindi and left after finishing my form 2 at Mkonge secondary in 1972 Ever since then, not visited again, so i was carefully looking at this video to pick up my house, Stadium Primary school and other main landmarks, but couldn't find / recognize even one. 😔
@IbrahimMohamed-c3c Жыл бұрын
Incredible very amazing 😍 video 🎥
@shanisshow1864 Жыл бұрын
Mahali waziri anatoka anatakiwa aiangalie na kuijenga lindi hii kwanza inasehem poa za kujivinjali uwe mji wa kimapumziko