Nilikupend tulikupenda lakni Mungu alikupenda zaidi, Mungu akupumzishe milele mbinguni.
@ChutyYaclu-r3g5 сағат бұрын
Thanks
@WeremaMagira7 сағат бұрын
Uandishi wako huo kwamba Lissu amezomewa mbona ni tofauti na nilichokisikia kwenye hiyo conference. Wewe mwandishi huna ethics za uandishi wa habari ninakushauri ebu rudi darasani
@RACHELFESTO-pt6fv7 сағат бұрын
😄 🤣 😂 😆 😄
@pauloropian23677 сағат бұрын
✌️✊✊✊
@PANJAAJEREMIAH8 сағат бұрын
Ata uchaguzi mkuu uwe huru na haki?
@istambulahmed66648 сағат бұрын
Msipo angalia mtamkumbuka mbowe, kwani lisu Hana uwezo wa kuwa KIONGOZI HATA MARA MOJA.
@SaramasakaChacha9 сағат бұрын
😂😂😂😂 kwenye ziwa hapo chacha
@MsimbaKassim9 сағат бұрын
Mwanahabari ukiuliza swali mpe nafasi MTU ajibu swali nasio kumuingilia
@mapundarajabu541611 сағат бұрын
Natafuta dem nichek kwa koment
@ShabanOmaryKapate12 сағат бұрын
Mbowe kasalitiwa kama yesu wote aliokuwa karibu nawo wamemkana dkk za mwisho msaada wake sasa uko kwa mungu atulie utampata fungu lako
@ShabanOmaryKapate12 сағат бұрын
Mbowe kasalitiwa kama yesu wote aliokuwa karibu nawo wamemkana dkk za mwisho msaada wake sasa uko kwa mungu atulie utampata fungu lako
@MeddyHamis12 сағат бұрын
Ninge penda uwe karibu iri tufanye kwa vitendo❤❤
@ChipsKuku-tv18 сағат бұрын
Tundu kama lisu
@WilfredHersonКүн бұрын
Hongera kaka
@kadrovLamazaniКүн бұрын
Ukweli kabisa musukuma asema
@AthumaniKikwapweКүн бұрын
Safi xana msukuma
@tumainiellyimo4657Күн бұрын
😂😂😂😂 kweli kafanyaje?
@KanyereAbyudiКүн бұрын
Asante kwadawa
@YuzlamJafariКүн бұрын
Jamn niungen kweny group lamitindo
@AndreaLazaro-d4hКүн бұрын
me nataka video zake kbsaa ila sizion
@AdrianmellowКүн бұрын
Yan huy fala sn sera za heche anacopy
@placidchaka214Күн бұрын
Enyi WAKINGA NGUMI,kama mnavyojitambulisha,mtakujalia na kusaga MENO! NInawatahadharisha kwa kauli hii fupi,",MBOWE NI KIONGOZI na LISU NI MWANAHARAKATI. Ninarudia kwa mara ya mwisho katika utafakari mfupi,"CHADEMA ingieni katika Uchaguzi na ufahamu timamu,CHAGUENI Kiongozi,na sio Mwanaharakati" 2:51 2:51
@LuhwaviLuhwaviКүн бұрын
Mnapenda kutombwa nyie
@VictoriahnyamweyaКүн бұрын
Yayari
@EngelbertMakoyeКүн бұрын
Hayo ungeyasemea kwenye vikao vya ndani wewe huna sifa ya uongozi wewe bakia tu uanaharakati
@GodfreyMasanjahКүн бұрын
Mzee wetu pumzika daima ata sisi sote Njia moja tuuu amani
@margarethpolepole7438Күн бұрын
Mungu tusaidie tunaomba Amani tu Tanzania
@florencejohn6427Күн бұрын
Kalewa chakari
@JoackimKavaya2 күн бұрын
Tunamtaka tundulisuu ole wenu. Mbowe atuletee ujinga tunaandamana 1:21
@babycandycharles78162 күн бұрын
Wanachama mliofukuzwa kwenye chama msiombe msamaha kwa chadema imewazalilisha Sana kinhalima Dee kijawapa haki kamawanachama Leo mnawaambia waombe msamaha awapi lisu hujuwi kuongea Bora abaki mbowe
@YakoboJohn2 күн бұрын
Lisu yuko sahihi kabisa huwezi kumsamehe mtu asiyejua kosa lake
@HvhVvb-k3i2 күн бұрын
Kafa eti anaitwa 😂😂😂a Hayati Bado yupo hai kwani😮😮 aende zake aliuwa mwisho wa siku kafia mbali
@Nanga-t6y2 күн бұрын
Hio lazima
@huyu19932 күн бұрын
Sasa bwana Heche ikiwa huyu Mama ni mzanzibar Kwa iyo. Mzanzibar hana haki ya kugombea urahisi kwa iyo kuna haja gani ya kuwa na muungano? Na la pili kwa iyo nyinyi kwenye chama hamuwezi kumpa urais mwanamke ? Basi icho chama ni cha kibaguzi wala hakifai kuwepo kwenye orodha ya vyama vingi
@GabrielMwakasitu2 күн бұрын
Pombeeee sio nzr
@GabrielMwakasitu2 күн бұрын
Pombe alikunywa mbowe msikilizeni vzr
@GabrielMwakasitu2 күн бұрын
Nikama alikunywa pombe hapa mbowe😂
@AsumaniMAtanga2 күн бұрын
😂😂 OMG
@RizikiMahano-f2n2 күн бұрын
Mapenzi
@makoepeter2 күн бұрын
There are 2 things a man cannot hide that is drunk and is in love
@AdamAbdallah-k2e2 күн бұрын
Tumpeni lisu uwenyekiti akiimalishe çhama
@EliasMwakibete-s7q2 күн бұрын
Duu ninyi waandishi wa chombo hiki mmeuuliza lisu maswali mhimu nawaoongeza moyo wangu mimi mbangaizaji na nkunja ngumi.umelizika mno.swali langu kwenu kwa lisu huyu kwa nini msiondoke na kiji kumuuliza lisu ashindwe kujibu maswali yote mliyo yabwba? Swali langu la mwisho kwenu.mmejifunza nini baada ya kuhojiana na lisu na mkamaliza maswali? Nb Mnapeleka ujumbe gani leo tar 21/01/2025 kwenye uchaguzi wetu CDM. Mnajipangeje juu ya kuwanasa watoa lushwa na wachukua rushwa