Пікірлер
@AbuuAhsam
@AbuuAhsam 5 ай бұрын
جزاك الله خيرا
@salummakaveli4366
@salummakaveli4366 6 ай бұрын
Wewe ni bingwa wa kuongea tanzania shkh mohammed idd ALLAH akuweke
@omaryyusuph2106
@omaryyusuph2106 8 ай бұрын
unaeleweka sana shehe hakika aliyekufundisha ni mwalimu wa kweli
@alhabibymasoud3445
@alhabibymasoud3445 9 ай бұрын
بارك الله فيك يا شيخ
@mbarakadau7345
@mbarakadau7345 10 ай бұрын
One of the best Sheikh in modern era
@OmarMwasene02-ox2sb
@OmarMwasene02-ox2sb Жыл бұрын
A.W. Twakushuru shekh Ilmu unayo tupa. Allwa akuzidishie Na aijaalie katika mizaani hasanaatika. Na naomba Dars za shekh zaid ya hizi inshaallw.
@OmarMwasene02-ox2sb
@OmarMwasene02-ox2sb Жыл бұрын
A.W. Twakushuru shekh Ilmu unayo tupa. Allwa akuzidishie Na aijaalie katika mizaani hasanaatika.
@halimamuketi6738
@halimamuketi6738 Жыл бұрын
SubhanaAllah
@imranbanda3963
@imranbanda3963 Жыл бұрын
Masha Allah
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Жыл бұрын
Hatuji kwenye jambo ambalo halina dalili kutoka kwa quraan wala sunna.
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Жыл бұрын
Sasa alikusaidia ufanikiwe au alikuondoshea hiyo shida??.
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Жыл бұрын
Uwahabi ni jina tu..lililonasibishwa na Muhammad Abdulwahaab...it is nothing zaidi ya hapo...sasa unataka kuwadanganya hao kondoo
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Жыл бұрын
Huo mda unaousema watoto wafundishwe maulid ungelisema watoto wafundishwe tauhiid....ajulikane Allah ni nani na anataka nn. Sio wafundishwe magitaa na mazumari
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Жыл бұрын
Yaani ww ni wa ajabu kwa hiyo watu matahalan wapo kwenye zinaa na huku wanalinganiana tuache kuzini my girlfriend halafu useme ni sawa kwamba eti walikumbushana kuwa waache kuzini?? Hii ni kukichezea shere....yaani duh
@imranbanda3963
@imranbanda3963 Жыл бұрын
الناس اعداا لماجهلوا
@awatifomar5185
@awatifomar5185 Жыл бұрын
Uzushi unatafutiwa njia ila bado haijapatikana kwa waliosoma wamekuelewa kua ulichokizungumza ni porojo na ni matakwa yako binafsi ila zidi kusoma Sheikh huenda Allah akukuongoa wewe na mimi pia
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Mwanachuoni abuu iddy Muhammad iidy jishekhe lenye fasaha zake
@nadirmahfoudh1812
@nadirmahfoudh1812 Жыл бұрын
Masha'Allah,
@alhamdulillahalhamdulillah7529
@alhamdulillahalhamdulillah7529 Жыл бұрын
Amin
@salehsilima3652
@salehsilima3652 2 жыл бұрын
Tumsalie mtume
@jumakaoneka5456
@jumakaoneka5456 2 жыл бұрын
Vizur shehe
@feisal6592
@feisal6592 2 жыл бұрын
Nene yabusara nisawa hakuhoja muhaka nisawa tuu
@badilamu
@badilamu 2 жыл бұрын
Ilahi yaa raab watetea bid'ah bila ithbati bil kitabi wa sunnah yanayosomwa hawaelewi watu ndio maana kuhifadhi Quraan na sunnah si muhimu kwao bali nyimbo ndio muhimu madrasa zao
@NMJAsaid
@NMJAsaid 2 жыл бұрын
Wewe acha kupotosha umma kwa rai za akili yako. Yaani nyie ndio mnajua kheri kuliko maswahaba na karne zilizofuata baada yao
@latifasalum7611
@latifasalum7611 2 жыл бұрын
Asante shekh wetu , naomba namba yako please
@kibelaame5178
@kibelaame5178 2 жыл бұрын
Alhamdulilah
@sadickmguruka
@sadickmguruka 2 жыл бұрын
Mimi wakinijibu kuwa hawajui hayo bac watakuwa hawasomi kweli lkn kama wanayajua basi wanasoma
@sadickmguruka
@sadickmguruka 2 жыл бұрын
Hata wao wanasoma maulid kwani wamepata wapi kujua mtume kazaliwa lini,na wapi na kazaliwa na nani?
@maulidimteruka9040
@maulidimteruka9040 2 жыл бұрын
Retfeeehwebtse9jwhhy8xijjeidysrr0878
@maulidimteruka9040
@maulidimteruka9040 2 жыл бұрын
Esyefeehs vwu'#
@salummakaveli4366
@salummakaveli4366 2 жыл бұрын
Ufundi wako hauna mfano mwalimu MUNGU akulipe ktk dunia na baada ya dunia pia kwa maana ya akhera malipo makubwa yenye tija kwa elimu unayoitoa
@salummakaveli4366
@salummakaveli4366 2 жыл бұрын
Wew ni gogo la kuongea na ufundu wa ajabu Allah akupe jannatu nnaiim
@khubeybjandal7435
@khubeybjandal7435 3 жыл бұрын
ABUU IDD, we bonge la chizi, yaani huna maana.. Muovu sana we, OLE wako, kwa kupoteza watu
@danielmtanda1223
@danielmtanda1223 3 жыл бұрын
Tulia dawa ikuingie ww
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 3 жыл бұрын
Hongera Sana shekhe nakukubali sana
@yussufsule4793
@yussufsule4793 3 жыл бұрын
Ole wao wanaoandika kitabu kisha, wakasema hiki kutoka kwa Allah
@yussufsule4793
@yussufsule4793 3 жыл бұрын
Ole wao wanaoandika kitabu kisha, wakasema hiki kutoka kwa Allah
@abdiamiri8041
@abdiamiri8041 3 жыл бұрын
Abuu iddi usiongee Sana twashakuelewa wote kwamba maulid nibidaa nzur kwasabab wanaping maulid lakin ubwabwa ukiandaliwa wao ndio wakwanz mstali wambel wabishe na hili Kama sio kwel
@abdiamiri8041
@abdiamiri8041 3 жыл бұрын
Twayib
@s.m.jawadida8868
@s.m.jawadida8868 3 жыл бұрын
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 3 жыл бұрын
Sheikh kasome vizuri kisha urudi uongee vizuri. MAULID NI BID'AA IN CAPITAL LETTERS. Hizo aya unazotafsir je ndivo walivyozifaham maswahaba?????
@hashimkhamis1222
@hashimkhamis1222 3 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi sheikh wetu
@hashimkhamis1222
@hashimkhamis1222 3 жыл бұрын
Masha alla h
@hashimkhamis1222
@hashimkhamis1222 3 жыл бұрын
Jitahidi sheikh
@salamakhamis8092
@salamakhamis8092 3 жыл бұрын
Alla akuhifadhi yaa Sheykh
@goegymchugaji2629
@goegymchugaji2629 3 жыл бұрын
Haleluya mahubir mazur
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
Mtume s.a.w yupo ndio akubali ama akatae hii bid'a yenu Leo hii??? Heri uache kuliko kujuta kesho akhira
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
Quran yote ni dawa na mungu achatuambia katika surah fusilat (41) verse 44 na sura Al isra (17) verse 82 na unatuambia mtume s.a.w hakufunza kama fatiha yaweza tibu. Plz stop misleading the muslims plzzzzzzz
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
Wallahi he is misleading people. May Allah help the ummah. We see every time men and women mixing kwa MAULID so why lie ya sheikh???
@danielmtanda1223
@danielmtanda1223 3 жыл бұрын
Usiwe unapanda dalala wala kuenda sokoni mana uko pia kunamchanganyiko
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
@@danielmtanda1223 Angalia hio akili yake. Your reasoning is like a baby class. Shida ni hao masufi na madariqa. Lau ungekuwa mtu wa sunnah wallahi hunge ongea vile
@danielmtanda1223
@danielmtanda1223 3 жыл бұрын
@@mohagurey2214 huna jipya sheikh, kwely mtu unaeza pewa akili na usipambanue mambo yani kumkatangaza mtume ndo roho ya chuki imekujaa ivyo we kwely hamnazo...haya basi tuendelee kufanya 'miski ya roho' na tuache Maulid roho yako itulie
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
@@danielmtanda1223 kazi ya masufi na madariqa ni kuwika "tunataja mtume, tunapenda mtume' Kisha wakifika msikitini ni kukata viuno na dombolo. Baada ya kutoa jasho kama show ya diamond au mboso mara moja saluu ala nabi. Kisha jefe tena. Hio sio kupenda au kutaja mtume. Kama kweli unaenda mtume s.a.w fuata Mila yake full stop. Hivo ndio tumeamrisha wala sio jefe na dombolo kama dini ya legio maria
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
Insha Allah bid'a hio itakufa pole pole kwa idhni ya Allah azawajala.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
Hebu sikiza vizuri eti "taratibu iliyowekwa na mashekhe wetu". Dini si kutoka mashekhe wako baba. Fuata taratibu iliyowekwa na mungu na mtume wake s.a.w