Sheikh Mohamed Idd - Usahihi Wa Maulidi Part 2

  Рет қаралды 29,542

SheikhIddi

SheikhIddi

Күн бұрын

Пікірлер: 95
@alhabibymasoud3445
@alhabibymasoud3445 9 ай бұрын
بارك الله فيك يا شيخ
@hutisaleh2320
@hutisaleh2320 4 жыл бұрын
Allaah akuweke shekhe wetu,wallaah nakupenda sana shekhe wangu.
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 3 жыл бұрын
Hongera Sana shekhe nakukubali sana
@liverpooliangal6450
@liverpooliangal6450 4 жыл бұрын
nakupenda kwa ajili ya Mwenyezi MUNGU sh Mohamed idd
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
Insha Allah bid'a hio itakufa pole pole kwa idhni ya Allah azawajala.
@fadhilimakore6142
@fadhilimakore6142 6 жыл бұрын
Allah Maulid yatazid nanyuma hayotorudi waumie mawahabi nahuku wakilalama
@Noahhersi
@Noahhersi 6 жыл бұрын
Jazakala kheir Allah akupe umri mrefu kwa kutoa hoja za msingi
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Жыл бұрын
Huo mda unaousema watoto wafundishwe maulid ungelisema watoto wafundishwe tauhiid....ajulikane Allah ni nani na anataka nn. Sio wafundishwe magitaa na mazumari
@abdiamiri8041
@abdiamiri8041 3 жыл бұрын
Abuu iddi usiongee Sana twashakuelewa wote kwamba maulid nibidaa nzur kwasabab wanaping maulid lakin ubwabwa ukiandaliwa wao ndio wakwanz mstali wambel wabishe na hili Kama sio kwel
@imranbanda3963
@imranbanda3963 Жыл бұрын
الناس اعداا لماجهلوا
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 4 жыл бұрын
sh unapenda ubwabwa
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Жыл бұрын
Hatuji kwenye jambo ambalo halina dalili kutoka kwa quraan wala sunna.
@ramadhaniselemani3569
@ramadhaniselemani3569 5 жыл бұрын
asanteeeeee
@salehjambo4075
@salehjambo4075 6 жыл бұрын
Nakubaliana na abuidi mia fil mia tatizo mawahabi mnanongwa na hatanyinyi hamuna dalili za kuyapinga
@sittacharlesmaendeleo778
@sittacharlesmaendeleo778 5 жыл бұрын
toa hoja acha mkumbo
@abdulrasulismail3190
@abdulrasulismail3190 6 жыл бұрын
sawasawa baba
@yusuphkimwaga1114
@yusuphkimwaga1114 4 жыл бұрын
Nimegundua watu wengi hawajui na hawataki kusoma yaan hawana hoja mkumbo tu asee
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
Kadhab wallahi. Kuna maovu zaidi ya mema katika MAULID. Na wewe uko na dhambi katika kila uovu ya MAULID sababu ya kutetea bid'a kama ile. Heri urecodi video kama hii ya kuonya waislamu kutokana na bid'a ya MAULID
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Жыл бұрын
Sasa alikusaidia ufanikiwe au alikuondoshea hiyo shida??.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
Hebu sikiza vizuri eti "taratibu iliyowekwa na mashekhe wetu". Dini si kutoka mashekhe wako baba. Fuata taratibu iliyowekwa na mungu na mtume wake s.a.w
@omarabdulrahman7514
@omarabdulrahman7514 3 жыл бұрын
Makurafi mumezidi
@AshrafAKhan-ql1tb
@AshrafAKhan-ql1tb 6 жыл бұрын
Na wale wanaoipinga wanachotaka ni kuthibitisha kwa aya/hadith sahih ni nani aliesoma/kufanya maulidi kati ya vile vizazi vitatu bora vya kwanza (maswahaba-taabi taabiin). Na ni nani alievumbua maulidi na ni mwaka gani?
@bashirkijoji3437
@bashirkijoji3437 4 жыл бұрын
hiv ww umesoma walaw shule ya msingi?
@AbdulmajidHyder
@AbdulmajidHyder 4 жыл бұрын
Kasomeni jamani acheni kupinga kasomeni mutajuwa
@AshrafAKhan-ql1tb
@AshrafAKhan-ql1tb 4 жыл бұрын
@@AbdulmajidHyder ndo nataka elimu kwa kujua ibadah hii ilianza kufanywa na nani?au inafaa kufanya ibadah hii kwa misingi/ushahidi gani wa sheria ya dini ya kiislamu
@AshrafAKhan-ql1tb
@AshrafAKhan-ql1tb 4 жыл бұрын
@@AbdulmajidHyder ni kazi nyepesi tu, nipeni aya/hadithi zinazotumika kama ushahidi kwa wanazuoni wanayoikubali
@abdulmajidhyder1681
@abdulmajidhyder1681 4 жыл бұрын
@Ashraf Ahmed. Shida nyinyi Hilo Jina ndo lawasumbua mwahukumu Jina LA Maukid. Kumsherehekea Mtume ndo tumeipa Jina Maulid.Dalili Masahaba walimsifu tena mbele yake Kangalie Hadith ya Ammi yake Abbas Alipo muomba rukhsa Amsifu tena mbele ya Ma Elfu ya Jeshi LA Masahaba Na Mtume Akampa Rukhsa. Kamwangalie Hassan bin thabit Kwa Qawida yake "Wa Ajmalu minka lam Tara qattu 3aini" Mpaka mwisho. Na pia Upande Wa Qur'an Allah Akatupa Rukhsa ya Kumsherehekea kaanhalie Suratu Yunus ayah 58.
@khubeybjandal7435
@khubeybjandal7435 3 жыл бұрын
ABUU IDD, we bonge la chizi, yaani huna maana.. Muovu sana we, OLE wako, kwa kupoteza watu
@danielmtanda1223
@danielmtanda1223 3 жыл бұрын
Tulia dawa ikuingie ww
@mohamedumri9611
@mohamedumri9611 7 жыл бұрын
Wanaetoa hoja ya kila kinachozuka baada mtume wasome vizuri nahau.maana ya WAKULLA MUHDATHATUN BIDAA..
@abulqaasim728
@abulqaasim728 7 жыл бұрын
sasa mbona wewe mwenyewe umerudia mara mbili na umekosea hiyo nahau,?kullu muhdathatun umetoa wapi? halafu hiyo elimu haitwi nahau ni balagha au mantwiq na mnaisigizia bure tu ili mhalalishe bidaa zenu
@salimsalim6000
@salimsalim6000 4 жыл бұрын
Naww pia unatakiwa ukasome, bado
@salimsalim6000
@salimsalim6000 4 жыл бұрын
Nenda ukasome
@hassanramadhanivrygood709
@hassanramadhanivrygood709 6 жыл бұрын
Watu wanaokataa maulid wanasumbuliwa na ufahamu mtume kashatuambia tuombe elimu na ufahamu
@salehsilima3652
@salehsilima3652 2 жыл бұрын
Tumsalie mtume
@aliushirazi5104
@aliushirazi5104 4 жыл бұрын
Mawahabi Wana jazba ndio kazi zao ubishi tu Kila Kona mpaka Sasa wanaelekea siko kama hupebdi maulid silazima kupwnda penda diamond au nyimbo za kiarabu Hamna issue
@ramadhanimussa882
@ramadhanimussa882 5 жыл бұрын
Wee Mzee Ni Maulidi Tuuu Au Taaluma imeishia Hapo ????
@shafishafiathman586
@shafishafiathman586 5 жыл бұрын
yani nyinyi munamzushia mtu kwasababu yanahau alie waambia nahao nihoja yamaulidi ninani kwani mwapata nn mukimzushia mtume lkn amakweli kipofu sio togo2 asieona hata mwenye macho aweza kua kipofu unakataa haki unaikubali batili kwakisingizio eti mungu ameamrisha jamani duuu
@abeidbakili3579
@abeidbakili3579 5 жыл бұрын
Toa aya acha kutetea jambo la uzushi kumbuka kuna moto utachomwa
@abeidbakili3579
@abeidbakili3579 5 жыл бұрын
Sikuhizi wasomi wapo wengi unapotetea kitu toa aya au adith ya mtume
@abeidbakili3579
@abeidbakili3579 5 жыл бұрын
Acha bla bla tumechoka
@maryamabdi7460
@maryamabdi7460 5 жыл бұрын
Wacha kuneza bidhaa utaulizwa siku kiyama wale watu umewapoteza
@shilingiahmad7048
@shilingiahmad7048 2 жыл бұрын
Mwenzio katoa hoja nawe toa zako Acha kuropoka
@atikilunko9991
@atikilunko9991 5 жыл бұрын
Kama ni kweli mwapinga kisa hayakufanywa na maswahaba mbona yako mambo mengi hayakufanywa na maswahaba Na mtume lakini nyinyi mawahabi mwafanya
@AshrafAKhan-ql1tb
@AshrafAKhan-ql1tb 6 жыл бұрын
1.kuiendeleza maulidi inabidi tuwateke/tuwadañganye watoto wetu kisaikolojia kuihalalisha maulidi. Sheikh Iddi unachochea bidaa leo kama ilmu yenye kuendelea.Tafakari!!
@omarabdulrahman7514
@omarabdulrahman7514 3 жыл бұрын
Wenye wanafanya maulidi wote wajinga
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Жыл бұрын
Yaani ww ni wa ajabu kwa hiyo watu matahalan wapo kwenye zinaa na huku wanalinganiana tuache kuzini my girlfriend halafu useme ni sawa kwamba eti walikumbushana kuwa waache kuzini?? Hii ni kukichezea shere....yaani duh
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Жыл бұрын
Uwahabi ni jina tu..lililonasibishwa na Muhammad Abdulwahaab...it is nothing zaidi ya hapo...sasa unataka kuwadanganya hao kondoo
@NMJAsaid
@NMJAsaid 2 жыл бұрын
Wewe acha kupotosha umma kwa rai za akili yako. Yaani nyie ndio mnajua kheri kuliko maswahaba na karne zilizofuata baada yao
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
Mawahabi kazi yenu matusi nakutukana wanavyuoni tu ufahamu na uelewa hamna kazi yenu farqa tu baina ya waislam
@neemaabdi4791
@neemaabdi4791 5 жыл бұрын
hakuna hoja lkn
@kamanda5554
@kamanda5554 2 жыл бұрын
alhamdulillah alha atupe magharif
@muhammadialliy1237
@muhammadialliy1237 5 жыл бұрын
ukiona watu wanapinga maulidi katika zama hizi fahamu huyo ni mwandazimu mpungufu wa akili
@muhammadialliy1237
@muhammadialliy1237 5 жыл бұрын
kwani wao wanaopinga maulid wanajua kanuni ya maulidi kilugha na kisheria mungu kazungumza maulidi ya nabiy mussa na biy issa ajabu nini
@muhammadialliy1237
@muhammadialliy1237 5 жыл бұрын
shekhe wsikusumbue wahabi hao wanataka uonhozi wa ile kanun khaalif tuurafu wanataka umaarufu kwenda kinyume na watu
@muhammadialliy1237
@muhammadialliy1237 5 жыл бұрын
mwana chuon wa karne zilizo pita kabobea kiilimu aje mwana chuon 2019 akataze kasoma wapi
@rahmaabid447
@rahmaabid447 4 жыл бұрын
Maulid sio bidaa.....
@mussayussuph6138
@mussayussuph6138 5 жыл бұрын
Mfumo huo wote ni uzushi na hauna hoja ya kutetea uzushi
@danielmtanda1223
@danielmtanda1223 3 жыл бұрын
Huna jipya
@sadikisemwali4860
@sadikisemwali4860 7 жыл бұрын
Shekh huo ufahamu mbaya na hizo ni dalili za kiakili ila hujib hoja kwa hoja ila unajib hoja kiakili
@abubakarimwasumilwe7293
@abubakarimwasumilwe7293 7 жыл бұрын
Zahir acha matusi.... Suala la Maulidi halipo kwenye Dini. Tatizo Wapo mushekh ubwabwa kulazimisha hoja ambozo hazina mashiko.
@firdausnasrudin9998
@firdausnasrudin9998 6 жыл бұрын
Mashallah;mungu atuongoze
@mootelahamongus633
@mootelahamongus633 6 жыл бұрын
Hoja Akilia
@ابواسامهالمرشدي
@ابواسامهالمرشدي 6 жыл бұрын
Jahil majhool.. huna dalili hata moja kuhalalisha bidaa. Kudanganya wajinga kwa lengo la maslahi ya tumbo.. mubtadi3 khurafi jaahil
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 5 жыл бұрын
Wewe kelb kabisa.
@saidiyusufu5032
@saidiyusufu5032 3 жыл бұрын
Shekh jaahil niwew mwalm hatukanw
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 6 жыл бұрын
Tatizo watu huipenda kuridhisha matamanio ya nafsi zao na sio kutafuta haki. Ina maana maswahaba wa mtume Wote kwa kuwa hawakufanya maulidi walikuwa hawajui nahau wakashindwa kutambua hadithi hiyo. Ikiwa uislam umefundisha hadi kuingia chooni na dini kushuka aya imekamilika INA maana hata mungu mnamkosoa binti ndio mnajua zaidi mpaka mkagundua maulidi ??? Hatuwezi kuitafsir dini kwa akili zetu mbovu mno lazma tufuate dini kwa majibu wa ufaham wa abuubakri, umar, uthmaan , Ali na maswahaba wengine. Mashia wameianzisha maulidi baada ya Marne tatu bora alizosifia mtume. Huwezi kunishawishi katika upuuzi maana nawaamin maswahaba ndio wamepata kibali cha kufuatwa tu na tukahadharishea katika Quran sana juu ya kuufuata mwendo Wao tazama albaqarah 137. Na kuwafuata ndio kupata radhi na haki. Kuzusha na kuwakhalifu ni upotevu na sababu za kwenda jahannam. Tazama suuratun nisaa aya ya 115. Pia kupongezana kwa jambo lisilo na dalili sio hoja ya kutuvutia. Yote tumekusikia unayoyasema ya kuwavutia watu wasiojua. Je sahaba gani kakutangulia kwa kusema kauli hizo? Uelewa usiozingatia kitabu na sunnah wala aqwaali za maswahaba ni baatili. Na hakika waharibifu ndio ukiwauliza wanajiita watengenezaji . tazama anaangalia mababu Binaadam. Quran albaqarah aya 160. "Na wanapoambiwa fuateni Yale aliyoyashusha Allah wanasema Bali tunafuata tuliyakuta kwa mababu zetu. Hivi babu zao hata kama walikuwa hawaelewi kitu wala hawakuongoka?" Na sheikh hapa ni miongoni mwa wanaotetea mababu. Na bahti mbaya sheikh huyu hata Quran yaonyesha hujui zaid ya ya kiarabu. Tawhiid hajui pia na kiukweli kuna mengi nimeyaona sheikh huyu udhaifu wake mkubwa ni ilmu ya aqiidah, tawheed, Quran n.k. hiyo mifano anayoiongea sheikh haiwezi kufanya Kazi hata kidogo hapa maana anakimbilia kitu cha haki ili kupigia mfano batili ili aizibe haki. Tazama suuratu ghaafir aya ya 5 kuhusu watu wa namna hii waliokuwepo wakajadili batili kuifunika haki na sifa zao wengi Wao wanatumia mifano hai ambayo wanaitia sio mahali lake hata wanaoabudu masanamu nao wakidai kama ilivyoelezwa katika suurat sabai mwanzoni kuwa waliitakidi masanamu hayo kuyaweka tu mbele yao lakini nia yao ni kumkaribia Allah zaidi na hayo ndio watu wa bidaa hujiona kama wako katika haki kumbe Allah kawaacha wapotee kwa kuwa wameachana na njia ya waumini wakafuata matamanio yao na Allah akawaacha wapotee (Tazama Suuratu Muhammad aya 27-28) suuratu aaraaf aya 175-177 kisa cha mtu Allah kampa ilmu lakini alipoamua kufuata matamanio yake kutokana na maslahi ya kidunia Allah alimuacha aendelee kupotea na shetani atamfuata (kwa kuwa anajua wengi watamfuata kwa kuamini kwako ana elimu) Allah kampigia mfano kana wa mbwa, ukimwacha anatweta na ukimkimbiza anatweta. Mfano mbaya mno huko ndugu waislam. Tusomeni na tujue hakuna kufaulu ila mpaka tutapoamua kufuata Quran na sunnah (hadithi sahihi za mtume S.a.w na kuachana na bidaa. Mtume USIA wake wa mwisho alisema "nimekuachien mambo mawili mkishikamana Nayo hamtapotea milele. Kitabu cha Allah na sunnah zangu" na hadithi nyingine ... Na ahli baiti wangu' na pia alituamuru tushikamane na mwenendo wa makhalifa wake miongoni mwao abuubakri, umar, uthmaan na Ali (R.a) na sheikh hapa daawa yake yeye anahimiza kushikamana na masheikh ambao ni mababu!!! Hata kama watakuwa hawakujua kuwa hilo ni haramu??? Au ni ujahili gani tutakuwa tuache usia wa allah na mtume kisa kufuata wasiostahiki kufuatwa??? ambao ulikuwa huenda wangefufuliwa wangewaonya watu kuwa wasifuate waliyoyafanya Wao?? Sheikh pia amekuwa ufasiri wake wa aya na hadithi anatumia akili yake na akili inampeleka mtu kwenye matamanio na maswahaba walikuwa nasaha zaidi wa kiarabu kuliko yoyote hapo wengi wafuatao matamanio hawajui au hujivua akili kuwa mtume ambaye walikuwa nasaha kuliko Wote walikuwa anasomeshwa na jibriil na kufasiriwa kitabu hiki na maswahaba nao ligha ya kiarabu Nilikuwa yao lakini walikaa chini kusoma Qur'an na tafsir na hadithi. Ama katika vituko vya leo asomaye nahau na swarfa na balagha na kuona anaweza kuusemea uislam namuona ni kituko cha kutosha kabisa. Hebu hii video iweje katika rekodi yako uingie darasa usome vizuri kwa masheikh walioshikamana na mwenendo wa maswahaba uchukue aqida sahihi alofundisha mtume kwa ufahamu ya maswahaba wake na kisha ukimaliza hata miaka mitatu tu uitizame tena video utaona vituko vikubwa vya kutosha na athari yake anavyoweza kupotea wasiojua kabisa. Eleweni kuwa dini yenu imekamilika hakuna kitu haijaacha na mtume S.A.W kazungumzia juu ya watu watakaokuja Siku ya qiyaama kutoka mtume S.A.W awape maji na watakuwa na alama kama waislam wengine ila malaika watawatoa na mtume atawaambia malaika waacheni watu wangu hao nao watamjibu "sio watu wako, hao walizusha bidaa wakawa wanaziendeleza" atawaambia malaika " wawekeni mbali nami" kwa hiyo ikiwa mtu ampenda mtume ni kumfuata na sio kumsifia na huku anamzulia ibada. Sheikh namshauri waache chuki na akasome kwanza quran na aqida na tawhiid na amche Allah mauti ikija awe walikuwa anafuata njia za maswahaba. Allah amuongoze sheikh na atuongoze nasi pia. Aaammmiin.
@mussayussuph6138
@mussayussuph6138 5 жыл бұрын
Sheikh hoja naona hauna,maulidi ni bidaa
@rahmaabid447
@rahmaabid447 4 жыл бұрын
Sio bidaa huelewi
@salimsalim6000
@salimsalim6000 4 жыл бұрын
Waislam wa Sasa, hatutaki kusoma dini yetu, ila Elim ya sekula mda wote tunasoma ila dini yetu ndio mnaleta maneno ya barazan, tuwe makini
@salimsalim6000
@salimsalim6000 4 жыл бұрын
Inaonekana watu mmeshasoma Sana, km bidaa Sawa na hayo yasiyo bidaa hamufany, mpo mpo tu
@salimsalim6000
@salimsalim6000 4 жыл бұрын
Ushindan ndio Kaz iliyobaki
@yusufathman2478
@yusufathman2478 4 жыл бұрын
Kuna shirk Kwa barzanj
@allymlawa6513
@allymlawa6513 3 жыл бұрын
Yufuathuma
@danielmtanda1223
@danielmtanda1223 3 жыл бұрын
Mtu mzi.a ovyo
@omarmbarak1579
@omarmbarak1579 7 жыл бұрын
Huja tueleza mada yako sawa kila chenye bidaah basi ni dhalala kila dhalala ni haram na kila haram ni wamotoni kwahiyo hakuna maulidi hiyo ni elimu yako wewe
@mussajuma6085
@mussajuma6085 6 жыл бұрын
Omar Mbarak toa taarifu ya bidaa
@kamoleabu9741
@kamoleabu9741 6 жыл бұрын
Swali alaall habib kamaa Ni Haram. Ni ippi halali basi
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
Wallahi he is misleading people. May Allah help the ummah. We see every time men and women mixing kwa MAULID so why lie ya sheikh???
@danielmtanda1223
@danielmtanda1223 3 жыл бұрын
Usiwe unapanda dalala wala kuenda sokoni mana uko pia kunamchanganyiko
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
@@danielmtanda1223 Angalia hio akili yake. Your reasoning is like a baby class. Shida ni hao masufi na madariqa. Lau ungekuwa mtu wa sunnah wallahi hunge ongea vile
@danielmtanda1223
@danielmtanda1223 3 жыл бұрын
@@mohagurey2214 huna jipya sheikh, kwely mtu unaeza pewa akili na usipambanue mambo yani kumkatangaza mtume ndo roho ya chuki imekujaa ivyo we kwely hamnazo...haya basi tuendelee kufanya 'miski ya roho' na tuache Maulid roho yako itulie
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
@@danielmtanda1223 kazi ya masufi na madariqa ni kuwika "tunataja mtume, tunapenda mtume' Kisha wakifika msikitini ni kukata viuno na dombolo. Baada ya kutoa jasho kama show ya diamond au mboso mara moja saluu ala nabi. Kisha jefe tena. Hio sio kupenda au kutaja mtume. Kama kweli unaenda mtume s.a.w fuata Mila yake full stop. Hivo ndio tumeamrisha wala sio jefe na dombolo kama dini ya legio maria
@mohamedumri9611
@mohamedumri9611 7 жыл бұрын
Wanaetoa hoja ya kila kinachozuka baada mtume wasome vizuri nahau.maana ya WAKULLA MUHDATHATUN BIDAA..
@tatuali1592
@tatuali1592 6 жыл бұрын
mungu akuzidi elimu
@shilingiahmad7048
@shilingiahmad7048 2 жыл бұрын
Wewe mwenyewe hujui kitu box umeikosea tayar hapo
Sheikh Mohamed Idd - Usahihi Wa Maulidi Part 3
16:17
SheikhIddi
Рет қаралды 25 М.
Sheikh Naasor BACHU - KWENYE UZITO KUNA WEPESI
36:17
shining noor
Рет қаралды 692 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 63 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 9 МЛН
Sheikh Mohamed Idd - Usahihi Wa Maulidi Part 1
30:20
SheikhIddi
Рет қаралды 85 М.
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
ulimi kishki part 2
1:12:34
ideal muslim
Рет қаралды 124 М.
Sheikh Mohamed Idd - Maisha Ya Ndoa Mada Ya Sita Part 1
28:47
SheikhIddi
Рет қаралды 23 М.
SHEIKH SAID ATOA SOMO JIJINI DSM, MTOTO WA BACHU USIPOELEWA HAPA BASI
19:54
منهج القرآن للصف الثاني الابتدائي
30:24
فيديوهات مفيدة
Рет қаралды 8 МЛН
Sheikh Mohamed Idd - Migogoro Ya Wanandoa Part 2
56:39
SheikhIddi
Рет қаралды 8 М.
SHEIKH BAHERO NA SHEIKH NURDIN KISHKH 3/4
32:22
shining noor
Рет қаралды 89 М.
Sheikh Mohamed Idd - Maisha Baada Ya Kufa Part 1
24:50
SheikhIddi
Рет қаралды 17 М.
Sheekh Mustafe Siirada Nabiga (ﷺ) | Qaybtii 2aad
3:29:56
Siirada Islaamka
Рет қаралды 154 М.