Mahojiano na Wasafi  FM
1:04:38
2 сағат бұрын
PROF. SAIDA NA TAFSIRI YA SAUTI YA DHIKI
6:29
NYERERE NA WANAWAKE TBC1 NYERERE DAY 2024
18:40
SAFA AND MARWA 2014
0:26
19 сағат бұрын
MAKKA 2014
0:22
19 сағат бұрын
DR. SALIM AHMED SALIM
10:31
14 күн бұрын
BUCKINGHAM PALACE LONDON
0:16
Ай бұрын
ALI MSHAM MAGOMENI TV 2
12:54
Ай бұрын
ALI MSHAM MAGOMENI TV 1
9:50
Ай бұрын
BAADHI YA VITABU MAKTABA
5:13
Ай бұрын
August 30, 2024
2:07
Ай бұрын
Пікірлер
@RashidNuru-l1g
@RashidNuru-l1g 2 сағат бұрын
Kinachotakiwa ni abdul sykes kwenye Google pliz put the exact history tusome pliz
@RashidNuru-l1g
@RashidNuru-l1g 2 сағат бұрын
Tunatanata link ya historia ya abdul saksi pliz iwe kwenye Google pliz
@wagabwagab-md7rt
@wagabwagab-md7rt 9 сағат бұрын
Hii habari wasafi hawawezi kuipost kabisa
@KingKong-gu5qn
@KingKong-gu5qn 11 сағат бұрын
Tatizo la Tanzania history ya kweli hawaitaki
@suleimankh2035
@suleimankh2035 19 сағат бұрын
Excellent
@benjaminmichael811
@benjaminmichael811 Күн бұрын
Paul Rupia asili yake ni shinyanga? Shughuli zake mbali na siasa zilikua ni zipi?
@amosmsanjila9579
@amosmsanjila9579 Күн бұрын
Why utawala haramu wa Israel?
@RAMADHANKHAMIS
@RAMADHANKHAMIS Күн бұрын
Kisa hiki ni sehemu ya mpango mkubwa ilopangwa Januari 1964, chini ya East African Rifles, baada ya Kenya, Uganda na Tanzania kupata uhuru. Sababu kubwa ilikuwa ni wanajeshi wa Kiafrika walihisi kubaguliwa, na bado wakuu wa majeshi walikuwa bado ni Waingereza. Nchini Kenya ilifanyika Kahara Garrison, kaskazini kidogo mwa Nairobi.
@mustafamchuchuli468
@mustafamchuchuli468 Күн бұрын
Kwann historia hii aziandikwi kwenye vitabu mashulen
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj Күн бұрын
Mungu awarehemu wapigania uhuru wanchi yetu.
@antarsangali4456
@antarsangali4456 Күн бұрын
Haiandikiki historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika bila kukitaja chama cha TAA baadae TANU na kuyaweka kando majina ya wanasiasa kama Abdulwahid Sykes, Dosa Aziz, Hamza Mwapachu, John Rupia , Stephen Muhando ,Dk Vedastus Kyaruzi, Titi Mohamed ,Zubeir Mtemvu ,sheikh Suleiman Taqadir,Julius Nyerere,Joseph Kasela Bantu na Ally Sykes. Historoa
@KhadijaNassoro-je2jo
@KhadijaNassoro-je2jo 23 сағат бұрын
Naam
@antarsangali4456
@antarsangali4456 Күн бұрын
Natafuta sababu za Nyerere kuanzisha haraka kambi ya jkt Ruvu sipati majawabu ya haraka. Dosa kabla ya mwaka 1964 alinunua shamba kubwa pembezoni mwa kambi ya jkt Ruvu. Inaaminika sana kuwa siku ya maasi baada ya kutoroshwa Nyerere toka ikuku alifichwa kwenye handaki hilo . Mwalimu alikuwa akiwapeleka wageni wake wengi wa kimataifa kutembelea jkt Ruvu mara kwa mara. Kwa mfano marais kama Ahmed Sekou Toure, Mfalme Mashoeshoe, Kim Ilsunng, Fidel Castro, France Albert Rene na Olsegun Obasanjo, Wengine ni William Torbert. Siaka Stephen, Jerry Rawlings ,Murtala Mohamed,Mirian Ngwabi na wengine kadhaa. Viongozi wote hao mm nimewaona kwa macho yangu jkt kj 832
@antarsangali4456
@antarsangali4456 Күн бұрын
Fitna kitu kibaya sana duniani.Oscar Kambona angekuwa na nia mbaya ya kumpindua Julius Nyerere,siku ile ile akiwa Ikulu akizumgumza na askari mbele ya vipaza sauti vya Radio Dar es Salaam angetangaza kuwa serikali imepinduliwa na iko chini yake. Kwa ujasiri na ushupavu wake ametangaza na kumtaka Nyerere mahali alipo arudi na nchi iko katika mikono salama
@Hauleshabby
@Hauleshabby 2 күн бұрын
Mtaalam
@JohnMabustar
@JohnMabustar 3 күн бұрын
Wanahistoria mpo pia wanazuoni wapo mbona historia yetu watanzania ni ya kuunga unga alafu wapigania uhuru walikuwa wangapi na ni nani 😢
@fatumatandika6220
@fatumatandika6220 3 күн бұрын
Abdilatif Abdallah ni kutoka Kenya si Tanzania
@111dudi
@111dudi 4 күн бұрын
Mbona wanahistoria wanasema alipewa gari mpya ambayo ndiyo aliyosafiri nayo mpaka Kenya, na Uganda?
@shabantelack5716
@shabantelack5716 4 күн бұрын
Mzee kanifanya nione Walimu wangu wa hostori walikuwa hewa Sana
@issakatoba74
@issakatoba74 4 күн бұрын
alhamdulillah
@diti4899
@diti4899 6 күн бұрын
Mzee kamkoti Nas escober I know i can
@lusajomwankusye3477
@lusajomwankusye3477 7 күн бұрын
Hii ilikua ndoto East Africa Muslim warfare society. Wakati tunapata uhuru tayari waislamu walikusanya fedha nyingi Sana kutoka kwa marafiki na wahisani mbalimbali Duniani chini ya mwenyekiti wake Hayati Tewa said Tewa. Bila dhoruba lile pengine ndo ingekua chuo kikuu Cha kwanza Tanganyika.
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 7 күн бұрын
Udini mbele kwa mbele hapa. Mbona tunaambiwa kuwa wa Nyerere aliambiwa na Padre kuwa kiti cha Tanganyika ni kudaiwa tu mwingereza ni mdhamini tu.Mapadre wakamsaidia namna ya kudai uhuru, Leo mnasema kila kitu Wamefanya mashehe?!!!.
@samitungo
@samitungo 4 күн бұрын
Historia hiyo uliyoambiwa si ya kweli. Soma kitabu cha Abdul Sykes utajifunza mengine yatakayokuongezea maarifa.
@marungu_jnr
@marungu_jnr 8 күн бұрын
Masha Allah ❤
@marungu_jnr
@marungu_jnr 8 күн бұрын
Masha Allah ❤
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 8 күн бұрын
Huyo Gaidi amekufa kama mbwa.
@robertmwangila4287
@robertmwangila4287 9 күн бұрын
Tupe ukweli
@KhalidiBoaz
@KhalidiBoaz 9 күн бұрын
God bless Israel🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 Amen,
@Nedjadist
@Nedjadist 9 күн бұрын
Wanaoisapoti Israel, ima ni kwa sababu ya kuwachukia Waarabu, and by extension, Uislamu, au ni kwa sababu ya imani potofu kuwa Israeli inautetea Ukristo. Hakuna sababu ya mantiki. Kwa sababu Waisrael hawa wa sasa sio wale wa zamani za Yesu. Hawa ni wazungu waliotoka Ulaya ya Mashariki. Wapalestina hawana matatizo na Wayahudi wa asili waliokuwapo Palestina kabla ya mwaka 48, wakati Israel ilipoundwa. Hao walikuwa idadi yao ni 2%. Umoja wa Mataifa ulichochea ugomvi huu kwa kuigawa Palestina mwaka 47, aslimia 76 kuwapa Wayahudi ambao idadi yao ilikuwa 5%, dhidi ya Waarabu ambao asili yao ni 95%! Kwa hiyo Waarabu hawakukataa ugavi, walikataa namna ilivyogawiwa. Ujinga mwingine ni kudhani Wayahudi ni kabila. La! Wayahudi ni dini, si kabila. Wako Waarabu ambao dini yao ni Wayahudi: kama mfalme wa sasa wa Saudi Arabia, na hata kiongozi mkuu wa Emirates. Kama Wayahudi ni kabila inakuwaje kuna Waafrika, Wahindi, Wazungu hata Wachina Wayahudi? Ujinga mwingine ni kudhani Wayahudi wanasapoti Wakristo! Wayahudi huwachukia Wakristo hata kuliko Waislamu. Wanadai Yesu Mwongo, na hivi sasa yuko Jehannum. Hata Waislamu hawasemi hivyo! Hebu nenda na Biblia yako uisome katikati ya barabara mjini TEL Aviv uone! Ujinga wa elimu, kutotembea na kusoma text za dini bila kufahamu. Eti Mungu kasema atakayeibariki Israeli naye atabarikiwa! Wanaamini hivyo hata kama Netanyahu anachinja maelfu ya watoto! Kisha, si mnadai Mayahudi ndyo waliomwua mungu wenu Yesu? Sasa inakuwsje Leo wamebarikiwa na mungu huyo huyo?
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 8 күн бұрын
Amen
@FotoBaraza
@FotoBaraza 9 күн бұрын
Mashallah, Binti Haji ni kopi kabisa ya Bibi
@florencejohn6427
@florencejohn6427 10 күн бұрын
Huyu jamaa pia anaonekana yuko zvr kwenye history
@florencejohn6427
@florencejohn6427 10 күн бұрын
Dunia hii ina mambo mengi sana. Mitizamo ya maisha na imani za kidini zinaivuruga sana dunia yetu. Ukweli wa mambo unafichwa kwenye haya mambo mawili. Imani ndiyo inaongoza kuleta mitafaruko mikubwa hapa duniani
@ramermohamedy4344
@ramermohamedy4344 10 күн бұрын
Umeongea vizuri sana kaka
@nathankibizo8158
@nathankibizo8158 8 күн бұрын
​@@ramermohamedy4344It seems hujaisoma na kuifuatilia dini yako vizuri. Dini haileti mifarakano.
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 11 күн бұрын
NAMUOMBA ALLAH MOLA WA ARSHI TUKUFU AZIDI KUILAANI ISRAEL.
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 8 күн бұрын
allah ni mlezi wa magaidi
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 8 күн бұрын
@@MzeeKigogo_ We una uhakika gani?
@shabantelack5716
@shabantelack5716 2 күн бұрын
​@@basharahamtzhalisi6871usimjibu mjinga ..
@amosmsanjila9579
@amosmsanjila9579 Күн бұрын
Israel haiwezi kulaaniwa, ilishabarikiwa.
@hamynas
@hamynas 11 күн бұрын
MAZAYUNI WA ISRAEL HAWANA WANACHOWEZA KATIKA MAPAMBANO UKIONDOA MSAADA WA NDEGE ZA F16 ZINAZORUSHA MABOMU ANGANI NA KUUA WATU HATA WASIO NA HATIA KATIKA VITA VYA WAZIWAZI HAWAWEZI KABISA ,NA USHAHIDI NI JUZI WALIPOANZA KUVAMIA KWAMAJESHI YA ARDHINI WAMEUAWA KAMA PANYA WALIOWEKEWA SUMU
@hassanibakari9667
@hassanibakari9667 13 күн бұрын
Allah amlaze mahari pema allah atamlipa kwa mazuri yake
@hassanibakari9667
@hassanibakari9667 13 күн бұрын
Mzee mohamed hakika unasta ya mazungumzo. Ukweri nyerere alikuwa na roho mbaya sana
@hassanibakari9667
@hassanibakari9667 13 күн бұрын
Havi ndivyo mzee mohamed anapaswa kuhojiwa na si kumuongoza katika mahojiano nimtu muhimu kumsikiriza
@JohnMabustar
@JohnMabustar 13 күн бұрын
Hongera saaana wazee wangu wote Tanzania Asante kwa darasa huru maana (uzee daawa) 😊😊
@hassanibakari9667
@hassanibakari9667 13 күн бұрын
Mzee mohamed. Babu yangu mzee Musa Asthumani Akandidile( Mzee Lukundu) huyu mzee alijengewa nyumba na nyerere Lindi. Baada ya Babu kumfuta nyerere kwa usariti kwa wanaharakati wa lindi
@NengoWaterSports
@NengoWaterSports 15 күн бұрын
mzee huyu muongo sana aise, hiyo historia yawapi sijui eti kaandika barua
@khalidikmuhija5397
@khalidikmuhija5397 16 күн бұрын
Pelekeni hiyo katiba ya TAA National archive
@BigZhumbe
@BigZhumbe 18 күн бұрын
Hizi ndio story zinafaa kutengenezewa movies sema Bongo Movie wamefocus na vitu vya kawaida sana
@djumakonki1964
@djumakonki1964 18 күн бұрын
Shukran 👍
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 18 күн бұрын
Wallah leo mmenimaliza maana yake kumzungumzia huyo bwana maana watz wamegoma kumzungumzia inavyofaa mtu Huyu mwenye hadhi na wasifu wakidiplomasia kuliko mtz yoyote,
@zully756
@zully756 20 күн бұрын
Assalaam aleikum , naomba jina halisi la Kinjeketile tafadhali, ahsante sana kwa kutuelimisha.
@humphreymorise
@humphreymorise 20 күн бұрын
Naskia majina ya Nyumbani Lindi, Mzee Mpunga na akina Chembela. Bahati mbaya wazee wametutoka bwana. Marehemu Mwalimu-Mzee Manyanya alikuwa na Historia nzuri sanaaa ya Mkoa wa Lindi na nchi hii. Mzee Mohamed me naomba siku utakayokuwa huru bila shurba zozote nikutembelee nipate hekma zako. Naona una kitabu pia hapo walau nijichangechange niipate hii historia kwa mkono wako.
@humphreymorise
@humphreymorise 20 күн бұрын
Nilipata kuskia pia kuwa Mwalimu alipokuwa akifika Mkoani Lindi alikuwa analala nyumbani kwa watu kama mzee Lulida (baba wa mbunge wa viti maalumu RIZKI LULIDA) kwa watu kama mzee Bashee. Pia mamaangu alipata kumshuhudia baba yake huko Nachingwea akishiriki vikao vya chama (TAA) kabla ya uhuru, vikao vilifanyika Porini kwa siri kwasababu ya kuiogopa serikali ya Mkoloni 😂
@kevinmary7129
@kevinmary7129 20 күн бұрын
Upuuzi mtupu
@zully756
@zully756 18 күн бұрын
Imekuchoma
@frankkaliyo7181
@frankkaliyo7181 24 күн бұрын
Natamani kupata kitabu hicho, mimi nipo Mbeya
@joachimmapunda4125
@joachimmapunda4125 25 күн бұрын
Nyerere alifanya jambo la maana sana kuondoa mizizi ya udini na ukabila. Alipovunja baraza la wazee la Tanu, Nyerere alinusa kwamba wazee hawa wanataka hii nchi iwe ya imani fulani. Fyeka.
@hassanibakari9667
@hassanibakari9667 13 күн бұрын
Nyerere alifanya makosa sana kuwabagua waislamu kwa Frida zake za kanisa
@davymaige2418
@davymaige2418 25 күн бұрын
Huyu mzee yuko wap? Anapatikana vip? Aiseee hii inchi ina hazina kubwa sana...huyu mzee ni hazina kubwa mno
@samitungo
@samitungo 24 күн бұрын
youtube.com/@samitungo?si=Dd9p9FFSTR95G6Wg Davy... You Tube Channel yangu hiyo hapo juu.
@raymondjohn3798
@raymondjohn3798 25 күн бұрын
Nihambane napafahamu Mozambique sehemu yenye beach 🏖️ nzuri sana nimewahi kufika,nakutokea south Africa au Swaziland sio Mbali nikaribu tu.
@farijala1
@farijala1 25 күн бұрын
Mzee Mohamed Said Yupo Vizuri sana kwenye Historia, ila Anarekodi kipindi anaacha kwenda Kufanya Ibada. Kazi na Dawa, Ibada ni Dawa
@GoodluckLesilwa-kq2ln
@GoodluckLesilwa-kq2ln 12 күн бұрын
Dini za kuletewa,una uhakika nazo au..
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 25 күн бұрын
safi sana Mzee Mohamed Said hakika wewe ni gwiji katika historia