Maswali yangu ni haya..! 1. Kwann kwenye mapinduzi ya Zanzibar wale wamakonde WA Kipubwi hauwataji kuwa Waislamu wamakonde.? 2. Kabla ya mapinduzi ya 1964 chaguz zilizopita za Zanzibar mauaji mengi yalitokea na Nyerere hakuwa Rais? Nenda kasikilize masimuliz ya Shekhe Mahsin.. Mwalimu aliwachoma wanafunzi wake.. Je Nyerere alihusika VIP? Nijibu hayo kisha Tuendelee na Mengine!