Пікірлер
@HawaHamisi-u7r
@HawaHamisi-u7r 12 сағат бұрын
Nimazur nimetumia Kwa mda mrefu sina MBA lakin muwasho
@HawaHamisi-u7r
@HawaHamisi-u7r 13 сағат бұрын
Nilipaka limao na tangawiz ndani ya wiki zinawasha tena
@HawaHamisi-u7r
@HawaHamisi-u7r 13 сағат бұрын
Nisaidia ni bizaa zip ambazo hazina salfa
@VictoriaHatari
@VictoriaHatari Күн бұрын
Mimi nipo mwanza nayapataje mafuta ya,shea batha, na sansi kilim ni bei gani?
@magretwanjiko8501
@magretwanjiko8501 Күн бұрын
Inaweza tumika kw muda gani Bila kuharibika
@zainabupanja7406
@zainabupanja7406 3 күн бұрын
Nyweleyangu imekuwa kav baada ya kuwwka dawa ya box mega mwanzo nilikuwa natumiag movit nifanye Nini kuondoka tatizo hili?
@RahmaMfaume-cc7lc
@RahmaMfaume-cc7lc 4 күн бұрын
Asante
@UpendoMjema-h4w
@UpendoMjema-h4w 5 күн бұрын
Nimetumia mnyoyo lakini nimepata mbasana nisaidiekipenzi
@UpendoMjema-h4w
@UpendoMjema-h4w 5 күн бұрын
Mimi mama mchungaji Niko Dodoma nakuomba nisaidie nywele ikue bila kukatika asante ubarikiwe sana
@gracebimz7935
@gracebimz7935 5 күн бұрын
@@UpendoMjema-h4w Karibu sanaa. Wasiliana nasi 0764986838
@UpendoMjema-h4w
@UpendoMjema-h4w 5 күн бұрын
Nisaidie nimejitahidi lakini badonywele inakatika hasa naombamsaada
@SwedyJaffary
@SwedyJaffary 5 күн бұрын
Naipataje hiyo
@neemamollel5157
@neemamollel5157 5 күн бұрын
Hatuzimi kabla ya kusafisha?
@ndelemakatele1483
@ndelemakatele1483 6 күн бұрын
Da grace naomba kuuliza, kabla ya kupaka mchanganyiko tunaosha nywele na shampoo ,Je na baada ya streaming tunaosha nywele na maji matupu au tunaosha na sabuni ya kawaida? Hapo nakuwa sijaelewa
@ZumratHaji
@ZumratHaji 6 күн бұрын
Haiumizi
@TinahSimon-u9z
@TinahSimon-u9z 11 күн бұрын
Ni kwa miezi mingpi
@RahmaRidhiwan
@RahmaRidhiwan 11 күн бұрын
Jaman mi mi ninay mwili mzm itaisha kwel had naogop nimetumiya kila dawa Lani wap
@AngelWilliam-t8r
@AngelWilliam-t8r 13 күн бұрын
Na ukifanya ikàisha haitarud tena??
@EroniaEronia-h9d
@EroniaEronia-h9d 13 күн бұрын
Dada samahani naomba unisaidie mi nilipima nywele yangu nikaona hinaelea ndani ya Gras nikitumia hii MAGA growth DAILY LEAVE IN STRENGTHENER itanifaa kwenye aina ya nywele yangu naomba unisaidie nijue
@AminaMwambashi
@AminaMwambashi 14 күн бұрын
Vipi kasabuni ketu keusi napataje
@LucyMoshi-j5q
@LucyMoshi-j5q 14 күн бұрын
Nice
@SalmaAbdallah-yo9tn
@SalmaAbdallah-yo9tn 15 күн бұрын
Wenye nywele za dawa vp inafaa kutumia
@AsmaNyange
@AsmaNyange 16 күн бұрын
Izo ta ta mpaka mate
@lightnessPearson
@lightnessPearson 16 күн бұрын
Naomba no yako ya whatsap
@Happynesibarongo
@Happynesibarongo 17 күн бұрын
Mimi. natumia. Papaya
@MarianaMwakatoga
@MarianaMwakatoga 18 күн бұрын
Ni stiming gan nzur dear
@milembemasanja-ik5ly
@milembemasanja-ik5ly 20 күн бұрын
Asante dada
@RayyanMasoud-c7g
@RayyanMasoud-c7g 24 күн бұрын
Unawez kuspray ukiw umesuka
@SarahChao-g4f
@SarahChao-g4f 26 күн бұрын
Sarah
@HaidaaliRutaha
@HaidaaliRutaha 28 күн бұрын
Utajue kwamba ni original
@MagrethIkoti
@MagrethIkoti 29 күн бұрын
Jamani nimekulewa sana nitazingatia hayo nikiona matokeo nitakuambia
@JacquelineSospeterLyimoJoJoCla
@JacquelineSospeterLyimoJoJoCla Ай бұрын
Nyanya ni hatariiiii nimependeza mwenyew
@SifaPianka
@SifaPianka Ай бұрын
Asante kwa Usha uri Dr
@monicajoachim9901
@monicajoachim9901 Ай бұрын
Habari dada nimeona video yako leo 22.9.2024 nimejua nywele yangu ni low porosity natumia bizaa za mega mafuta steaming shampoo na leave in conditioner naomba kujua hii product ya mega inanifaa? au nitumie product gan unaona inanifaa
@MamaYoy-c5w
@MamaYoy-c5w Ай бұрын
Uko vizur kwakwel
@nikizakabila
@nikizakabila Ай бұрын
Safi nimeipenda
@Yasinta-t8i
@Yasinta-t8i Ай бұрын
dada mimi namadoa usoni je, inaweza kunisaidia kuondoa madoa?!
@ZainabuKassim-l1c
@ZainabuKassim-l1c Ай бұрын
Asante sana unaelezea vizur sana, je inawezekana kuweka mafuta tofauti na hayo?
@ZainabuKassim-l1c
@ZainabuKassim-l1c Ай бұрын
Ubarikiwe Dada nitaanza
@GreysonGreyson-z6y
@GreysonGreyson-z6y Ай бұрын
Kama unanywere ndogo ndogo vp
@MwaminiMbale
@MwaminiMbale Ай бұрын
Funguwa kichwa chako nione nyele zako dada
@HappynessHongela
@HappynessHongela Ай бұрын
Nimetoka mavibarango
@HappynessHongela
@HappynessHongela Ай бұрын
Hivi pau pau inamadhara
@rogathembise4331
@rogathembise4331 Ай бұрын
Asante my
@nikizakabila
@nikizakabila Ай бұрын
Dada nywwle yangu ni fupi sana je nikitumia hyo stiming zitakua na kujaa
@MagrethIkoti
@MagrethIkoti Ай бұрын
Je huo mchanganyiko wa asali na tui la nazi unaosha au unaacha?
@khadujifuad9360
@khadujifuad9360 Ай бұрын
Sina hamu maana maumivu yake balaa na nusu
@Deborhjohn
@Deborhjohn Ай бұрын
Na mtu mwey sura ya mafut baad ya hili zoez unashaur atumie mafut gan
@omarymbwambo9133
@omarymbwambo9133 Ай бұрын
Unaweza kutumia mafuta ya kula
@omarymbwambo9133
@omarymbwambo9133 Ай бұрын
Na ukitumia mafuta ya kula
@omarymbwambo9133
@omarymbwambo9133 Ай бұрын
Na ukitumia mafuta ya kula