HII NDO TIBA YA KUKUZA NYWELE ZA DAWA ZENYE AFYA KWA HARAKA🙌🏻🙌🏻// zingatia tiba hii

  Рет қаралды 4,213

Grace Bimz

Grace Bimz

10 ай бұрын

Пікірлер: 21
@gracebimz7935
@gracebimz7935 10 ай бұрын
Habari mpendwa🥰🤝... kama Una swali lolote au hujaelewa sehemu uliza hapa kwenye comment, tutakujibu
@HassanVumbi
@HassanVumbi 11 күн бұрын
Je ukipaka protein unaosha nywele baada ya muda gan
@GraceJosephu
@GraceJosephu 2 ай бұрын
Inaitwaje
@KimMchina-eh3km
@KimMchina-eh3km 9 ай бұрын
Mim nataka Shea butter na hyo protein na mafuta mnyonyo kutoka kwenu nayapatajee na pia bei mnambie na hair grow oil
@desderiasimoni4192
@desderiasimoni4192 2 ай бұрын
Dada nywele yangu ya dawa inakatika saaana naomba nisaidie
@mwanakhamismasoud375
@mwanakhamismasoud375 3 ай бұрын
Napataje hii protein hiyo madame?
@KarenKeter
@KarenKeter 4 ай бұрын
Hello Niko Kenya nahitaji mafuta ya nywele nisaidie kukuza ziotee
@habibaabdul5003
@habibaabdul5003 10 ай бұрын
Nywel natural zinakatw nchaa
@gracebimz7935
@gracebimz7935 10 ай бұрын
Ndio. Ili zirefuke vizuri lazma ncha ikatwe mara1 au 2 kwa mwaka
@habibaabdul5003
@habibaabdul5003 10 ай бұрын
@@gracebimz7935 Asant nakat leo
@user-ss8mn8wu5r
@user-ss8mn8wu5r 4 ай бұрын
Hiyo protin sh ngapi na naipataje niko tabora
@sophiandimbo365
@sophiandimbo365 10 ай бұрын
Je hakuna protein treatment ya kutengenezaa?
@gracebimz7935
@gracebimz7935 10 ай бұрын
Zipo dear
@JeniferMoses-sy5vr
@JeniferMoses-sy5vr 10 ай бұрын
Leave in condition inapakwa kwenye nywele tu je Shea batter nayo haipakwi kwenye ngozi??
@gracebimz7935
@gracebimz7935 10 ай бұрын
Vyote hivyo ni kwajili ya nywele pekee dear. Mafuta tu ndo kwenye ngoz na nywele
@teddydennis-zn9yh
@teddydennis-zn9yh 10 ай бұрын
Namba yako dear
@gracebimz7935
@gracebimz7935 10 ай бұрын
0764986838
@lithadominic658
@lithadominic658 9 ай бұрын
M nipo Moshi je napataje bidhaa zenu??
@ayshamwijaka219
@ayshamwijaka219 10 ай бұрын
Hiyo protein treatment bei gani
@gracebimz7935
@gracebimz7935 10 ай бұрын
20000 dear
@ayshamwijaka219
@ayshamwijaka219 10 ай бұрын
Naomba number yako eka na code number
KWANINI NYWELE ZA DAWA HAZIKUI? || sikiliza ushauri huu
10:06
Grace Bimz
Рет қаралды 14 М.
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 12 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 29 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 27 МЛН
mafuta ya kurefusha nywele kwa haraka/ clove oil for hair growth
12:36
NA HIZI NDIZO MBINU 7 ZA KUWA NA NGOZI NZURI
9:38
Grace Bimz
Рет қаралды 2,3 М.
MBINU ZA KUWA NA NYWELE NYEUSI
10:07
Grace Bimz
Рет қаралды 11 М.
"MAKONDA" TAARIFA MPYA YA MASIKITIKO MAKONDA_ MAKONDA JAMANI_ _
18:15
Jinsi ya Kukuza Nywele za dawa Zilizo na Afya kwa Urahisi
9:45
RJs BeautyCare
Рет қаралды 2,6 М.
jinsi ya kubadilisha NYWELE nyekundu kuwa nyeusi.
15:03
urembo na asili
Рет қаралды 346
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 12 МЛН