Naomba msaada nikipika mm vinaruka sana vinapasuka na kurusha mafuta kiasi kwamba naviogopa kabisa ni nn nakosea na nikiweka shira haviwi vigumu na mm napenda vigumu
@ommyjh822525 күн бұрын
Baada ya kuyaweka kwenye container inatakiwa kuwekwa kwenye fridge ama freezer?
@ezramasha747825 күн бұрын
hiyo sufuria niya stima ama?
@MartinaJastini28 күн бұрын
Pia natak kujifunz keki
@MartinaJastini28 күн бұрын
Woooow hongera sanaa mapishi bora
@ndebilephares176328 күн бұрын
Kama mtu hatumii maziwa?
@Maleek.4229 күн бұрын
Hayo maji mbona sio kidogo dada 😢
@meowznaАй бұрын
😋😋🎉🎉
@BarbaraPatience-qt9ccАй бұрын
Hiyo glove uliotumia ni zile surgical gloves ama ni macho yangu?
@ummusalim1991Ай бұрын
Thanks 😊
@CharlesKanani-e7iАй бұрын
Asante sana kutufunza
@SuzanaJames-v3yАй бұрын
I hope tanisaidia jmn mm ni mlaji
@adah4581Ай бұрын
Paprika ni hoho kavu
@PendoHeguyeАй бұрын
Darasa zuri,juice ya embe
@MoohskyАй бұрын
Ukipoza na maji baridi sukari haiish
@maryamkhamis2338Ай бұрын
Asante 🌹
@MalikiaAbdallah-q9mАй бұрын
Tunashukuru kwa kutufaamisha mungu akubaliki
@lizymwakyusa8798Ай бұрын
❤❤
@felixamlima6750Ай бұрын
Dsgo sana
@nailamzee4391Ай бұрын
Madam sorry tufunze izo spice zinatumika kwa chakula gan na gan kama iv yan
@tausimussa6553Ай бұрын
Mumy unahifadhi vp bamia ili utumie muda mrefu?
@SamirTajirАй бұрын
Vichaichai ni?
@souvenirweber7169Ай бұрын
Nimependa
@SarahKyandoАй бұрын
😍🙏
@sophienico4736Ай бұрын
Asante kipenz 🙏🏾
@NdgDeporesАй бұрын
Jamn unaok vizr
@Nature_corner254Ай бұрын
Mchaichai ni lemon grass?
@HawaMussa-y3t2 ай бұрын
Nakuamini
@lucyhaule57792 ай бұрын
❤❤❤
@pikanaauntzuu14662 ай бұрын
Mi nauliza ubuyu ni mkali yani unaladha ya uchachu na maziwa ukitia uchachu ikikaa huwa yanachacha je unaweka kwaajili ya kunywa hapohapo au vipi?