From P2P to Cosmos Ecosystem
33:26
Virtual Wallet Airdrop Guide
12:39
TANGEM WALLET
8:04
9 ай бұрын
My top 5 crypto projects for 2023
6:43
Je? Acala ni project nzuri
14:14
2 жыл бұрын
POLKADOT review/ parachain
17:02
2 жыл бұрын
Jinsi ya kujua coin unayotaka kununua
18:24
Majira ya bitcoin (Bitcoin halving)
19:36
Пікірлер
@immaculatakadidi7906
@immaculatakadidi7906 12 күн бұрын
Hello, somo ni nzuri sana, naomba kufahamu jinsi ya kuhamisha pesa kutoka mitandao yetu kama Vodacom, Airtel na mingine kwenda trust wallet account. Hapo sijaelewa
@nyamizisimbachawene3292
@nyamizisimbachawene3292 23 күн бұрын
Naomba no tafadhali
@Pablolookman
@Pablolookman 2 ай бұрын
Ndio maana xku hizi watu wanatembelea magari mazuri
@hermankihwili1095
@hermankihwili1095 3 ай бұрын
Napenda sanaaa ila najaribu Ina kataa unapatikana wapi?tuna omba namba zako
@ashery843
@ashery843 3 ай бұрын
Nice ila hatuwezi access kaka
@glassguychaneltz2553
@glassguychaneltz2553 4 ай бұрын
baada ya bitcoin halving inatakiwa nihold coin gani nzuri
@coolclips619
@coolclips619 4 ай бұрын
Tuoneshe jinsi unavoeka pesa Na jinsi unavotoa
@yohanaUpendo
@yohanaUpendo 4 ай бұрын
Naomba namba Yako kaka
@pastatrade101
@pastatrade101 4 ай бұрын
0752093014
@nyauclassictv805
@nyauclassictv805 4 ай бұрын
Tunaisubiri halving ya May 2024
@pastor.emilymnenwatv
@pastor.emilymnenwatv 5 ай бұрын
Naomba namba Yako ya simu kiongozi
@joskimmaro1556
@joskimmaro1556 5 ай бұрын
Nafurahi sana kuona kuna content za kiswahi za digital currency
@kanteboy9877
@kanteboy9877 5 ай бұрын
Mm nimejarbu hvyo mbna haijaja sas sioni au nimekosea
@mwakitwiletv6895
@mwakitwiletv6895 5 ай бұрын
Naomba kujua thamani ya token mkuu
@kileleni7424
@kileleni7424 7 ай бұрын
nice video
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 19
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 19
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 18
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 17
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 16
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 15
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 14
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 13
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 12
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 11
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 10
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 09
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 08
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 07
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 06
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 05
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 04
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 03
@reywilly22
@reywilly22 7 ай бұрын
video 02
@ShariffMaleeck-eb2rt
@ShariffMaleeck-eb2rt 7 ай бұрын
Boss had niwe na oky wallet tu au haha Nikita na binance naweza kujiunga ?
@pastatrade101
@pastatrade101 7 ай бұрын
Tumia metamask
@louis-mz8dz
@louis-mz8dz 9 ай бұрын
ajabu! ! ! ! Wmān isku dayay in aan maalgashado, wmān ku shubay bahut lagad ah stock, kiều qaar ka mid ah sạn loo kội 'cryptocurrencies', lakini wali wax faa'iido ah ma tên. Waan ka gehansih lahaa ifa aad la gashigeyga sikaga ku sida loo helo soo-noqosho oo maal-gashigeyga ah.
@Wiseone424
@Wiseone424 9 ай бұрын
Jihadharini na hitaji la kifedha la kutengeneza go'aamo wax ku ool ah waa lama huraan. Ikiwa aan aan ku kiyotya talo talo ah, waa in aad higalmo ka raadsato lataliye ektokan, Bi Oprah Winfrey.
@WallaceBarnes-ki9ph
@WallaceBarnes-ki9ph 9 ай бұрын
Oprah Winfrey kweli anaishi jinsi beddeshay. Whaman maal galiyay bahat laak ah oo aan faa'iido sabaan ka helaya sajal oo nasaraan ah. Ni nzuri kwa mara ya kwanza katika soko la fedha.
@louis-mz8dz
@louis-mz8dz 9 ай бұрын
nawezaje kuwasiliana na Oprah Winfrey?
@harrison-sb9un
@harrison-sb9un 9 ай бұрын
@opraywinfre
@louis-mz8dz
@louis-mz8dz 9 ай бұрын
Yuko kwenye telegram?????🤑🤑
@raphaelsanga5304
@raphaelsanga5304 10 ай бұрын
msaada jonsi ya kiununua
@user-hz2nm2wg8q
@user-hz2nm2wg8q 11 ай бұрын
Naweza kupata mawasiliano yako kaka
@user-hz2nm2wg8q
@user-hz2nm2wg8q 11 ай бұрын
Naomba mawasiliano yako kaka
@Kidunu1030
@Kidunu1030 Жыл бұрын
Wao god bless you😊
@philipocharles9239
@philipocharles9239 Жыл бұрын
Asa pesa zinapotea tena? Si nasikia wanaofanya spot trade hawapotezi pesa zao badala yake zinapoteza thamani kumbe kamali ee😮😮
@pastatrade101
@pastatrade101 Жыл бұрын
Elewa vizur point
@shubbaantv4588
@shubbaantv4588 Жыл бұрын
Kazi poa bro lakini screen yako haionekani vizuri ,hilo 7naweza kurekebisha
@shubbaantv4588
@shubbaantv4588 Жыл бұрын
Kazi poa lscrewn
@shubbaantv4588
@shubbaantv4588 Жыл бұрын
Kazi poa lscrewn
@jackjosseph5664
@jackjosseph5664 Жыл бұрын
Thanks kwa uchambuzi ulio tulia binafsi mm nai subili bull Ila ikikupendeza mkuu tupe na pindi la shitcoin
@jackjosseph5664
@jackjosseph5664 Жыл бұрын
Jamani nahitaji kujua jinsi ya kuichambua shitcoin mwenye anajua please anielekeze
@shafiisultan-ss4kx
@shafiisultan-ss4kx Жыл бұрын
Bro naomba nitumie namba yako nahitaji kujifunza kuwekeza
@sureymankipande274
@sureymankipande274 Жыл бұрын
Unajua watu wengi hukimbilia altcoin kwa sababu ya mtaji mdogo sasa unavyo sema watu wanunue btc hata kama ni kwa mtaji mdogo alionao?
@pastatrade101
@pastatrade101 Жыл бұрын
huo mtaji mdogo utaupoteza wote unless uwe unajua unachokifanya.. huu sio mda wa kununua altcoins randomly...time will come utaweza invest in those altcoins
@maujanjacrypto2021
@maujanjacrypto2021 Жыл бұрын
Shida mnaangalia price ya coin na sio kuangalia PnL ya capital yako, na narrative nzima ya crypto. Hiyo mtaji kidogo utapoteza wote
@infopetertv2115
@infopetertv2115 Жыл бұрын
kwahyo better to buy btc anymore?
@lennzow1203
@lennzow1203 Жыл бұрын
Kaka mi naitaj namba yako ya sim mi ni investor ni biginner kwenye cryptocurrency lakin najua zaidi arbitrage
@mmbondofilm6229
@mmbondofilm6229 Жыл бұрын
Mwalim naweza kupata mawasiliano yako
@user-vg1dj3yt9z
@user-vg1dj3yt9z Жыл бұрын
Tafadhari naomba unielekeze kutoka manzoni hadi mwisho nielewa zaidi