Asante sana kaka kwa kushare materials mazuri na sisi be blessed bro tuko pamoja
@pastatrade1012 жыл бұрын
Pamoja sana chief
@MARYKERUBO-n2o Жыл бұрын
Tafadhari naomba unielekeze kutoka manzoni hadi mwisho nielewa zaidi
@josephshola22652 жыл бұрын
Nimeona kwenye tabs pale juu ya hapo ulipochagua currency kuna BTC na ETH. Kuna ubaya wowote mtu ukanunua bitcoin au ethereum moja kwa moja bila kuchukua USDT??
@pastatrade1012 жыл бұрын
Hamna ubaya Mkuu USDT ni just universal for most pairs
Ukiview coin utaona mahali pa ku withdraw then utaingiza address kulingana na network ya coin mfano. bep20, ERC20, bep2 …. Then utaingiza address ya trust wallet kulingana na coin husika uta withdraw
@singasinga26632 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka
@pastatrade1012 жыл бұрын
Thanks
@nazahedmngara67882 жыл бұрын
Nimekukubali kwani ulielekeza vyema Sasa tunakupataje?
@pastatrade1012 жыл бұрын
0752093014
@abasisapi54742 жыл бұрын
Ninazo usdt Binance, nafanyaje kununua Ethereum au Shiba Inu kupitia p2p?
@pastatrade1012 жыл бұрын
p2p nunua usdt then nunua coin unayotaka kupitia spot trade
@mtanzania852 жыл бұрын
Me nimefika mpaka kwenge facial recognition, ikanambia sijafanikiwa. Ila kwa profile inasema "verified"
@pastatrade1012 жыл бұрын
Upo pazur facial mara nyingi unapaswa upigwe na mtu usijiselfie
@mtanzania852 жыл бұрын
@@pastatrade101 pamoja na kwamba imenambia verified. Still sitaweza tumia wallet na kununua coins? Mpaka niweke facial recognition?
@pastatrade1012 жыл бұрын
@@mtanzania85 unaweza kununua na kudeposit i think
@pastatrade1012 жыл бұрын
@@mtanzania85 nichek hapa for more info 0752093014
@sharifbundala87982 жыл бұрын
Be blessed
@pastatrade1012 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@yusuphmshigito43662 жыл бұрын
Jins yankubadili Tsh kua coin
@pastatrade1012 жыл бұрын
Angalia video yang ya jins ya kununua voin kupitia binance
@saidharbinie47482 жыл бұрын
Vip ukitaka kuuza coin zako n namna y kutoa hela baada y kuuza pia kuna wa2 waunga wa2 wengne n kuanzia dollar 50 je hii ipoje..
@pastatrade1012 жыл бұрын
Kama umefatilia namna ya kununua bas kuuza hamna tofauti zaid ya kuingiza namba ya kupokelea pesa