Пікірлер
@RashidSiganda
@RashidSiganda 4 сағат бұрын
Naikubali sana
@Esy80
@Esy80 Күн бұрын
Asante Yesu
@Esy80
@Esy80 Күн бұрын
UONGEZEKE YESU KRISTO MIMI NIPUNGUE BABA YANGU.
@morogajapheth-dr9xc
@morogajapheth-dr9xc Күн бұрын
nimekumbuka mbali saana kwa kusikiliza huu wimbo ongezeka maishani mwangu yesu kwa hali ni nayo najua utaongezeka yesu
@enaelcassim8062
@enaelcassim8062 2 күн бұрын
Ee Mungu wangu uongezeke sanaaaa kwenye mawazo na fikra zangu ongezeka sasa Mungu wangu ongezeka sanaaaa🙏
@JobMuyoma
@JobMuyoma 2 күн бұрын
Good and nice and poa
@Joyce-d9h
@Joyce-d9h 2 күн бұрын
Mungu ongezeka kwa maisha yangu na unipee mume mwema pia nami niwe na familia
@ruthkalumu772
@ruthkalumu772 2 күн бұрын
Mimi nipungue wewe uinuliwe.
@SharoneErima
@SharoneErima 2 күн бұрын
Mungu uongezeke katika maisha yangu, katika ndoa yangu, familia yangu na nizidi kukujua zaidi 🙏
@MonicaNarotso
@MonicaNarotso 2 күн бұрын
Aki ni wapi naeza kuu download
@GladysMuthoni-nx3pe
@GladysMuthoni-nx3pe 3 күн бұрын
Baba ongezeka katika maisha ya mume wangu
@AnneMwinamo
@AnneMwinamo 4 күн бұрын
Wimbo mzuri wa kutuliza moyo uliobondeka ❤❤❤
@mpajipastory1088
@mpajipastory1088 4 күн бұрын
Nipungue zaid ya nilivo eeee Yes uongezeke saana
@dorothymusiko5150
@dorothymusiko5150 4 күн бұрын
July 11th 2024
@RobertShayo-e8c
@RobertShayo-e8c 5 күн бұрын
Huu wimbo unanibariki mno,sichoki kuusikiliza.Hakika MUNGU ni wa ajabu sana.
@lucythoya8626
@lucythoya8626 5 күн бұрын
LET THE LIVING GOD INCREASSE IN MY LIFE IN JESUS NAME.
@VivianDeograthias
@VivianDeograthias 6 күн бұрын
Ameen
@user-ek8hk1jd1i
@user-ek8hk1jd1i 6 күн бұрын
May God hear us all as He is uplifted higher and higher
@nancychelangat
@nancychelangat 6 күн бұрын
Very powerful!!
@NancyNekesa-nh6du
@NancyNekesa-nh6du 7 күн бұрын
Uongezeke Yes u,ondoa aibu na fedhea katika maisha yngu🙏🙏👍
@PoulineKaimenyiKaimenyi
@PoulineKaimenyiKaimenyi 7 күн бұрын
Naomba kupungua yesu uongozeke
@electronicdepartment8763
@electronicdepartment8763 7 күн бұрын
Oooh God Wacha nipungue we uinuliwe xana
@user-cf4pc5dz8t
@user-cf4pc5dz8t 7 күн бұрын
🙏😭
@catherinenjau4160
@catherinenjau4160 7 күн бұрын
Mungu uongezeke katikati ndoa yangu. Rudisha mume wangu nyumbani. Mimi nipungue wewe uongezeke.
@VennessaOmangi
@VennessaOmangi 7 күн бұрын
Uongezeke mungu wakati huu wa shida mungu nisaidie mm ni pungue wewe uongezeke sanaaaaa
@mercyakinyi882
@mercyakinyi882 8 күн бұрын
I reduce so that you may increase Lord Jesus Christ
@zefaniaShoo
@zefaniaShoo 9 күн бұрын
Uhongezeke yesu Mimi nipungue wewe uhongezeke
@joyceirungu8883
@joyceirungu8883 9 күн бұрын
Kwa kweli, Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari
@joyceirungu8883
@joyceirungu8883 9 күн бұрын
Team 2024
@RebeccaMuhadia
@RebeccaMuhadia 10 күн бұрын
nimefarijika sana
@HellenNyambura-gh5nr
@HellenNyambura-gh5nr 10 күн бұрын
Amen. ❤❤❤🎉🎉🎉❤❤
@sophianzali6818
@sophianzali6818 10 күн бұрын
mchungaji mwema 👏
@StellaMsagai
@StellaMsagai 11 күн бұрын
Mungu ongezeka kwenye maisha yang familia yang biashara yangu ikawe yakimataifa wanaonicheka nakunidhihak kuwa nmeshndwa Mungu naomb ukaongeze kwa zaid mimi nipungue Mungu wang niondolee aibu fedhea ninayoipata kwa sasa Amen
@agnessmavoa5133
@agnessmavoa5133 11 күн бұрын
❤😅
@jemimmahjuma1591
@jemimmahjuma1591 12 күн бұрын
Baba naomba uongezeke kwa biashara zangu na uhusiano wangu.....
@user-sm2un4jt1d
@user-sm2un4jt1d 12 күн бұрын
Mimi nipungue ww uongezeke mungu 🙏😭😭😭🙌😭 😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@nifandabakubije1200
@nifandabakubije1200 12 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@dorothyodinga7303
@dorothyodinga7303 12 күн бұрын
Humble Me Dear Lord🙏
@julianaako4066
@julianaako4066 12 күн бұрын
God is so Good
@sharlenwandera2257
@sharlenwandera2257 13 күн бұрын
Nkk hp Mungu niponye
@ceciliaerick9505
@ceciliaerick9505 13 күн бұрын
Waefeso 6:10
@jeniiii766
@jeniiii766 14 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏 mimi nipungue wewe uongezek mfalume wa ulimwengu
@SophiaKawishe
@SophiaKawishe 14 күн бұрын
Yes ni mwaminifu
@brendanekesa9537
@brendanekesa9537 14 күн бұрын
Ewe Mungu ninaamini kuwa umeongezeka katika maisha yangu na familia yangu haswa wakati huu mgumu naomba unifungulie milango ya baraka katika maisha yetu,Amen.
@emilianakabunda7881
@emilianakabunda7881 14 күн бұрын
Mimi nipungue Jehova,,,ninamchungu mengi katika moyoo wangu,,dhambi ni nyingi baba yangu naomba uongezeke katika moyo na nafsi yangu ww ni Kila kitu kwangu na familia yangu,,, MWENYEZ UKAPATE KUONGEZEKA KATIKA MWAKA WANGU WA MASOMO 2023/2024 NA 2024/2025 FROM B to B+ and A ukaongezeke mwenyez mungu nakuhitaji sana mwenyew siwezii🙏
@keshapiter5338
@keshapiter5338 16 күн бұрын
Naupenda huu wimbo unanifanya nifikilie san
@julianajohnjeremiah6402
@julianajohnjeremiah6402 16 күн бұрын
Halleluya ❤❤❤ msamaha wa dhambi nliupata calvari
@TimilaiSekadodo-nk6md
@TimilaiSekadodo-nk6md 16 күн бұрын
Amen 2
@teresianjoroge3734
@teresianjoroge3734 16 күн бұрын
Mimi nipungue wewe uongezeke jehova
@GoretyAuma-uq6rr
@GoretyAuma-uq6rr 16 күн бұрын
Baba mungu wangu ongezeka Kwa maisha yngu Kwa ndoa yangu , Kwa pesa zangu Kwa maombi yangu. Kwa watoto wangozeka bwana walinde Kila mahali. Kwa familia yangu ukoo wangu ongezeka bwana sisi tupungue tuki kuabudu siku zote za maisha yetu.Amen