Nilipenda,ninaipenda nitapenda na wapenda Mungu awatunze
@elifurahamkitunda42548 ай бұрын
Barikiweni sana na karibuni sana Njiro SDA church kwa nyimbo zingine nyingi. Hakika mmeutendea haki huu wimbo
@mavoedawu2167Ай бұрын
Loving the pastor in khaki pants who appears from nowhere and kills it, and the energetic groom and the cool bride. Guys you nailed it. Thumbs up......all the way from Namibia ❤
@JacklineAntony-p9e8 ай бұрын
Nawapenda sana MUNGU aendelee kuwainua
@happymerry86758 ай бұрын
Kimaro hanaga ubaguzi wa dhehebu barikiwa sana mchungaji
@OmbeniMmari8 ай бұрын
Mchungaji kimaro Mungu wa Mbinguni akujalie katika huduma yako.
@tumainimatiko51928 ай бұрын
Hakika wewe kimaro ni pastor wa mufano mungu wetu wa mbinguni akupe maisha marefu
@AngelMbaga9 ай бұрын
I'm glad to see you happy my pastor KIMARO. May the joy of the Lord be your strength. You look good and wishing you continue to glorify the Lord always🎉❤.
@zaburishedrack29068 ай бұрын
Saaafi,huu wimbo unanibariki sanaa yani ukiimbwa najiskia kupaa kabisaa
@mecknaika42608 ай бұрын
Pstr Kimaro mubarikiwe sana na Mungu azidi kuwaongoza wewe na mke wako mpendwa
@dicksonkilupa22588 ай бұрын
Na mimi nimemwona Kimaro ktk ubora wake. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu.
@justinamautice97309 ай бұрын
❤❤ Baba Kimaro na mwanae Elias mmeutendea haki kabisa wimbo🎉
@LilianMbangwa3 күн бұрын
Hongera Baba Mchungaji Kimaro
@judithgodfrey65038 ай бұрын
Hiyo ndoa if tuu kwa neema ya Kristo. Sio kwa kuserebuka kwa wachungaji hao. Mungu awabariki zaidi🙏
@judithgodfrey65038 ай бұрын
Idumu sorr
@DarajaniZanzibr8 ай бұрын
Arusha mko vizuri his nyimbo nzuri sawa na ile kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
@AIKABAHATI8 ай бұрын
Mchungaji Kimaro❤❤❤❤
@VenasiaEmmanuel9 ай бұрын
Mchungaji unatisha mungu akubariki
@STELLAMARCELY9 ай бұрын
Wimbo mmeutendea haki....🌹🌹
@paschalsafari97478 ай бұрын
Kimaro Mungu akubariki..
@esthermsembo99649 ай бұрын
Nimefurah sana kumwona kimaro,isanja na exaud nnko
@happynyoni24219 ай бұрын
Wao nimefurahi kumuona Mchungaji Kimaro
@rahabnkya82767 ай бұрын
Dr.Kimaro umependezea na unacheza wimbo huu kwa madaha kwelikweli, MUNGU anakupenda kwelikweli. Unatupa moyo saana, kuabudi na kusifu, jina la bwana libariwe. Aaamen
@habarinjema76635 ай бұрын
Kumbe na ninyi mnapenda kucheza sema mnabanwa na shelia eee
@abdimalikabdulaziz49549 ай бұрын
Nampenda sana mch kimaro jaman
@joycehaule97178 ай бұрын
Wow nimependaa
@rahabnkya82769 ай бұрын
WONDERFUL moments, all joyous and energetic in dancing the SPECIAL song of the season! Lenten 🎉
@PriscillaEphata8 ай бұрын
❤hakika ni ushindi mkuu
@doramalisa20618 ай бұрын
Aminaaaa, wimbo mzuri sanaaa
@BlandinaSanga-qh1bz8 ай бұрын
Kimarooo!!!
@monicamunisi28899 ай бұрын
Nimemfurahia kimaro sana
@lightnessamsi97678 ай бұрын
Kimaro god bless you
@joycesamweli12197 ай бұрын
Wao Mtumishi Pallangyo Mungu akutunze Mungu aibariki ndoa mpya
@priscanyato77 ай бұрын
Waoooo mch kama nayeye mwanakwaya kwakweli umejua kuutendea haki wimbo na mtumish Eliona naye yupo vizur
@VantureMoyowatira26 күн бұрын
waweza kumwita Elohim🥰
@nakyonyijuliet7841Ай бұрын
I like the bit Oh God😅 I don't understand but I know some thing Mungu
@JoshuaHilgath9 ай бұрын
Hongereni sana 🎉
@bmdele58168 ай бұрын
Ni furaha na upendo mkubwa!...
@ritapiusnicolaus70687 ай бұрын
Mbarikiwe watumishi wa Mungu 🙏❤️❤️🥰
@lesliesolomon36248 ай бұрын
Kubarikiwa ndio huku sasa🙏
@joycehaule97178 ай бұрын
My favorite song....
@happymasha43188 ай бұрын
amina mbarikiwa paster❤❤❤
@leahransom58427 ай бұрын
Wonderful❤❤❤
@PriscaKaishozi8 ай бұрын
Vizuri mchungaji magwaya
@minaelnathanael18466 ай бұрын
Hawa ni waisrael kwelikweli.🎉🎉🎉 Mbarikiwe
@kisakanzotah58618 ай бұрын
Huu wimbo kweli ni Babeli hii.Laudikia usipo tubu kinara kitazimwa
@rachaeleliusmanumbu66818 ай бұрын
Kwanini useme ni babeli?
@paschalsafari97478 ай бұрын
😂😂😂
@sarahruyembe48208 ай бұрын
Kwa utakatifu Gani wewe ulionao?! Hebu jichunguze!
@kisakanzotah58618 ай бұрын
hamna kitu hapo.me simtakatifu nikweli.lakini penye ukengeufu tusipasifie.Huo ni unafiki.wimbo huu miondoko yake haina sifa za SDA kabisa
@clesensiamathew8 ай бұрын
Vizuri
@HeriethMoshi21 күн бұрын
Haleluyaaaaaa!
@theopistamwayeya17649 ай бұрын
Safi kabisa❤
@imaninziku51487 ай бұрын
Mch kimaro ubarikiwe
@johnmcharo-w3t8 ай бұрын
Blessings 🙏🏿
@Elineswai1558 ай бұрын
Namuona mchungaj peter
@elizalutiga62878 ай бұрын
Rahaaaaa iliyojeeee
@neemakiria44169 ай бұрын
Good❤❤🎉
@mrsdeborahurio9 ай бұрын
❤❤Pr. Kimaro na team yote,barikiwe!
@mrsdeborahurio9 ай бұрын
Bwana awapiganie maarusi ,awape Furaha na Amani ktk ndoa yenu!
@noelngowitechnicalsolution7 ай бұрын
good scriptual song
@janecolleter7 ай бұрын
Fantastic song
@lucymasanja78788 ай бұрын
😂hakika ni furaha
@EstherNyika-e1q8 ай бұрын
❤❤
@AgnessNyansambo7 ай бұрын
❤Amen
@beatricejoseph23479 ай бұрын
❤❤
@michaelalihepanyama29629 ай бұрын
🙏🙏🙏
@uswegemwasanjala14658 ай бұрын
Aya maneno kwenye bbry yapo kifungou gan
@kimarasana8 ай бұрын
2wafalme 7:3-8
@lawrencejackton53787 ай бұрын
2 wafalme 6:1-20
@innocensiapius7 ай бұрын
Mchungaji Kimaro anaitendea haki fani yake Barikiwa baba na utume wako Big up
@neemachris16269 ай бұрын
Pallangyo sasa
@joycelaura46118 ай бұрын
Nilipenda,ninaipenda nitapenda na wapenda Mungu awatunze