I mean the topographic dimensions seem steep,it should have an elevation angle like kasarani.....why does e look like Wimbledon tennis ground.....,??????????
@kevinthebarber97939 сағат бұрын
kazi safi
@EdigarJuma.A.K.A.EdermilRoho4 күн бұрын
Nice job from contractors
@Workout-everytime5 күн бұрын
Wasijaribu kuweka running track kwa hiyo stadium
@QuévohVybee5 күн бұрын
Walai tena huwa zinaaribu
@dejavujon2 күн бұрын
This is a football and Rugby pitch, No running track. We uoni ata Hakuna space ya Running Track
@brosteve-qu2cj5 күн бұрын
So felikhinho amebadilisha jina ama??
@AfconStadimTV20275 күн бұрын
😀😀😀😀😀😀yap nilibadilisha koz ya walikataza kupost kitu kama serikali ijakuja hapo.....😄😄😄😄na nimejulikana so Sahi atlist MVURYA alikua hapo ndio maana updates ziko bure kama hawangekuja wanashika watu ukifutwa kazi 😀😀
@AfconStadimTV20275 күн бұрын
But nitarudisha hiyo jina Tu usijali 😀😀😀 baadaye
@KevinOriama5 күн бұрын
Unazungusha cam haraka video iko shaky
@hk254lyt86 күн бұрын
Mi nangoja tu nyasi na lighting tuone vile inakaa usiku. Hapo ndio tutajua kama ni worldclass
@dolphinetrade253517 сағат бұрын
Mi nangoja nione viti😅
@NormanJoseph-j2e6 күн бұрын
Video ni nzuri lakini shida uneunganisha n Video za zamani
@poundnatel15016 күн бұрын
It's Talanta not Talanta Hela
@AfconStadimTV20276 күн бұрын
We kama hujui kitu nyamaza uambiwe...we hujui kitu bana
@febamohammed29896 күн бұрын
Kiburi ya nini na unarekebishwa@@AfconStadimTV2027
@nestech9755 күн бұрын
@@AfconStadimTV2027 kubali urekebishwe, hakuna stadium inaitwa 'Talanta hela'. Inaitwa Talanta sports city or simply Talanta stadium.
@BrianMaina-uc2gt6 күн бұрын
❤
@chimbukojnrbaraka26786 күн бұрын
Bro tafadhali tufanyie vida moja ya rooms za ndani kwanzia ground floor mpaka mahali wamefika
@AfconStadimTV20276 күн бұрын
Hakuna room yoyote unataka room gani
@AfconStadimTV20276 күн бұрын
Room utapata 2025 mwezi wa 8 huko
@kelvinkimani18536 күн бұрын
camera inatingika sana
@jojothepolyglot18666 күн бұрын
Nice 👍
@BoscoGab8 күн бұрын
3D footage
@kenio25410 күн бұрын
bado wanschukua watu kazi nikuje monday
@Kenyastadiums10 күн бұрын
Bro ukitaka kupata views na subs wengi.enda hapo kwa tank record tang vile inakaa full video ya 5min then enda kwa hizo enter gate za kuingia kwa sitti
@AfconStadimTV202710 күн бұрын
Unajua Sahi ukipatikana unachukua video ukipost wanakufuta kazi....so mi nilikua nimechukua nimekaa Tu nayo....koz walisema MTU wa serikali akikuja ndio hiyo uwanja ikue expose...na mi washanijua 😀😀😀wakiona kitu iko live kwa KZbin Wana nikujia 😀😀😀that's why uliona nimechange jina na nimetegea Tu.....lkn Sahi updates sio nyingi wacha nitafanya hivyo hiyo video ya kuingia lkn nitakua nayo tu
@Kenyasmatatuculture10 күн бұрын
At long last.welcome back
@walubengo770310 күн бұрын
Good job brother.
@AfconStadimTV202710 күн бұрын
Thanks
@brantonalianda11 күн бұрын
Thanks for the update Good job
@lifewithicon11 күн бұрын
Kazi safi sana. Huku tuli subscribe kitambo! Umetupeleka poa.
@AfconStadimTV202710 күн бұрын
Hapo swafee ingawaje nilichange jina....nitairudisha baadaye
@Affah-iq8cq11 күн бұрын
God bless Ruto
@wilfredemayot696911 күн бұрын
How many floors do this stadium going to have?
@AfconStadimTV202711 күн бұрын
5 floors
@BrianMaina-uc2gt11 күн бұрын
Good job 👍
@AfconStadimTV202710 күн бұрын
Thanks
@Silas-i7z11 күн бұрын
Ulibadilisha jina?
@AfconStadimTV202711 күн бұрын
Yap nitarudisha baadaye usiwe na shaka
@charlesmakanga792711 күн бұрын
Filikinhnyo did you rename your KZbin?
@AfconStadimTV202711 күн бұрын
Yap I renamed
@AfconStadimTV202711 күн бұрын
Walikataza kupost video za uwanja before MTU yeyote wa serikali kukuja huku so nilibadilisha wasijue ni Mimi 😀😀
@vokealutah467510 күн бұрын
Ndio maana nimekuwa nashindwa ulienda wapi tena buda?😂
@Kenyastadiums13 күн бұрын
Umekataa kuleta updates vile huko ndani kunaendelea sisi huku nje hatuwezi ingia jeshi bana
@AfconStadimTV202712 күн бұрын
Sijakataa kuna restrictions
@AfconStadimTV202712 күн бұрын
Hata last 2weeks sijakua huko
@AfconStadimTV202712 күн бұрын
Next week nitawapa hapo 28 Niko sure na hapo
@JoeSOS-sv2hx13 күн бұрын
Please some update
@kelvinkamau317416 күн бұрын
Hii haina running track
@kenio25416 күн бұрын
wapi video ya progress ya talanta
@Kenyastadiums16 күн бұрын
Any update
@Kenyastadiums16 күн бұрын
Any new update????
@Kenyastadiums16 күн бұрын
Any new update????
@Kenyastadiums17 күн бұрын
Any update?
@AfconStadimTV202717 күн бұрын
Military stated that they should be not found any videos in social media about it's construction work....so maybe when the president will come to stadium that's when the update will be open but now...if they found you ....you will suffer inside police
@kenny4367819 күн бұрын
current progress??
@collinskiplimo933919 күн бұрын
Ulienda wapi bana ,nowadays hautupei updates.Ama construction iko slow sai
@AfconStadimTV202719 күн бұрын
Usiwe na Shaka itakuja in 2 to 4 days . Construction Sahi haiendi mbio koz watu si wengi....wanafaa kuajiri watu
@collinskiplimo933914 күн бұрын
@AfconStadimTV2027 tunangoja
@sambosco1119 күн бұрын
Give this contract to china and see it built in 2 weeks
@NormanJoseph-j2e22 күн бұрын
Siku izi umepotea sana bro
@AfconStadimTV202722 күн бұрын
Mambo imekua ngumu kiasi
@AfconStadimTV202722 күн бұрын
But itakuja Tu usiwe na wasiwasi
@ManuManucho-q1c16 күн бұрын
Ngumu aje...hawataki watu wakirecord videos
@jjosekaris517022 күн бұрын
mkuu kwani ulipewa lift na subaru😂😂 bana tumetegea updates
@AfconStadimTV202721 күн бұрын
Wamepanga kunipea lift so nikucheza chini lkn usijali nitaleta kubwa tegea Tu
@werciquayjaymo541723 күн бұрын
Kwani wanapanda nyasi before doing drainage?
@AfconStadimTV202722 күн бұрын
Nani amekwambia wanapanda nyasi
@werciquayjaymo541722 күн бұрын
@Fhelikinho254 not on a bad note but you said it in that video,that's why we asked,
@JoeSOS-sv2hx23 күн бұрын
Make a video of the sitting area
@Kenyastadiums23 күн бұрын
First view😂❤❤❤❤
@collinskiplimo933923 күн бұрын
We miss your updates
@StephenJakait23 күн бұрын
Good job kasongo
@ENG.Kelvin24 күн бұрын
uwanja ya football pitch
@miltonyatich496525 күн бұрын
Alafu wapande natural grass na tumekubaliana ni sarat tunataka, tutafanyia kasongo hesabu ya minus
@msitumah470929 күн бұрын
Buda shika simu vizuri iache kudance dance
@SuperJackmj29 күн бұрын
This is just a skeleton and around 30% of the stadium.
@Mike-ld2hqАй бұрын
Google Amahoro Stadium, and Bk Arena, and see how Rwanda capitalized on our failure, now slated to host the tournament at our expense.
@chechesumba6073Ай бұрын
Build the Colosseum to appease the masses...classic Roman shit