It's better ukue unamention jina ya your channel. Mtu anaeza iba the clip na akate the first part. Or urestrict kudownload hizo videos.
@mbaruksaid57752 ай бұрын
Ruto anafaa ajenge moja mombasaaaa
@DonOkwaro-by7lt2 ай бұрын
Umesahau bungoma wanangojea stadium?
@AfconStadimTV2027Ай бұрын
😀😀😀bungoma.....wanangojea ya kutenga
@francisakatsa31782 ай бұрын
Kazi safi bro,ule jama channel ilifungwa na amefungua ingine aka post video yako moja na akasema alikuwa amekuja kukutembelea , report iyo channel na video,iyo channel yake ifungwe,afanye kazi si kukula jasho ya wengine
@walubengo77032 ай бұрын
Good job.. Road to 1k subscribers
@AfconStadimTV2027Ай бұрын
Thanks invite your friends more
@NormanJoseph-j2e2 ай бұрын
Good job bro 👏 🎉
@AfconStadimTV2027Ай бұрын
👍👍👍
@URBANLOVER2542 ай бұрын
Kwani inajengwa aje lakini hamko wengi ju side moja Iko juu kuliko zote
@AfconStadimTV20272 ай бұрын
Sub contractor wako tofauti tofauti hapo....wako watatu
@URBANLOVER2542 ай бұрын
@@AfconStadimTV2027 oh okay mi naona wakumaluza2026 August hapo
@hillarymaturi48592 ай бұрын
Kazi safi
@AfconStadimTV2027Ай бұрын
Wazi 👍👍
@duncanc.bomett83532 ай бұрын
Thanks for the update
@AfconStadimTV2027Ай бұрын
Welcome
@briankevore1581Ай бұрын
Watafunika juu kweli?
@AfconStadimTV2027Ай бұрын
Hapana hii si kama ya Tottenham....watafunika kwa ma funs lkn kwa playing pitch no
@URBANLOVER2542 ай бұрын
Ata mimi nilikuwa nashindwa ,floor ya tatu how na plan architectural impression inaonyesha itakuwa ndefu kwenda juu thanks for the clarification
@AfconStadimTV20272 ай бұрын
Anaiba akiwambia Ati floor ya tatu ndio mwisho,...amesahau uwanja ni ya 60K ....hizo ghorofa hapo ngong road ata ukiwa juu hutaweza kuangalia ndani ya Stadium
@URBANLOVER2542 ай бұрын
@Fhelikinho254 aki,Hadi nikona plan inasema 5 sijui 3 alitoa wapi
@derrickmutuma71852 ай бұрын
54 meters is quite high. Nilishindwa vile hizo floor tatu zinafika hiyo height. @@AfconStadimTV2027
@felixmusungu7605Ай бұрын
AFC ni wajanja ,,wanafanyia mazoezi hapo ndio ikiisha waseme ni home ground yao.
@AfconStadimTV2027Ай бұрын
😀😀😀
@reubentv29482 ай бұрын
Sioni activities mingi. Ni Sunday ama. Watu wako wapi
@AfconStadimTV20272 ай бұрын
Wako lunch time
@williamwatitwa35342 ай бұрын
Unaongea kama raila Kwa campaign
@Smart-alecky2 ай бұрын
Kumbe umegundua. Huyu jamaa anaezaimmitate Raila
@AfconStadimTV2027Ай бұрын
😀😀😀😀😀😀😀
@francisakatsa31782 ай бұрын
Kuna msee anaiba video za watu aki post anaitawa Kenya stadium tv am sure ataiba hii video a repost,kuna moja Yako Ali post anadanganya watu ni yeye alikuwa uko
@davidmuigai20892 ай бұрын
Will we be able to complete this stadium on time,coz aaaii 🤔🤔
@dache_z10822 ай бұрын
Do you really know CRBC, they will deliver it before time
@AfconStadimTV2027Ай бұрын
That's why they are forcing it to be ended in 2025 December of which afcon is 2027
@chimbukojnrbaraka26782 ай бұрын
Unaweza tuambia ndani ya hizo ghorofa mtaweka nn .Juu n kubwa sana halafu terraces mtaanza lini
@AfconStadimTV20272 ай бұрын
Kuna VAR room...kuna conference hall kuna media room hapo
@wanyonyi412 ай бұрын
Some Tik tokers are busy deceiving themselves Ruto has done nothing once these project and others in the construction start taking full shape next year they will lack what to say
@Makaveli-19602 ай бұрын
Toa story za uyo ruto hapaa
@wanyonyi412 ай бұрын
@@Makaveli-1960 Enda kajinyonge he is statehouse till 2032 so learn to leave with it, i have seen what others did and didn't do while in that office so hakuna kuniambia nitowe story, by the way i didn't vote for him but he is in that seat till elections if he fails you fail too im not riding such narrative coz im patriotic.
@Makaveli-19602 ай бұрын
@wanyonyi41 we wanasiasa walikubrainwash bna
@wanyonyi412 ай бұрын
@@Makaveli-1960 Hata i cannot be brainwashed Haha, but im very objective i don't fall into a politicians ideology coz wote ni tumbo kukula tu save for very few and those few cannot make it to big positions because of our bidy politic. So the best is to analyse issues objectively usiweke roho yako hapo, even Morara will disappoint many that's the bitter truth. Plus i have been in 5 elections cycles so i know what im saying. I have learned a lot working close to some of these politicians some of whom we had very high hopes before they join then when they enter the system they are as corrupt as others they found there.
@Makaveli-19602 ай бұрын
@wanyonyi41 if it wasn't caf iyo stadium haingejengwa stop praising these pigs Hawa akuna kitu wanaeza fanya unless Kuna kA msukumo mahali Nioneshe kitu uyo ruto ameifanya yaaana stadium ni vitu tulifà kuwa nazo kitambo
@reubentv29482 ай бұрын
Use watermark on your videos.
@Kenyasmatatuculture2 ай бұрын
You will find my comment hapo.nlijua ameiba vida
@cinam082 ай бұрын
Wewe unakuanga na kiherere sana🚮
@AfconStadimTV20272 ай бұрын
Yaaaaaa we ndio uliniambia
@AfconStadimTV20272 ай бұрын
Tena si unajua mi najificha koz walikataza kuchukua PHOTO au VIDEO Kuna ma CCTV hapo Sana.....ata penye nilikua Jana Iko..... that's why unaona siweki sura yangu mbele ya simu 😄😄😄😄😄😄
@Kenyasmatatuculture2 ай бұрын
@@cinam08ghasia mtu akulie jasho yake.huyu jamaa alose job yake ule fala wa kenya stadium anaeza mwokolea??again ushaifanya photography place yeyote ujue the hustle.tena nakuanga na kiherehere unanijuaje.mbwa
@ewaldambrose6136Ай бұрын
Only what u know is show up issues..Learn to do ur things silently like Tanzania..
@our10picks182 ай бұрын
Ati inafika 5th floor! Hii itakuwa na capacity ya almost 80,000! 😏 Coz Kama kasarani ikona 3 floors na ni 60k capacity, do the maths!